Тёмный

MHESHIMIWA JOKATE MWEGELO ALIVYOFIKA OFISI ZA CCM KISARAWE 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 108 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

2 авг 2018

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 153   
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
Ebwana weee *EDUCATION IS THE KEY OF LIFE* kama ukusoma utathubutu yote haya, tena kukabidhiwa office, Love you *JOKETE* Allah akusimamie katika kazi zako, nakupenda sana.
@AishaAli-lk7gh
@AishaAli-lk7gh 6 лет назад
huyu msichana ana hekma sana MUNGU akutangulie kwa kazi zako jokate love from Kenya 😍😍😍😗
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 лет назад
rosario vilagran Sana kabisa
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 6 лет назад
rosa vilagran Exactly
@mwanaherimohamedy6978
@mwanaherimohamedy6978 6 лет назад
Mashallah una heshima sana jokate mungu akubaliki
@peternasarinasari9700
@peternasarinasari9700 6 лет назад
Kila jambo huwa si rahisi kulianza..mh Mungu akutangulie zidi kuonyesha kuwa vijana tuna nguvu na tunaweza kufanya vizuri ili kuijenga nchi yetu..do not think to make money itachafua uchaji hizo zitakuja kama matokeo ya kufanya kazi..pambana tumuunge Rais mkono pia kwa maendeleo ya taifa letu,, love you TANZANIA & GOD BLESS US.
@summayyasuhaila4956
@summayyasuhaila4956 6 лет назад
safi sana tunahitaji vijana kama wewe na sio wakaa uchii
@rosejoseph2162
@rosejoseph2162 6 лет назад
Ufunikwe kwa damu ya yesu
@oswardmgawe3009
@oswardmgawe3009 6 лет назад
Daaaah mungu akutangulie kwenye kazi yako
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 6 лет назад
Safi saana Mungu atakusaidia kabisa usiogope
@husnabbygal5213
@husnabbygal5213 6 лет назад
alafu yupo natural hakubandika makope wala mawigi wala makucha. 😍
@sizmaggymaggy5677
@sizmaggymaggy5677 6 лет назад
Mungu akuongoze nakupe ngufu
@laurentsunta5169
@laurentsunta5169 6 лет назад
yaan huyu mama aliyempokea anadharau si kidogo, hata Kama Mdogo kwako mgen anaingia we umekaa kweli,dharau sio nzuri kwenye maisha
@khamisali4552
@khamisali4552 6 лет назад
katibu jiangalie,umechemsha,muheshimiwa anaingia ww unaongea na cm,isitoshe unashindwa hata kusimama,
@saitotisaitoti6734
@saitotisaitoti6734 6 лет назад
Mungu akufunike kwa ulinzi wake
@mwaminindayishimiye4434
@mwaminindayishimiye4434 6 лет назад
Kapendeza saaana jojo👌👌👌👌❤❤❤💋💋💋💋💋💋💞💞💞💞
@saidasimba9979
@saidasimba9979 6 лет назад
Mkuu wa wilaya ndo mkuu wa vyeo vyote vilivyopo wilayani sasa huyo mama yeye ni nani ajasimama kumpokea bosi wake
@kindolek9257
@kindolek9257 6 лет назад
Said Asimba bhana we
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 лет назад
Said Asimba kanikera kisenge
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 6 лет назад
Said Asimba yule mama ameonyesha kwamba hapendi kabisa mkuu wa wilaya awe mdogo ki umri yaani amenuna
@straitnews3441
@straitnews3441 6 лет назад
Ndio mganga WA wilaya and Shida gani
@p.kasongot979
@p.kasongot979 6 лет назад
Said Asimba anaroho mbaya nawivu
@saidasimba9979
@saidasimba9979 6 лет назад
Eti mheshimiwa anaingia mtu anampa mkono amekaa hataki kusimama na kumpokea mweny ofisi atari sana
@magrethalfred8474
@magrethalfred8474 6 лет назад
Said Asimba U
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 6 лет назад
yani dada upo haraka kama mamayako alivyosema alafu kazi uliyopewa umeipenda bas pamenoga mungu akusaidie
@hariphsemwal2057
@hariphsemwal2057 6 лет назад
Huyu mama anamuonea wivu joketi mana yeye mkubwa kiumri joketi mdogo asa hapa kazi tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu my joket piga kaz nakupenda sana
@irbaimubujungubujungu4048
@irbaimubujungubujungu4048 5 лет назад
Mambi kimambi
@nsolachalo
@nsolachalo 6 лет назад
huwezi jua kilichomfanya aongee na simu, je kama anatarifiwa msiba,ama janga lolote undhani atajali nini? kumdhania mtu sio vizuri ndio maana joket amechukulia normal anajua nini maana ya Maisha.
