Тёмный

MHE. RAIS DKT. SAMIA AKIWAAPISHA VIONGOZI WATEULE IKULU DAR ES SALAAM 

Ikulu Tanzania
Подписаться 286 тыс.
Просмотров 66 тыс.
50% 1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Agosti, 2024.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 84   
@aciamwinyi3991
@aciamwinyi3991 26 дней назад
Hongereni nyote Ulioamini na Mh. Rais, Mwende mkatende haki, kwa kufanya kazi kwa Weredi. Mwenyezi Mungu Awajalie Mema kwenye Majukumu yenu Amiin.
@jamesjumbe3577
@jamesjumbe3577 26 дней назад
Mungu awatangulie katika kazi ya kuwatumikia watanzania
@user-gl8xq8vk6j
@user-gl8xq8vk6j 25 дней назад
Hongera sana mh: rais kwa kazi wizara ya afya inachangamoto sana jenifa afanye kazi
@wilfredmuruve3323
@wilfredmuruve3323 26 дней назад
Ni kweli Palamagamba Kabudi na Rais ajaye kama atasikiliza sauti ya Mungu kwa kutenda na kusimamia haki
@kennedjohn5785
@kennedjohn5785 25 дней назад
Mungu aendelee kukupa maono ya kuijenga na kuistawisha nchi yetu mama.
@MrA24G
@MrA24G 24 дня назад
Bora kabudi na lukuvi mama hongera kwa kazi
@TUMLACKMSIGWA
@TUMLACKMSIGWA 24 дня назад
Hongera sana mama rais jamuhuri ya muungano wa Tanzania na sisi Mtwara mpakani na msumbiji tunasema chapa kazi mama 2025 kura ni zako
@victanoah2928
@victanoah2928 25 дней назад
kazi uendelee. God is an overseer.
@mussashakhry2971
@mussashakhry2971 25 дней назад
Hongereni sana
@user-es7jx9vx4v
@user-es7jx9vx4v 26 дней назад
Kabudi hongera sana
@davideleuter1207
@davideleuter1207 26 дней назад
Mwenyezi Mungu awajalie Moyo wa Kizalendo Viongozi wetu,Mumsaidie Vyema MH.Rais wetu.Katika Majukumu ya Kuiongoza,Kuilinda na kuiletea Maendeleo Nchi yetu Tanzania na Watu wake.🙏🙏
@LizbethSimon-j8v
@LizbethSimon-j8v 26 дней назад
Hongera mama
@seifmohammed9167
@seifmohammed9167 10 дней назад
Takukuru kumepata MTU mama chapa kazi
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 26 дней назад
Hongera sana Mhe Rais Samia Suluhu Hasani mke wangu mtarajiwa hivyo nikiwa na akili zangu timamu nilimchumbia Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kiasi cha miaka mitatu iliyopita akasema analifakari ombi langu kwa kuzingatia JPM aliwahi kukutabiria urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye ukiwa Mume wangu naona utanifaa kuwa pia kama mshauri wangu.
@davidmalisa8043
@davidmalisa8043 26 дней назад
Heee
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 26 дней назад
Asanteni na pia hongereni. Ila hizi viapo mnakula kila nyakati mbona hamtekelezi kikatiba isemavyo?
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 26 дней назад
Mama Job Ndugai naomba umrudishe Kazini yule mtu mzalendo wa nchi hii ana kitu anaweza kukusaidia serikalini ni maoni mamaangu ikikupendeza na yule mkuu wa mkoa wa zaman wa tabora mwanra maarufu kama soma hiyo muangalie na huyo mtu ana kitu cha kufanya serikalini ikikupendaza mengine kazi yako tunaiyona mitaani iko vzr ongera sana mama kazi iendelee
@KhamisKhamis-h3b
@KhamisKhamis-h3b 26 дней назад
Vizuri Sana nimependa hapa kazi tu
@Johnsonzakaria-bj7ml
@Johnsonzakaria-bj7ml 26 дней назад
Safi sana mama namkubali Rukuvi sana na paramagamba kabudi nawakubali sanaa wanachapa kazi
@OnesmoSanga-j2f
@OnesmoSanga-j2f 26 дней назад
Hongereni wateule chapeni kazi
@JohnNzwaga
@JohnNzwaga 23 дня назад
Mh Rais Mimi kiongozi wako ninakuamini rais chapa kazi asante kwa uteuzi Mimi mwenezi wa ccm kata
@Saki930
@Saki930 26 дней назад
Kazi njema
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 26 дней назад
Viongozi wa ccm hawafai ni Wezi kila mara wanabadilishwa lakini hatuoni kushtakiwa Mahakamani.
