Тёмный

CHE CHE ZA MCH HANANJA KWA WACHUNGAJI WANAO GAWA PESA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,5 млн
Просмотров 51 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 123   
@solutionprovider7155
@solutionprovider7155 Год назад
Mzee komando wa mawazo ya Yesu Kristo, ubarikiwe sana
@vero57
@vero57 Год назад
Huyu mchungaji anasema kweli kabisa baba, 👏👏👍
@JaphetPeter-sc3pe
@JaphetPeter-sc3pe Год назад
Mungu akubariki Baba HANANJA
@elihaikamrema1693
@elihaikamrema1693 Год назад
Mungu akubariki Tufundishe ili watu wa Mungu wapone
@mwanatalenttv
@mwanatalenttv Год назад
Sikupingi na nakufaitilia sana Mr mkweli
@muyajuma6278
@muyajuma6278 Год назад
Nakukubali sana mchunguji😂😂
@glorytogod2806
@glorytogod2806 Год назад
Yetu macho, asante mzee hananja
@cafejohn3582
@cafejohn3582 Год назад
Mchungaji unagusa sana moyo ya watu
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 Год назад
Msema ukweli bb Hananja Mungu skuweke
@alimatambwe3402
@alimatambwe3402 Год назад
Huyu mzee wetu yupo makini sana,was good if you can become Muslim,you are confident as Muslim,MashaAllah.
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Год назад
Hicho kichwa kweli kweli, kinajua Uislam ni dini ya Muhammad, wala siyo ya Mungu, vinginevyo angeshasilimu siku nyingi
@sellyraps2057
@sellyraps2057 Год назад
Nyinyi waislamu mnafikiria nyinyi ndio mnajua dini. Nimeishi na waislamu matendo yao hayalingani na vile wanaomba. Kumbuka imani yako na matendo ndiyo inakupeleka dmbinguni sio kanisa.
@zubedarichard2311
@zubedarichard2311 Год назад
@@daudimichael7338 Nyie mm ni muislamu ila sjajua kuwa mm muislam ni dini ya mtume😂🤸🙌
@lusekelokatoto1432
@lusekelokatoto1432 Год назад
Wewe Malaika Israeli!!!!Unaua
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 Год назад
Kama wewe ni muislamu tambua una tiketi ya kuingia kuzimu na upo katika hasara kubwa Quraan 19:71 71. Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia(kuzimu). Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe. 71 Sababu waislamu mmemkataa Yesu. lakini ukiwa Kwa Yesu ni faida kubwa 1 Yohana 5:5 5 Mwenye kuushinda ulimwengu ni nani, isipokuwa ni yeye aaminiye ya kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu? Galatia 3:29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.
@NelsonNorman-hm9vi
@NelsonNorman-hm9vi Год назад
Amani ya Mungu iwe juu yetu
@allymwashambwa5920
@allymwashambwa5920 Год назад
This man is good
@omendavicent7731
@omendavicent7731 Год назад
Pastor you're quite right
@jacklineyaa717
@jacklineyaa717 Год назад
😂😂😂😂kingereza kidogo,infact na off course
@hezekiamtera3559
@hezekiamtera3559 Год назад
Mtume Paulo aliomba washirika wa mwombee ili apewe usemi.Hukumu imeweka tayari kwa wenye mizaha.Mizaha imezidi
@mako331
@mako331 Год назад
Yani kama tungemuulewa huyu Mzee, upuzi mwingi uliopo makanisani ungeisha
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Год назад
Ni kweli anawapa watu maarufu na kuna watu hawana hata kitu hawapewi .Nilichojifunza Geor davie anatoa kwa kujionyesha.Kuna watu nawafahamu wametuma maombi ya kuomba msaada ili walipe madeni na kupata mtaji lakini hajawawapa kitu.Kinachotia uchungu mtu anapigiwa simu kutoka ofisi ya Geordavi anaambiwa njoo uchukue majibu ya maombi yako ya msaada ulioomba,Mtu anakopa nauli anajua anakwenda kupokea fedha anapewa barua imewekwa kwenye bahasha ndani unaambiwa samahani sasa hivi tuko kwenye ujenzi misaada imesitishwa!
