Тёмный
No video :(

MBOWE AKINUKISHA ARUSHA MJINI, AIVAA SERIKALI YA CCM, MATUMIZI MABAYA, AMTAHADHARISHA RAIS SAMIA 

Mwanzo TV Plus
Подписаться 167 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE RU-vid Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 Месяц назад
Duhuuuuuuu! Serikali ya anasa nihatari magari 150 kweli viongozi wa maccm mnatupeleka wapi watanzania tuamke maandamano ni muhimu sana bora tume kama kenya
@ErickTesha-wn7ek
@ErickTesha-wn7ek Месяц назад
Kweli sasa wanaume tumehudhuria mkutano vzr sana
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
Mazoea ya matumizi mabaya magari ya viongozi Africa ndio.maana wingereza kwenye msiba wa qween alizazabet waliwapakia kwenye mabasi walilalamika lakini walikwenda wenyewe na aibu zao
@richardhoseni2643
@richardhoseni2643 Месяц назад
Watawala mnacheza na maisha ya watanzania magari 150 kwenye msafara ni kufuruuuuu na mna viburi kwa sababu ya jeshi la polisi na wanajeshi ila nawaambia iko majeshi yatanyoosha mikono na kussarender hapo ndo mtaelewa nguvu ya umma
@MagrethKatondo-qs9oz
@MagrethKatondo-qs9oz Месяц назад
Mmhhh mungu wangu tuhurumie tusaidie sana.eee
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 Месяц назад
Mwizi ni yule chawa wa ccm
@user-bq5hs3wu7o
@user-bq5hs3wu7o Месяц назад
Watanzani wengi bado mazusu wasipo badilika sijui nani kawaloga
@lemakhalfan8564
@lemakhalfan8564 Месяц назад
Ccm oyeeee chadema sera akuna
@HamzaHeri
@HamzaHeri Месяц назад
ACHAUNGO KITI CHENU CHAKWANZA NI KIGOMA DOCTA KABURU
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Месяц назад
Nkurunzinza umechokwq waachie vijana
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Месяц назад
We maraga, Tunis akılı na toa point badala ya kukutupuka. McMahon ni McMahon hata skips kWa mavi habadiliki. Chawa ni chawa tu. Fıkra finyu ni kula mna lamba viongozi kama mazezeta yasiyojifahamu yasiyo na elimu yasiyo na uhuru wala uwezo wa kujifikiria wao wenyewe. Na chura wao.
@elviswebbo1164
@elviswebbo1164 Месяц назад
Mbowe demokrasia ianzie kwako....miaka na miaka mwenyekiti wewe tu mzee? 😅😅😅😅
@user-pp1cq9op5y
@user-pp1cq9op5y Месяц назад
Akili ndogo pumbavu
@elviswebbo1164
@elviswebbo1164 Месяц назад
@@user-pp1cq9op5y Mbowe ruhusu Demokrasia CDM mzee acha kunitukana! Ni wewe tu unayeweza kutawala mzee?
@jumannerizimbura6750
@jumannerizimbura6750 Месяц назад
Wanataka atoke, wanunue CDM ... HAKUNA KINGINE
@ErnestiSulle-w9k
@ErnestiSulle-w9k Месяц назад
Wewe mpuuzi jiangalie Sana kw umri ulionao nisingetegemea uongee. hivo
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 Месяц назад
Njoo ugombeee wewe umekatazwa kwani au uchawa unakuwashaa
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Месяц назад
Mwizi tu wewe
@user-jx5ze9wz8e
@user-jx5ze9wz8e Месяц назад
Wew jee unapenda sana mateso eee mbuwa wewe sana utaki ukwel lakin tunasema kama vip kufaa mjinga wewe mtu mzima ofyo tu
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Месяц назад
Dah ndugu yangu ungeacha ushabiki ukakaatu ukatafakari...ungeachana na kuinga ccm
@ezekielkiduge8730
@ezekielkiduge8730 Месяц назад
Uchawa unakusumbua kwani wezi huwaoni??????
@mlyamalitv1789
@mlyamalitv1789 Месяц назад
Huyo haitegemei mtu.
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Месяц назад
Mbowe ni mwiba, ndio maana wangependa aondoke ili iwe rahisi kwao. Mbowe tuvushe kwanza baba. Mungu akubariki na kukulinda.
Далее
Wife habit 😂 #shorts
00:16
Просмотров 58 млн
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33
ЛОВИМ НОВЫХ МОНСТРОВ В LETHAL COMPANY
2:42:22