Тёмный

MCH HANANJA Awalipua WACHUNGAJI kutokea MAREKANI ule sio Uvaaji MALISA AMEWAKOSEA WATANZANIA..! 

Bongo Plus
Подписаться 72 тыс.
Просмотров 80 тыс.
50% 1

CONTACT US +255 749 889 039
East African number one RU-vid channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 292   
@ngarathecomedian5743
@ngarathecomedian5743 9 месяцев назад
Vitu vya Manaa kama Hivi havipati Viewers wengi na Comments nyingi kwasababu ni ukweli unauma ata hii comment haipati likes ila zingekua story zikina Mondi Mangi. Konde 😢😢
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 9 месяцев назад
Ni taifa lililoamua kufata njia ya ujinga na umbumbuu , ndio maana leo hata uyo diamond ndio anaonekana yeye ni tajiri kushinda bakharesa leo kina baba levo wanaskika kuliko wataalam na kuna watu wako huko kyambankumbe wanawaona wao ndio viigizo fake inamaana kuliko genuine, ukiaongea ya msingi huna nafasi ila ushubwada iyo ndio tz ya leo
@alphadreammedia
@alphadreammedia 9 месяцев назад
Kweli 😅😅
@azaransari7307
@azaransari7307 9 месяцев назад
Mungu atupe macho ya rohoni Wakati huu wa mwisho. Kila mtu sjifunze kusoma Biblia mwenyewe na aombe mwongozo wa Roho Mtakatifu
@azaransari7307
@azaransari7307 9 месяцев назад
“Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi. ” - Mathayo 24:11 (Biblia Takatifu)
@egidiusmagoma3334
@egidiusmagoma3334 9 месяцев назад
😂😂😂
@igusakapesa2711
@igusakapesa2711 9 месяцев назад
Am a Muslim, but MCH. Hananga is truly man of God, he has spoken the truth in a most simple way ...he will go to heaven I pray ❤
@TheNdaki
@TheNdaki 9 месяцев назад
He is smart, he spoke honestly and spoke well abt culture
@hajikhamis3288
@hajikhamis3288 9 месяцев назад
You are no longer a Muslim ....
@kiondosaimon6149
@kiondosaimon6149 9 месяцев назад
Inshallah He always speaks the white truth
@siasia5469
@siasia5469 9 месяцев назад
Which God?
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 9 месяцев назад
Amen
@hamiduibrahim8232
@hamiduibrahim8232 9 месяцев назад
Mm ni muslim lakini huyu mchungaji namuelewa sanaa..
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 9 месяцев назад
Hunishindi mm wallah 😂
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 9 месяцев назад
Uyu Hana uislamu Wala ukristo ni mkweli sana
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 9 месяцев назад
@@JumaJuma-fu7ji kabisa
@user-tt1nm9xs4n
@user-tt1nm9xs4n 9 месяцев назад
Wanawafadhili was hela
@kingdullah7843
@kingdullah7843 9 месяцев назад
wala hunishind
@allyseba172
@allyseba172 9 месяцев назад
Daaah m muislam ila huyu mwamba nam kubal sana sana
@rosehaule6765
@rosehaule6765 9 месяцев назад
Barikiwa mchungaji iahi miaka.mingi tunamuomba Mungu akupe umri wenye afya njema na mafanikio hili tuzidi kujifunza❤
@rehemakaijage1364
@rehemakaijage1364 9 месяцев назад
Hekima hizi za wazee kama Mchungaji Ananja ni muhimu sana, tuzizingatie. Asante baba
@user-yf6ws8uz2p
@user-yf6ws8uz2p 8 месяцев назад
Mimi ni muislam lakini nafuatilia wakristo Sana mc hananja NI mkweli na muazi mungu akuweke na akuonyeshe haki uifuate inshallah
@yahomeshopllc5950
@yahomeshopllc5950 9 месяцев назад
Mzee ume sema mambo yetu yote kweli. I love you again from KY USA 🇺🇸 🇨🇩💪🏻
@augustfive5279
@augustfive5279 9 месяцев назад
Mungu akubariki sana mchungaji na aendelee kukuongoza kwenye hekma alizokupa.
@Keyjop
@Keyjop 9 месяцев назад
Watu wakweli kama hananja wanakubarika na watu wachache sana 😅😅😅 ila ukimfuatilia unapata madini ya kukusaidia maisha ....📌 🥰🥰🥰
@naturelle1097
@naturelle1097 8 месяцев назад
Simple Pastor..and speaks straight forward
@godefroidm741
@godefroidm741 9 месяцев назад
Kwani hizi akili umepewa umushukuru Mungu,nakutakiya maisha mema.nipeni like pls.