@user-wj6zj1ly4e
@user-wj6zj1ly4e 26 дней назад
Tz syo nchi bali ni kikundi cha familia fulan, hawa watu wameshatumika kwann rais asiangalie wengne ili mnyororo wa pesa usambae, sasa famili ni zilezile toka 2010 wao ni mawazr inamaana hakuna wtu wazri wengne?
@richardmoses7470
@richardmoses7470 26 дней назад
Sas hizo ni njaa zako wanafaa ndo maana mama kawarudisha mnyororo hata kwenye baiskeli upo
@rizikakazoba9668
@rizikakazoba9668 26 дней назад
Hongera kwa Wateuliwa Mtimize Viapo vyenu
@zablonmlazi4415
@zablonmlazi4415 26 дней назад
Raisi amejielewa sasa, tunakushukuru sana na tunakuombea amani iwe juu yako..umetutolea wale vijana mafisadi kwenye baraza lako.nina miaka 37 na sijawahi kupiga kura ila kwa kipindi hili lazma nisimame na mama. Endelea kuipenda nchi yetu na kutuandalia watu walio wema kwa ajili ya kizazi kijacho.
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 26 дней назад
Nchi inapendwa kwa kuwa na utashi wa kuwapenda watu wake na kulinda rasilimali zake
@SwaibuRajabu
@SwaibuRajabu 26 дней назад
Hakuna jipya umekumbuka kujifunika kumekucha kabudi anamaono makubwa leo umeujua ukweri imani unaanza kuilejesha kwa watz.
@jumakileta599
@jumakileta599 26 дней назад
Kaz iendelee
@AmosNkwija
@AmosNkwija 26 дней назад
Majembe ya magufuli yamerudi kazikazi
@GeofreyLema
@GeofreyLema 26 дней назад
Tanzania tupo vizuri heshima mbele tu nakumuomba mungu sana kila mtu Kwa dini yake.
@goldengordian6835
@goldengordian6835 26 дней назад
Nimependa namna Mh Jenista alivyo-Bend kwa kupiga Goti wkt wa kupokea Biblia na Kiapo hasa alivyosema "Ewe Mwenyezi Mungu Nisaidie" Kwa tuliokulia Nyanda za juu Kusini km Njombe hiyo ni Heshima Kubwa sana. Asante
@user-bj9lp6jw3n
@user-bj9lp6jw3n 26 дней назад
Mimi ni kweli kabisa nimeamini huyu mama na Raisi wetu ni mtu bingwa, na makin Sana anajua ni wakat gan sahihi wa kuwatumia watu makin
@user-rj1gn9hh8x
@user-rj1gn9hh8x 26 дней назад
Mh raisi wetu mama nikupongeze kwa kuwakumbuka wa zee wetu wazalendo kazi iendelee
@charlesrweyemamu8352
@charlesrweyemamu8352 26 дней назад
Ndugu Jenista Mhagama karibu sana kwenye wizara ya afya. Kama makamu wa raisi alovyosema, tunatarajia Kupata huduma Bora. Tumeyumbishwa sana na Nhif. Tafadhali sana Anza na hilo
@AbdallahBakar-oc3ue
@AbdallahBakar-oc3ue 26 дней назад
Tatizo viongozi wetu wanajisahau sana wakiwa madalakani
@rosestigeneriksson8387
@rosestigeneriksson8387 26 дней назад
Masikini biblia inachezewa vibaya😢😢😢😢
@kessynurutajiri4940
@kessynurutajiri4940 26 дней назад
Waziri Kabudi huwa unanikosha hapo unaitamka Tanzania, si kwa mbwembwe hizo. Safiii sana.
