Тёмный

MCH. HANANJA: HATAMIMI NINA TAMAA KUNA WANAWAKE KAMA KAMA WAMESHUSHWA I KUNA VIUNGO HAVIOKOKI N.. 

Tiki Tv
Подписаться 422 тыс.
Просмотров 232 тыс.
50% 1

MCH. HANANJA: HATAMIMI NINA TAMAA KUNA WANAWAKE KAMA KAMA WAMESHUSHWA I KUNA VIUNGO HAVIOKOKI N..
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#MCHUNGAJIHANANJA #RICHARDHANANJA #TIKITVKIAKILIZAIDI

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 210   
@gracedonald385
@gracedonald385 2 года назад
Namwelewa sana,aliniokoa kwa mwanaume tapeli ,asante baba
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 года назад
Daaaaahhhh aisee Allah azidi kukupa Afya njema na maisha marefu 🤲🙏🏼
@martinntulo9190
@martinntulo9190 2 года назад
Wanachnjana ka nyau mmmh
@queenmunuo5269
@queenmunuo5269 2 года назад
Mchungaji Mungu akutunze. Nimekupenda bure. Somo zuri sana
@webijacktan6668
@webijacktan6668 2 года назад
Ubarikiwe mzee wetu kwa kujitolea kutupa maarifa wengi tunakuelewa sana:
@johnnehemia8320
@johnnehemia8320 2 года назад
Mchungaji nimekuelewa na maneno Yako Matamu na yakujenga mungu akubariki Sana
@JumanneElias-g8d
@JumanneElias-g8d Месяц назад
Safi sana Mchungaji Hananja,nimepata somo zuri sana leo
@salmaomar8011
@salmaomar8011 Год назад
Shukrani wa somo Mungu akupe umri mrefu
@patrickmkunda3666
@patrickmkunda3666 2 года назад
Hiki ni kipawa kilichotukuka na Kila mwanadamu anacho Cha kwake tunashindwa tu namma ya kuvitumia.Mungu andelee kukupa nguvu mtumishi ongera Sana pia Kwa kielimisha jamii.
@faizahwere5323
@faizahwere5323 2 года назад
From Kenya ameni mtumishi wa mungu 🙏
@amiriathumani6758
@amiriathumani6758 Год назад
Mzee unajuwa sana mwenyezi Mungu akurinde sana
@jameskennedy5794
@jameskennedy5794 2 года назад
uko vizuri sana mchungaji ! sichoki kukusikiliza kunavitu najifunza
@aminabasso3371
@aminabasso3371 2 года назад
Ila mtangazaji uko vizuri, huingilii mazungumzo,, kipindi kiko powa
@MichaelMsambwa-q9d
@MichaelMsambwa-q9d 7 месяцев назад
Ansante baba kwa mafunzo yako mengi nilikua sijui ubalikiwe❤
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 2 года назад
Love U Big mtumishi Hananja. Ur more than mchungaji maneno yako ya kweli na yenye busara.Long Live Hananja.
@janeshayo1667
@janeshayo1667 2 года назад
Huyu akiwa mchungaji wako kila siku unatakan uende kanisani ni furaha tu
@JuliusKale-b9m
@JuliusKale-b9m 8 месяцев назад
Uko sawa jane
@MarwaNyamhanga-xz1lv
@MarwaNyamhanga-xz1lv Месяц назад
Watu waliopewa kipawa na mungu ni kama huyu. Ukitaka kujifunza neno fatilia mafundisho ya huyu mchungaji.
@princessmgaya1826
@princessmgaya1826 2 года назад
hapo kwenye kununa ni kweli ndiyo maana hata mimi nmeachana namtu wangu, naomba kama una kijana mkubwa anioe tu.
