Тёмный
No video :(

MPOKI AVUNJA WATU MBAVU, KILA MTU HOI, KWELI HUYU BABA LAO.. 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 1,5 млн
50% 1

MPOKI AVUNJA WATU MBAVU, KILA MTU HOI, KWELI HUYU BABA LAO..
Mchekeshaji maarufu Bongo, Mpoki, anawavunja watu mbavu kwa kufanya stand up comedy yake katika ukumbi wa Regency Hotel Uliopo Mikocheni jijini Dar..
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255676229628)
HABARI MPYA DAILY:
bit.ly/habarimpya
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
GLOBAL RADIO TV:
bit.ly/255globalradio
EXCLUSIVE INTERVIEW:
bit.ly/exclusive_interviews
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
Subscribe bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

13 фев 2020

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 622   
@silverman6930
@silverman6930 4 года назад
Mpoki 😂😂😂😂🔥🔥🔥🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@kingbidder
@kingbidder 4 года назад
Ebwana mzimaa.. Tuna group la whatsaap hapa UK nione dm +447719640126 ni ku add.. Karibu
@silverman6930
@silverman6930 4 года назад
King Bidder cool bro add me 07412965765 🙏
@hassanrabii1102
@hassanrabii1102 4 года назад
Kwiiiiikwiiiikwiii
@danielcharles2076
@danielcharles2076 4 года назад
Tbc zilipendwa
@edisonrichard5049
@edisonrichard5049 4 года назад
Mwikailege
@albagreat5225
@albagreat5225 3 года назад
Aisee Mpoki nakukubali sana Mtani lakini angalia umeshavunja sana watu mbavu zao usije ukashtakiwa!😂😂
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 4 года назад
Mpoki noma sana.unajua mwanangu.comedy imefika.
@adensauka9887
@adensauka9887 3 года назад
💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻 jamaa wekwel kidali yan umeuwa mbaya mzee wangu mungu azid kukzidishia broo ?
@ericndikumana1504
@ericndikumana1504 Год назад
mpoki mimi ninatamani kukuleta inchi ya BURUNDI you're the best in stand up comedy i've ever seen
@barnabalameck5902
@barnabalameck5902 4 года назад
Huyu jamaa ni fireeeee!!
@mastermindmastermind9046
@mastermindmastermind9046 4 года назад
Mpoki popote ulipo chukua hata bia tano nalipaaa,u made my day ,ur living legend
@dullazz233
@dullazz233 3 года назад
Umevaa kama wachezaji wa yanga ongera umejua kuvaa suti kixsa
@shamsimansury9172
@shamsimansury9172 4 года назад
Nakubali sana mpoki bonge la stand up comedy kama unamkubali mpoki gonga like
@AbdulKarim-po5qg
@AbdulKarim-po5qg 2 года назад
Hhhhhhh huyu jama ni fundiiii wa kuchekesha
@queenandchill91
@queenandchill91 4 года назад
Mpoki ww pekee ndo the best kwny stand up comedy Tz...💯Keep it up
@hamadkombo9999
@hamadkombo9999 4 года назад
Unajua mpoki mimi cjaona kichekesho wewe unamaelezo mengi tu huna jipya na ao wapofu wa kucheka wana kunenepesha jichwa tu potea rudi kijijini kajifunze
@fatumakhalid2471
@fatumakhalid2471 3 года назад
anaweza mno 😘😘
@abubakarkhamishaji2849
@abubakarkhamishaji2849 2 года назад
kuna mc madevu kumbukeni
@ramadhanmbudo1596
@ramadhanmbudo1596 4 года назад
Naami hapa kuna watu walicheka hadi wakashindwa kuendelea na show.Mpoki anajua bhana🔥🔥🔥
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 4 года назад
Hongera mpoki umejitahidi sana,nimeweka sana ninamaana kwamba umeweza std comedy si mchezo ni ngumu ila umeweza.👍🤝
@samwelysauly2875
@samwelysauly2875 4 года назад
😋
@allyhassan9718
@allyhassan9718 4 года назад
Mpiki safi
@muddykijo4576
@muddykijo4576 4 года назад
nimekubali sana mppok
@tendamutende7481
@tendamutende7481 4 года назад
You are the best brother Mpoki in east African comedy
@deomwinuka1957
@deomwinuka1957 2 года назад
Daaaa!!!!!! Umetisha sana
@michaelgermany173
@michaelgermany173 4 года назад
Mpokiii ni nomaa anajua kweliii
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 4 года назад
Hia My Wife shenzi kabisa aiseee😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣
@rehemajuma9733
@rehemajuma9733 2 года назад
Tumeokoka tunampenda yesu na windohek juu hallelujah
@enocksilungwepondajr9707
@enocksilungwepondajr9707 Год назад
ni zawadi ...
