Тёмный

MCHUNGAJI HANANJA ampa onyo PAPA FRANCIS dini yetu hairuhusu ushoga ,watu wenyewe hela ndio chanzo 

Bongo Touch
Подписаться 742 тыс.
Просмотров 223 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 835   
@halemmmbarak16
@halemmmbarak16 8 месяцев назад
Intelligent Hananja ur no 1 in a million nobody should make u feel otherwise. Keep going Hanaja ur the best.
@AdelinaMethod
@AdelinaMethod 3 месяца назад
🎉😢🎉🎉😢🎉🎉😢f
@patrickmathiasnsalanga3401
@patrickmathiasnsalanga3401 8 месяцев назад
Wewe ni shujaa, Asante sana baba mchungaji, umesimama katika haki ya Mungu. Sema ukweli ili watu wa Mungu waokolewe, kwa kauli yako maelfu ya watu wataokolewa, na mimi nakuhakikishia kwamba lazima Mungu akulipe kwasababu ya wema huu mkubwa. Mchungaji hongera,. Mungu aendelee kutupa nguvu ili tuendelee kulifukuza giza katika maisha ya watu wake ili siku moja tuvikwe ile taji ya uzima wa milele. Wewe ni kiongozi wa watu wa Mungu.
@monicamollel2899
@monicamollel2899 8 месяцев назад
Kwa kweli Ni shujaa!. Mungu akutunze akupe Manisha marefu ili uendelee kunisaidia jamii yetu ya kiafrika ijitambue na kujikwamua ktk janga hili la aibu, fedheha na uvunjifu wa maadili yetu!. Kupitia mafundisho yako wengi watazinduka na kumgeukia Mungu kwa kufuata maagizo yake!.Thanks slot, be blessed Mchng. Hananja!.
@user-ml6lz4no9p
@user-ml6lz4no9p 8 месяцев назад
Assante sana Mchungaj vipige vile vita vizr vya Iman
@tinapius1865
@tinapius1865 8 месяцев назад
hakika baba umesema ukweli mtupu mungu azidi kukuinua zaidi
@mildredachimpota5877
@mildredachimpota5877 8 месяцев назад
Barikiwa baba na Mungu akutunze Kwa kusimamia ukweli
@saidimnyani3330
@saidimnyani3330 8 месяцев назад
Uchafu
@user-ml8rd7vm5o
@user-ml8rd7vm5o 8 месяцев назад
Napenda tu kukusikiliza baba mchungaji, Mungu akutunze sana.
@YusufMsumi-gx4ih
@YusufMsumi-gx4ih 8 месяцев назад
Mmimi ni muislamu nkupongeza sana mzee wangu mungu na atuongoze sote somo ni zuri sana na linaendana na mafundisho yoote ya mungu na maumbile ya mwanadamu
@hijazhija316
@hijazhija316 8 месяцев назад
Acha kujikomba
@micahlucky5613
@micahlucky5613 8 месяцев назад
Nimependa point yako....kuliko wale wanaodai watu wahamie uislam....cjui ikitokea shehe maarufu akajitambulisha kuwa ni shoga au ikafahamika kuwa ni shoga sasa cjui hapo napo ashauri watu wahame uislam.....maana dhambi haina dhehebu wa dini....uzinzi unafanywa na dini zote...ushoga pia wanafanya kwenye dini ukristo na uislam maana watu wanakuwa wameamua kumwasi Mungu....mfano pwani michezo hii ya kufira ippo sana
@YusufMsumi-gx4ih
@YusufMsumi-gx4ih 8 месяцев назад
Kasome tena uislamu utanielewa nilichoongea na sio dhana unayonijengea ان بعض الظن اثم hivo ndivo Allah anavosema
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 8 месяцев назад
Wewe una roho chafffu mno jitakasae na jik😂😂​@@hijazhija316
@betrackjasson6698
@betrackjasson6698 8 месяцев назад
Kweli kaka
@jacksonkatana5152
@jacksonkatana5152 8 месяцев назад
Mchungaji Hananja mungu akuzidishie miaka ya kuishi ili ulimwengu uelimike kupitia wewe,,i appreciate you daddy
@TimotheoBulimwengu
@TimotheoBulimwengu 7 месяцев назад
Aminaaaaaaaah Aminaaaaaaah Aminaaaaah na Ubarikiwe sana na hakika Mungu akuongezee maarifa na uwepo wa nguvu na uweza wake maradufu ,kwajili ya ushujaa mkubwa huo
@user-cn1od2mm6c
@user-cn1od2mm6c 8 месяцев назад
Nimebarikiwa na hekima zako umenena ukweli kabisa mafundisho ni muhimu kuliko sadaka zaidi sadaka zinanguvu lakini mafundisho kwanza watu wamjue Mungu washike imani kweli kweli, baba mchungaji barikiwa kwa ushauri mzuri 🙌
@AzAz-sy6zp
@AzAz-sy6zp 7 месяцев назад