@samtajiri693
@samtajiri693 2 года назад
Nipo hapa na mimi sijaoa
@machoguhameri7757
@machoguhameri7757 2 года назад
Mchungaji tunaomba vitabu na DVD zako ili tujifunze zaidi na kuwafundisha vijana wetu
@perfectgodifrey3831
@perfectgodifrey3831 2 года назад
njoo nikuoe
@lucyngowi1299
@lucyngowi1299 Год назад
Haaaaaaaa
@VincentKanubi-oi8hx
@VincentKanubi-oi8hx Год назад
Biblia ndio msingi.baba asante
@SalmaHassan-l1d
@SalmaHassan-l1d Год назад
Mchungaji Hananjaa nakukubali sanaaaaa napendaaaa mahubiriii yakooooo
@abdallahrashid169
@abdallahrashid169 2 года назад
Asante kwa kusifia waislam nikweli tunahofu ya mungu Zanzibar hakuna mambo ya ajabu kabisa ndo mana tunaamani sana na huwezi sikia mauaji kama sehemu zingine
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 2 года назад
Hili ht mimi naamini hilo kiukweli sjawahi sikia kweli huko kuna hofu ya mungu bnfs napapenda zanzibar
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 года назад
Haswaaaaaaaaa
@sabinaonline6575
@sabinaonline6575 2 года назад
Yule wa tajili wa Mwanz Saidi vepe jamani mbona aliua
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Hajasifia Uislam amesisitiza imani. Kama Wazanzibar wangekuwa na Uislam ndani ya mioyo yao Sheria za Kiislam zingesimama automatic. Hakuna mauwaji lakini kwa kubakana hatari!
@funnycomedyvines1467
@funnycomedyvines1467 2 года назад
Sema baba sema kweli kuna vifaa kama vimeshushwa.
@isackmachiyanshoka6754
@isackmachiyanshoka6754 Год назад
❤ Huyu Mzee anakipaji kikubwa sana , anamaarifa mengi mno. Ubarikiwe sana mtumishi Wa MUNGU.
@theresiamwandara7990
@theresiamwandara7990 2 года назад
Yani mchungaji kila anaekusikiliza anajifunza kitu, kwanza huchoshi.Mi naona upewe kipindi redioni tuwe tunakusikiliza mara kwa mara.
@sadanahimana7193
@sadanahimana7193 2 года назад
Ni Kweli ukiwa na mtu wakutumia vinywaji vya kulevya huwezi kufika kwa mapato kabisa utaishia pabaya .
@davidwaziri8176
@davidwaziri8176 2 года назад
Hapo kwenye uchumba kuichukua miaka mingi Lina nihusu kabisa hilo 🤔
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 2 года назад
🤣🤣🤣🤣 kuna mafunzo makubwa, japo kuna sehemu ni kicheko. Mwenyezi Mungu akuweke insha Allah.
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 года назад
Mimi nikimusikiliza uyu baba hâta nasilika n'a jikuta nacheka sana ana utani wa cheko🤣🤣
@zawadielyona8439
@zawadielyona8439 2 года назад
Mungu akubariki Mchungaji kwa mafundisho mazuri
@princessmgaya1826
@princessmgaya1826 2 года назад
hahaha sema baba maana ukweli mwingi wachungaji wengine hawasemi mimi mimi hadi najikuta nakupenda bure, naomba uwe baba mkwe wangu basi.
@sabinakilian3176
@sabinakilian3176 2 года назад
Make kwanza ncheke😂😂
@samtajiri693
@samtajiri693 2 года назад
Mimi mwanae hapa nishakupenda
@stellah3844
@stellah3844 2 года назад
Hahaha kwakweli alafu unampelekea wajukuu zake yaan kila weekend tunataka kwenda kwa babu🤣🤣
@LilianMbangwa
@LilianMbangwa Месяц назад
Hahahaahha nimecheka​@@stellah3844
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 2 года назад
Amina mtumishi umenena!!! 🙏🙏🙏
@asiyharoon9471
@asiyharoon9471 2 года назад
Mmh kwakweli nimecheka lkn nimejifunza kitu hasa kuhusu mahusiano nimejitambua ss Asante sn tiki tv
@AtanasiaChuwa
@AtanasiaChuwa 2 месяца назад
Mm ukweli mtupu kila kona sipati usingizi
@akinyisusan8049
@akinyisusan8049 2 года назад
Leta mchungaji huyu tena na tena manake nimecheka sana 😃🙏🔥😍
@rosemalle3600
@rosemalle3600 2 года назад
Anayosema huyu Mchungaji niyakweli,yaani hafichi Niya kweli
@eliethkwesigabo1990
@eliethkwesigabo1990 Год назад
Asante tunajifunza
@stellah3844
@stellah3844 2 года назад
Wakwanza leo Huyu mchungaji Noumaaaaa💕🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sabinakilian3176
@sabinakilian3176 2 года назад
Umeona eeh🤣🤣🤣
@janeshayo1667
@janeshayo1667 2 года назад
Uko chapu Stella khaaa🙌🙌🙌
@princessmgaya1826
@princessmgaya1826 2 года назад
Hongera zako kweli upo vizuri naomba Tiki Tv wakupe Zawadi maana mara nyingi kweli unakuwa wa kwanza.