@fredanunda7719
@fredanunda7719 7 месяцев назад
Wow!! Wow!! Eh!! Mafundisho mazuri kweli. Asante mchungaji. Ubarikiwe
@frankfelix3876
@frankfelix3876 9 месяцев назад
Kiukweli hizi ni nyakati za mwisho kila dalili zipo wazi mungu atunusuru Amen
@godlovemanase3423
@godlovemanase3423 9 месяцев назад
And the Truth shall set us free.
@foundationforcommunityhope7327
@foundationforcommunityhope7327 9 месяцев назад
Kweli kabisaa... Hongera Sana Mchungaji wangu Wazo Hill zamani,hajambo Wachungaji Andrea Mwalilino, mchungaji Ipyana Mwakabonga huko USA
@halisimedia200
@halisimedia200 9 месяцев назад
Nakupenda sana mch na umekuwa kiongozi wangu siku zote japo ni mtandaoni tu
@user-jt9kz7kl5q
@user-jt9kz7kl5q 8 месяцев назад
Mch hananja mungu akubariki na hazidi kukupa hekima katika kazi yako ,,,,,naongeza kukuita mwalimu na mchungaji hananja,,,,,,,simple way of delivering a good message to the community
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 8 месяцев назад
Kila utamaduni una spirit nyuma yake so kuna utamaduni wa ki Mungu na wa ki Shetani.
@katembenduto9560
@katembenduto9560 8 месяцев назад
Jambo la kweli halina umati wa watu,ila hili ndilo neno halisi.Mungu akupe maisha malefu uzidi kutufunza mambo ya Mungu.
@preciouspeter6126
@preciouspeter6126 9 месяцев назад
He is right. Hata marais wakienda nchi za nje huwa wanauliza huko wanakoenda tamaduni zao zikoje, uvaaji, salam nk.
@heritier5119
@heritier5119 8 месяцев назад
Mungu anaangalia roho ni funzo la shetani
@joslinchuwa1298
@joslinchuwa1298 9 месяцев назад
Baba ubarikiwe sana umesimamia ukweli na haki.
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 8 месяцев назад
Nakuhewa sana mtumishi
@ismailgumbo289
@ismailgumbo289 9 месяцев назад
Uko sahiii sanasana yanini wewe nimuislam kabsaa ulibaki kusilim tu ,mungu akuongoze kwakeli, ww namini ndio mtu wakitabu haswa uliozungumziwa ktk Qur'an
@habibaally3
@habibaally3 8 месяцев назад
Amiin
@sholavalencemgimwamgimwa2812
@sholavalencemgimwamgimwa2812 8 месяцев назад
Ni kweli mtumishi wa mungu hananja
@user-vb7tu5zs9d
@user-vb7tu5zs9d 9 месяцев назад
Mzee nakukubali sana huwa unanibariki kwa mafundisho yako
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 9 месяцев назад
Kakakuona! Daa kanisani kuombwa baraka, SIJUI hawa wanyama tafsiri zao Mungu alizoziachia. Imani potofu naona.
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 9 месяцев назад
Mchungaji anaongea point sana
@user-ef8pn2ut1y
@user-ef8pn2ut1y 9 месяцев назад
Mungu haabudiwi kwa kufuata tamaduni au mila za watu mtu akiamua kumfuata Mungu lazima afuate kanuni zake bila kuchanganya damaduni na kanuni zake.
@laurentkayega2863
@laurentkayega2863 9 месяцев назад
Mi nakuelewa Sana blessing speak
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 месяцев назад
Ndugu yangu pastor ninakuheshimu sana Huko ulikoenda nimeshafika ndugu yangu.Ninakuelewa sana kaka❤
@mchoppertz26
@mchoppertz26 9 месяцев назад
Mzee unanyooosha hauna Kona respect sana🙌🙌
@ASALABOY
@ASALABOY 9 месяцев назад
Brow usimuache uyu baba Mimi uwa nainjoy sana nadifunza vítu vingi kadha w Kadha. Napendaga sana.