@yakwetutv8525
@yakwetutv8525 6 лет назад
Kwa jinsi tu alivyo shika karamu nakuanza kuandika yaonesha kweli nimchapa kazi maana yuko very fast
@lailatyabdallah1723
@lailatyabdallah1723 6 лет назад
saidi Mkombo Ni kweli kabisaa
@wendyeliezer6419
@wendyeliezer6419 6 лет назад
kabisa aisee
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 6 лет назад
saidi Mkombo sanaa yani huyu dada kumbe ni jembe zuri tu magu kweli amelenga penyewe vijana kama hawa wapewe nafasi kwanza akili za vijana ziko very active
@radhiambwana1792
@radhiambwana1792 6 лет назад
Safi sana naamini utafika mbali😀
@matobholwamanonu5919
@matobholwamanonu5919 6 лет назад
Yaan huyu mama wageni wanaingia anaendelea kuongea na simu ama kweli hata kusimama kupokea wageni hakuna....
@projestusprosper1626
@projestusprosper1626 6 лет назад
Yani huyu mama aliyempokea ana. Dharau kishenzi. Sijui kwann. Huwezi kuwa na approach ya hivi kwa DC
@hassanovajunior6972
@hassanovajunior6972 6 лет назад
PROJESTUS PROSPER nilidhani nimeona hiyo peke yangu mpuuzi sana huyo mama kanikera kisenge
@projestusprosper1626
@projestusprosper1626 6 лет назад
Hassanova junior kisengr yani
@lelomsechu7569
@lelomsechu7569 6 лет назад
Kweli huyo mama ameonyesha dharau ya wazi kabs... Haiwezekan mtu kama huyo anaingia oficn unaendelea kukaa... Pumbaf sana
@elizabethmganga3033
@elizabethmganga3033 6 лет назад
Daaaaaah
@ifgodsayyes.nobodycansayno1796
PROJESTUS PROSPER WANA WAKE NA WIVU. USISEME
@michaelkaaya2956
@michaelkaaya2956 6 лет назад
Onger Dada yangu nakupenda pambana utatoboa tuuu gurudum la mungu litafka salma
@nelsonkasambala6849
@nelsonkasambala6849 5 лет назад
Uyu dada anahekima sana. Hongera jokate
@mamahustru
@mamahustru 6 лет назад
Huyo katibu anayeongea na simu yake wakati wageni wanaingia atumbuliwe. Ni ukosefu wa heshima. Huyu ni type ya wale maofisa wanaofuatwaga maofisini na wanannchi wanawapangisha foleni huku wakifanya shuguli zao binafsi.
@graphixmaster6146
@graphixmaster6146 6 лет назад
Moyosafi Kama vile hakuwa na time naye
@mamahustru
@mamahustru 6 лет назад
Yaani amenikera sana. Sasa imagine wewe mwananchi wa kawaida unaingia hiyo ofisi unashida. Hata kama ni ofisi ya chama, maana ndo chama chenye dola, kama mwananchi upende usipende utendaji wao unatuhusu. Na mijitu ya design hii imejaa kwenye ofisi za umma. Ndo maana siwahurumiagi wakitumbuliwa. Maana alisikia wakati bado wako nje JOJO anakula saluti kuwa wamefika hilo eneo, alitakiwa simu iwe imezimwa afanye kazi anayolipwa kuianya. Dharau kubwa sana. Na hapo kamera zipo, camera zisipokuwepo ndo atamsikiliza JOJO huyo? Nimefurahi huyo dada mkuu wa Wilaya anayetoka alivyomsema papo hapo.
@ezekielmaduhu837
@ezekielmaduhu837 6 лет назад
Halafu inaonekana hana adabu,huyo si ni mkuu wa wilaya mpya,badala ya kumpokea kwa heshima zote anaongea na sim
@projestusprosper1626
@projestusprosper1626 6 лет назад
Moyosafi suresure
@williamenos7641
@williamenos7641 6 лет назад
Moyosafi utawaweza ndg wangine ni umbea2
@michaelnjau5001
@michaelnjau5001 6 лет назад
Great Ms. Jokate you made it mama.....