@stellah3844
@stellah3844 2 года назад
@@princessmgaya1826 Hahaha inabid tuongee na Kelvn kwakweli
@stellah3844
@stellah3844 2 года назад
@@sabinakilian3176 💕
@rittaaziz4470
@rittaaziz4470 Год назад
BIG UP PST HANANJA ... PST RIIICH
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 2 года назад
Mzee huwa nakukubali sana akilinyingi uwelewa fulu hongera kevn shayo
@sacg9783
@sacg9783 2 года назад
MUNGU akuweke baba mchungaji mafundisho yako yanajenga
@glorymsopa4221
@glorymsopa4221 2 года назад
Mchunga huyu namwelew sana binfsi najifunza vitu vingi
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
Maneno mazuri sana mchungaji
@jonasisdory7833
@jonasisdory7833 2 года назад
Hongera Sana Mchungaji wangu
@anandemungure2500
@anandemungure2500 2 года назад
Hapana chezea usingizi. Asante Mchungaji 🙏
@copchurch2474
@copchurch2474 2 года назад
Amina mafunzo kabambe
@zabrongermanus-co1jj
@zabrongermanus-co1jj Год назад
Sahihi
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
Nampenda sana mchungaji
@Kulindwa
@Kulindwa 2 года назад
No one is without desire and live, for desire is life! China, Japan, hawauani kama kwenye wachamungu...uhalisia hauongopi
@esterjeremiah4700
@esterjeremiah4700 2 года назад
Unavineno kama umekunywa supu ya ulimi wa mbuzi,nimecheka kwa nguvu mpaka nimepaliwa😂😂😂😂
@michaelmnkai8491
@michaelmnkai8491 2 года назад
Sura ya kusoma
@daviddaniel6194
@daviddaniel6194 Год назад
100% 100% wankoshaaaaaaaaa weyeeeeeee ananja
@dianmushi3040
@dianmushi3040 2 года назад
Amina🙏🙏
@jacobsichone5942
@jacobsichone5942 2 года назад
Dr SICHONE MBOZI MTUMISHI amani amani Mm nakukubali SANA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU
@saidimnyani3330
@saidimnyani3330 2 года назад
Huyu mzee ni kiboko kwa kweli
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Год назад
Tuta mukumbukaka siku moja ata à haka histwar
@sabinakilian3176
@sabinakilian3176 2 года назад
Hapo kwenye unakula mate ya mtu kama juice ya bakhesa me hoi 😂😂😂
@gluxas9566
@gluxas9566 2 года назад
😂😂😂😂😂
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Год назад
😂😂😂
@kelvinbusiness2049
@kelvinbusiness2049 Год назад
@@gluxas9566 /
@kelvinbusiness2049
@kelvinbusiness2049 Год назад
@@aishaamwalimu2887 f-
@kelvinbusiness2049
@kelvinbusiness2049 Год назад
A
@gervasexavery2977
@gervasexavery2977 2 года назад
Mtumishi wa MUNGU unafundisha vizuri ila maneno ya mizaha nimengi, mbele za MUNGU sio nzuri zaburi1:1-2
@beatricemaganga7282
@beatricemaganga7282 2 года назад
Luka 6:41-45 BHN Kwa nini wakiona kibanzi jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, ‘Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako,’ na huku huioni boriti iliyomo katika jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe! Toa kwanza boriti iliyomko jichoni mwako, na hapo ndipo utaona sawasawa kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako. “Mti mzuri hauzai matunda mabaya, wala mti mbaya hauzai matunda mazuri. Watu huutambua mti kutokana na matunda yake.