@robertphilip385
@robertphilip385 26 дней назад
Ni Sanaa ya hatari mongo sana tapta wa hatari
@gervaslukaya
@gervaslukaya 26 дней назад
Mama umefanya vizuri sna kuwarudisha awa wazee kabudi na lukuvi hongera sana hao ndio wazee wenyewe
@MartinLilenga
@MartinLilenga 26 дней назад
Very good
@kelvinimasagasi7398
@kelvinimasagasi7398 25 дней назад
Nawapata nikiwa mozambiq maputo
@deusisindwa616
@deusisindwa616 26 дней назад
❤❤❤❤
@MkuuKimaro
@MkuuKimaro 26 дней назад
Wasegetuu
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 26 дней назад
😂😂😂😂😂
@zakazitanzania1565
@zakazitanzania1565 26 дней назад
Huyu Palamagamba Kabudi ndio Rais ajayeeeee Prophecy and Declaration met.
@nebombago2969
@nebombago2969 26 дней назад
Mungu awasaidie viongozi wetu, tunawaombea Sana🙏
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 26 дней назад
Lukufi ni mtu ana hekima sana
@robertphilip385
@robertphilip385 26 дней назад
Mungu hawezi saidia mafisadi
@michaelpatrick9317
@michaelpatrick9317 26 дней назад
Mfanyee Kwa haki na serikali iwajibikee mna kibarua 2025 tunataka tuone Siasa safiii ndio mtushawish kujiunga na hiko chama chenuu na Polisi 😅😅😅 Huyu Awadhi mama Samia piga chini maana Hana akilii na wenzakee
@manifestationmastermindset6518
@manifestationmastermindset6518 26 дней назад
Wa kwanza kutoa maoni
@sidodeni3468
@sidodeni3468 26 дней назад
Kabudi umerudi safiiiiii sana
@michaelpatrick9317
@michaelpatrick9317 26 дней назад
Mimi nisemee tu Siasa ni Kama Dini huwezi kumlazimisha mtu awe muislam au mkristo hiii Katiba watu wa aina zoteee 😂😂 hatuwezi kufanana ndio maana Kuna wazungu na waafrikaaa ingieni muwajibikee sio mnawatuma Polisi watuvunje miguuu hyo nguvu si uitumie kuwasaidia watu
@halifajuma545
@halifajuma545 26 дней назад
Inchi ina chezewa hii
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 26 дней назад
Viapo vyote vya misahafu hupata kibali cha Mungu kwa wenye dhamira ya kweli mioyoni ili mema ya Mungu yatimie kwa wote katika taifa.
@robertphilip385
@robertphilip385 26 дней назад
Viongozi wa ccm hata ukiwaombea Yao maombi mungu asikii
@SAMISAI.
@SAMISAI. 26 дней назад
Wanaapa alafu wanakuja kuiba shenzi sana
@user-dr2lk7im7r
@user-dr2lk7im7r 26 дней назад
Kabudi apitishwe mwaka kesho kugombea uraisi watanzania, wananchi munasemaje?
@Mwitabenson_tz
@Mwitabenson_tz 26 дней назад
Kwani Kila cku ni Hawa Kuna vijana wangine mbona Kila cku Hawa wazee badilisheni Kuna wasomi jamani this is stupidity
@ibrahmpinga380
@ibrahmpinga380 26 дней назад
Ukipewa nafasi na Mheshimwa Rais haimaanishi we ni mbora kuliko wengine,nenda kafanye kazi alokuagiza
@HamimMbango
@HamimMbango 26 дней назад
Ongera muheshimiwa raisi kwauteuzi wako ila kwa muheshimiwa johari umeferi kama ulivo kaferi ktk uteuz wa nape na makamba ikikupendeza fanya mageuz mapema
@moriscollins4494
@moriscollins4494 26 дней назад
Vijana mnatuzingua mkipewa madaraka mana bata nyingi bora tutawaliwe na wazee....
@user-zj9uz6vz3g
@user-zj9uz6vz3g 26 дней назад
KABUDI OYEEEEEE,,!
