Тёмный

#MEDANIZASIASA 

Star TV Habari
Подписаться 158 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

#ExclusiveInterview #StarTVTanzania #RaisMteuleTLS #BonifaceMwabukusi

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 34   
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 Месяц назад
Hongera sana Rais Wetu we are proud of you Mwabukusi
@jumannemwakalinga2586
@jumannemwakalinga2586 Месяц назад
Mtangazaji Odemba, hongera sana kwa umahiri wako katika tasnia ya habari. You are the best.
@leocadianjau7410
@leocadianjau7410 Месяц назад
Safi sana mhe Rais please do the same ...tunakuomba usije badilika kwenye kusimamia katiba na kupata katiba ya nchi Hongera sana Rais TLS
@AlbertLema
@AlbertLema Месяц назад
Congratulations Mr. President
@josephmuyanga299
@josephmuyanga299 Месяц назад
Chief Odemba. You're doing a great job. Uko vizuri bro. Hongera sana.
@massawemrlowprice3949
@massawemrlowprice3949 Месяц назад
TLS this time ni 🔥
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo Месяц назад
Nillikuwa wrong. Sikutegemea Kikeke angeanzisha media ya kuwakaribisha hata wapinzani wakaonekana! I am happy we happy we have Tv thai unbiasedly accepts all Tanzanians... Asante kaka, Salim!!
@user-lu8ny2gu7t
@user-lu8ny2gu7t Месяц назад
Mungu akutangulie ktk kila hatuwa utakayopiga maana maaduwi ni wengi
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Kweli kabisa@user, mh rais TLS apewe ulinzi mkali sana, kimsingi maadui zake ambao ni maadui wa haki ni wengi, alindwe
@user-zx8id6cl6c
@user-zx8id6cl6c Месяц назад
The Man of action,, we pray for you and God be with you.
@charleskingimwakasagule5752
@charleskingimwakasagule5752 Месяц назад
Mwambukusi nakutegemea sana kiongoza mungu akubaliki
@fredrickkashinje894
@fredrickkashinje894 Месяц назад
Tanzania kuna Odemba na Kikeke tu.😂😂 Wapokee maua yao
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 Месяц назад
Boniface mwabukusi!!! umejaaa ufahamu busara👍👍👍 unajibu ipasavyo.
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Месяц назад
Uturivu ukizi unageuka ujinga
@rasnchimbi
@rasnchimbi Месяц назад
Sasa TLS waungane na vyama taasisi,wanaharakati na wananchi wote ifunguliwe kesi ya 👇🏿 #katibampyanisasa #TUSIKUBALIKUSHIRIKICHAGUZIBILAKATIBAMPYA !Hiyo ni kushiriki Dhambi(kujikabidhi kwa shetani) !✍️🏿
@RaphaelMachinda-ih5we
@RaphaelMachinda-ih5we Месяц назад
Kisasi nicha Mungu❤ musamaha musamaha
@iamnas95
@iamnas95 Месяц назад
Tunahitaji watu 10 kama huyu mwamba ili kila kitu kiende sawa 12:53
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd Месяц назад
Piwefull man mwabukusi
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 Месяц назад
Safi sana mtangazaji bora kabisa
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd Месяц назад
Serikali kama inakataa amuli ya mahakama je wananchi na sisi tutaanza kukataa amli za mahakama sasa je serikali ya namna hii inafaa kutuomgoza waswahili mpo
@AshekironikamanyongaKama-yi3hg
@AshekironikamanyongaKama-yi3hg Месяц назад
Huyo Bwana Nana Nyumba Mbinguni
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Месяц назад
👊👍✌️.
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Месяц назад
Mwabukusi wewe unajuwa kunyosha na kurekebisha hata hayo matatizo ya jamii ya kisheria, Viburi vya viongozi ndiyo tatizo ktk jamii yetu,
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
Utawala ni km sauti ya radio kunawatu hupenda sauti kubwa ndio afurahahi moyoni mwake kunawengine hata sauti ndongo anafurahi Sasa Kuna tofouti ktk ya mtuu aliozoea sauti ndongo ukimpigia sauti kubwa huona unampigia kelele unamnyima uhuru wake na yule wa sauti ndongo huona unamnyima uhuru wake sauti kubwa akiweka ndongo unamnyima uhuru wake Sasa basi hata utawala ni hivyo hivyo ukitoa sauti ndongo wengine wanakuzarau mpaka sauti Kali mwengine hiyo hiyo ndogo anakuelewa tuu ndio mfumo wa kuitawala ktk nchi Sasa hao wanao lalamika ni wala rushwa wapiga deal hawapendi mtu mkweli na ndio wengi ktk mataifa yetu ya kiafrica
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 Месяц назад
Mwambuku,viva.hii ndo kweli,tunatarajiNuru itagawanywa saaaana.maswali ya huyo mwongozaji ni mmmmmm!
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Месяц назад
Raisi mseveni anawaita panya ndani ya nyumba
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Месяц назад
Wagombanao Ndiyo wapanao,watasameeana wachape kazi
@SmartOfficial-u5j
@SmartOfficial-u5j Месяц назад
Tafuta walinzi wako ndugu boni rais
@illomowerner7690
@illomowerner7690 Месяц назад
Kweli kabisa Mr user, apewe ulinzi mkali sana
@MukhtarBurah
@MukhtarBurah Месяц назад
KWA NINI VIONGOZI WETU WANAWASAMINI SANA WAGENI KULIKO WAZAWA NA KUWAUZIA WAGENI ARIDH NA ASILIMALI ZETU KWA AWA WARABU NA WAZUNGU?UKU WATANZANIA WAKIWA MASIKINI WA KUTUPWA NA MALI ZETU ZIKIONDOKA NA WAGENI......
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 Месяц назад
Pia mpira,amepanda alichopanda.ebo
@ezekielezekiely8476
@ezekielezekiely8476 Месяц назад
Makondakta,amepanda alicho vuna,
@robisonikadogo7371
@robisonikadogo7371 Месяц назад
Uyo anaye takakukata rufaa Ana rake jambo nikumuangaria kwa makini
Далее
#MEDANIKUULIVE:MDAHALO WA WAGOMBEA URAIS TLS - 27/07/2024
2:37:51
Doors Harpy Hare (Doors 2 Animation)
00:16
Просмотров 869 тыс.
Каха и жена (недопонимание)
00:37
MPINA MBUNGE WA KISESA JUKWAANI
4:15
Просмотров 375
Doors Harpy Hare (Doors 2 Animation)
00:16
Просмотров 869 тыс.