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 9 месяцев назад
Huyu baba. Bana huwa na mwelewa sana
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 9 месяцев назад
Safi sana 💯🔥🔥🔥
@ngayaimkwe5175
@ngayaimkwe5175 9 месяцев назад
Dah anatukosha sana huyu mzee
@abdullahabdull3172
@abdullahabdull3172 9 месяцев назад
Nakukubali Mch.Endelea kusimamia ukweli japo wapo wanao umia.umenikumbusha serikali inayokusanya kodi.rest in peace Magu....rest in peace Gov of Tanganyika
@gjlisa
@gjlisa 9 месяцев назад
True, Pastor
@pastormwanjatv1000
@pastormwanjatv1000 9 месяцев назад
Hongera baba kwa kutenga maji na mafuta
@benjathekingofficialshows
@benjathekingofficialshows 9 месяцев назад
Kuokoka hakuombi utamaduni huo ni uongo mkubwa , ukiwa umeokoka huwezi vaa vile kama wale majamaa au kusuka au kuweka vipini au kuweka matattoos huo ni ujinga na ushetani , mimi naishi texas marekani na kuna wazungu wanaishi maisha ya wokovu kabisa , meanwhile ukiingia youtube andika pastor jennings , uone maubiri yake ya kuponda uvalio mbovu , matattoos na ujinga ujinga kama huo , sasa usidanganywe eti mazingira ni uongo , hananja hapo kaongea point sana . Shetani ni mbaya sana
@emmyshantiwa6121
@emmyshantiwa6121 9 месяцев назад
Point. Mungu awasamehe
@remmyalfred6736
@remmyalfred6736 9 месяцев назад
Safi sana 💯
@NeemaMmeli
@NeemaMmeli 9 месяцев назад
Wazungu wanakuja kuhubir injit eanavaa vizur na hawajasuka nywele Leo wanakuja waafrica et wanaume alafu wamesuka alafu Wana tatuu hai biwahuni 4:50
@benjathekingofficialshows
@benjathekingofficialshows 9 месяцев назад
@@NeemaMmeli 😂😂😂
@trophywilson7211
@trophywilson7211 8 месяцев назад
@@NeemaMmeliMarekani Weusi wote wanasuka Ni shida saana
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 9 месяцев назад
Labda kwa kifupi niseme hivi: watu hupenda utambulisho wao, yaani wa kimwili (carnality), kiroho hawajui identity yao. Kwa hiyo wanachojitetea ni kusema Mungu haangalii mwili bali roho ya mtu. Hawajui kuwa roho zao zinapaswa kuvikwa na kupambwa vitu vya kiungu wakiwa bado wako duniani. Revelation 3 :17-18 ; Isaya 61:10 n.k, zina mafunzo makubwa sana kitu ambacho hakihubiriwi ktk makanisa mengi duniani. Mwisho wa yote wanaishia kwenye tamaduni zao za kimwili na kuzitetea hizo. Spiritual nakedness imepatiwa mbadala ndo hivyo vipuri puani, tattoos, kusuka wanaume n.k.
@yeslord2276
@yeslord2276 9 месяцев назад
Mzee huwa n mkweli kabisa😂😂😂 Big up papa
@AsumaniKalundja
@AsumaniKalundja 2 дня назад
Ubarkiwe
@BongoPlus
@BongoPlus День назад
Aminaaaaaaaaa
@EzekielMsigwa
@EzekielMsigwa 9 месяцев назад
Asante baba binafsi nakuelewa
@JumaJuma-fu7ji
@JumaJuma-fu7ji 9 месяцев назад
Uyu jamaa nimkweli sana aisee safi kweli watu muda wote kanisani misikitini munafanya nn madini zawatu zauwizi natamaduni za ajabu mmezikumbatia
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 9 месяцев назад
Hananja ni miongoni mwa wachungaji wenye akili sana na wapenda ukweli mchungu
@alanmwijarubi
@alanmwijarubi 8 месяцев назад
Umesema kweli
@mfirimassawe9023
@mfirimassawe9023 9 месяцев назад
Baba nakuelewa Sana ubarikiwe
@edwardmkwelele
@edwardmkwelele 9 месяцев назад
KWANI HAO WAMERIKANI WAMELETA UTAMADUNI KWETU HUO NI UTAMADUNI WAO HAWAJASEMA WATANZANIA WAVAE KAMA WAO KAMA VILE WAMASAI HAWATULAZIMISHI SISI KUVAA SHUKA NI UTAMADUNI WAO TUSIWALAZIMISHE WAMERIKANI WAVAE KAMA SISI
@naslee1010
@naslee1010 9 месяцев назад
Mzee wangu allah akupe kheri ya dunia na akhera una nifurahisha sana 😂😂😂😂😂😂
@eggysulle7988
@eggysulle7988 9 месяцев назад
Thank you mchungaj 🙏
@BongoPlus
@BongoPlus 9 месяцев назад
Always welcome
@annonmnzava728
@annonmnzava728 9 месяцев назад
Akili kubwa sanaa
@seifdecent-tec5954
@seifdecent-tec5954 9 месяцев назад
Ameni Baba ❤❤❤
@limo_7
@limo_7 9 месяцев назад
Safi sana mchungaji
@niyiitunvirakamwaga3683
@niyiitunvirakamwaga3683 9 месяцев назад
Huyu ni mbegu kutoka Kwa Mungu. Ukimsia kwanza anajua biblia lakini anaujua wokovu🙏
@viceboss7229
@viceboss7229 9 месяцев назад
Namkubali sanaaa🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@josephgalandu128
@josephgalandu128 8 месяцев назад
Tutawatambuaje? Kea matendo yao....Mti mabaya ....mtimzuri.....