@josephnchunga1247
@josephnchunga1247 4 года назад
Uko vizuri mpoki endelea hivyo hivyo
@uwasevalantine9206
@uwasevalantine9206 3 года назад
😄😄😄😄😄😄 mpoki ilike you
@sanga_the_actor
@sanga_the_actor 4 года назад
Kwasasa umekuwa no moja kwangu kama the best comedian
@ringoaskali7625
@ringoaskali7625 4 года назад
Dah hiyo ndo nikikua nasubiri mpoki baba lao yoh nimefurahi sana all the way from capetown
@SalumAlly-ch6bu
@SalumAlly-ch6bu Месяц назад
Uyo ndio fundi wa stendap comedy hao wengine wanaangalia kwake😮
@salimsefu5710
@salimsefu5710 4 года назад
Mpoki super star ,weye ni🔥🔥🔥
@haidarykalyango8386
@haidarykalyango8386 4 года назад
Mpoki unaweza big up
@swalehekhoja1369
@swalehekhoja1369 4 года назад
Mimi nakukubali sana mpoki nakuamini toka mwanzo naomba uendelee
@josephmanyama435
@josephmanyama435 4 года назад
sindiria 3 duuuu hatari mpoki ujue wewe ni fireeeee
@lucyjacob8039
@lucyjacob8039 4 года назад
Ongera my brother kumbe live show ata sisi tunaweza
@danielmpokasye6108
@danielmpokasye6108 4 года назад
Talented comedian. Mpoki fundiii.
@kipipakipipa5050
@kipipakipipa5050 4 года назад
Sana.
@khamikhan5091
@khamikhan5091 4 года назад
jamaa umetisha mie namkubali na maneno yake ya kukera 😊
@emmanuelsalustianus3413
@emmanuelsalustianus3413 4 года назад
Aiseee kusema ukweli bila unafki mpoki unajua ,,keep it up utafika ndoto zako kutumia kipaji chako
@khalifaabdallah6078
@khalifaabdallah6078 4 года назад
😀😀😀😀😀😀 umenichekesha sana wallah Duuh mpoki eeeee we noma kulekiiiii
@captendunga1392
@captendunga1392 4 года назад
Hapo ndo anaiishi ndoto yake yani keshaifikia sasa unataka aweje tena zaid ya hivo alivo.
