Тёмный

TUNDU LISSU ASHUKA KATA YA IBAGA KWA MARA YA KWANZA NA KUSHUSHA NONDO ZA UHAKIKA 

Chadema Media TV
Подписаться 215 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 24   
@zebidamakwasa5206
@zebidamakwasa5206 4 месяца назад
Viongozi wa CHADEMA wooooteee nawapenda sana MUNGU BABA awakumbatie,awafunike na DAMU YA YESU awalinde awatunze, SHETANI kwenu achomwe kwa damu ya YESU AMINA
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 4 месяца назад
Together as one. Hii ni sauti ya ukombozi.
@kakawataifa6752
@kakawataifa6752 4 месяца назад
Wtz tumebarikiwa kupata viongozi lakini hujuma za ccm zimefika mwisho mbele za mungu na wtz kwa ujumla .Baada ya nyerere ni Lisu
@minazsaid2470
@minazsaid2470 4 месяца назад
Safi sana
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 4 месяца назад
Umesema kweli tupu, sote tumuunge mkono Mzalendo huyu ndugu yetu Tundu Lisu.
@ChristerKoku
@ChristerKoku 4 месяца назад
Tundu Lisu uwa ni muelewa na mkweli tumuunge mkono kwenye ukweli.tuache kumbeza.
@salummohamed2689
@salummohamed2689 4 месяца назад
Tunafuatilia lakini yanauma sana kwa vile mtoto akifaulu hapa Tanzania ni majuto kwa mzazi.
@gasperngooh4267
@gasperngooh4267 4 месяца назад
Sijawahi kukosa kufuatilia hutuba zako kamanda lissu na huwa sitamani umalize kuongea. Mungu akubariki sana na kukulinda kila upitapo. Kura yangu unayo iwe ubunge au urais
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 4 месяца назад
Tundulissu ndiyo kiongozi ambae kwa sasa ana msimamo wa kusema ukweli,tumuunge mkono katika uchaguzi huu 2024/2025, Mwananchi unaejitambua amka usilale muda ndiyo huu, tusichague ccm ikrudi madarakani ni shida na mateso kwa Wananchi.
@eliasnganira7661
@eliasnganira7661 4 месяца назад
Watu wamejitokeza kwa wingi bila kusombwa na malori
@mathewyoung2159
@mathewyoung2159 4 месяца назад
Pamoja San kamanda
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 4 месяца назад
Tutakuelewa TU ila pambana na ukweli ujawai kusema uongo tz ya wapigaji mungu akurinde
@msabahaali758
@msabahaali758 4 месяца назад
kutoka Zanzibar niko na wewe lissu kura yangu inakusubiri mpka Zanzibar wewe ni mtetezi wetu
@zebidamakwasa5206
@zebidamakwasa5206 4 месяца назад
Tunawaomba VIONGOZI Wetu chadema muungane km MUNGU BABA NA MWANA ROHO MTAKATIFU tutashinda
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 4 месяца назад
Ubarikiwe lisu wewe ndie mzalendo wa inchi hii sio wale wa kijani,,,au ccm ambao kazi Yao ni kusifia kuiba kula na mengine mengi mabaya luki
@SalambaPeter
@SalambaPeter 4 месяца назад
Kumwelewa lisu inatakiwa akili kubwa na kama una akili ndogo hutoelewa mi nakuelewa saaana kamanda wangu
@evelina9621
@evelina9621 4 месяца назад
Ccm.hawajui.mskonda.anawa.waumbua.viongozi.ccm.hawajitambui
@TumtukuzeMbise
@TumtukuzeMbise 4 месяца назад
Lisu kamanda mkoa wa arusha kumbukeni huku tunawasubiri hukutunaambiwa eti ccm ndo wanajifanya wanazibiti wezi na wazembe wakati ccm ni ileile Yani atujui hii danganyatoto chuga wameitoa wapi arusha elimu ilishawafikia siku nyingi awasikilizagi sarakasi lisu karibu
@evelina9621
@evelina9621 4 месяца назад
Zamani.wasomi.walikuwa.wana.chaguliwa.kwa.makizi.sasa.mtoto.wa.mkubwa.inauma.hata Bububu Hajui.makonda Anawaumbua Waoni
@januarysungura8119
@januarysungura8119 4 месяца назад
kwa kweli kama lisu asemavyo ,wakati mwingine watu wa ccm tena masikini wakubwa wanaonyanyasika kwa ukubwa ndio wanaowapa kura ccm na mwishowe wanalia na kufa hovyo na presha za maisha magumu msongo wa mawazo na woga wa maisha
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 4 месяца назад
👍👊✌️。
@evelina9621
@evelina9621 4 месяца назад
Lisu.vigere.shagwe.viongozi.mjitafakari.uchungu.mkubwa.mama.angalia.maskini.mkumbuke.mungu.wazee.wasikupoteshe.acha.maneno Ccm.ina Wwnyewe
@MrMwinyi
@MrMwinyi 4 месяца назад
Huu ni moto mwingine kabisa... hii shule ikiendelea hivi waliolala wataamka tuuu
@MmbagaMmbaga
@MmbagaMmbaga 4 месяца назад
Eti tulinde mazingira, tunapewa mkazo muzingu,anapewa anachimba akimalza tunaachiwa vifusi,
Далее
NI SUGU AU MSIGWA? NANI AMEKUSHAWISHI?
33:48
Просмотров 16 тыс.
Tundu Lissu Alivyoitikisa Babati Kwa Hotuba Nzito
1:16:54
Aliyosema Tundu Lissu Bungeni leo
20:08
Просмотров 99 тыс.