Hongereni sana baba kwa uvumbuzi ulio na haki ubarikiwe san mtumishi
@EzekiaMichael-jn5np
@EzekiaMichael-jn5np 8 месяцев назад
Mtumishi wa Mungu baba yangu Hananja Mungu akubariki na akuongeze maarifa na na maisha marefu ya kuishi ili Mungu azidi kupokewa mioyoni mwetu Mungu akutie nguvu
@EliyaJames-fn3dz
@EliyaJames-fn3dz 8 месяцев назад
Safi sana mchungaji Hananja wewe ni baraka sana katika kizazi hiki.Wewe ni sauti ya Mngu katika kizazi hiki
@bekabakari7394
@bekabakari7394 8 месяцев назад
Ubarikiwe Hananja Wapo watu hata kama Kuna jambo la haki Lakini kwa sababu ya imani yake Anageuza haki kua batil
@kennix6457
@kennix6457 8 месяцев назад
Siku izi ni kutoa to kanisani ndo Cha muhimu watu wanatoa na Bado wanaendelea kuwa maskini mpaka mwisho maana hamfuzwi mambo ya maisha ,kazi mapenzi .watu wataendelea kuteseka .Asante sana mchungaji
@user-mo6uv5ew9h
@user-mo6uv5ew9h 8 месяцев назад
"Tupate wapi tena mtu kama huyu, ambaye Mungu anakaa ndani yake! Mungu akutunze Mchungaji Hananja.
@denisoruru-yv3fk
@denisoruru-yv3fk 8 месяцев назад
I like the fact that he quotes scriptures to support his arguments. It's our responsibility to speak against any practice that goes against the word of God and our values as a community.
@LovenesyMhame
@LovenesyMhame 2 месяца назад
Amina mchungaji wew n kioo ch jamii unafaa kuingwa n jamii kwa mafundish yak n elim uliy nayo
@beatricejoseph2347
@beatricejoseph2347 8 месяцев назад
Mungu akuinue mtumishi wa Mungu ,kweli cha Mungu kibaki kuwa cha Mungu na cha binadamu kibaki kuwa cha binadamu ,mm pia sikubaliani na suala la ndoa ya jinsia moja.
@sarambise
@sarambise 8 месяцев назад
Thanks,it is fact.. tumrudie Mungu hakika
@user-zw6hk9rl8d
@user-zw6hk9rl8d 6 месяцев назад
Roho matakatifu na imani ndo muongozo wa mwanadamu katika ulimwenguu huu, ubarikiwe sana mchungaji Mungu akutie nguvu zaidi Ameni kwa hakika umenena sikuweza kuamini kama kiongozi mkubwa vile angeweza kusema kauli ya vile Kuna mikoa kama mara hatujui kabisa kama mambo hayo yapo kwa hakika MUNGU ATUONGEZEE IMANI,AMEN🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@BM_Smart2-6
@BM_Smart2-6 8 месяцев назад
Umenena vyema ukweli wote hongera sana Mchungaji. Hii dunia imeporomoka vibaya sana. Hata kama amesema nani mbona nature tu haipo hivyo, hapo ndipo ule ukweli wa imani utakapokuja kubaki suala la mtu binafsi na Mungu. Dunia inaenda wapi kutetea ushoga live!!
@SmilingJellyFish-vf6xy
@SmilingJellyFish-vf6xy 8 месяцев назад
Bwana yesu. asifiwe. Kuomba Mungunibidii yeye papa Anataka Kudupotez Sisitunaelewa mungu Haduhamgaliye papa Atoke hapo mujinga Bwana yesu Asifiwe
@yusuphwella9651
@yusuphwella9651 8 месяцев назад
Mi ni muislam ila haya ni maneno ambayo hata mungu mwenyewe anafurahi kuyasikia... mungu ni mmoja tuu na wote tumetokana na adam na hawa au adam wapili Nuhu.
@damiankilyenyi5367
@damiankilyenyi5367 8 месяцев назад
Yesu hakuleta dini alileta wokovu na hata waliomuua walikuwa ni viongozi wa dini ya kiyahudi. Kwa watu wengi kuabudu dini na kufuata mapokeo ya wanadamu dini zimekuwa magereza ya kufungia watu wasiujue ukweli wa neno la Mungu na wote watakwenda motoni.
@endrewmwasomola6506
@endrewmwasomola6506 8 месяцев назад
Mungu akulinde pastor wangu
@bravesilubonde4350
@bravesilubonde4350 8 месяцев назад
Shusha namba pasteri sadaka inakuhusu
@cyprianmgogo7625
@cyprianmgogo7625 8 месяцев назад
UBARIKIWE SANA BABA MCHUNGANI UMEKEMEA KWELI KWELI ,UPO SAHIHI KOMALIA KAULI ZAKO,HULE MZEE AMEZEEKA VIBAYA HATA AMESAHAU KAMA SIKU SI NYINGI ITABIDI ATOE MAHESABU, KATIKA HILI MZEE AMEFULIA CHOONI.