@evelinemlay5572
@evelinemlay5572 2 года назад
Zaburi 1;2 inazungumzia juu ya mabaraza ya mizaa naamini mizaha ni ile yenye kukejeli wenigine na siyo kuchekesha na kufurahisha!
@salomemtwale5370
@salomemtwale5370 Год назад
Anongea maisha halisi,sema Huwa anapresent kwa utani wa kuchekesha, uzuri utani wake unachekesha na kufundisha, na Hilo la superglue,mate kama juice ni uhalisia wa maisha wa sasa,sio masiala
@hejopantumsifusimon21
@hejopantumsifusimon21 2 года назад
majuto nikakaako mnafanana kweli mnachekesh
@esterjeremiah4700
@esterjeremiah4700 2 года назад
Wanaweza wakawa na undugu hawa maana daaah😂😂🤣
@godlistengodlisten7552
@godlistengodlisten7552 2 года назад
MZEE WA MADINI MUNGU AKUTUNZE BABA UENDELEE KUTUPA FURAHA YA NENO LA MUNGU,,NA MAARIFA.🙏🙏🙏
@erastobraiton9458
@erastobraiton9458 2 года назад
Saf sana mtumishi
@khadijakinyala9407
@khadijakinyala9407 2 года назад
Hata sichoki kusikiliza huy baba jamn 😂😂😍😍😍😍
@samantony6693
@samantony6693 2 года назад
oyoooo hv mnsikia hekima za Mungu???
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 Год назад
Huyu dingi anaakili sana sema hii nchi sio unajua nini bali nani anakujua.
@athumankhalfan7836
@athumankhalfan7836 2 года назад
Eti over time wanasura za babu zao dah 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@emanuelmbaga6848
@emanuelmbaga6848 2 года назад
Kumbe kunawanawake wanaenda kanisani kutega wachungaji safi sana ulivyofanya
@kadulathumani7517
@kadulathumani7517 2 года назад
Mafunzo makubwa kupitia joa ya Comedy na ukweli na Mafunzo ya Dini. Amri ya Dini zote hazitaki maasi. Zinafundisha kumjuwa Mmungu na kufuata miongozo ya mambo mema. Mmungu akubarik Kaka na mtangazaji pia
@andrewemmanuel1861
@andrewemmanuel1861 2 года назад
Nakupendaa Sana'a Mch .hananja
@glove2310
@glove2310 Год назад
Nakukubali sana
@otavinamsigala7532
@otavinamsigala7532 Год назад
Nakuelewa sana
@manenoshunu2556
@manenoshunu2556 2 года назад
huyu mzee ni noma
@peteroctavian2972
@peteroctavian2972 Год назад
Nakuerewa sana Hananjaaa
@mbotwambotwa2186
@mbotwambotwa2186 2 года назад
Hata sichoki kusikiliza point nyinginyingi tu
@sabinakilian3176
@sabinakilian3176 2 года назад
Daaah ila yote asemayo kweli kabisa Yani nakupenda baba fungus kanisa ntakuja😂😂
@janeshayo1667
@janeshayo1667 2 года назад
Hata me lazima niende weeh🙌😂
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 года назад
Mashaallah
@mikidadirashid
@mikidadirashid Год назад
Abari yaleo sharifa
@happykajeli5453
@happykajeli5453 2 года назад
Ubarikiwe mtumishi maneno kuntu tu nacheka kidogo na kujifunza
@nwntz
@nwntz Год назад
for my wife
@neemachalamila590
@neemachalamila590 2 года назад
Hahaha nimekumbuka mbali Sana ,Mimi ni mama wa watoto wawili, hata nami nilianguka mikono mibaya Sana kwenye ndoa ! Ni mume lakini hakuwahi hata kutamani kufahamu familia yangu, nimeumwa Sana hospital doctor anamuuliza mume huyu mkeo anaitwa Neema Nani ? Hakuwa akijua Jina la baba yangu 🤣🤣 Dunia Ina Mambo
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 2 года назад
Umenifurahisha sana, polee, wanaume Hawa ni shida ingawa sio wote, wema wapo
@renisterhyera2552
@renisterhyera2552 Год назад
Pole sana dadaangu najua Mungu hajakuacha
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Sasa umeolewa je, kwenye Uislam Mzee wako (Walii) ndio anaehusika na kuozesha.