@josephmohagachi5867
@josephmohagachi5867 2 года назад
Mpoki popote ulipo mungu akubariki jamani nimecheka sna mbavu
@generosennko8343
@generosennko8343 3 месяца назад
Mpoki hongera. Nimekipenda kipindi chako. Nimecheka sana. Sio tuu vichekesho bali umefanikiwa kuwashawishi wapenzi kuweza kufikia hatua ya kukata shauri kufunga ndoa. Pia kuwapa maua yao waliokwisha dumu ktk ndoa. Tunza kipaji chako. Una nafasi nzuri kwenye jamii yako
@hemedisalim812
@hemedisalim812 Год назад
Huyu ni motivation speaker au Comedian 😂😂
@isackezekiel2478
@isackezekiel2478 4 года назад
Uko vizur mpoki hongera kwako
@chekeniaanyigulile4782
@chekeniaanyigulile4782 4 года назад
Mpoki mbona saizi umeaza kuwa mweupe🤗🤗🤗
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 4 года назад
🤣🤣🤣🙌🙌🙌Unashuka kwenye gari unapigwa Kibao unakumbuka siraha ipo kwenye gari wapi na wapi tena🤣🤣🤣😂😂😂😂
@husnahida5209
@husnahida5209 4 года назад
Uke wez
@fredricksakagabo5198
@fredricksakagabo5198 4 года назад
Wewe nihatari kabisa 🔥
@philemonsamwel7761
@philemonsamwel7761 2 года назад
Nakubali show mkali, we ni noma bro
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 3 года назад
Huyu jamaa Ni shida kwel hahaha
@sorwasoudy6256
@sorwasoudy6256 4 года назад
Nimeipenda show
@onesmomghamba2968
@onesmomghamba2968 4 года назад
mpoki chizi kweli aisee, sikujua kama anaiwezea stand-up kiasi hiki
@wahidamohamed9965
@wahidamohamed9965 4 года назад
Hivi unafanyiaga wapi hizi live performance mie napenda sana
@cestlaviecestlavie4073
@cestlaviecestlavie4073 4 года назад
Mpoki umetisha 👏
@fiziparadise7808
@fiziparadise7808 4 года назад
Felicitation sana Mpoki, ulifanya bien👍🏾😁Respect from Congo🇨🇩
@josephshangarima8005
@josephshangarima8005 4 года назад
Ahsante mpoki piga kazi. Yani nimecheka mpak bac
@matayongwallo2270
@matayongwallo2270 3 года назад
sana mpoki kizazi mzeee
@saidismail5043
@saidismail5043 4 года назад
😂😂😂😂 Nimekubali bro kazi nzur
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 4 года назад
Genius of all time,mpoki hujawahi niacha salama😂🏁
@amidahfadhily7180
@amidahfadhily7180 4 года назад
Hhhh
@amidahfadhily7180
@amidahfadhily7180 4 года назад
Fireeee
@godympole367
@godympole367 4 года назад
Mpoki Umetisha Sana
@sebastiannyahuya8537
@sebastiannyahuya8537 4 года назад
Jaman hyo jamaa noma sanaaaa
@yessekiselema4681
@yessekiselema4681 4 года назад
Kizazi Sana jomba
@janeongala6684
@janeongala6684 2 года назад
Nakupenda mpoki
@thabitisimba1143
@thabitisimba1143 4 года назад
yaaan mpoki umenifanya nitazame kwa mara ya kwanza saa nzima na dk nilisema ngoja nifungue nitazame mamamaaaa nikawa nimejitusu hadi pindi limeisha ongera umejua kunishika aiseee unaweza hii k2 mkuu walio open kwa kujaribu kama mimi wakajikuta wametazama had mwisho gonga like
@jackleenmandary2632
@jackleenmandary2632 4 года назад
Kweli hata mm Nina usingizi lkn nashindwa kulala
@sarahflorence1112
@sarahflorence1112 4 года назад
thabiti Simba 😅😅😅hata mimi nimejaribu kuchungulia nikajikuta naimalizia kabisa
@bonygadiye1075
@bonygadiye1075 3 года назад
Mimi pia nimejikuta naangalia mpaka mwisho
@ibrahimdavid6219
@ibrahimdavid6219 4 года назад
Kwenye SAA mpoki nimekusoma# ahahahaha anaekubaliana na Mpoki 90% SAA azifanyi kazi gonga like chap usomeke#
@jasminealmas6159