@michaelbengesi9838
@michaelbengesi9838 Год назад
Nabii la uwongo hilo
@honorascusmatembe2987
@honorascusmatembe2987 Год назад
Tafuta hela acha kua omba omba munapenda sana vya bure
@kassimrajabu56
@kassimrajabu56 Год назад
@@michaelbengesi9838 hahahahaahhaha😂😂😂
@exsaverymogela6671
@exsaverymogela6671 11 месяцев назад
Tafuta pesa punguza maneno Kila mutu na wito wake
@JANECKYPOINT
@JANECKYPOINT 11 месяцев назад
😂😂😂
@salimakida95
@salimakida95 11 месяцев назад
Tumekuelewa vizuri mchungaji ,lakini manyumbu hayaelewi..unauziwa apple la upako
@RichardStephen-xc7yc
@RichardStephen-xc7yc Год назад
Anawapa matajiri maskini anawakwapua pesa zao.hakuna kitu hapo
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Wale mlikuwa mnamuandama mtangazaji wetu eti habadirishi nguo mko wapi mumpe maua yake amedamshi Sana Sikuhizi 👏👏
@kiulajoseph9194
@kiulajoseph9194 Год назад
Hahhahja😄😄😄 nguo Tena alikuwa habadili Eti eee😄😄😄
@demicratia4071
@demicratia4071 Год назад
Hawapi wanyonge kanisani kwake anawapa Hata wasio na shida anakusanya pesa za waumini anawapa MATAJIRI
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Sio za sadaka zile ni pesa za haramu hawa kutwaa wako marekani huko wanajambo wanafanya wanapewa hizo pesa naamini ni za kufadhili ushoga wanatumiliwa sana hawa akuu Wa makanisa kutwaa wako marekani kutwa wakirudi wanamapesa kwa mapolo
@angeldejoice3202
@angeldejoice3202 Год назад
We u shawahi kupewa?
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
@@angeldejoice3202 za nini miye bora kulala njaa hakuna sadaka umaskini huu kwa kila wiki amiliki mapesa kama vile nani asiyejua kama makanisa yanafadhiliwa na wamarekani na hao viongozi ndo wanaotumika na kulipwa sasa kuweni makini na zawadi wanazozileta makanisani
@simonlomayani5743
@simonlomayani5743 Год назад
Hananja ako sawa kabisa
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Год назад
Msaada uanzie ndani ni kweli kabisa
@Enemyofallah-y4u
@Enemyofallah-y4u Год назад
Amen maubiri ya kweli
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Год назад
Baba GeorDavie anajulikana All ofThe Worl (Dunia nzima yaani)
@mkanotimmass4691
@mkanotimmass4691 Год назад
Blessed mchungaji familia zimefarakana kutikana na hawa wachungaji wanaoibuka kila kukicha ,watoto wametengana na wazazi kisa imani zisizorasmi,baba tunaamini siku moja watu watafunguka akili,na hayo maono yamekua ni mitaji katika kutisha familia za watu na kujinufaisha watu..Tunaomba Mungu aendelee kukulinda ili kuendelea kifungua vichwa watu.
@anjelamdelwa7642
@anjelamdelwa7642 2 месяца назад
Nimekufuatiya san bab wanadam wa leo tunapend san miujiza kuliko kusoma neno la mung tueleweshe bab tupone ukitak kumuona mchungaji utoe pesa je yesu alikuw anaonewa kwa pesa
@aminafideli8132
@aminafideli8132 Год назад
Amina baba yangu mungo akulinde
@joycejackson2320
@joycejackson2320 Год назад
Bible inajieleza wazi every body can read hakuna kificho cha lugha wala nini mpaka bible ya kinyakyusa ipo neno la Mungu halifichwi na Lugha! neno lingefichwa nani angesimama na kuelezea wakati haelewi lugha?? lazima kuwa mpole upokee tu kinachoongelewa kila kitu kizuri lazima kiwe na challenge kwa sababu kiko wazi! kila goti litapigwa nakukiri kuwa YESU ni Bwana💪💪
@ntirampebaloys8949
@ntirampebaloys8949 Год назад
Yani unachekesha mda mwingine baba Mungu akubaliki unaongea ukweli tupu.