@edwardmagige3187
@edwardmagige3187 26 дней назад
Wengine hapo kipindi Cha magu, mmmmmh
@HusseinSuleiman-g3b
@HusseinSuleiman-g3b 26 дней назад
Mama mrudishe rc mwanri wa tabora ni mzalendo yule mzee
@revocatusvedastus8893
@revocatusvedastus8893 26 дней назад
tatizo mnaenda kinyume na viapo na Hali mnatumia misaafu mitakatifu ccm nimetokea kuwachukia kabisa,Bora Emmanuel nchimbi pekee Ana hekima
@stevensosipita
@stevensosipita 26 дней назад
KWA KABUDI UMERAMBA DUME NI MZALENDO WAKWELI ANAPENDA NCHI YAKE
@abeidsaleh5255
@abeidsaleh5255 26 дней назад
Mh. ni miongoni mwa wabunge wa Morogoro tunajivunia
@aludomakori4230
@aludomakori4230 26 дней назад
Mh.Kabudi, wengine tulitoa machozi ulivyowekwa pembeni, tunaomba usaidie serikalil kufuatilia vyesi viingi vilivyofunguliwa dhidi ya serikali,ambavyo ni mianya ya upigaji deal kati ya wanasheria wa serikali na wawekezaji
@samsonmwijage1869
@samsonmwijage1869 26 дней назад
Kwa nini zoezi hili la kiserikali halikufanyika makao makuu ya nchi Dodoma?!
@abeidsaleh5255
@abeidsaleh5255 26 дней назад
Mh. Karamagamba mbunge wa Morogoro
@Benjamin-r8g
@Benjamin-r8g 26 дней назад
Kati yahao wote namkubali kabudi tu Kwanza ilitakiwa ccm wamuandae kuwa raisi wa Tanzania
@MerereJr
@MerereJr 26 дней назад
Mbona hakuna brassband? Au wamechoka kila baada ya wiki mbili tatu watu wanaapishwa.
@daudimchileg307
@daudimchileg307 26 дней назад
matumizi mabaya ya vitabu vya dini kwa nyie CCM, mungu shahidi wa hayaa siku ya kiama yenu.
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 26 дней назад
Hivi Rais Samia anapo teua Mawaziri kuna Vigezo maalumi anavyo zingatia kufanya uteuzi huo au anafanya kwa hisia tu na furaha ya NAFSI yake. Mhe. Lukuvi, Mhe Palamagamba Kabudi aliwaweka bench kwa MDA mrefu labda kwa hofu kuwa labda walitaka madaraka ya uspika na pengine walikuwa na agenda Fulani Fulani. Kama kuna vigezezo maalumi vinavyo tumika basi ni bora angelivitumia kupata anacho kusudia kuliko hii badilisha badilisha. Baraza la Mawaziri limekuwa kama soko la la nguo za MITUMBA kukuu na zilizo tumika kidogo na zile ambazo ni reject lakini zote zina changanywa kwenye kapu moja. Kuna Mawaziri walikuwa wachapa kazi na ni wasimamizi na wafuatiliaji, wabunifu na wawajibikaji lakini wameachwa na kutupwa nje.Japo kuwa ni mipango yake kama kiongozi wa nchi lakini yawezekana angelipata ushauri. wake na mapendekezo yao.
@akimuabdallah8039
@akimuabdallah8039 26 дней назад
Na magufuli anakalibia kurudi
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 26 дней назад
Karudi hoyee CCM juu,kidumu chama cha mapinduzj
@user-bh4wu3tx7h
@user-bh4wu3tx7h 26 дней назад
Mwamba uyupa Palamagamba
@BenardBwakitare
@BenardBwakitare 26 дней назад
Mngekuwa mnaapa kwa kushika bunduki siyo biblia mnajihukumu wenyewe
@user-im9ly7vt6b
@user-im9ly7vt6b 26 дней назад
Kutoka dpp mpaka mahakama ya rifani
@AhmedSeif-il1xx
@AhmedSeif-il1xx 26 дней назад
Upuuuzi mtupu hamna kitu
@abeidsaleh5255
@abeidsaleh5255 26 дней назад
Rais amewateuwa na kuwaamini ili mtutumikie wananchi
Далее
iPhone 16 для НИЩЕБРОДОВ!
00:51
Просмотров 313 тыс.
Новый уровень твоей сосиски
00:33