@khamisali4552
@khamisali4552 6 лет назад
haki yamungu,kininapoitizama hio huyu katibu kanchefua hasa yani kafeli kabisa,muheshimiwa joketi tuko nyuma yako tunakuombea japo nipo znz lkn dua zikufikie Dada yetu,piga kazi,na huyo katibu here haijaishia hapa atapata salamu.u
@nadian818
@nadian818 6 лет назад
Damu ya Yesu Christ Ikufunik mtoto wetu 🙏🙏🙏🙏💕💕💕💕💕
@meredouble9897
@meredouble9897 6 лет назад
Mungu akuongoze jojo 🙏🏾
@saudamanyongo5766
@saudamanyongo5766 6 лет назад
Uta weza tu dada akuna kinacho mshinda Allah ongera sana
@josephatnicholaus276
@josephatnicholaus276 6 лет назад
respect mh jocate mwegelo
@shanimbaruku2071
@shanimbaruku2071 6 лет назад
Mungu akutangulie mamy
@gladnesssamson7571
@gladnesssamson7571 6 лет назад
huyo mama anaona wivu
@emmanueltadayo2649
@emmanueltadayo2649 6 лет назад
millard, tunataka tuone na ya jerry muro. can't wait to see mbwembwe zake. tuwekee na ya ally hapi do it bro
@vitalesaudax5897
@vitalesaudax5897 6 лет назад
Mungu akutangulie
@mctidohondoa1652
@mctidohondoa1652 6 лет назад
hongera best angu jokate
@angelemanuel8508
@angelemanuel8508 6 лет назад
Huyo mama afukuzwe kazi anadharau mkuu wake.
@jeremybonyo8084
@jeremybonyo8084 6 лет назад
mangu akulunde dadangu, am praying for you
@lukaninamutakeakazijemanaj3136
mungu akutangulie
@sondanzingulasondasam4029
@sondanzingulasondasam4029 6 лет назад
safi dada
@madukaj.j.6999
@madukaj.j.6999 6 лет назад
Milad leo anapiga pesa kwa huyu mheshimiwa
@mwamengele
@mwamengele 6 лет назад
Hizo makeup ni sasa hivi tu, kazi zikichanganya ni vilemba na Vaseline kwenda mbele
@EngTAMIM
@EngTAMIM 6 лет назад
Mengele Ugulumo simchezoooooooooooo😅😅😅😅😅😅😅
@gracejoseph5843
@gracejoseph5843 6 лет назад
Hamna kitu, asili haipotei
@husnabbygal5213
@husnabbygal5213 6 лет назад
hAta ivo nimzur
@mzeewamadodoso1816
@mzeewamadodoso1816 6 лет назад
umenifurahisha jamaa yangu
@mesalimmuna8327
@mesalimmuna8327 6 лет назад
Mengele Ugulumo wanifurahisha jamani
@ernestjohanes9087
@ernestjohanes9087 6 лет назад
Anatakiwa kuwa waziri
@tatoosaleh5781
@tatoosaleh5781 6 лет назад
Mungu muweza wayote
@abibumlotwa2722
@abibumlotwa2722 6 лет назад
Sasa kwann mnajiharibia mitandaoni wakati mnaweza jamani dah congrat, redis
@khadigappi3618
@khadigappi3618 6 лет назад
Nice dada
@ndekejambelele2899
@ndekejambelele2899 6 лет назад
mungu akiamua mwanadamu Hana hapingi
@mosesallanadam1955
@mosesallanadam1955 6 лет назад
Huyo mama inaonesha amemdharau hata Rais, yaani humuungi mkono Mheshimiwa Rais kawa uteuzi huo. Anafikiri kuwa yeye ni mama na huyo ni mtoto!
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 6 лет назад
Huyu mama ana nongwa sana,
@fikirmabula9665
@fikirmabula9665 6 лет назад
tunatarajia mazuri kutoka kwako jokate
@khadigappi3618
@khadigappi3618 6 лет назад
Apo kazi tu
@esabelfadhili8432
@esabelfadhili8432 6 лет назад
Yani huyo mama badala yakupokea ugeni anaongea na simu jamaniiiii heeeeee basi hata kwake ni mama m-baya
@salmadalaquimane5303
@salmadalaquimane5303 6 лет назад
Nko nyuma yako dda
@petercosmas4376
@petercosmas4376 6 лет назад
hapa zero tu
@eliakimmachumu6449
@eliakimmachumu6449 6 лет назад
Piga kazi dada
@sethkavenuke3513
@sethkavenuke3513 6 лет назад
huyu mama nikikwazo aondolewe,anakibur sn
@mosesallanadam1955
@mosesallanadam1955 6 лет назад
Huyo mama hawezi achwa, aondoke tu hahaha ndipo atakapojifunza adabu!
