Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024.
Mama sisi vijana ambao tuko tunasikitika kuona mabasi yetu ya mwendokasi kutokufanya vizuri mabasi mapya wamepewa barabara nzuri wamepewa lakini Tanzania nzima tumekosa mtendaji tunaumia
Hotuba nzuri mnoo Mama Zidi KUJIGEUZA CHURA Ni kati ya Maraisi Bora nchi yetu kuwahi kupata. Tufanye kazi sote kuunga mkono sera ya uchumi ya Mama! Mungu amlinde mama samia
mama Samia Rais wetu,pesa za mikopo ya halmashauri isiyo na riba wanaangalia usoni bila kuzingatia vigezo vya kuunda vikundi,nauliza pesa hizo ni sadaka? kwa wananchi!!!!
Ni rais wa watanzania wasiofika hata asilimia 5, namaanisha wapigaji tu, ukitaka kuthibitisha hilo uliza watu hata 10 mtaani unapoishi kuhusu hicho kitu anachopokea leo uone majib watakayokupa