Тёмный

RAIS SAMIA AMPIGIA SIMU RC MAKONDA, AONGEA MAZITO KAMBI YA WAGONJWA ARUSHA 

TimesFMTZ
Подписаться 533 тыс.
Просмотров 53 тыс.
50% 1

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani
Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi.
Follow us on twitter / timesfmtz and on instagram / timesfmtz

Развлечения

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 31   
@ladooladoo1285
@ladooladoo1285 27 дней назад
Asante Dr samia kwa kuwajali wananchi wako, kumbe huwa unawafatilia viongozi kuhakikisha kazi inaendelea kama ilivopangwa unastahili sifa kwani una mengi ya kufanya lakini pia unajali walio chini kabisa Mungu akubariki
@CHIZANOMBEDULE
@CHIZANOMBEDULE 23 дня назад
Makonda unaupiga mwingi sana unamuwakilisha MH na Dr Samia vizuri sana mm nakuombea Mungu akulinde endelea kuwapambania watanzania Mungu awe nawe
@UpendoCharles-z5q
@UpendoCharles-z5q 22 дня назад
Mko vizuri sana viongozi wetu.mwenyezi mungu awalinde baraka ziongezeke katika kaz nawapenda sana
@PatrickMarko-z6u
@PatrickMarko-z6u 21 день назад
Mungu awabariki sana kazi iendelee
@OkothAroko
@OkothAroko 23 дня назад
Hongera sana mheshimiwa,chapa kazi.
@JemsiDaudi
@JemsiDaudi 2 дня назад
Hongera sana baba yangu Mungu akubariki sana kazi iendelee
@ASHAYONGO
@ASHAYONGO 22 дня назад
Asante sana mungu kwawema na fadhira zako , naomba kwako mungu usiwaache nakuwapungukia madactar Hawa ambao wameamua kuwahudumia wangonjwa Hawa wa Arusha uwarinde uwaponye pia usimshau mkuu makonda pamoja mama yetu Samia ,mungu uwaponye uwalinde pia uwatunze
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 20 дней назад
Mashallaah mashallaah ❤❤❤
@EliasMungas
@EliasMungas 15 дней назад
Samia hongera Sana mungu we mbinguni akulinde akupe Maisha marefu
@JohnStephen-f5i
@JohnStephen-f5i 10 дней назад
Hongera sana Makonda ni mchapa kazi duh
@Hawa-rt3jl
@Hawa-rt3jl 4 дня назад
Wallah machozi yamenitoka kwa furaha nyingi binafsi ccm mzima nampenda mama na makonda allah awahifadhi nawapenda jaman hawa watu mimi😢
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 15 дней назад
Makonda anaekima sana
@WalterTerry-v2b
@WalterTerry-v2b 5 дней назад
hongera sana kaka
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 24 дня назад
M.mungu atakubariki muheshimiwa makonda pamoja na mama yetu samia. Nyinyi ndio viongozi tunao wapenda. Sio kama mwingulu na bashe kazi yao ni kula pesa ya serikali tu.
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 27 дней назад
Hadi raha
@user-oo1yi1hn6n
@user-oo1yi1hn6n 20 дней назад
Asanteni, viongozi wangu
@RishmaSudi
@RishmaSudi 8 дней назад
Ubarokiwe rc makonda
@jacintanjogu944
@jacintanjogu944 27 дней назад
mimi Kenya zimutuobee
@GodfreySimoni
@GodfreySimoni 27 дней назад
Vizuli jembe makonda mungu anajambo nawewe uko mbelen mungu akubaliki mama
@Allymedard-d3l
@Allymedard-d3l 7 дней назад
Good
@halimadamasi2770
@halimadamasi2770 20 дней назад
❤❤❤❤❤
@BofuMlanzi
@BofuMlanzi 22 дня назад
Jitihada zako zinakubalika.
@FrancisChuwa-tk8xt
@FrancisChuwa-tk8xt 11 дней назад
Huu ni ubunifu wa kipekee. "Kazi iendelee!"
@osodowilberforce2321
@osodowilberforce2321 17 дней назад
This is the worst way of managing public affairs.Both Samia and Makonda shame on you.
@pascalPetro-h5q
@pascalPetro-h5q 9 дней назад
Mh makonda watanzania nawana arusha wanakuonasana unavyokuwamsaada kwa wanyonge hakikamwenyezimungu atakulindapigakazibaba.
@naamanidamasi6125
@naamanidamasi6125 11 дней назад
Hakika mweshimiwa rais uishi MAISHA MAREFU nakushukuru SANA RC WETU makonda Kwa upendo wako.hakika nami nimepata matibabu Nimepona MUNGU awabariki madaktari kwa kujitolea kutusaidia nakutuvumilia nawapenda saaaana
@pascalPetro-h5q
@pascalPetro-h5q 9 дней назад
Wana arushamlikuwana kiliokingi kupatakiongoziwa wanyonge hayasasa mama amewaleteapungamkono kwa mama.
@FarajaMaiko-vq2zd
@FarajaMaiko-vq2zd 8 дней назад
Bos mchawi
@simonedward244
@simonedward244 17 дней назад
Hadi najisikia araha moyon
@IssaYassin-v5m
@IssaYassin-v5m 21 день назад
Mchungaji msigwa
@TazaloTazalo
@TazaloTazalo 14 дней назад
Muimbajiwainjiribellakombo.
Далее
KINGWENDU KAJICHANGANYA KWA WAUNI UTAMUONEA URUMA
12:20
Wait for it 😇
00:45
Просмотров 9 млн
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 194 тыс.
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38