@amonmgonja5758
@amonmgonja5758 Год назад
Hiki kichwa cha Mtumishi ni kizima sn barikiwa
@mwijagenelsoni357
@mwijagenelsoni357 2 года назад
Thax Jesus I prayed for wife you give me a family
@rabiawaziri2525
@rabiawaziri2525 Год назад
😄😄😄😄♥️👍🙏
@simenyasikhulu
@simenyasikhulu 2 года назад
Maneno ya busara anayatoa mdomoni bila kikomo. Mchungaji Mngu akubariki.
@nasiraidid5861
@nasiraidid5861 2 года назад
Baby, sugar, blanketi lol!!! 😂😂😂😂😂😂 Kaazi kweli kweli
@jolemerci2155
@jolemerci2155 2 года назад
Mutangazaji naupendaga mimi unyenyekevu uno tena wewe unajuwa kazi vizuri unapohoji neno hauropoki mutangazaji ume tulia asate
@sephatiamwakipesile2849
@sephatiamwakipesile2849 2 года назад
Mchungaji mungu akubariki kwa mafunzo yako umetisha
@felixmartin5051
@felixmartin5051 2 месяца назад
Huyu mchungaj ananishawish kwenda kanisani kwake Kila jpili
@esterjeremiah4700
@esterjeremiah4700 2 года назад
Kelvin sio kwa kucheka huko 😂😂😂😂
@frankjohn8706
@frankjohn8706 2 года назад
Nimeona comment za watu wanafurahia Sana maneno ni matamu hata hawachoki kusikiliza lkn je angesema inakupasa uokoke ,nani angependa kusikiliza kama hajaokoka, Tena sio wokovu wa bandia Bali ule wa kweli unaoanzia msingi wa Marko 16:15-17. Wa kubatizwa baada ya kuiamini injili sio kubatizwa ukiwa mtoto Wala kunyunyiziwa maji ya uso kabla hujahubiriwa Wala kuamini. na hali wanaokufanyia wanajua kabisa Neno halitakiwi kuongezewa Wala kupunguzwa
@sianroses5787
@sianroses5787 2 года назад
You can do all this but without God all is vanity
@ohadilameckmdunya5309
@ohadilameckmdunya5309 Год назад
Usipende kuongeza topic ambayo kipindi chale hakijafika,shamba hulimwa Kwa hatua,mbegu lazima zichambuliwe ndipo hupandwa
@reginomgaya1008
@reginomgaya1008 Год назад
Mtoto anatakiwa kulelewa, na kubatizwa kwa maji mengi au kunyunyiziwa. Haina maana ni mtu bora. Maadili mema yanatokana na malezi Bora apatayo mtoto ikiongozwa na neema ya Mungu.
@venancenkoronko9250
@venancenkoronko9250 Год назад
Kwamba Kuna wokovu bandia🤣
@frankjohn8706
@frankjohn8706 Год назад
MTU ALIEJAA ROHO MTAKATIFU NDIYE ANAUFAHAMU WA KI MUNGU KUJUA ANAEWEZA KUHUBIRIWA NI KILA KIUMBE LKN ANAEAMINI NI YULE ALIEIPOKEA NEEMA NAE BAADA YA HAPO HUITWA MWANA WA MUNGU. TENA KIUMBE KIPYA. SO WOKOVU UNAKUJA KWA KUIKUBALI INJILI SIO KUIREKEBISHA UTAKAVYO HATA UBATIZE VITOTO VILIVYO NJE YA KUAMINI
@delinevamwakapasa6948
@delinevamwakapasa6948 3 месяца назад
Ndiy baba
@zawadithomas1008
@zawadithomas1008 Год назад
haha aisee Bible imeshibisha ubongo wa huyu mchungaji vizur sana
@isaacvtv547
@isaacvtv547 Год назад
Hii ni semina ya nguvu
@BethanySamwel-l4m
@BethanySamwel-l4m 8 месяцев назад
❤❤❤
@shaphiasabani5760
@shaphiasabani5760 Год назад
Daah numecheka sana naisi kama nimeongeza sku ya kuishi naisi
@neemayusuph5323
@neemayusuph5323 2 года назад
Jamani mchungaji huyu anaongea maneno halisia na ndiyo yanayotuhangaisha wengi
@hamisimwarandungu4517
@hamisimwarandungu4517 2 года назад