@donathakileo1229
@donathakileo1229 6 лет назад
katibu huu mwezi hautaumaliza coz unaonecha chuki na dharau yaani dc unampa mkono umekaa
@priscilambingu5223
@priscilambingu5223 6 лет назад
Katibu mchawi hakufuraiya kabisa imeonyesha waziwazi aibu kubwa
@salmaothman153
@salmaothman153 6 лет назад
Safi jojo wetu 😘😘😘😘
@emelesianandolomi5066
@emelesianandolomi5066 6 лет назад
mungu awe pamoja nawe kila uendakoo.
@kingsleyadjei4171
@kingsleyadjei4171 6 лет назад
mashallah
@janethchiwata1665
@janethchiwata1665 6 лет назад
ushauri wangu jokate amkoe huyo mama
@sakinaomar301
@sakinaomar301 6 лет назад
Muheshimiwa nakiona kapete cha kipusa kwambalii😁😁
@janethchiwata1665
@janethchiwata1665 6 лет назад
huyo mama aliye vaa vitenge hajuinkupokea mgeni au??????yaani anajifanya bize na simu ila alipopewa mkono ndo ikakata simu huo ndo uchawi
@huseniausi4057
@huseniausi4057 6 лет назад
iv mtu akimpa mkono Wakat amekaa salamu haifiki tuache kukariri
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 лет назад
Good jojo
@mwanakwetu6472
@mwanakwetu6472 6 лет назад
Ina maana huyu mama alikuwa hajui kama kuna ugeni mzito?
@vankiko2745
@vankiko2745 6 лет назад
Ni mwendo wa kuigilizia tu hapo mpaka uzoee😂😂😂🏃🏃🏃
@leonardubamba7086
@leonardubamba7086 6 лет назад
mama kanuna uyo pembeni
@denniskalisti2570
@denniskalisti2570 6 лет назад
Leonard Ubamba .kakasirika
@pbye2974
@pbye2974 6 лет назад
Hahaaa Nakuona Mh. Isha lusonzo
@suzanafabian6659
@suzanafabian6659 6 лет назад
kuna kitu...katikati hapo c bule
@chriskalega3855
@chriskalega3855 6 лет назад
mkuu Wa wilaya ya kisalawe maisha aya wacha watu waendelee kuzalau wenzio
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 6 лет назад
Kuna watu wana zarau DC anaingia katibu wa ccm kisarawe ana ongea na simu, yani mpaka DC anaye mkabizi madaraka DC mpya ana chukizwa nae kwa kusema ana angaika nae walione hili watu wa ccm ktk utendaji katibu mwenezi nazani ameliona hili.
@user-zw6ne3qy4s
@user-zw6ne3qy4s 6 лет назад
Katibu kakosa heshima kwa mkuu
@doctormbaruku8081
@doctormbaruku8081 6 лет назад
Wanawake acheni kudharaliana huyu katbu inaonekana hakufurahia uteuzi wajokate
@andrewkatte2656
@andrewkatte2656 6 лет назад
Jmn watz tusipende kutoa hukumu maana na cc hatutahukumiwa
@mwamdindilemsawasi970
@mwamdindilemsawasi970 6 лет назад
Hakuna organization, mapokezi mabaya plus makelele sana.
@laurentsunta5169
@laurentsunta5169 6 лет назад
katibu gani mpumbavu kiasi hicho
@limokisuda4145
@limokisuda4145 6 лет назад
yajayo yanafurahishaa!
@wilsonnyabagaka2265
@wilsonnyabagaka2265 6 лет назад
Gud
@kafitiwilliam8358
@kafitiwilliam8358 6 лет назад
Duuu katibu jamanii au kwa kuwa ni kibintii kidogo wanachukulia poaa
@nelsonkasambala6849
@nelsonkasambala6849 5 лет назад
Uyo. Mama ana adabu kabisa .pumbavu. Yani upikua ujui kama mh atakuja .pimbi wewe. Displini ni kitU muhim sana
@eliusandrew9121
@eliusandrew9121 6 лет назад
Ofisi ya ccm
@abednego3876
@abednego3876 6 лет назад
mtimue uyo bibi aliyekaaa kwanza mambo mengine ndo ifuate
@bazilemaleya4035
@bazilemaleya4035 6 лет назад
huyu mama alitakiwa aonane na likangi Angelina..tokanje wewe bahatiyako
@judithmaziku7797
@judithmaziku7797 6 лет назад
ila yafuatayo yanafurahish kdolen
@priscilambingu5223
@priscilambingu5223 6 лет назад
Huyo mama alithathau moheshimiwa kwa nini amemtharau hivo hakumkaribisha kieshima
@priscilambingu5223
@priscilambingu5223 6 лет назад
Kwakuwa hakumsalimiya na heshima tumeona hekima ya huyu mueshimiwa itampeleka mbali love u from kenya pamoja na raisi wake
@idrisasalum8013
@idrisasalum8013 6 лет назад
Mbona office zimechoooka
@rangos4749
@rangos4749 6 лет назад
Katibu ATUMBULIWEEEEEEEEEEE
@emmanuelmwampale2273
@emmanuelmwampale2273 6 лет назад
Design km watu hawana heshima vile movement nyingi
@kalumunabarton3661
@kalumunabarton3661 6 лет назад
EMMANUEL MWAMPALE hahahahaaaaaaa!
