Тёмный

MHE. JOSEPH MUSUKUMA AKISHUSHA NONDO NDANI YA Clouds360 ON SATURDAY Part-1 

GIBSON GEORGE
Подписаться 7 тыс.
Просмотров 221 тыс.
50% 1

Tazama mahojiano kati ya Watangazaji wa Clouds360 on Saturday na Mbunge wa Geita Mhe. Joseph Musukuma

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 121   
@chapchaptv3730
@chapchaptv3730 4 года назад
Mtu makini sanaa
@barakamunisi3562
@barakamunisi3562 4 года назад
Mh. Msukuma unajitambua sana
@barakandola3066
@barakandola3066 5 лет назад
Mh,wewe unajielewa sana mm naamini hata hao wanaojiita wasomi hawana uelewa km we,Mungu akubariki
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 3 года назад
King msukuma,wewe ni zaidi ya wanaojiita ni wasomi na wataalamu. Umewazidi wenye kujisifia wasomi kumbe vilaza. Hongera sana msukuma
@mamahustru
@mamahustru 6 лет назад
Msukuma uko kichwa sana kuliko wanaojiita Wasomi.
@margarethsolomon9823
@margarethsolomon9823 7 лет назад
Joseph Kasheku Msukuma upo vizuri sana. Kaza buti hivyo hivyo na elimu yako hiyo hiyo. Unauwezo wa kujibu maswali vizuri.
@sawanjema4166
@sawanjema4166 6 лет назад
ndugu yangu msukuma mshukuru mungu tu.kuna wengine wana elimu lakini haiwasaidii.
@elminakalunga4030
@elminakalunga4030 7 лет назад
Mwanahabari nakupongeza. Unaongoza vizuri mjadala. Mh. Msukuma big-up unaeleza vizuri hilo 'dongo'.
@gibsongeorge239
@gibsongeorge239 7 лет назад
Elimina Kalunga Asante sana..shukran kwa kufatilia
@farajiabdalla4251
@farajiabdalla4251 6 лет назад
Hongera sana mh msukuma kwa kujielewa na kujitambua umewazidi wasomi wetu makubwa wengine wakijiita wanasheria.
@gasperheleli2980
@gasperheleli2980 5 лет назад
Hoye
@williamenos7641
@williamenos7641 6 лет назад
King Musukuma namkubali Sana tena sana
@jamesjacob7548
@jamesjacob7548 5 лет назад
Man we kichwa waelimishe man bigup
@edwardkasubi1495
@edwardkasubi1495 6 лет назад
Poleeee mtangazaji tatizo wabunge walio wengi pale Bungeni huwa wanatamka NDIYOOOOOOOO
@godfreywebiro4058
@godfreywebiro4058 6 лет назад
Siza Aliekuvalisha Mungu Anamuona...
@norahafrika9079
@norahafrika9079 6 лет назад
Nakupenda sana msukuma!!wew nifrofesa siamin km std7....😀😀wasom watanzani wanakariri tuu uko vizuri sana
@jameswillson8685
@jameswillson8685 4 года назад
KG msukuma uko sawa mbunge wetu wa ibisa bageni geita
@gracemima5234
@gracemima5234 4 года назад
Nampenda sana Msukima. Ni kijana amewazidi wenye madigrii. Ana Akiri hata ya kuongoza nchi Kusoma pekee haitoshi mpaka uwe na common sense. Akiri za kuzaliwa.?
@zeblufingo8361
@zeblufingo8361 6 лет назад
nakupenda msukuma kwa kusema ukweli ila akili yako ni zaidi profesa na maprofesa wetu ni zaidi ya yule mtundu wa kulisu.
@muhidinmohamed9559
@muhidinmohamed9559 6 лет назад
Kwakweli musukuma uko vzr sana nikupogeze sana mungu akutangulie
@cisseafricamedia1212
@cisseafricamedia1212 7 лет назад
Daaa baraaa msukuma noma patamu kwenye kwishi na mtu bila kumjua kuwa ninani serikarini.