@jasminealmas6159 4 года назад
Hukoseagi Kaka,safi sana
@abigaelbukuru273
@abigaelbukuru273 4 года назад
Babaaaa imekataa😂😂😂😂😂😂😂
@sabatoongara8763
@sabatoongara8763 2 года назад
Mpoki bana eti basi mpaka Nairobi, kujisaidia ni dakika 10 alafu watu 65 Kuna kufika kweli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@josephmanyama9012
@josephmanyama9012 2 года назад
Hahahahahah jmaaa ni htari sn
@justinemartha193
@justinemartha193 4 года назад
Baba uko vizuri sana
@dariushalala5888
@dariushalala5888 4 года назад
Nimekupata broo uko vzr
@ebbyramadhani
@ebbyramadhani 4 года назад
Jitahidini kidogo Mnapoandaa live streaming Na audience waonekane Yani mlengwa akitajwa aonekane on the spot
@hamadkombo9999
@hamadkombo9999 4 года назад
Mpoki unaendana na marehemu nyundo mungu amlaze mahali pema
@tabithayohana8573
@tabithayohana8573 3 года назад
Mpoki nakupenda bure
@penelopejimmy3009
@penelopejimmy3009 4 года назад
Haki ya Mungu ur such a comedian....! 🙌🙌🙌🙌🙌
@chudabad6539
@chudabad6539 4 года назад
Penelope Jimmy mambo
@davidstephano3659
@davidstephano3659 4 года назад
Hongera sana brother mpoki
@sudyslaa8278
@sudyslaa8278 4 года назад
mpoki.umetisha xn
@jumaurambo9859
@jumaurambo9859 4 года назад
Mpoki hatar mzazi uko vzr
@yussufhassan5179
@yussufhassan5179 4 года назад
Umemiliki jukwa Mr mpoki big up 👊
@richardabeli9070
@richardabeli9070 4 года назад
Mpoki umetisha
@abdoulquadirgagarukorera8297
@abdoulquadirgagarukorera8297 2 года назад
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 4 года назад
mpoki unaweza kikubwa watu wa camera mpoki anapoongea na mteja haonekani sura vzr jitahidini hapo.
@mirajilikwawa6688
@mirajilikwawa6688 4 года назад
Mpoki fundiii
@tumainibeda4344
@tumainibeda4344 4 года назад
Safi Sana mpoki
@mwajumamachalila2928
@mwajumamachalila2928 4 года назад
Jamani mbavu zanguuuuuuuuuu mpoki weeeeeeeeee
@muhammedyussuf8406
@muhammedyussuf8406 3 года назад
Dah hatariii mpokii
@washingtontheannointed9160
@washingtontheannointed9160 4 года назад
Nimekubali Mpoki uko juu kaka!!
@leudkihanza898
@leudkihanza898 3 года назад
Sawa kaka umetisha sana
@muunganojosephat3629
@muunganojosephat3629 4 года назад
Ametisha sanaa 🤣🤣🤣🤣🤣
@philemongomwa3728
@philemongomwa3728 4 года назад
Mpoki unapigakazi sana shida cameraaaaa!!!
@johnnysilayo9743
@johnnysilayo9743 4 года назад
Mpoki ni shida kama corona
@rahmahamisi5135
@rahmahamisi5135 3 года назад
he is the best
@allymtamilwa6899
@allymtamilwa6899 4 года назад
Very talented mpoki
@densarozzey5570
@densarozzey5570 4 года назад
Good work mjuniiii
@josephmahay1438
@josephmahay1438 4 года назад
Comedian nao sasa ivi wanachangisha sadaka kwa lazima...😁😁 real life is hard😄
@christopheramos4708
@christopheramos4708 4 года назад
Ulitisha babu
@zenamadhan2517
@zenamadhan2517 4 года назад
Hahaaaa lkn afadhali kuliko kuiba
@brysonnyembele5481
@brysonnyembele5481 4 года назад
Duuu eti ukilewa unarudi kwako unaanza kumuomba mkeo namba ya cm
@starshinetz
@starshinetz 4 года назад
We comedy ina zaidi ya lisaa ulichoona ww ni ni mchango tuu
@rhodabenz8412
@rhodabenz8412 4 года назад
Umetishaaaaaaa mpokiiiiii
@hadijaselemani3848
@hadijaselemani3848 4 года назад
Kichwa kimekatika kumbe wigi😀😀😀😀
@jessicamsolamsolamotto7975
@jessicamsolamsolamotto7975 4 года назад
Iko juu!!!