@suratibrahim6417
@suratibrahim6417 8 месяцев назад
Pastor Hananja...naomba uheshimiwe🙏
@abdallahmtula9467
@abdallahmtula9467 8 месяцев назад
Tunashukuru sana kwa maneno yako mazuri na yenye baraka tele ndani yake.
@WingoAsake
@WingoAsake 4 дня назад
Mwenyezi mungu akupe maisha marefu mzee
@nyansilujoseph-pm8im
@nyansilujoseph-pm8im 8 месяцев назад
Kama umesikia vizuri dakika ya 7:52 gonga like 😂😂😂
@MaryAmaiza-th2fo
@MaryAmaiza-th2fo 8 месяцев назад
Napenda huyu pastor,jasiri naungana na ww huo ni ushetani tu 🇰🇪🙏.
@nassorally8139
@nassorally8139 8 месяцев назад
Mchungaji nakukubali Sanaa japo mimi ni muislamu tena no Ustadh kabisaa lakini unauelewa mzuri na ufafanuzi mzuri wa mambo yenye kutatiza natamani wakristo wapate ufahamu na kujitambua kwa maneno yako ya hikma
@user-py9yl9bf5k
@user-py9yl9bf5k 8 месяцев назад
Tumia neno baadhi,usijumuishe wakristo wote
@ZaycargoMovers-vx6lf
@ZaycargoMovers-vx6lf 8 месяцев назад
Mchungaji uko vizuri. Ubarikiwe
@rosendubi5207
@rosendubi5207 8 месяцев назад
Amina , Mungu akubariki sana kwa kusema ukweli, endelea kusambaza ujumbe kwa nchi yote.
@masoudymichael
@masoudymichael 8 месяцев назад
Mwaka umeisha vizuri kwa kuwa na watu ambao wanaweza kumchallenge kiongozi wa dini❤
@mayungakisinza6090
@mayungakisinza6090 8 месяцев назад
Padri, askofu wote wapo lkn hakuna anae simama kukemea wanawaza sadaka na matoleo na kuacha ujinga kama huu uendelee
@tawiso_online_tv.
@tawiso_online_tv. 8 месяцев назад
Acha useeeee
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 8 месяцев назад
Akili zako wewe una dhambi kuliko hizo
@nashonkibayayu3776
@nashonkibayayu3776 8 месяцев назад
Mungu akuzidishie ujasiri na kujiamini zaidi. Wachungaji wengi WAOGA. Ee Mungu inua na wengine waweze kujiamini. Siyo kila jambo ". OH! HESHIMUNI WENYE MAMLAKA, KILA MAMLA IMETOKANA KWA MUNGU"
@ustadhsaidi3801
@ustadhsaidi3801 Месяц назад
Vijana Wanaopandana wao kwa wao, Wanataraji Nini Baada ya Maisha ya DUNIANI? Ubarikiwe Mch. HANANJA
@ASALABOY
@ASALABOY 8 месяцев назад
Bongo Touch umefanya Jambo lamana sana kutuletea mchungaji kutupa Helimi mzuli asante.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇲🇿
@baoussenesombair8007
@baoussenesombair8007 8 месяцев назад
🇲🇿🍎
@petsmore9955
@petsmore9955 8 месяцев назад
Misinterpretation! Kubaruki alikozungumzia papa siotafsiri Hiyo.! Alisema waombewe kwa maana hiyo! Haujamwelewa papa. Acha povu!!!
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 8 месяцев назад
@@petsmore9955 kuwabari ni kuwatambua,wewe ni mbumbumbu,utakwenda jehanamu
@petsmore9955
@petsmore9955 8 месяцев назад
@@odilomwemeziernest646 wewe na chungaji wako wapumbavu sana. Kwa akili na elimu yenu ndogo mnafikiri Mungu ni babu yenu na tayari mko mbinguni na mnapanga was kuingia mbinguni na wale was jehenamu. Pumbavu tena wanafiki wakubwa! Kile kisa cha mwanamke aliyefumaniwa kwa uzinzi Yesu alimfanyaje Kama hakumbariki? Someni biblia vizuri na muombe kueleweshwa pale ambapo mnapelea hamna kitu mnachoelewa nyie! The Catholic church is not a mushroom church like that of the pastor you claim to have spoken sensibly. In fact he is just speaking emotionally out of his little biblical knowledge.
@ammaherman3391
@ammaherman3391 8 месяцев назад
Kama uliskiliza vizuri kwenye dakika ya 7:52 gonga like😁😆😂🤣😄😃barikiwa sana Mch. Hananja.