@yohabumlelwa2316
@yohabumlelwa2316 7 лет назад
Nakukubali sana nakupenda kwa siasa zako msukuma
@kojjofoloza5696
@kojjofoloza5696 7 лет назад
LA saba oyeeeeee
@lamecktheonest225
@lamecktheonest225 5 лет назад
KOJJO FOLOZA nawe kumbe mwenzetu,, ama umetufagilia tu 😁😁
@sawanjema4166
@sawanjema4166 6 лет назад
hongera msukuma hata uko vizuri.enzi za mwalimu walikuwa wanafauru shule za mjini tu.kama mimi nilikuwa nasoma msingi lakini sekondari nilikuwa sijui ilikuwa wapi ya kwenda mimi hata kama kwa bahati mbaya ningechaguliwa.
@enockseme2246
@enockseme2246 6 лет назад
King we ni "profesa" sio darasa la saba, naomba uniruhusu niwe nakuita Prof. King Msukuma, hoja zako zinaonyesha uwezo wako mkubwa wa kuchambua mambo na kuisaidia jamii!
@poulbonifaci2847
@poulbonifaci2847 5 лет назад
musukumà. uko.vizuri.sana.endelea.
@harunamakwepa1154
@harunamakwepa1154 4 года назад
@@poulbonifaci2847 7777777777777www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/xm7K.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/xm7K.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/Sr8m.giwww.tenor.co/2laQ.gifwww.tenor.co/3ziH.gif www.tenor.co/3ziH.gif www.tenor.co/3ziH.gif www.tenor.co/3ziH.gif www.tenor.co/3ziH.gifwww.tenor.co/x33Q.gif www.tenor.co/x33Q.gif www.tenor.co/x33Q.gif www.tenor.co/x33Q.gif 777777777www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/xm7K.gif www.tenor.co/u1Hm.gif www.tenor.co/u1Hm.gif www.tenor.co/u1Hm.gif www.tenor.co/xm7K.gif7www.tenor.co/XCTb.gif www.tenor.co/o4kZ.gif www.tenor.co/o4kZ.gif www.tenor.co/LiWH.gif www.tenor.co/o4kZ.gif www.tenor.co/3ziH.gif www.tenor.co/3ziH.gif www.tenor.co/5fTI.gif www.tenor.co/3ziH.gif fwww.tenor.co/2laQ.gif www.tenor.co/xmzq.gif www.tenor.co/xmzq.gif www.tenor.co/NfFX.gif www.tenor.co/NfFX.gif
@immamwandolela6851
@immamwandolela6851 5 лет назад
Nakukubali mchimbaji mwenzangu madini tupewe kipaumbele wazawa tunaofaham maeneo
@rafiahamadi9787
@rafiahamadi9787 4 года назад
Msukuma oyeeeeee na kukubali sana
@paulmaziku240
@paulmaziku240 6 лет назад
Jamaa ana IQ kubwa sana. Alirudia mara 4 sio kwa kuwa alikuwa anafeli..,shida ilikuwa mfumo wa kupata nafasi ya kwenda kujiendeleza kusoma..!
@habibumabina113
@habibumabina113 7 лет назад
Msukuma God bless you
@TheBg09
@TheBg09 6 лет назад
Msukuma timamu sanaa
@simiontuya4941
@simiontuya4941 6 лет назад
Hongera bro jikubar mwenyewe ndo wengine wakukubar
@selemanisaid2214
@selemanisaid2214 7 лет назад
Nakukubali sana tena sana
@masanjaemanuel6314
@masanjaemanuel6314 4 года назад
Big up 2 u brother msukuma,,,nagotogwa sana imiza bhabha.....
@sawanjema4166
@sawanjema4166 6 лет назад
kumtumikia mungu elimu, kazi,ndiyo mpango mzuri wa maisha
@salmadalaquimane5303
@salmadalaquimane5303 5 лет назад
Una ongeaga point sana kka
@sembosayenda7182
@sembosayenda7182 6 лет назад
Rasaba oyeeee msukuma bna
@mwikamwika4851
@mwikamwika4851 6 лет назад
Hongera sana msukuma. Uko vzuri sana na mkweli
@johnemmanuel456
@johnemmanuel456 5 лет назад
Jamani msukuma
@adilinanduguze2464
@adilinanduguze2464 6 лет назад
Nakuelewa sana mh Msukuma
@monicajapheth8564
@monicajapheth8564 6 лет назад
uko vizur sana msukuma..pongezi kwako.
