Тёмный

MH. TUNDU LISSU AWASHA MOTO KATA YA MWANGEZA JIMBO LA MKALAMA 

Chadema Media TV
Подписаться 215 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@patrickmanasi6831
@patrickmanasi6831 4 месяца назад
Chadema, nawaombea mwenyezi Mungu awape uongozi wa Tanganyika na kati a mpya
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 4 месяца назад
Nyinyi ccm mchukulieni poa lissu anamwaga upupu anawapa uelewa watu ngoja uchaguzi uje wanainchi wanahasira hali ni mbaya sana
@davidkawesa3594
@davidkawesa3594 4 месяца назад
Nzuri na sio baya
@salama1113
@salama1113 4 месяца назад
Mungu atatenda majabu kwako inshaallah
@ElizabethMwalongo
@ElizabethMwalongo 4 месяца назад
Tundulisu Lissu ni Mwalimu asiekuelewa ni Mjinga wa mwisho Mungu nakusihi endelea kumkumbatia Huyu mwanao aliekufa ukamrudisha maana risasi moja watu wanakufa hivo kwa risasi Hizo hapo umetuthibitishia jinsi gani ulivyo Mkuu hufananishwi kabisaaa🙏🙏
@AliJussa
@AliJussa 4 месяца назад
Sijui unafundisha nini jamii ya sasa kusema Sio mama wa wengine 😢, hii itaje kuanza kudharauliana kwa jamii yetu, badae mje mseme jamii imeharibika
@CharlesAndrea-sj8xr
@CharlesAndrea-sj8xr 4 месяца назад
Karibu mkalama nyumbani
@emmanuelkaale6448
@emmanuelkaale6448 4 месяца назад
Idadi ya wanafunzi na walimu haiendani, kusababisha elimu inayotolewa kua duni, na kupelekea kuzalisha watu wengi wenye elimu duni mtaani
@joshuac.mashida1378
@joshuac.mashida1378 4 месяца назад
Wachangiaji tusiwaonee haya ccm wanatuchelewesha nakuhalibu vizazi vyetu Tanzania co masikini kivile vyanzo vikubwa ni vya mapato ya nchi iii mafisadi wamegawana leo wanakusanya Kodi kweli kwa bibi zetu mamazetu wajane wtt yatima ,mageti kuweka vijijin nikuwanyonya masikini hata ss wanaharakati tunaunga mkomo majambazi nchi imeshindwa kujiendesha inaendeshwa na nchi zingine Katiba mbovu
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 4 месяца назад
Upo sawa haitakiwi aibu
@lgf7297
@lgf7297 4 месяца назад
Jamaa kasahau, kawasahau wapiga kura wake
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk 4 месяца назад
Wewe ndiye Sababu ya kusahauu si kila siku unampa yako lako!!
@MmbagaMmbaga
@MmbagaMmbaga 4 месяца назад
Eti elimu bure alafu maji anauziwa
@emmanuelkaale6448
@emmanuelkaale6448 4 месяца назад
Wanafunzi wengi walimu wachache, inapelekea kuchanga pesa za asomo ya ziada na kupata walimu wa ziada, Maana ya elimu bure ni mtihani
@jovitherkaijage614
@jovitherkaijage614 4 месяца назад
Kumbe ndio sababu siku izi mmefungua maduka ya dawa katikati ya hospital ? Wewe unaona iyo sawa kuiga mabaya na unyonyaji wa Marecani?
@warrenmgode1837
@warrenmgode1837 4 месяца назад
Nakupata meanasheliya anayeekimisha
@patrickmanasi6831
@patrickmanasi6831 4 месяца назад
Mpate katiba mpya irekebishe dosari iliyomo kwenye muungano usio na usawa
@AliJussa
@AliJussa 4 месяца назад
Kwa maelezo yako hutaki Kodi kwa wananchi? Nchi yoyote huendeshwa kwa hela za raia wake, labda elimu ndogo ya rais unao waambia ndio watahisi wanaibiwa, Kwa wenzetu hata nyumba ya mtu ipo kwenye mfumo wa kodi, tena ni nchi zilizo endelea😢
@francismomo7067
@francismomo7067 4 месяца назад
Lakin sio Kwa hiz Kodi likuki....na
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 месяца назад
😅😅😅😅 wewe zombie
@Abs-tz8dl
@Abs-tz8dl 4 месяца назад
Kodi zinaliwa, sio hataki kodi
@nixonjohnson4908
@nixonjohnson4908 4 месяца назад
Huu ni wizi ..wenzetu kodi zinafanya kazi sio kuibiwa
@AliJussa
@AliJussa 4 месяца назад
@@nixonjohnson4908 msilipe kodi kisha mkae kimya
@tanzanite9944
@tanzanite9944 4 месяца назад
HichibKokokotoo cha a miaka 30 kwani atakuwa Rais ni mmoja tu Tanzania? Hizi Sentensi hizi Ukweli Labda wajinga tuu wataamini. Kwenda hospital na kuambiwa kwenda Kununua Dawa pharmacy hata Marekani inafanya hivyo na sio Tanzania tuu. Marekani mtu unaulizwa ni Pharmacy gani unayotumia ili Prescription zitumwe kwenye hiyo pharmacy mtu akifika ananunua Dawa alizoandikiwa unless Isurance inalipia. Hivyo mambo ya kulipia Dawa sio Tanzania tuu tuache kudanganyana.
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 4 месяца назад
Sawa bwana chawa wa ccm unae ona serikali iko sawa na tanzania ina piga hatua kulingana na rasilimali zilizopo
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 4 месяца назад
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@jovitherkaijage614
@jovitherkaijage614 4 месяца назад
Tuige mazuri sio mabaya ya marecani
@richardnganya2311
@richardnganya2311 4 месяца назад
Kumbe kuna msd Marekani !!
@youngsachafurniture5482
@youngsachafurniture5482 4 месяца назад
Fisiemu
Далее
Думайте сами блин
18:15
Просмотров 496 тыс.
HOTUBA YA LISSU IKUNGI SINGIDA
43:34
Просмотров 16 тыс.