@restutamjuni4739
@restutamjuni4739 4 года назад
Nimecheka mpaka basi
@zuwenaenock4202
@zuwenaenock4202 4 года назад
Hahahaha wewe nomaa ukweri unatupatia
@priscalaizer5596
@priscalaizer5596 2 года назад
Mpoki ukifungua naomba ukifungua sehm ya comedy na me niwepo napend sana
@emmanuelwenga5467
@emmanuelwenga5467 4 года назад
Mpoki ww ni mwendawazimu big up sana
@atikombogolo2356
@atikombogolo2356 4 года назад
Wewe unavopokea hela ulivaa groves😂😂😂🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌
@hadijadundo1183
@hadijadundo1183 4 года назад
Nimekipenda hiki kimsemo
@msafirimvura5370
@msafirimvura5370 4 года назад
Icho.kipengere.kigum
@ajirykyaman1006
@ajirykyaman1006 4 года назад
Hatar😂😂
@eliajacksoni8222
@eliajacksoni8222 4 года назад
Hahaha..Lyf iz very president
@user-zg7zm1jp8y
@user-zg7zm1jp8y Год назад
Wow noma sanaaaa brother
@thabitnambar2997
@thabitnambar2997 4 года назад
Kama umemuon boss matha gonga like hap twend xawa
@chapoganzo7544
@chapoganzo7544 4 года назад
Mpoki Geneous
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 4 года назад
Dah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nampenda sn ❤❤❤uyu jamaa💪✌✌✌✌✌✌👏💕💕👊👊👊
@francemwenda8977
@francemwenda8977 4 года назад
Sisi ambao hatuna hela ni shda
@francemwenda8977
@francemwenda8977 4 года назад
😉😁😁😁😁
@ahmedhgharib3230
@ahmedhgharib3230 3 года назад
very good and nice to watching
@eustadiuskalokola7363
@eustadiuskalokola7363 4 года назад
Umetishaa...
@kamanyile
@kamanyile 4 года назад
safi nice comedy
@agnesvintan1538
@agnesvintan1538 4 года назад
Nimempenda afande ana point😍😍😍😍
@mungamichael9354
@mungamichael9354 3 года назад
Always
@utamuwaleo1970
@utamuwaleo1970 2 года назад
Mwamba kasimamia show saa zima mwenyewe... huu uwezo noma sana aise
@barakakwanjula7634
@barakakwanjula7634 2 года назад
Real comedian kabisa
@fridadavid3416
@fridadavid3416 4 года назад
Mpoki 😂😂😂😂😂😂😂😂
@vicentmaliki651
@vicentmaliki651 4 года назад
🤣😂😂😂 mpoki jamani
@muusmart2015
@muusmart2015 4 года назад
hahahahahaha baba imekata hajahahahaha mpoki you kill mee
@fatmamdoekorogwe6141
@fatmamdoekorogwe6141 4 года назад
daaah mpoki unaweza
Далее
Все сезоны бравл пассов…!!!😨
00:59
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
OFISI YA MIKOPO BOSS NI MPOKI BALAA LIPO HAPO
19:45
Просмотров 24 тыс.
LEONARDO ALIVYOWAVUNJA MBAVU WAFANYAKAZI WA CRDB!
17:39
CAN ALIKIBA INTERPRET FOR A WIZKID? WIZKID? BY: TRICKY
13:48
MPOKI AMZINGUA WAKUVANGA | KILA MTU ATUMIE CHAKE
16:02
Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2
31:03
Просмотров 303 тыс.
Все сезоны бравл пассов…!!!😨
00:59