@MsAggie5
@MsAggie5 7 лет назад
Big up Musukuma, uongozi ni kipaji sio elimu, Ma raisi na mawaziri mafisadi wote walikuwa wana elimu nzuri lakini walitusaidia nini? La saba oyeee! Mkweli na anajua kuongea kuliko wasomi I real love him. Akisimama bungeni anaongea points kuliko wasomi wanao sinzia 😂
@ajuayedenis2125
@ajuayedenis2125 4 года назад
Yaan uyu binadamu ata ulais anastaili
@tungarazalaurent2602
@tungarazalaurent2602 7 лет назад
big up msukuma
@mandegoro9322
@mandegoro9322 5 лет назад
Waandishi mpo vizuri sana. Chapeni kazi wadogo zangy.
@kiatu
@kiatu 5 лет назад
...ni kweli mfumo umechangia sana watu wengi kuishia la saba, kuishia kitado cha nne hata kutopata nafasi ya kuingia chuo kikuu. Ni mlolongo wa vikwazo.
@zephaniahkinuno7473
@zephaniahkinuno7473 5 лет назад
Mh, msukuma ni mzee sana kumbe!!!,,
@lilianmwaisemba5503
@lilianmwaisemba5503 6 лет назад
Huyu mheshimiwa sio la saba
@andrewmwita119
@andrewmwita119 5 лет назад
Duh msukuma nakuunga mkono kabisa hata Mimi watu weupe siwapendi hata kidogo kabisa
@petermwesiga3109
@petermwesiga3109 6 лет назад
Nimekuekewa kiongozi
@franciscomohamedjumanne1136
@franciscomohamedjumanne1136 7 лет назад
dah we nomaa
@amanrashid9993
@amanrashid9993 6 лет назад
mmmsukumaa
@princeatufigwege2638
@princeatufigwege2638 7 лет назад
Nakukubali sana broy
@jiyabothomas995
@jiyabothomas995 7 лет назад
uko vzr
@silassteven9639
@silassteven9639 6 лет назад
msukuma msukuma we ninomaaaaa unajenga hoja katka majibu yako.
@georgegazo1231
@georgegazo1231 6 лет назад
uko vizuri sana ni zaidi ya Chuo kikuu
@msichokemchafu7370
@msichokemchafu7370 5 лет назад
msukuma upo vizuri
@zeblufingo8361
@zeblufingo8361 6 лет назад
HUYU NDIYE MBUNGE MKWELI KKULIKO WOTE.MTU KUELEZA UDHAIFU WAKO NI KAZI. AMERUDIA SHULE MARA MBILI BADO AKAFELI, WENGINE WANAFICHA HUKU KWELI WALIKALILI. MSUKUMA OYEEEEEEEEEEEEE!
@hamzabwigiri9103
@hamzabwigiri9103 4 года назад
alhamdulillah uko vyema kabisa
@josephsetebe8294
@josephsetebe8294 7 лет назад
mh saruti sana kwako
@ar-rahmantv4007
@ar-rahmantv4007 7 лет назад
Ukosawa hata Mimi nikitazama wasomi wetu hawana jipya zaidi ya kuchanganya kiswahili na kingereza
@manoahwilliam56
@manoahwilliam56 7 лет назад
Mkuu, ikiwezekana mtafuteni Msukuma kuhusu Sakata linaloendelea Geita.