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 9 месяцев назад
Malisa tuletee hayo mapepo uliyoyatoa marekani tuyakemee yatoke na wewe mwenyewe tukuapishe use mwaminifu Kwa Mungu. Kwani unafungamana na mapepo toka kuzimu na kuyafanya manabii Yako?
@yohanamichaelmaganga
@yohanamichaelmaganga 9 месяцев назад
Amen!
@faidhacute
@faidhacute 9 месяцев назад
Kwakwel wale wachungaji hata kama sio muumin lakn ile appearance hapana kwakwel sijawah kuona mchungaji Rasta
@MaikoSinyinza
@MaikoSinyinza 9 месяцев назад
Munguawe nawe mchungaji
@jastinarts
@jastinarts 9 месяцев назад
This is fact man
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 9 месяцев назад
Maana halisi ya Mchungaji ndio huyu
@musajackson3289
@musajackson3289 9 месяцев назад
Mambo ya walawi 19:28 Leviticus 9:28
@benedictinelusambo069
@benedictinelusambo069 9 месяцев назад
Roho muachie mungu sisi tunaangalia mapaja😂😂😂😂
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 9 месяцев назад
Wamevamia chakula cha kuku. Hizi dini zingekua 1 ningezielewa. Nakukumbusha mwandishi wa Habari kua ukisikia kua mchungaji amealikwa hapa Marekani, ujue sio wazungu ni watu wahuko ambao wanataka kukusanya pesa. Hawa wachungaji wanakubaliana pesa na mimi Nina ushahidi.
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 9 месяцев назад
Kwa utamaduni nimekuelewa sana
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 9 месяцев назад
Mch Hananja tunapata elimu kubwa Sana ya kiroho na kimwili
@imhotepheru436
@imhotepheru436 9 месяцев назад
Leviticus 19:28 Tattoo is totally prohibited in the Bible ☺☺☺ Corinthians 11:14 Dreads, Long hair for men is prohibited ☺☺☺
@BongoPlus
@BongoPlus 8 месяцев назад
oooh okay
@user-sd3ch5ff5s
@user-sd3ch5ff5s 8 месяцев назад
Director Muulize pastor jina la ile kanisa ambao Mtumishi wa Bwana alienda HOUSTON TEXAS ili nami niende kumwaabudu Mungu huko
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 8 месяцев назад
Ni kweli mchungaji❤
@ezekelmabesa4324
@ezekelmabesa4324 9 месяцев назад
Huyu baba anamjuaa snaa Mungu
@safarivahocha8077
@safarivahocha8077 9 месяцев назад
Hongera sana kwa American Tour yako mtumishi wa Bwana. Ila hizo ni States 9. sio kumi (10) 1. Minnessota; 2. Illinois (Chicago); 3. Ohio ( Columbus); 4. Iowa (Iowa City) ; 5. Missouri (Kansas City); 6. Kentucky; 7. Nevada (Las-Vegas); 8. Geogia (Boston); 9. Texas ( Dallas, Huston).