@sofetybilali349
@sofetybilali349 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂
@nyansilujoseph-pm8im
@nyansilujoseph-pm8im 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@leahdaniel1117
@leahdaniel1117 8 месяцев назад
Amen neno la Mungu lipo pale pale na kwa hilo tutahukumiwa kwalo
@user-xl5xi1uq9z
@user-xl5xi1uq9z 6 месяцев назад
True ,waambie ukweli mchungaji,viongozi wengine wa dini wanaona aibu kukemea ,wamekaa kimya
@user-nz6xy1vs5i
@user-nz6xy1vs5i 5 месяцев назад
Sema kweli baba na Mungu akubariki
@salehothman6144
@salehothman6144 8 месяцев назад
Wenye Dini yao washaamua ndugu zanguni ,kila mwenye akili sasa atajua wapi pa kuelekea!
@josephwilliam5813
@josephwilliam5813 8 месяцев назад
SISI hatuendi kokote alieanguka kiimani ni YEYE mwenyewe UKRISTO ni sahihi
@user-kx7ob5rx4p
@user-kx7ob5rx4p 8 месяцев назад
Waroma sio wakristo
@abdullahmasakata170
@abdullahmasakata170 8 месяцев назад
@@user-kx7ob5rx4p Hata biblia ipo mikononi mwao na wao ndio waandishi wa mwanzo, na wamarekani, Wagiriki na Kiingereza Waingereza, Sasa ukristo umetokana na wao na hata Paul mwenyewe alikuwa Mroma au hujui yeye ndio chimbuko la ukristo Wa mataifa? Tena Paul yeye hakuwa na maono au wahai zaidi yeye alikuwa na barua na waraka, Sasa unategemea barua au waraka wa Paul kwa wagaratia iwe neno lake MUNGU? Yeye ndie mtume Wa kwanza mzungu tena Mroma
@gabrielsaelie8091
@gabrielsaelie8091 8 месяцев назад
​@@josephwilliam5813Ameshaukana ukatoliki maana ukatoliki ni lazma uwe MTII KWA PAPA. Kulila na na imani ya kikatoliki Papa hakosei na wakili wa Kristo hapa dunia ni.
@Secondborn_
@Secondborn_ 8 месяцев назад
Dini zote zina wenyewe mzee 😂...
@ConfusedDaisies-rb5
@ConfusedDaisies-rb5 8 месяцев назад
Binafsi napenda sana mahubiri ya mchungaji R. Hananja, Mungu akubariki sana mtumishi
@user-qt5uy9mt4y
@user-qt5uy9mt4y 8 месяцев назад
Nashukuru sana kwa kumea uchafuo kwakweli tuungane sote wenye kuelewa SoMo la mchungaji kukataa kwa maneno na kwa Sala atuondolee janga hili nashauri mtu atakayefanya ushoga ktk jamii atengwe Kila aina ya kijamii ya msingi maana mtu kama huyo ni shetani kabisa mchungaji mungu akitunze
@JaphetBigirimana-hp8ir
@JaphetBigirimana-hp8ir 8 месяцев назад
napenda huyu baba wetu hongera sana
@pacsnomventures8016
@pacsnomventures8016 8 месяцев назад
Mungu akubariki mchungaji
@rosemwangi-yp9ol
@rosemwangi-yp9ol 8 месяцев назад
Nataka kuwaelezea ukweli kwamba watu wengi na media wamyongea vibaya lakini kama hujaelewa usiongee vitu usivyovijua. Utajikosea mwenye na wengine wasiolewa. Katika mafunzo ya katoliki yatuelezea vizuri Mungu kaumba mke na mume waishi pamoja kama familia yake Kikristu. Papa kasema hawa watu wapo kanisa mtu akija abarikiwe ili Mungu amusaidie kujielewa na kuishi maisha inayofaa kama kama
@user-jq1ny9lx4e
@user-jq1ny9lx4e 8 месяцев назад
We pia ni shoga
@donjb3178
@donjb3178 8 месяцев назад
Tatizo una udini mwingi ndio mana hata kama jambo la hovyoo likisemwa huwezi fanya maamuzi kwasababu akili yako ishachukuliwa mateka fata njia ya Yesu ndio uzima pekee uliobakia ulimwenguni mana dini zimekuwa njia za kuruhusu mambo ya hovyoo kuwa ya heshima kitu ambacho sio sawa
@veeJesus
@veeJesus 8 месяцев назад
Acha udini wewe papa atakupeleka kuzimu. Acha kumtetea shetani. Mfate Mungu Soma bible papa wenu hayupo na nyie tena
@foroforoy2554
@foroforoy2554 8 месяцев назад
Wanagapi wamebarikiwa wakaacha ushoga?