@gibsongeorge239
@gibsongeorge239 7 лет назад
Manoah William haina shaka,tutamtafuta
@shabanomary4559
@shabanomary4559 7 лет назад
Manoah William kweli kabisa
@flolaluambano3215
@flolaluambano3215 2 года назад
Hb wangu huyo
@burudanitv874
@burudanitv874 5 лет назад
big brain
@raymondhaule6947
@raymondhaule6947 7 лет назад
mheshimiwa msukuma mimi nakuunga mkono kabisa unajuwa angalia hata nafasi ya udereva tu unakuta mtu wa amejifunza kingereza anaonge vizuri anaweza kuandika ameenda National institute of transport grade one and two tena so hii ya weki mbli ni ya dar ya mwezi mmoja kalipa 350000 wa grade one na 350000 ya grade two bado hajala kwa muda wa mwezi mmoja na bado hajalipa kulala kwa awamu zote mbilina anauzoefu wa miaka zaidi ya kumi kazini kwa vile hana chet cha form four cha max ya 0 hastahili kufanya kazi serekalini aukwenye mashirika yasiyo ya kiserekai hivi hiii ni halali kweli mbapo ukimweka huyo dereva wa 4m 4 na huyu wa darasa la saba wajieleze kwa kingereza huyu wa la saba anaongea vizuri kuliko wa 4m 4 jamani kweli hiii ni halali kweli naomba tubadilike mimi naamiani kuna madereva wengi wazuri sana wa darasa la saba kuliko hao wa 4m 4 mheshimiwa rais nomba uliangaliye hilo nakuunga mkono msukuma kwa 100 %
@sharifa2274
@sharifa2274 6 лет назад
Raymond Haule huyu jamaa noma nimkweli na mpenda
@renaldakamugishazeramulake940
@renaldakamugishazeramulake940 6 лет назад
Akien CHADEMA ataitwa mfalme.
@chene6184
@chene6184 7 лет назад
Ukopoa Sana msukuma
@lexisavage1770
@lexisavage1770 5 лет назад
rais wetu mpendwa Magufuli hoyeeeeeee Msukuma hoyeeeeee
@ramadhanmsaghaa6340
@ramadhanmsaghaa6340 6 лет назад
Alicho kisema musukuma MTU akisoma sana hawezi kufanya biashara na kama wapo ni wachache saaaana , wafanya biashara wengi wanaelimu ya kawaida tuu
@sawanjema4166
@sawanjema4166 6 лет назад
wengine wana elimu wanatembea uchi mitaani. hawajui matumizi yake.
@samateryussuf5938
@samateryussuf5938 5 лет назад
msukuma ni mkundu tu
@mecksonjoseph7892
@mecksonjoseph7892 4 года назад
We ndo mavi unae pandwa asubuhi na jioni ...mpaka uwelewa wako ume ishia matakoni
@amayoemanuel3918
@amayoemanuel3918 6 лет назад
ligi ya uigereza leo
@eliyadaudi7705
@eliyadaudi7705 6 лет назад
kiukweli msukuma hatar
@hamismasoud8306
@hamismasoud8306 6 лет назад
Huyu jamaa namkubali sana ina maana kusoma na kuelimika wengi wamesoma lkn hawajelimika.
@sembosayenda7182
@sembosayenda7182 6 лет назад
Msukuma noma RPC geita hata kusahau ...
@lexisavage1770
@lexisavage1770 5 лет назад
mheshimiwa Joseph Msukuma tunakupenda sana kwa kuongea wazi mambo yalivyo na hekima na akili ulizonazo na tunakuamgalia unapoongea vitu muhimu na vya busara mbele ya rais , bungeni etc unamsaidia rais wetu mpendwa Magufuli tunakupenda sana na wewe pia tunakupenda msaidie rais wetu asanteni sana
@michaelminja9340
@michaelminja9340 7 лет назад
nitakupa kura yangu tena
@nyaturuboy1068
@nyaturuboy1068 7 лет назад
FM 3 flan ivii
@hassanabdallah5290
@hassanabdallah5290 7 лет назад
hassan abdallah meja saruti sn mh.
@elisantewawa3047
@elisantewawa3047 7 лет назад
kweli nimeamini kusoma sana sio kujua kilakitu tusome lakini tuwe wa zalendo huyu msukuma la 7 kichwa kiko kazini wa somi wengi kwa msukuma mmefeli
@tembasimba9462
@tembasimba9462 6 лет назад
ACHA MAWAZO FINYU, TUTAPATA WAPI WALIMU, MADAKTARI NA WATAALAMU WENGINE WATU WOTE WAKIISHIA DARASA LA SABA?
@upendorobert7298
@upendorobert7298 6 лет назад
kasheku musukuma. nikipiga hesabu una kama miaka 45 hivi, lakini unaonekana kama 35 hivi. nini siri ya kuwa na baby face hata live nimekuona, may be natural food
@sawanjema4166
@sawanjema4166 6 лет назад
fanya kazi kama msukuma. kama una elimu hufanyi kazi elimu yako inakusaidia nini? nainatusaidia nini sisi kama taifa
@ponisomgendera7483
@ponisomgendera7483 6 лет назад
😁😁😁😁
@mzalendomzalendo2567
@mzalendomzalendo2567 5 лет назад
Published 31 july!!!!!
