Тёмный

MCHUNGAJI HANANJA AMPA ONYO MASANJA KUISHI NA MWANAMKE MSALITI 

SIMULIZI ZONE
Подписаться 212 тыс.
Просмотров 108 тыс.
50% 1

HUYU HAPA MCHUNGAJI RICHARD HANANJA AKIZUNGUMZIA KUHUSU KUOA NDOA ZA MITALA KWA WAKRISTO BA WASIO WAKRISTO

Опубликовано:

 

5 окт 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 96   
@mariamukijuu2893
@mariamukijuu2893 Год назад
oya mwenye ndevu agonge like hapa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@leahpeter6556
@leahpeter6556 Год назад
Thank you so much Pastor!! this is sooooo true, no man can leave a woman( wife) to another and still the other woman who is taken by this man thinks she is loved more than the first woman!!never!!
@berthabahati7329
@berthabahati7329 Год назад
Duu umeongea poeti bb mungu akubarik sn na akujalie uishi maisha maref
@paskalmaganga9225
@paskalmaganga9225 Год назад
Dah kweli we unasema kweli kabisa Mwenyezi Mungu akuongoze uzidi kusema kweli🙏🏻
@aldeamasuki6196
@aldeamasuki6196 Год назад
Mchungaji umenikosha ndo ndoa za huku loliondo Mungu akutunze endelea kutupa dozi nakukubali kweli
@irambonaeddy5453
@irambonaeddy5453 Год назад
Hawa wachungaji ndiyo wanaleta shida,kwakuwafariji makahaba nawazinzi.unasema kweli Baba
@eliwajajacob8569
@eliwajajacob8569 Год назад
Good
@huldakirururu8950
@huldakirururu8950 Год назад
Barikiwa mchungaji ,umesema ukweli wachungaji njaaa wamevunja ndoa nyingi sana.
@aminakanze7352
@aminakanze7352 Год назад
0
@IsakaJeremia
@IsakaJeremia 3 месяца назад
Amen amen mchungaji sichoki kukoment
@leticiamapunda3324
@leticiamapunda3324 Год назад
Mchungaji neno limenibariki ubarikiwe
@jumakataka81
@jumakataka81 Год назад
Niko Kenya nakuhuga mokono amina ❤
@suzanalucasemanuel7006
@suzanalucasemanuel7006 Год назад
Amen 🙏🙏 baba mungu akubariki
@subirasimbeye8531
@subirasimbeye8531 Год назад
Kwa kweli umenena mchungaji
@IsakaJeremia
@IsakaJeremia 3 месяца назад
Amina
@Chris-in1vc
@Chris-in1vc 6 месяцев назад
Daaa ubarikiwe sana mchungaj
@neemanicodemo4269
@neemanicodemo4269 Год назад
That is the point pastor, God bless you!!! Ameen
@joycesanga6951
@joycesanga6951 Год назад
Kweli Baba unaongea point tupu
@solomonmpuluma6616
@solomonmpuluma6616 Год назад
Wewe pastor ni nomaaaa
@priscawilliam1983
@priscawilliam1983 Год назад
Mch. Naguswa nauushauri wako Sana Ndoa yangu imengiliawa na Ndugu Mumewangu hanielewi
@judithgodfrey6503
@judithgodfrey6503 Год назад
Safiiii Mchungaji. Barikiwa
@stellakatega4910
@stellakatega4910 Год назад
Mungu akutumze unawapa ukweli yameshatukuta okoa kizazi kijacho baba
@rehemafungo7387
@rehemafungo7387 Год назад
Kabisa yametukuta
@lusajomwakalinga5813
@lusajomwakalinga5813 Год назад
Good Sana Elimu kubwa.
@mpandawiliam5390
@mpandawiliam5390 Год назад
Barikiwa sana mch:.
@hatibuexauty4024
@hatibuexauty4024 Год назад
Ubarikiwe Xana mtumishi..
@Tito-dc6vy
@Tito-dc6vy 6 месяцев назад
Eti.mwenye.ndevu.hahahahaha.barikiwa.sana.postor
@IsakaJeremia
@IsakaJeremia 3 месяца назад
Ameeen
@joykachwele2638
@joykachwele2638 Год назад
kichwa mbuzi....kwingine nyau anhanhaaaaa
@oiiii3898
@oiiii3898 Год назад
Amen
@BenderaRulenge-er7wx
@BenderaRulenge-er7wx 8 месяцев назад
Mimi baba yangu alikuwa na wanawake 2 amefariki akiwa na umri wa miaka 108, lakini nimezaliwa mpaka nimeoa mwanamke sijawahi kuona ugomvi wanagombana na sikujua kama kuoa wanawake wengi ni kosa.
@bakarymgunda1419
@bakarymgunda1419 Год назад
Namuelewa Sana huyu mchungaji
@IsakaJeremia
@IsakaJeremia 3 месяца назад