Mashallah tabaraka Allah,mungu yupo na sababu kubwa kueka viumbe vyenye uwezo wa ki cycology kwajili ya helimu ilio baraka Za mungu mwenyewe mimi sina zawadi yakumpa huyu mjomba ila nimempa zawadi ya ukweli alio usomesha kwa wale vijana tulio anza safari ya ndany ya ndoa ivyo basi tujifunze kupitia maneno ya watu wazima wenye busara na helimu za ishima kama izi basi tusome mungu atueke sote kwenye ilimu yenye imenyoka kama iyo....🤲🤲
@adelinaomani9012
@adelinaomani9012 2 года назад
Najikutq nacheka hata robo sijafika kimo tukosawa hatataulo tunajifunika
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 2 года назад
Mchungaji 🤣🤣🤣Uchumba miaka mitano kama unasomea udaktari
@liliankemuma9475
@liliankemuma9475 2 года назад
Kelvin leo mchungaji amekuchekesha kweli 😂😂😂
@tanunewstz
@tanunewstz 2 года назад
Cheers
@salisali3738
@salisali3738 2 года назад
Eti kwani miaka yote ana kula wapi?? 😂😂😂
@davidmduma7878
@davidmduma7878 2 года назад
Mtumishi nimeipenda sana nitaendelea kukufuata popote nipe namba yako Mtumishi wa Mungu
@Hananja.r
@Hananja.r 2 года назад
Amen
@masterkey536
@masterkey536 2 года назад
Saafiiiiiiiii
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 2 года назад
Hata mitumba ni za leo leo yoooh🤣🤣🤣
@martinsimon7689
@martinsimon7689 Год назад
Mch mstaafu tukumbushane mambo mema,tusikumbushane mambo mabaya tuliyoyatenda zamani ni machukizo mbele za Mungu
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 года назад
Mchungaji ananichekesha kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@lucyngowi1299
@lucyngowi1299 Год назад
Haaaaaaaa huyu mchungaji ananifurahisha eti unakula mate Kama juice ya bakresa
@angelavayinga914
@angelavayinga914 Год назад
Huwa sichoki kumuangalia huyu baba,natamani ex wake naye asikilize maana upendo mmmmmh shida za dunia.
@emanuelmbaga6848
@emanuelmbaga6848 2 года назад
Eti hata kama anamguu mwembamba utaona kama anamguu la tembo kitandani ndo utaona mwembamba 😂😂😂
@marthakisanga5963
@marthakisanga5963 2 года назад
😂😂😂
@marthakisanga5963
@marthakisanga5963 2 года назад
Ni kweli huyu mchungaji ni wa peke yake cjaona mch anaeongea ukweli kama huyu
@marthakisanga5963
@marthakisanga5963 2 года назад
🙏🙏utoto utumwa ujana madwali uzee..........😂😂😂😂
@wegesaelias5110
@wegesaelias5110 Год назад
Viungo vingine haviokoki🤣🤣🤣🤣🤣
@emanuelmbaga6848
@emanuelmbaga6848 2 года назад
Eti me namke wangu tunajifunika kipande Cha taulo na kinatosha 😂😂😂
@sonicaghendewa9886
@sonicaghendewa9886 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂
@juliethhope7281
@juliethhope7281 2 года назад
😅🤣🤣🤣🙌🏼
@jessicamasepo8320
@jessicamasepo8320 2 года назад
Mchungaji huyu yote anayoyaongea yamenikuta
@lobnalobna2393
@lobnalobna2393 2 года назад
Ameeeeeen
Далее
WANAWAKE SIKU HIZI KAMA GARI LA MKAA / YESU HATUJUI
36:45
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
РЫБКА С ПИВОМ
00:39
Просмотров 626 тыс.
UTOTO UTUMWA, UJANA MASWALI, UZEE MASWALI
46:42
Просмотров 258 тыс.
MCH. HANANJI | "DIAMOND, SHOLO MWAMBA NI WATOTO WETU"
37:38