@TozzyMay
@TozzyMay 9 месяцев назад
We jau.. Kwan kasema kataja zote apo Think behind 😮
@mozeslyricstz720
@mozeslyricstz720 9 месяцев назад
@YTozzy_tz achana nae akili mgando huyo
@mohdabdalla7070
@mohdabdalla7070 9 месяцев назад
Sasa ww kuna ulazima gn wa kutj maeneo yote kumi kwn hata Hayo Tisa aliyo ytaja BDO ametja miji ming maan dhumun kubw ni kusimulia Safar yke tu na mambo mengn sio kutja miji yote aliyokwend
@ramseyngwejela499
@ramseyngwejela499 9 месяцев назад
Injili ya kile kiitwacho kwa kiingereza To be clothed with Holy ghost light of life glory body of the NOW CHRIST. Hii injili haihubiriwi kabisa sababu haijulikani hata huko america kwenyewe.
@ericmungai2885
@ericmungai2885 7 месяцев назад
Kweli kabisa mashahidi haya ni mazur
@GorbaChev-yn2tb
@GorbaChev-yn2tb 9 месяцев назад
Huko Ata mm napapenda maana uku bongo wabongo hawafwati Sheria kwa kila mmoja
@hamisishabani8864
@hamisishabani8864 9 месяцев назад
Sinaga shaka na MCH huyu ukimgusa kwenye JAMBO la kweli anafunguka bila vificho mtu kama huyu ni wachache sana hasa kwa nafasi kama yake
@matswelomphela972
@matswelomphela972 9 месяцев назад
Ubarkiwe Sana mtumishi wa mungu
@ericsamuel2217
@ericsamuel2217 9 месяцев назад
amenena
@lucywilson5875
@lucywilson5875 9 месяцев назад
Mchungaji lets meet in heaven!
@npslady7429
@npslady7429 9 месяцев назад
Hiiii nzurii
@leonardmakwela5551
@leonardmakwela5551 9 месяцев назад
Dhambi isipakwe rangi ! Dhambi , dhambi tuu! Hamna kitu pale ! Haw ni wa ule upande wa pili wasitudanganye😢
@valerianmtowe7822
@valerianmtowe7822 9 месяцев назад
Tz oyeeeee
@chrispinboniface3329
@chrispinboniface3329 9 месяцев назад
Wale huenda hata ni mashoga ukifuatilia kwa umakin sana
@adkajisi4536
@adkajisi4536 9 месяцев назад
Kabisaaa
@nwntz
@nwntz 9 месяцев назад
hawatuwezi background..cool
@amanimlengwa9202
@amanimlengwa9202 9 месяцев назад
We Ananja hiyo tai ya kichungaji ni utamaduni wa kitanzania? Je, ulipokea hizo styles za kuvaa suits kutoka Kwa mwenyekiti wa kijiji chako? Injili imetufikia wote ikiambatana na utamaduni wa kigeni. Acha UNAFIKI bwana weeee...
@adkajisi4536
@adkajisi4536 9 месяцев назад
Hatujakatazwa kuiga mazuri, maovu tuna tupa kule
@ambaadamson7109
@ambaadamson7109 9 месяцев назад
Briant pastor
@christianmwabukusi8132
@christianmwabukusi8132 9 месяцев назад
Ni kweli utamaduni unatakiwa uzingatiwe katika Injili! Lengo ni kumpeleka Bwana Yesu akubalike na jamii husika... Wewe mpelekaji ni muhimu ukawasoma hao watu. Paulo anasema nilipoenda kwa watu fulani nikawa kama wao ili niwapate kwa KRISTO
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 9 месяцев назад
Mtu anaweza kuwa kondoo kwa nje lakini ndani ni mbwa mwitu,vile vile mtu anaweza kuwa mbwa mwitu kwa nje lkn ndani ni kondoo wa kweli
@erickmillanei4346
@erickmillanei4346 9 месяцев назад
Hakuna kitu kama Icho Kwa Mungu hakunaga mchanganyiko eti Uwe muhuni mchamungu 😂😂😂
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 9 месяцев назад
Imani pasipo matendo imekufa.
@yasintajoseph7495
@yasintajoseph7495 9 месяцев назад
Yaani ya kuvaa au...yaani na lile joto Kali mlitaka avae suti au..wapo wa aina yake walienda na wakamsikiliza...waambien na wamasai wavae basi nguo za ndani wakienda kanisani au wavae kizungu...
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 8 месяцев назад
Mtumishi mwenye busara na hekima nyingi.Mungu akupe umri mrefu, ili tuendelee kujifunza kutoka busara zako.