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 7 лет назад
najivunia msukuma wewe unatufunya tujivunie
@subramashs2236
@subramashs2236 7 лет назад
Zumbe Shauri nakukubali msujuma songs mbele
@yohabumlelwa2316
@yohabumlelwa2316 7 лет назад
Nyie wambea sana
@isacksambe2380
@isacksambe2380 6 лет назад
Yanga
@filbertnashon7160
@filbertnashon7160 5 лет назад
Kasura kadogo i'la kaumri kameenda, Darasa la 7:miaka ya 70😀😀😀😀Safi Saana KAKA
@manoahwilliam56
@manoahwilliam56 7 лет назад
Mumhoji kuhusu Mgogoro wake na RPC unatokana na nini?
@ahmedadan1915
@ahmedadan1915 4 года назад
huyo hana faida mpaka leo twamdai kodi yetu huyo alipanga duka kwetu alitoroka na kodi yetu
@MhangwaNguno
@MhangwaNguno 4 месяца назад
Azam v/s simba sc
@serianjamal8254
@serianjamal8254 5 лет назад
Yaani jinsi huku uingereza unanunua pete tu moja yenye madini ya tanzanite tunanunua £ 2200 angalia jinsi tunavyoibiwa wakati muheshimiwa Msukuma anasema tunalipwa dollars laki mbili kwa uchimbaji jamani. Tunaibiwa 😂
@stnrboy8341
@stnrboy8341 6 лет назад
Kumbe ana cm kubwa huwa anavunga unaona kaitoa kisiri siri nazani alipigiwa apo
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 6 лет назад
Nikweli Mtani mimi nimesoma darasa 7 nina miaka mingi naishi ughaibuni ni poa tu
@omarimsangi5820
@omarimsangi5820 5 лет назад
Glorifying idiots will take this country no where!!!! Mnataka vijana wetu wadogo waone kwamba upumbavu ni dili waache shule ili wakauze miwa ili wawe matajiri ?
@wasafiplustv724
@wasafiplustv724 3 года назад
Usichanganye mafaili, alichomaanisha Ni kuwa wasomi lazima watu wenye uwezo mkubwa wa kimawazo na kuchambua mambo
@jeremiahmasanzure6854
@jeremiahmasanzure6854 7 лет назад
😂😂😂😂😂
@jubimansmbise4386
@jubimansmbise4386 7 лет назад
Yaani umerepeat mara nne bado ukashidwa kwenda sec.kweli hamnazo!!
@donatusidominic6708
@donatusidominic6708 7 лет назад
Jubimans Mbise Sio kwamba alikuwa anafeli .shida nikuipata nafasi hiyo ya kwenda sekondali
@shanijackson9118
@shanijackson9118 7 лет назад
He meant kupata nafasi ya kuchukuliwa kwenda secondary,doesnt mean alikua anafeli..smh
@revocatusnyese7027
@revocatusnyese7027 7 лет назад
wewe uliyefaulu unamafanikio gani ya kimzidi msukuma?
@iddysalehe4243
@iddysalehe4243 7 лет назад
hiyo miaka ya 1970
@elipeter6790
@elipeter6790 6 лет назад
amnazo kwa kuwa umwshindwa kumuelewa.......miaka ya sabini taratibu za kujiunga ama kupewa nafasi ya kujiunga na kidato cha kwanza ilikuwa ni lazima uwe motto wa mwalimu au motto chief au motto wa tajiri wa kijiji na yeye alijarib mara zote kujiribu bahati na sio kwamba alifeli.............ww ni mpumbavu sana yani hata huna akili na ww utakuwa wa tisini tuu..................ndio maana msukuma husema mmesoma vyeti mnavyo na hamna akili bora yy na lasaba yake......mjinga ww
Далее
Что думаете?
00:54
Просмотров 564 тыс.
ITV MIZENGWE-SIRI HADHARANI
19:20
Просмотров 208 тыс.