@happybayona-mi6bq
@happybayona-mi6bq Год назад
Bora wakuite,mvuta,bangi,ila unaongea kweli
@stellah3844
@stellah3844 Год назад
Huyu mchungaji angepewa kipindi cha radio anafaa sana
@elishaskazoza8268
@elishaskazoza8268 Год назад
Mchungaji nakufatilia sana,ila hi ndo comment yangu ya Kwanza,sio Siri wachungaji wote na hao wanaojiita manabii na mitume wanafaa wajifunze kwako natamani siku moja nikuone mchungaji,ubarikiwe sana
@NelsonNorman-hm9vi
@NelsonNorman-hm9vi Год назад
Ni wachache wataweza kuelewa ila wengi wao watakuona umechanganyikiwa au kama unavyo sema ni bang
@isackmbwambo4179
@isackmbwambo4179 Год назад
Ww ni mtumishi wa Yesu
@aligomatumla2930
@aligomatumla2930 Год назад
USHINDI💪 mshua
@josephsilupya6013
@josephsilupya6013 Год назад
M JAMBO MZEE MTUMISHI NIKUSHAURI TU UWEMAKINI SANA NA HAO WATANGAZAJI NA KUJIHEPUSHA SANA NA MASWALA LA KUWAONGELEYA WATUMISHI WENGINE USIJE KUCHAFUKA BURE
@bashirukajembe4165
@bashirukajembe4165 Год назад
Mm nimuislamu lakuni huyu mzee ufalme wa MUNGU atauwona kulingana naukwli wake ulio toka moyoni baba ww siomiongoni mwawa nafiki kabisa
@milliardere9177
@milliardere9177 Год назад
Siku moja manzige na hananja wakutane
@rogersiddy
@rogersiddy Год назад
Yaan km ulikuwa na mawazoni mwangu huyu anaejiita NABII JOE DAVID anawatafuta watu maarufu ili wakamtangaze si kingine
@donatienkamate1370
@donatienkamate1370 Год назад
Huyu Nabii wenu mkuu anatafuta kiki mitandaoni siya kwa mungu
@mozespatnam7469
@mozespatnam7469 Год назад
Fact
@JamesSteven-vd7vw
@JamesSteven-vd7vw Год назад
nilikuwa simuelewi huyu mchungaji mwanzoni ila mbona kama vile anaongea point joo devi anawapa pesa watu maarufu maarufu tu au mtu kumsifia tu anatoa wakati hapo kanisani kuna watu wamekuja kumtumikia mungu kile hawana pakula mchana duh kweli
@papaamularfins599
@papaamularfins599 Год назад
Unafurahisha saana mzee na hizo of cause zako!🤣🤣🤣🤣
@leonardmakwela3407
@leonardmakwela3407 Год назад
Ukweli utabaki kuwa ukweli tu ! Huyu mchungaji ni wa matengenezo ya kanisa ! ( Reformation)! Sijui walichomfukuzia huyu ndugu kwa kweli
@samsungtz9148
@samsungtz9148 Год назад
Barikiwa
@furahinielisonguomrema4009
@furahinielisonguomrema4009 Год назад
Hao Wana maombi sikuizi ndio wamekuwa wanasalimiana wenyew kwenye kanisa kwao ukikutana nao utasikia bwana yesu asifiwe mama flani wewe unaacha hapo utasikia habari
@yousramutwale2463
@yousramutwale2463 Год назад
Asante baba
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Год назад
Jamani na wewe si ugawe da au una Unionen Ainu nenda kwa Baba Arusha Atakusaidia acheni wivu kwa mtu yeyete sio wanaojulikNa wewe dada acha unafiki
@floramongi1410
@floramongi1410 Год назад
Yaani mchungaji hananja nimecheka mpaka basi
@josephatlaurent-sz9pf
@josephatlaurent-sz9pf Год назад
.mambo mengine si za kawaida pastor Hananja
@saidmatikiti1566
@saidmatikiti1566 Год назад
Amen
@euphrasiantawatawa1510
@euphrasiantawatawa1510 Год назад
We'll said mchungaji Hananja,makanisa mengi sasa hivi yameingiliwa na misingi ya kidunia
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Mchungaji Hananja apewe ulinzi KWA hili
@annehaysanday9214
@annehaysanday9214 Год назад
Wengine wanaambiwa ujenzi unaendelea misaada imesitishwa kesho unasikia mtu kapewa gari,milioni 5,bajaji nk, ndo najifunza anapenda kusifiwa!
@godwingodwin2564
@godwingodwin2564 Год назад
Karibu sana BCIC MBEZI BEACH JOGOO
@theophilwhiteheart1997
@theophilwhiteheart1997 Год назад
Fact baba😇🤗
@merinakassembe4251
@merinakassembe4251 Год назад
Mimi kanigaia millio20.000
@martinjosephat4694
@martinjosephat4694 Год назад
Wewe Gali umepokea. Ila. Kama. Una. Pinga Tena. Watu kama. Ww waspew
@rasnchimbi
@rasnchimbi Год назад
😆😆😆😆😆😂😂😂😂😂😂kamanda msela huyu!!!!
