Тёмный

MGOMO SIMU 2000 WAMUIBUA CHALAMILA 

EastAfricaTV
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 184
50% 1

Wafanyabiashara wa soko la Simu 2000, wamefunga barabara ya kuingia na kutoka katika kituo cha Mabasi pamoja na Maduka yao wakiishinikiza Serikali kutoa tamko juu ya taarifa iliyotolewa na manispaa ya Ubungo kuwa eneo lao la biashara kuchukuliwa na mradi wa Mabasi yaendayo haraka(DART), huku wao wakiwa hawana taarifa.
Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Опубликовано:

 

6 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 1   
@EdwardOkemba
@EdwardOkemba 2 месяца назад
Mkuu wa mkoa nimekupa big up sana kwa kuwajalia wafanya biashara wadogo hao
Далее
Women’s Celebrations + Men’s 😮‍💨
00:20
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Просмотров 5 млн