😂😂😂pesa izi
@janethjeremiah2547
@janethjeremiah2547 Год назад
Et kama marejesho😂😂😂
@michaelbennady223
@michaelbennady223 Год назад
Nimekuelewa mchungan
@hagaingabo3435
@hagaingabo3435 Год назад
Hahaha kweli pasta
@sampeopletz1255
@sampeopletz1255 Год назад
Kwahyo hata mchungaji nae pia kaolewa kwa kupenda hela tamaa 🤣🤣🤣🤣
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Год назад
@ Sam People 😆😆😆
@annangosso6680
@annangosso6680 Год назад
Wazinzi watupu😂
@fridasolomon6512
@fridasolomon6512 Год назад
Hahahaha mitamba 🤣🤣🤣
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Год назад
Mchungaji hananja naomba Namba yako ya simu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Km unavyoona kuna wanaooa mmoja na wakakosa upendo kwa wtto wao ujue nakuna wenye wake mpaka 4 wanaupendo na wtto wao.
@itsyourboy1407
@itsyourboy1407 Год назад
Malaki 2;16
@ismailmsisa6362
@ismailmsisa6362 Год назад
Kwani mwanaume ana period? Mimi nnavyojua mwanaume ni mmiliki nandio mwenye maamuzi nandio anaechagua kuoa idadi ya wanawake awatakao
@lutufyodixon9997
@lutufyodixon9997 Год назад
Biblia haijawahi kusema tuwe na mke mmoja tu Haijawahi kukataza
@rayaali7551
@rayaali7551 Год назад
WACHUNGAJI KUKATAZA WENZENU WASIOWE WAKE IDADI ILIYO AMBRISHWA NA MWENYEEZI MUNGU. ILA NYIE MUNAFUGA WANAWAKE WANJE NA NYUMBA KUWAPANGIA NA WATOTO WANJE KIBAOO. UKAR NA MKE MMOJA KWANI MAMAYAKO ? KWAHIVYO. MUNAONA BORA UZINZI ? HIYO NI AMBRI YA MWENYEEZI MUNGU NA KILA KILICHO AMBRISHWA NA ALLAAH. UJUWE KINA MAANA YAKE NA THAMANI YAKE. KWAHILO MCHUNGAJI KWA LEOO SI JA KU SUPPORT
@tinnahagustinolyelu4247
@tinnahagustinolyelu4247 5 месяцев назад
Soma biblia bwana mke mmoja mpaka Kofi lakini unaweza kumuqcha mkeo kama muasherati lakini mwanaume akiishi na mwanamke mwingine anazini bure na mwanamke hivo hivo
@soudia9084
@soudia9084 Год назад
Kwanini hamzungumzi na wakatoliki nao wakaoa pia.
@solomonmpuluma6616
@solomonmpuluma6616 Год назад
Mbuzi na nyau 😀😁😂
@geraldtarimo3210
@geraldtarimo3210 Год назад
Parachichiiiiiiiiiiiii
@hildamhina5305
@hildamhina5305 Год назад
Hahahaha wambie hao
@simongwandu7392
@simongwandu7392 Год назад
Kufahamiana kwa njia gani
@uriogilbert
@uriogilbert Год назад
U 6 06
@johnwoshi3459
@johnwoshi3459 9 месяцев назад
Sio kweli wapi biblia imesema make moja
@emmysam1510
@emmysam1510 Год назад
Kuna mzazi na mzalishaji
@uriogilbert
@uriogilbert Год назад
U 7 06
@aldeamasuki6196
@aldeamasuki6196 Год назад
Ndoa za bandika bandua
@vesitinarevocatus7333
@vesitinarevocatus7333 Год назад
Sijasikia ilo onyo lamasanja😁
@olicej7837
@olicej7837 Год назад
Kichwa cha habariii kingine na maneno mengne 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@francisdavidmwakalinga3202
@francisdavidmwakalinga3202 Год назад
Kichwa cha habari kingine story nyingine kenge nyie
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Unaandikisha mke mmoja ukioa wapili ukapimwe akili lkn unaandikisha mmoja unazini na mia moja.....
@ledynanciajuma6390
@ledynanciajuma6390 Год назад
Kabla ya kumuoa wa pili c utakuwa umemtaman na kuzini afu ndo ndoa wote ni uzinifu baba
@expert5898
@expert5898 Год назад
Yote makosa
@expert5898
@expert5898 Год назад
Hata uoe wanawake 10000 usidhani ndio utatosheka.
@Mariah_1293
@Mariah_1293 Год назад
Wazalishaji 🤣🤣🤣🤣mko wapi
@ericalexandre2166
@ericalexandre2166 Год назад
Unaitaji😀
@wencesmarc6847
@wencesmarc6847 Год назад
Hiyo story ya masanja iko wapi mmekua wajanja au ni ujinga huo Aya mwisho Leo kufatilia story za mabango kama haya