@frankmombo7535
@frankmombo7535 Год назад
Hahaha dah! Mchungaji we kiboko kwel
@JoelMutiembingi-eu1ke
@JoelMutiembingi-eu1ke Год назад
Ukweli usiogope kabisa mwana wa MUNGU sema
@joycejackson2320
@joycejackson2320 Год назад
Halima Tambwe muslim are the once who always looking for Miracles utawakuta kwa mwamposa mara kwa kuhani musa mara kwa Geo dave they are not confident at all!!
@seifchui4246
@seifchui4246 Год назад
Mungu akuweke uzidi kuwaelimisha
@cafejohn3582
@cafejohn3582 Год назад
Jamani huyu mzee kipoko😂😂😂😂😂
@geofreymkwelele3588
@geofreymkwelele3588 Год назад
Bibilia imekaa nyumbani kwake
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Год назад
Very well
@amashamahenge3308
@amashamahenge3308 Год назад
Lakn bola anaetoa kuliko anaejilimbikiza
@m.m.tvmbebamaono
@m.m.tvmbebamaono Год назад
Mzee upewe ulinzi
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Год назад
Anampatia Shusho 😢milionni kumi😢😢
@saimonisichimata8559
@saimonisichimata8559 Год назад
Kkk za kiroho🤣🤣🤣🤣😃
@ibrahimurichard377
@ibrahimurichard377 Год назад
mtangazaji unasema anahubiri Arusha kama sikosei yaani hujui hata mtu unaemfanya topic kwa undani,ivi nyie huu uandishi wa habari mnajifunzia waoi,au mkishajua kushika mic mnajiona mshakuwa waandishi wa habari
@saidmatikiti1566
@saidmatikiti1566 Год назад
Rurururu kama fisi nimecheka kwa sauti 😆😆😆😆
@dantluway1040
@dantluway1040 11 месяцев назад
😄😄😄😄
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Год назад
Heri kutoa kuliko kupokea.
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Год назад
HAHAHAHA hatalisana huondoukweli
@ramak.9587
@ramak.9587 Год назад
Hawa ndio watu mnafaa kuwafanyia interview kila kukicha. Uyo anaejiita nabii na mkali wenu walijuania wapi hadi kufikia kupeana magari. Nyie ebu fungue macho
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 Год назад
Mchungaji wewe una mawazo yakipekee ubarikiwe
@matukiotvonline6366
@matukiotvonline6366 Год назад
Makekwanzanchekeeeeeeee
@Makakulaya
@Makakulaya Год назад
Nabii muchawi wahovyo
@achirafisaid4322
@achirafisaid4322 Год назад
Lay nakutafuta sijuwi namna yakukupata
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 Год назад
Kaka huyu hana kanisa na ni atuliii sehemu moja. Wengi anatugusa sana.
@bajakisonzo4935
@bajakisonzo4935 Год назад
😂😂😂😂😂😂❤❤
@respiciusmushobozi4767
@respiciusmushobozi4767 Год назад
✋✋✋✋✋✋✋🖖🖖🖖🖖🖖🖖
@royalpriestsmusic5685
@royalpriestsmusic5685 Год назад
Jesus was servant
@danielnangonga4256
@danielnangonga4256 Год назад
Geordavie akasome mathayo 6😂
@Thebeast_tz
@Thebeast_tz Год назад
😆😆😆😆
@furryinjasuper2242
@furryinjasuper2242 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@evelema6146
@evelema6146 Год назад
Hakuna dini ya kweli hata moja. wote tumedanganywa na wazungu.dini ni biashara ya mtu binafsi Mungu hahusiki hapo .kristo wa kweli ni mweusi na Hana uhusiano wowote na Yesu .watu weusi ndio Wana halisi wa Israeli.( Taifa halisi teule la Mungu)biblia imechakachuliwa kwa mujibu wa Yeremia 8:8. kwa haya na mengine mengi mfuatilie Imani mcimbwa RU-vid utaijua kweli yote iliyofichwa na wazungu
@samwesupa6906
@samwesupa6906 Год назад
😅😅😅😅😅
@milliardere9177
@milliardere9177 Год назад
😂😂😂
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Год назад
Huyo ni pedezee cyo nabii ni tapel
@imanipetro3658
@imanipetro3658 Год назад
Mungu akubariki Mzee wetu
@nicholauskilosa5336
@nicholauskilosa5336 Год назад
@@imanipetro3658 nabii wamchongo,Yeye na zumaridi ni kitu kimoja
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw Год назад
​@@nicholauskilosa5336 zumaridiiiiiii Nicolaus anakusema hukuuuuuuuuuuuuuu😂
@I_lift_you_higher
@I_lift_you_higher Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Далее
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20