Uchaguzi ule ulifuatiliwa na watu wengi na wakijua Mwabukusi utapita Kwa kura nyingi na imekuwa hivyo. Tuna Imani utaonyesha njia kwa kufuata KATIBA Ili haki itamalaki Kwa watu wetu na maendeleo Yao na Ili tuseme yes Mwabukusi.
Mungu akutunze mh wakili raisi wa TLS tunatumaini mtatuvusha kutoka hapo tulipo na kusonga mbele hasa ktk mageuzi ya Sheria kandamizi inayopitishwa na wabunge wa chama kimoja hasa wale wasio na Elimu yakutosha wamebaki kupiga makofi tu na kushangilia
Safi. ❤ Mwabhukusi. Mzalendo WA kweli ndio huyu. Laiti chaguzi ZETU zingekuwa haziingiliwi na mashetani waliojificha kwenye rangi ya kijani na njano nchi yetu ingekuwa mbali sana. LAKINI tunamshukuru MUNGU hatayaacha hayo mashetani yaendelee kuitesa Tanganyika.
TLS - Mwabukusi BUNGE - Tulia Mbeya kuna Vichwa eeeh!? But napata Maswali hawa watu wana Ushirikiano..? Kukiwa na ushirikiano litakuja jambo Jema sana..kwenye jambo Haki kuna Changamoto sana..na wahusika wanaosababisha haya ni Mawakili wanaendekeza sana njaa.
Mimi niko KIGOMA nimejisikia vzr mno kwa kuchaguliwa,hakika wewe nimtu wakipekee kwa kutetea maswala yakijamii wara wewe siyo mbabaishaji piga kazi ipaswavyo
Si kweli. Nadhani huna ufahamu wa neno SIASA. Anazungumzia wanasheria, sheria, haki za watu, na mahakama. Hivyo vitu vyote ni ishu za SHERIA. au ulivyosikia kazungumzia mikataba ya taifa na chaguzi Ukadhani ni SIASA.
Weee mpuuuzi kweli hao viongozi waliopita wote wamechanganya na siasa mbona hukusema !!!??? Tena huyu ndiyo akachanganye sana kabisa kwa maendeleo ya Wananchi wa Tanzania.
@@DanstanMushoboziHuyo hana lolote ni mshabiki tu wa serikali ya CCM wakat viongozi wote wamepita wako ndani ya siasa na walifuata upepo wa serikali iliyopo madarakani ! !!!! Tatizo hlo hakuona !??? Huyo ni chawa na Shabiki wa Mafisadi tu.
Kwahiyo wewe huoni kama wamasai hawatendewi haki? Wewe ndio unaleta siasa. Labda wewe hauna kwenu na kama unako haueshimu mila na destuli za asili yako. Sio jambo jipya serikari kuamisha watu ila haijawahi kutokea kabila zima kuamishwa kwenda kwenye mkoa hauna mausiano na asili yao hilo halijawahi kutokea hata wakati wa wakoloni. Ni muhimu kuwatetea sio siasa.