@veeJesus
@veeJesus 8 месяцев назад
@@foroforoy2554 swali zuri
@kitonkamanase2529
@kitonkamanase2529 8 месяцев назад
Mungu yupo kazini Wote mnaunga mkono mambo ya ovyo ambayo biblia imeshasema ni dhambi Mungu anawaona sana ipo siku mtamjua tu Mungu baba wape nguvu watu wako wote wanaokuamini na kukutumikia kwa roho na kweli Mchungaji uliyefukuzwa kazi simamia haki ya neno la Mungu. Mungu yupo upande wako usihofu Kaza macho yako kwa Bwana atakupigania !!
@yusuphsitta2400
@yusuphsitta2400 8 месяцев назад
Isa 58:1-4 SUV Piga kelele, usiache, Paza sauti yako kama tarumbeta; Uwahubiri watu wangu kosa lao, Na nyumba ya Yakobo dhambi zao. Walakini wanitafuta kila siku; hupenda kujua njia zangu; kama vile taifa waliotenda haki, wasioacha sheria ya Mungu wao
@enoszaka-tx8qw
@enoszaka-tx8qw 8 месяцев назад
huwa nakuelewa sana mchungaji hananja mwenyezi mungu anakuona atatenda muujiza kwako ili sauti yako ikawaguse watu wote na waache
@JumaMnyonge-js7db
@JumaMnyonge-js7db 8 месяцев назад
Unadanganya yesu si mwaanzilishi wa ukristu muanzilishi uyu hapa Matendoe ya mtume 11:28 Wakorintho WA Kwanzaa 4:15 Mathayo 22:26 Paul ni Mrumi wakuzaliwa Usimsemeye Yesu uongo tafadhali
@hawa6052
@hawa6052 8 месяцев назад
Hananja ukweli daima usihofu nani anasema nini hapa ukweli tu Hadi mwisho wa Dunia
@user-wq6er3ux5r
@user-wq6er3ux5r 8 месяцев назад
Ibada ya jumapili pia aliweka papa.
@JohnmasesalutandaguraJohnmases
@JohnmasesalutandaguraJohnmases 5 месяцев назад
Kwer tuchane pastor kwer nimekubali
@robertevarist1595
@robertevarist1595 8 месяцев назад
Baba mchungaji Hananja unasema ukweli Mwenyezi akubariki sana, japo si wakamilifu kwa kila kitu lkn kwa hili la ndoa za jinsia moja halijubariki kamwe.
@wemamanikana9791
@wemamanikana9791 8 месяцев назад
Mungu akubariki sana mtumishi, hawa maajent tuwapinge kabisa
@alsam4881
@alsam4881 8 месяцев назад
Kuna baadhi ya binaadam ni viumbe wakorofi sana japo wamepewa akili ya kufikiri na kutafakari na kujuwa kipi kizuri na kipi kibaya, lakini bado wanafanya mambo ya kijinga na ya hovyo kabisa yasiyompendeza Mungu, Na ukiwangalia wanyama hayawani hawana akili kama ya binaadam lakini hatuoni dume akampanda dume mwenzake, au jike akampanda jike mwenzake.
@ananiaszinns7324
@ananiaszinns7324 8 месяцев назад
Hapo Papa hamnazo
@Zakayo-px3sh
@Zakayo-px3sh 8 месяцев назад
Taarifa hi ni sahihi na wale maaskofu waliokua against kama Bishop Joseph Strickland wa huko texas amewafuta kazi mwezi uliopita(November). Na moja kati ya agenda za majadiliano kwenye synod; 1. Abortion 2. Blessing same sex marriage 3. Ordination of women etc Kweli tue makin na hawa viongozi wetu
@kingsolomoni-xp3dv
@kingsolomoni-xp3dv 8 месяцев назад
esu ndie bwana na ndie binadamu aliyekuwa amefunga ufahamu wote kwenye kiganja chake yani siri yote na ndio mwenye ile ishara ya sita kiganjani yani ukikunja kiganja ukanyanyua dole gumba unapata herufi 6 ambayo ni yeye aliye umbwa siku ya 6ndio mana hamuezi kuacha kumuita mungu mkuu mmeenda mbali zaidi mkamuita yeye ni chanzo cha uhai wenu siwashangai kwasababu ndio kusudi lake au kusudi la neno nandio maana kila anae soma biblia akiongozwa na roho mnaemuita mtakatifu lazima umuone yesu nichanzo cha uhai wako (REHEMA SEMFUKWE)
@ajgasharia1247
@ajgasharia1247 8 месяцев назад
Muongo ukristo kajanao Paulo yesu hakuwahi kuingia kanisani hata siku moja
@Ngongongalimedia
@Ngongongalimedia 8 месяцев назад
​@@ajgasharia1247 Unaangaika na Paul na kristo badala ya kuelewa maana
@user-nz4ff6dq4t
@user-nz4ff6dq4t 8 месяцев назад
Watanzania simameni kidete mkikuli tu kurusu ushoga huyi ngie Tanzania mumerusu lahana maana hiyo nilana kubwa, tangu lini mwanaume kwa mwanaume wakaowana, huo papa mjinga sana tena sana
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 8 месяцев назад
Hivi lini wokovu iko kwenye kanisa la katoliki!! Kule hamna wokovu.