@joyceshile8837
@joyceshile8837 Год назад
YAANI, huyo aliepost na KATIBU WA MASANJA MAREHEMU WOTE NI MOTONIII.
@wencesmarc6847
@wencesmarc6847 Год назад
Hakika maana wametenda dhambi ya uongo kujipatia hela kwetu
@sampeopletz1255
@sampeopletz1255 Год назад
Mitamba hiyo duuh
@Roym97
@Roym97 Год назад
🤣🤣🤣 ni Night kilabu
@siloomar7699
@siloomar7699 Год назад
Mke mmoja hatoshi
@mussajijim574
@mussajijim574 Год назад
Acha usenge ww
@siloomar7699
@siloomar7699 Год назад
@@mussajijim574 Ah sasa msenge ww au mm
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Год назад
Ndio maana mchungaji kasema nenda huko wanakoruhusu hajamumunya maneno!
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 Год назад
Wanatosha wangapi
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Siku unayokufa ndio fainali ya ima mke mmoja anatosha au hakukutosha. Kheri ya muisilam si mnafik unaoa mpaka wanne na wote wanakurithi kuliko wakiristo unaoa mmoja unazini na mia moja na wote ukifa wakizuka wanarithi. Ssa si uchochezi wa zinaa huu?
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 Год назад
Kwa nini maparachichi jamani😆😆
@jacobsifukwe7291
@jacobsifukwe7291 Год назад
🤣🤣🤣uyu yeye
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Год назад
Nakubaliana na wewe mchungaji tatzo waislam wa kiafrica kwenye dini wanaona suala la kuongeza mke Tu ndo dini ili Hali hao waarabu wako na mke mmoja na wanawe
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Na nyie makafiri kuzini mkazaa ovyo ndio mnaona dini???
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Uisilam upo wazi oa mpaka 4 ili usije ukazini ukarithisha wasiostahili. Unakuta kwa mtizamo unakataza kuhangaika hali wanajua wazi w'me wote si swa. Ukiristo unajua km mke mmoja hatoshi lkn unakuozesha mmoja ili uzini na unaowajua ww na wanakuhakikishia ukifa wakija watakurithi. Maana unachochea uzinzi zaidi.
@shukurusyriack3504
@shukurusyriack3504 Год назад
@@alhamdulillah5796 wewe ndio kafiri mpuuzi Nini Kwan Kwan na ninyi mnasali vitu Gani mashetani tuu
@alhamdulillah5796
@alhamdulillah5796 Год назад
Mnawasoma kina Suleimani ni uisilam uo nyie mnasema mila zao. Wkt kila umma Allah aliruhusu wake wa kuoa. Ibrahim alioa 2 na wapo wengi tu walooa zaidi ya mmoja. Ssa mke mmoja mmepata wapi na Yesu hajaoa?
@annangosso6680
@annangosso6680 Год назад
We naye chefu
@meshackmtambulo6580
@meshackmtambulo6580 Год назад
Oa kama suleiman ukipenda sisi hatuko tayali wewe pambana na iman yako
@elishamcosta8034
@elishamcosta8034 Год назад
Kabla ya mohammad hapakuwa na Uislam
@ismailmohamed9440
@ismailmohamed9440 Год назад
We Baki na mke mmoja kama mama yako. Mwanaume mwenye akili timamu lazima uwe na mke zaidi ya mmoja.
@expert5898
@expert5898 Год назад
Mbona mnaandika vichwa vya habari vya uongo? Mnadhani kwa kufanya hivyo mtapata subscribers?
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE Год назад
Tunataka watu wakoment Kama ulivyofanya wewe
@expert5898
@expert5898 Год назад
@@SIMULIZIZONE ili iweje?
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE Год назад
@@expert5898 nitatengeneza video kukuelekeza ili siku ukija kuamua kuwa RU-vidr uelewe
@expert5898
@expert5898 Год назад
@@SIMULIZIZONE sawa
@expert5898
@expert5898 Год назад
@@SIMULIZIZONE kwahiyo ni bora upate comment ya mara moja kuliko kupata subscriber?
Далее
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
CHE CHE ZA MCH HANANJA KWA WACHUNGAJI WANAO GAWA PESA
13:16