@benjaminmiselya2622
@benjaminmiselya2622 8 месяцев назад
Hahaha Mwaposa na keki na maji udongo na mafuta utapeli mtupu🤣🤣🤣😄🤣
@MusaShabani-pq3ic
@MusaShabani-pq3ic 9 месяцев назад
Siyo marekan wanatokea kenya na mikochen
@mfirimassawe9023
@mfirimassawe9023 9 месяцев назад
Laki bibilia inakataza kujichora Sasa huoñi mchuñgaji anatatuu aianashawish waumini kufanya uharamu was kujichora?
@bilikwijavalentino5392
@bilikwijavalentino5392 9 месяцев назад
Daaaaaukweli kabsa
@buruanisaidi2411
@buruanisaidi2411 9 месяцев назад
Kwann waite KITIMOTO wasiite NGURUWE!?
@stevenmanase8162
@stevenmanase8162 9 месяцев назад
Jamani ss wakristo tumekuwa kama hujielewi
@sarahjoshua7559
@sarahjoshua7559 8 месяцев назад
Da tunajifunza vitu vingi sanaaa
@RamadanPaul
@RamadanPaul 9 месяцев назад
Wakristo yanawasumbua macho ya rohoni 😅. Mchungaji ukimuuliza mbona umevaa pensi, anakuambia Mungu anaangalia macho ya rohoni 😅..... Mambo ya Walawi 8:13 [13]Kisha Musa akawaleta wana wa Haruni, na kuwavika kanzu, na kuwafunga mishipi, na kuwavika vilemba; kama BWANA alivyomwagiza Musa, Maana hayo ndo mavazi matakatifu.
@BongoPlus
@BongoPlus 9 месяцев назад
Acha Uongoo MAMBO YA WALAWI 8:13 HAISEMI HIVYO CHEKI VIZURI UMEKALILISHWA VIBAYA .....PILI MUSA ALIKUWA ANAWAPA MAAGIZO WAYAHUDI/ISRAEL WALIKUWA WANATOKA UTUMWANI MISRI/EGYPT, (KWENYE AGANO LA KALE NA ILIKUWA TORATI/SHERIA LAW ) NA MUSA NDO ALIKUWA ANAWAONGOZA, NI MAAGZIO YA WANA ISRAEL SIO YA WATU WOTE NA YESU ALIPOKUJA MENGINE YALIBADILIKA HAYA WEWE UNAYE AMINI MAJINI WEMA NA WABAYA SIO USHIRIKINA HUOO
@the_raven_prophet5975
@the_raven_prophet5975 9 месяцев назад
You need to understand their is big difference between jewish and us and we are not in the same covenant. Moses wrote 613 law of man and animals but all law, was written because God need to set jewish apart,away from all egyptian tradition. Take time to read deu 20, and you will see the work of law is to curse, and not otherwise. Any to say that man of God done wrong because you use law to judge them, Try to judge them by grace and i think you will get another answer
@adkajisi4536
@adkajisi4536 9 месяцев назад
@@the_raven_prophet5975 ameandika kiswahili unajibu kiingereza, Vipi kutuonesha unajua sanaa au Vipi
@RamadanPaul
@RamadanPaul 9 месяцев назад
@@BongoPlus ... Kama Mungu alimwambia Musa awavike kanzu na kilemba kwa maana hayo ni mavazi matakatifu.!! Kwa nn nyie hamfanyi hivyo?. Kuna andiko lolote YESU kabadilisha mavazi akawaambia muwe mnavaa suruali na mashati ❓. Kuvaa suruali na mashati ni sawa, ila bas jitahidini kuweka yale mavaz yaliyosifiwa na Mungu angalau yawe ni mavaz rasimi ya ibaada...🙏🙏
@RamadanPaul
@RamadanPaul 9 месяцев назад
@@the_raven_prophet5975 ... Is there any verse in tha bible, describe about other dressing codes, apart from, musa mentioned ❓ And how about Jesus dressing codes ❓. Was Jesus dressing trousers 👖 with t-shirt 👕?. Why don't you, Live and follow ur leader prophets, including Jesus Christ ❓, dressing codes, Acts, worshiping (putting down your face sujudu)...... 🙏🙏🙏 Thank you I love you, as my fellow African ...
@SalimuHeri
@SalimuHeri 9 месяцев назад
Uyujama kuna kutu kimoja tu akifata ingili ya yesu twanyakua asipomtaja paulo kafata yesu niwakwetu
Далее
гендер пати🩷🩵
00:21
Просмотров 113 тыс.
MCH. HANANJI | "DIAMOND, SHOLO MWAMBA NI WATOTO WETU"
37:38