Тёмный

MCHUNGAJI PETER MSIGWA AJIUNGA CCM/AWAACHA CHADEMA KWENYE MATAA 

MwanaHALISI TV
Подписаться 321 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@joycebayo8106
@joycebayo8106 3 месяца назад
Haya majamaa wa chadema hakuna kitu wana uroho na tamaa wa madaraka, mimi sasa naamini kuwa kuanzia uongozi wao wote ni tamaa tu ya madaraka ndio inawahangaisha. Hongera sana CCM chama imara na bora barani Africa.
@dennisungonella205
@dennisungonella205 3 месяца назад
Haahaa hii ni aibu Sana kwa msigwa, kisa kashindwa kwenye uchaguzi wa chama
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp 3 месяца назад
Hahaaaa😅😅😅😅😅 du msigwa na katabasam kake
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 3 месяца назад
hahahahahahahahahahaha nimeshtika sana
@sankeabeli6692
@sankeabeli6692 3 месяца назад
Kazi kweli kweli
@gaudencemhagama7216
@gaudencemhagama7216 3 месяца назад
Njaa mbaya
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 3 месяца назад
Chadema wamepoteza jembe kwa ubaguzi wao.
@joycebayo8106
@joycebayo8106 3 месяца назад
Tumsubirie Lissu anaye anaweza akaja hivi karbuni. Maana nahisi kuna mnyukano wa uroho na tamaa ya madaraka huko.😂😂😂
@PharlesBulashi
@PharlesBulashi 3 месяца назад
Huku ni kufirisika kisiasa jamaa naye ni binandamu hiyo imeonesha Kama binandamu no mapungufu yake
@stevenmgao9658
@stevenmgao9658 3 месяца назад
Ndo vijana tufungue akili zetu siasa n hatar san kwa afya,wapo walio potezq maisha kwa ajili wa kuwapigania viongoz wa chadema mwisho wa siku kulud ccm mfano wapo walio potez maish kwa ajili ya lowqsa pia kwaajili msigwa
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 3 месяца назад
Pole .msigwa kisiasa umefeli ulichokiamini KWA MUDA MREFU umefeli
@LastdayJesu4153
@LastdayJesu4153 3 месяца назад
Ameona chadema kuna ukabila na utapeli mtupu mmekula pesa ya Lowasa dili tupu hakuna kitu
@babanatalis8401
@babanatalis8401 3 месяца назад
Hii ilitarajiwa karibu sana comrade
@CharlesMgassa
@CharlesMgassa 3 месяца назад
Jembe lipi wakat ni mjinga tu huyo anaweza hata akakumbia familia yake na kukaa na kimada
@joycebayo8106
@joycebayo8106 3 месяца назад
Chadema kwisha Habar
@mubarackmrisho2214
@mubarackmrisho2214 3 месяца назад
Hizi ndio siasa na wanasiasa wakitanzania
@TrustElbashil
@TrustElbashil 3 месяца назад
msigwa umeferi kisiasa
@youssefsanje8743
@youssefsanje8743 3 месяца назад
Oohweeeeeeeeeeeeeeeeee Sasa hii Chadema vip mbona usaliti kila siku
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 3 месяца назад
Kumbe na Msigwa ni chawa na changudoa wa kisiasa! Du, kweli kuna haja ya kuwaweka wanasiasa kama hawa kwenye kundi la makahaba. Njaa kweli kitu kibaya na humfanya mwenye kuiendekeza asione hata haya.
@ulimbagakipole3971
@ulimbagakipole3971 3 месяца назад
Chadema haifi kwa sababu ya wapenda madaraka.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 3 месяца назад
Sasa CCM itaangushwa na Wana CCM wenyewe ila siyo Chadema 😂😂😂
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 3 месяца назад
Harufu kama ya ushoga vile! nahisi rushwa rushwa.
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 3 месяца назад
Jamaa ka-bend backward
@DevothaLighton-dl6zi
@DevothaLighton-dl6zi 3 месяца назад
Chadema ni kubwa,nguvu ya pesa ya fisiem inatumika
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 3 месяца назад
Waritoka wengi ira Bado chadema iko imara Ani,
@Kachuba-w9p
@Kachuba-w9p 3 месяца назад
Mpina nenda tu huko na rula zako zile zakupimia samak 😅😅😅😅
@hastatz
@hastatz 3 месяца назад
Battery limevimba
@bishopprofvictorchisanga2009
@bishopprofvictorchisanga2009 3 месяца назад
P0LE SANA MSIGWA: TULIKUTUMAINI KAMA MWANAHARAKATI; KUMBE HUKUWA! BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA; JINA LA BWANA LIHIMIDIWE.
@MosesMnyantope-zw4ed
@MosesMnyantope-zw4ed 3 месяца назад
Du
Далее
A-Z Msigwa alivyotaka kuzichapa na DC
2:55
Просмотров 251 тыс.
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Просмотров 23 тыс.
Lissu AVUJISHA siri MSIGWA Kuhamia CCM Alihongwa PESA
17:55