@pascalmerkior4119
@pascalmerkior4119 6 лет назад
Shavu hiloooo
@publicadvisor6952
@publicadvisor6952 6 лет назад
Shida ambayo imeshaanza kujionyesha kwa uchi wa macho ni huyu msichana wamemuovaload. Hao akina mama watamsikiliza kweli? Navyojua hii bongo duuh.. yetu macho. Huenda anafaa lkn mpaka ajekujenga uzoefu si miaka 2 itaisha? Magufuli damu lkn hapa alilikoroga...
@ladybilionaire379
@ladybilionaire379 6 лет назад
Sururu hakuna anaeteuliwaga anajua lakini jinsi wanavyoendelea ndipo wanapata uzoefu naamini atafanya vizuri saana huyu binti yupo makini sana sio kama watu wanavyoongea huko mitandaoni
@kerengehenry5919
@kerengehenry5919 6 лет назад
Sururu hakuna experience MTU atakayopata bila kupewa nafasi, experience is obtained by getting opportunity my friend, la sivyo waajiliwa wapya hawastaili kupewa kazi, langu jicho
@janesuma2193
@janesuma2193 6 лет назад
Sururu kama hawata msikiliza yeye si.ndio boss wao nikiasi cha kuwatumbua tu
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 6 лет назад
Sururu . Mawazo yako. Na kichwa chako kibovu. Huyu ndo anafaa sana kwa taalifa yako
@khalidunited5978
@khalidunited5978 6 лет назад
Sururu j
@dannykyungay6527
@dannykyungay6527 6 лет назад
Huyo mama atumbuliwe
@denniskalisti2570
@denniskalisti2570 6 лет назад
Danny Kyungay .kwelo atumbuliwe hana adabu uyo
@stayawakekimakosa5795
@stayawakekimakosa5795 6 лет назад
Huo mlango sasa unapiga kelele
@idrisasalum8013
@idrisasalum8013 6 лет назад
Viti ni vyakuumiza makalio
@jaydon3361
@jaydon3361 6 лет назад
Joketi jiandae kutumbuliwa maana unaonekana una moyo wa huruma sasa Magu siamini kama atakuvumilia
@omankhadijamwaipaya9038
@omankhadijamwaipaya9038 6 лет назад
Mungu akujaalie joketi
@munsicosmas2600
@munsicosmas2600 6 лет назад
nyerere inabidi arudi
@janesuma2193
@janesuma2193 6 лет назад
Son P hawez tumbuliwa
@aliyrashid6743
@aliyrashid6743 6 лет назад
Dah huyu katibu hana sababu yakutotumbuliwa yaani dharau yake hatahakuificha
@emanuelsamson6750
@emanuelsamson6750 6 лет назад
Usiwe na roho ya kubashir mabaya muombee mema
@iambaizo
@iambaizo 6 лет назад
picha ka zote duu
@limokisuda4145
@limokisuda4145 6 лет назад
sambona ofic imejaa hivyo bendera za chama na vitambaa hadi mezani vya kijani duh?
@fikirmabula9665
@fikirmabula9665 6 лет назад
ndo ofisi ya chama hiyo
@limokisuda4145
@limokisuda4145 6 лет назад
Fikir Mabula kwelii siasa imezidi ckuiz kuliko uwajibikaji
@humphreysotienowanga8663
@humphreysotienowanga8663 6 лет назад
why should she stand yet she is older than jokate
@shangwefisima5355
@shangwefisima5355 6 лет назад
Jokate ila yupo serious hakika
Далее
🤔
00:28
Просмотров 276 тыс.
The ECB Decision and Press Conference
52:11
Просмотров 7 тыс.