@angelsulle7177
@angelsulle7177 8 месяцев назад
Wewe ni mbwa mbwekaji hakuna anaye kuhitaji Wakatoliki ni wengi mnooooo!!!! Ukabweke huko Barabarani
@MichaelMathew-j3f
@MichaelMathew-j3f 8 месяцев назад
@@angelsulle7177 sawa naweza kuwa mbwa!! Sina mbaya!! Sijazangumzia uwingi, hilo sio sababu. Nazungumzia wokovu. Haipo kwenye hili kanisa la katoliki. Endelea kunitukana, ila ukweli ndo hivohivo!! Cheki ulivyo, mtu wa Mungu hawezi kumtukana mtu!! Bado hujaokoka. Ww+katoliki hamna wokovu. Oky?
@bonfacethepreacherinthehou7567
@bonfacethepreacherinthehou7567 8 месяцев назад
Ndio Yesu ni mwenye imani
@victoriamumwi1769
@victoriamumwi1769 8 месяцев назад
Unapotoa comment ufikirie mara mbili, uelewe zaidi mwenzako alikuwa anamaanisha Nini, nampenda sana kumsikiliza Ananja, lakini katika hili kakurupuka kumkashifu mwenzake, arudie kusoma au kumsikiliza mara mbili hakuna sehemu Papa amekubaliana na ushoga Wala usagaji, anakemea vyote na kanisa linakemea
@kasigababa8596
@kasigababa8596 8 месяцев назад
Asante sana Mzee wangu, Mungu akutunze
@danielpatrick-py8bk
@danielpatrick-py8bk 3 месяца назад
Amin
@denismugisha2
@denismugisha2 8 месяцев назад
Asante mchungaji kukemea kabisa kabisa uchafu wa huyu wakala wa ibilisi
@andreamayengo966
@andreamayengo966 8 месяцев назад
Mungu aendelee kukupatia maisha marefu uzidi kutoa na kufundisha elimu na neno la Mungu Biblia Iko wazi na tunashukuru kwa kuelezea baadhi ya vifungu,,,maana alichokiongea huyu mtu ni ushetani.
@LovenesyMhame
@LovenesyMhame 2 месяца назад
Kwel mtumish yan saiz wap watumish mbk wanachangany mtu huelew lip l kwee n lip l uong kam hujui biblia bc watumish n kukosoan n kutukananan tu hawaelimishani kam mung wao wanao mwabudu n mmja❤❤❤❤
@Prosperkisama
@Prosperkisama 8 месяцев назад
Amina uko sawa maama watu wanakubali kumheshimu Binadamu kuliko Mungu.... HII NDIO SAWA NA KUKUBALI CHAPA 666
@user-wq6er3ux5r
@user-wq6er3ux5r 8 месяцев назад
Acha waseme na bado..Daniel 7:25..papa alibadili sabato,leo amebadili ndoa,kesho anabadili biblia..
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 8 месяцев назад
Shukran sana mchungaji hananja
@bakarishaban9311
@bakarishaban9311 8 месяцев назад
Huyo Anasema ndoa za jinsia moja hao hawamjui mungu ni makafiri
@JohnmasesalutandaguraJohnmases
@JohnmasesalutandaguraJohnmases 5 месяцев назад
Kwer tuchane pastor vijana tumekuwa washenzi no 1
@lordorcas9344
@lordorcas9344 8 месяцев назад
acsente Mutu wa Mugu Ubarikiwe Kamwe 🙏🙏🙏
@KandidoLuvanga
@KandidoLuvanga 4 месяца назад
Ananja ukosawa munguakubariki sana
@user-um2rx7or2k
@user-um2rx7or2k 7 месяцев назад
Watumishi wa Mungu wafundishe ukweli waache kueba kitabu cha mambo ya walawi 20:13 na hicho cha walawi 16:1-34,17:1-16,18:1-30,19:1-37&20:1-27
@RenatusKayoka
@RenatusKayoka 11 дней назад
Wambie washezi Sana wanaofanya hivo ❤
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 8 месяцев назад
Mchungaji tunakuombea Mungu akuwekee ulinzi katika maisha yako mimi niliroma lakn nimehama kwasababu kuna ushetan umejificha ndan yake Kilichonisikitisha zaid ni papa kuruhusu ndoa za jinsia moja inasikitisha sana kuwa maamuz ya aajabu sana kiongoz mkubwa wa din anaruhusu ushetan
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 8 месяцев назад
Roma hauna kama wewe
@audifansisafari5587
@audifansisafari5587 8 месяцев назад
Alikufungisha wewe hiyo ndoa
@micahlucky5613
@micahlucky5613 8 месяцев назад
Kimsingi wakristo na waumini wengi ni bendera fuata upepo...wengi huwa hatuchunguzi imani zetu tunabugia tu kisa tumezaliwa tukakuta wazazi au ndugu ni waumini...we don't take time to study the history behind....ikitokea mtu mmoja anajaribu kututoa matongotongo ya imani fake tunakuwa wakali na hata kutukana matusi...sasa huwa najiuliza kama kweli mtu unaufaham ukristo wa kweli unatoa wapi mashiko ya kuanza kumtukana mtu kisa kapingana na mtazamo wako au na kile unachokiamini...kwann usichukue muda kuchunguza madai yake.kwa roho ya upole na maombi ili Mungu akufunulie....tujifunze kunyenyekea...Ukristi na imani sio vita
@user-xl5xi1uq9z
@user-xl5xi1uq9z 6 месяцев назад
Kutoa baraka ni kuhalalisha kitu kiendelee ,baada ya kukemea dhambi ww unahalalisha dhambi iendelee, Yesu alikaa na wanadhambi kwa lengo la kuwapa neno la Mungu ili waache dhambi na kumjua Mungu vitu vipi hapendi ,vitu gani anapenda sio alikaa nao kwa lengo la kubariki uovu wao .Achen kutetea mambo ya kipumbavu ,Mungu hapend
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 8 месяцев назад
Asante sana mchungaji
@mwananyamalaz4427
@mwananyamalaz4427 8 месяцев назад
Ubarikiwe sana Mzee Yani papa anatureteye ushoga na yeye mwenyewe ni shoga papa kenge kahaba mwana Haram amelaniwa God help us God bless Africa 🌍 God bless 🙏
@levinachuwa7622
@levinachuwa7622 8 месяцев назад
Mshenzi sana wewe mwenye mihemko, ukome kumtusi na kumdhihaki kiongozi wetu wa kanisa Papa Fransis. Uwe na adabu. Pope anaongea kuhusu kubariki yeyote, kuwaelekeza na kuwaombea. Hukumu ni juu ya Mungu. Wewe kama nani umhukumu! Shuwaini 😞
@NeemaSulle
@NeemaSulle 8 месяцев назад
Pole mwananyamala umeumia sana
@hassanyohna6121
@hassanyohna6121 8 месяцев назад
Pastor uishi sana continue to multiply beyond measure.....👍
@hassanyohna6121
@hassanyohna6121 8 месяцев назад
Pastor uishi sana continue to multiply beyond measure.....👍
@user-jl1cn4ke5j
@user-jl1cn4ke5j 8 месяцев назад
Mnakwepa Ali za Mungu ,mnashika ysliyo mafundisho ya katoliki mamayenu
@catjnyang423
@catjnyang423 8 месяцев назад
You are one of my heroes
@mathiasjames
@mathiasjames 8 месяцев назад
Barikiwa sana
@Bitlontravels555
@Bitlontravels555 8 месяцев назад
Asante Mtumishi. Ubarikiwe sana
@tuponearon7368
@tuponearon7368 8 месяцев назад
Ninachojua Yesu hakuleta dini duniani, alileta wokovu kwa kila amwaminie, dini ni mpango wa mwanadamu kumtafuta Mungu, mpango wa Mungu ni kumwamini Yesu apate ondoleo la dhambi (kuokoka)
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 8 месяцев назад
Kweli baba hananja.tunae.kuhuni mkuu mmoja ni yesu wachungaji wanakufa.huwa hawadumu anaedumu ni kristo
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 8 месяцев назад
Imani yetu ilianzishwa na Yesu.❤❤
@abubakarmwasumilwe7070
@abubakarmwasumilwe7070 8 месяцев назад
Mh so kweli
@WiselightOfficial
@WiselightOfficial 8 месяцев назад
@@abubakarmwasumilwe7070 ulielewaa nilichocomment au umereply tu na ulisikilza yote baba hananja aliyoyazungumza Imani yetu ilianzishwa na yesu na missing ya yesu kwa kanisa ipo waz
@MarywamboKanyara
@MarywamboKanyara 7 месяцев назад
Woo great baba nitazidi kkusikiza
@Patience763
@Patience763 8 месяцев назад
Mafundisho mema mchungaji MUNGU akubariki ❤❤
@maryaugustor6983
@maryaugustor6983 8 месяцев назад
Asante sana nimepata faraja MUNGU akutie nguvu AMEN
@WeyaniTvonline
@WeyaniTvonline 8 месяцев назад
Ukweli usemwe. Hongera kiongozi kwa kuielimisha jamii na kukataa mabaya.
@kazinzangonda230
@kazinzangonda230 8 месяцев назад
Safi sana mchungaji aisee ninakukubali sana
@trecygohy7847
@trecygohy7847 8 месяцев назад
Papa hajaluhusu ndoa ya jinsia 1 ila ameruhusu baraka zitolewe kwao bila ubaguzi na sio ndoa n sawasawa wewe mtenda dhambi unavyo kwenda kwa mchungaji wako kumuomba kuibariki nyumba n.k chako
@maggiehiza5884
@maggiehiza5884 8 месяцев назад
Hamkumwelewa papa. Someni vizuri waraka wake. Habariki hizo ndo. Watu wamechukulia juu juu na kukurupuka. Anachomaanisha ni kwamba kama wanahitaji baraka, ambayo itawatoa huko walipo hawazuiwi kupata msaada huo.. wao ni wadhambi kama walivyo wengine
@HildaPaul-hm4jk
@HildaPaul-hm4jk 8 месяцев назад
Baraka zipi fafanua
@wokovumwazembe3505
@wokovumwazembe3505 8 месяцев назад
Anakubali kubaliki mashoga unaseama hawakuelewa shetani wewe na yeye usikubali ushetani wake ametenda dhambi
@elephant141182
@elephant141182 8 месяцев назад
Yesu mwenyewe hakubariki Dhabi bali alikemea na kutangaza msamaha kwa anaetubu
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 8 месяцев назад
INAFIKIRISHA SANA...HIVI KWELI HAO MAASKOFU WOTE NA WAKRISTU WANAOPINGA HILO TAMKO WA NCHI MBALIMBALI DUNIANI 'HAWAKUMUELEWA' HUYO PAPA!
@stevenlugano7888
@stevenlugano7888 8 месяцев назад
Ukristo nikumfuata kristo,,,,,Huku ukiubeba msalaba wako,,wakatoliki hamkeni mfuatane yesu,,🙏 acheni USHOGA😢😢
@fahadrashid9754
@fahadrashid9754 8 месяцев назад
Kwn papa amejiweka? Leo ndo mnalijua hilo
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 8 месяцев назад
SAFI SANA MCHUNGAJI WA KWELI...
@jasonbella7733
@jasonbella7733 7 месяцев назад
Ukiona mtu yeyote anampinga mch hananja kwenye hii mada ujue uyo ni shoga na anapenda kuingiliwa na wanaume wenzie.
@yesunimwema4497
@yesunimwema4497 8 месяцев назад
Kupinga tunaweza kupinga ila chamhimu nikuomba sana tena sana kama twamuani mungu ,tunajuwa shetani yuko na hatutakii mema tusali tuombee tumririe mungu atatusikia,na kingine viongozi wa nchizetu nawao watusaidie kutokubari ujinga wa ushoga.
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 8 месяцев назад
Wakiingiza Ushoga kupitia dini ni ngumu kuzuia hiyo hali, kwahiyo makanisa yaendelee kupinga hiyo hali
@user-mg2yn7pj1y
@user-mg2yn7pj1y 8 месяцев назад
acha inyexhe tuone panapo vuja
@littlelunie.7653
@littlelunie.7653 8 месяцев назад
Fact mchungaji
@user-mc2xd4eu2p
@user-mc2xd4eu2p 7 месяцев назад
Imani yenu imeanzishwa na paulo soma vizuri
@evangelicalmiraclesfellowship
@evangelicalmiraclesfellowship 8 месяцев назад
Ur 100% collect ,
@hemedykayonko4109
@hemedykayonko4109 8 месяцев назад
Angesema muislam wauawe unhesikia dini ya kuuwana, yaani mtu acheze na kazi ya Mungu halafu watu wake tumchekee
@starvista823
@starvista823 8 месяцев назад
Apo ndipo Imani yenu inapowapoteza huruhusiwi kumuua mdhambi zaidi ni kumuonya na kukemea aachee
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 8 месяцев назад
Dini ya kiislamu ni ya ugaidi
@hemedykayonko4109
@hemedykayonko4109 8 месяцев назад
Starvista823 uzuri aliyesema na kutoa maandiko siyo muislam, kama vip mchungaji akiwa mchawi mnapaswa kumnasihi had aache na siyo kumtenga 😂😂😂
@hemedykayonko4109
@hemedykayonko4109 8 месяцев назад
@@starvista823 halafu Wala haituumi kwasababu tunaujua ukweli kama ni dini ya kigaidi tunajuwa kama siyo tunajuwa sasa wewe baki na propaganda za wanao kuletea ushoga, mnashindwa kushika mambo ya maana mmeshikilia ugaidi
@hemedykayonko4109
@hemedykayonko4109 8 месяцев назад
@@starvista823 kwani aliyesema na kutoa maandiko ni nani? Acheni kudanganyana mzee yaani wewe umfanie mtu anamrawiti mwanao wa kiume halafu umuachie Mungu, mambo mengine mnaongea kishabiki saana
Далее
Bike vs Super Bike Fast Challenge
00:30
Просмотров 21 млн
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 610 тыс.
▼ЮТУБ ВСЁ, Я НА ЗАВОД 🚧⛔
30:49
Просмотров 532 тыс.