Тёмный

MIGUU ILIYOHAMISHWA - PASTOR SUNBELLA KYANDO 

Pastor Sunbella Kyando
Подписаться 36 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

Luka 10:19
[19]Tazama, nimewapa amri ya kukanyaga nyoka na nge, na nguvu zote za yule adui, wala hakuna kitu kitakachowadhuru.
Huwezi kukanyaga kitu kilichopo juu yako,Yesu anaposema kuwa amekupa amri ya kukanyaga nyoka na nge kwa maana nyingine ni kuwa kuna nafasi katika ulimwengu wa roho ambayo hizi nguvu za giza zimewekwa,yaani chini ya miguu yako.Na kama adui anajua kwa miguu yako utamkanyaga yeye na kazi zake zote ndio maana katika vitu anaviwinda kuvikamata kwa binadamu ni miguu.Ulishawahi kujiuliza kwanini wachawi au washirikina huchukua mchanga wa unyayo wa mtu alipokanyaga?au kwanini umekuwa ukiota umefungwa na minyororo miguuni?
Ukisoma Ayubu 13:27-28
📝Waitia miguu yangu katika mkatale, na kuyaaua mapito yangu yote; Wajiandikia alama kuzizunguka nyayo za miguu yangu; Nijapokuwa ni kama kitu kilichooza, kinachosinyaa, Mfano wa nguo iliyoliwa na nondo.📝
Imeelezea vizuri sana.Mkatale maana yake ni "mnyororo".Ukifungwa na mnyororo kuna hatua zako na njia zako zinakuwa zimezuiwa na huwezi kusogea zaidi ya urefu wa mnyororo huo.Ndio maana kuna vitu vikubwa unajua kabisa una uwezo wa kuvifanya lakini hata ukijaribu vipi unaishia kushindwa lakini vya chini yake unavifanya vizuri na kwa ustadi..kuna mnyororo uliofungwa na unaweza kuvifanya vilivyo ndani ya urefu wa huo mnyororo.Ndio maana kuna familia ambazo kwenye kuishi hawazidi umri fulani, kwenye kupata kipato hakizidi kiwango fulani,kwenye uzao hawazidi idadi fulani ya watoto n.k na hata wakijitahidi vipi kusogea wanashindwa.
Huyu mtu hawakuishia tu kumfunga kwa mnyororo bali wameua na mapito yake yote.Kuna maono makubwa ambayo alikuwa nayo lakini tangu amefungwa hata hayo maono hana tena maana amehamishwa na kwenye njia ya kusudi lake.Anasema amekuwa kama kitu kilichooza na kusinyaa.Hakuna mtu anayeweza kukaa karibu na kitu kilichooza,yaani kwa huyu mtu kibali chake pia kimeondolewa,watu wanamkwepa..kwa ufupi amekuwa na roho ya kukataliwa.Lakini ukiangalia haya yote yanayomtokea yameanzia kwenye miguu yake kufungwa.

Опубликовано:

 

15 фев 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 59   
@megastudio5763
@megastudio5763 Месяц назад
Ni somo nililokuwa nalisubiri muda wote. Nmewai kuota zaidi ya mara mbili ndoto inayousiana na miguu na nyoka. Mtumishi sunbella naomba namba kwa ajili ya maombi. Naomba tafadhali
@annkauri7406
@annkauri7406 2 года назад
Mtumishi mumgu akubariki,kila ninapokukuskiza kila wakati ni kama unaubiria familia yetu,sababu imefungwa pande zote,magonjwa,chuki,ulevi na umaskini umekita mizizi kwetu but nimesimama kwa ajili ya familia yetu and i believe and i trust God minyororo yote, mungu atafungua.I trust God for healing.Ann KENYA.
@kaninimuindi6470
@kaninimuindi6470 3 месяца назад
Amen kwamafuzo mungu atukuzwe na hainuliwe amen
@AtupokileKashililika
@AtupokileKashililika 4 месяца назад
Pasta unaeleweka Sana mungu akupe maisha malefu
@maribasimon47
@maribasimon47 2 года назад
BWANA YESU ASIFIWE ,Napenda kumushukuru mungu kwa mafundisho ya mungu hasa somo la roho ya umasikini jinsi shetani anavyo haribu mahusiano ya mtu na mungu nimefunguliwa sasa amen 🙏
@claudiakijoma2101
@claudiakijoma2101 2 года назад
Mungu awabariki watumishi waMungu.Mimi ni muumini wenu kupitia RU-vid.Nawaombea Mungu wa.Mbinguni asiwapungukie Mema yake.AMINA
@masprintventures7646
@masprintventures7646 2 года назад
Bishop sunbella nakutazama kutoka Kenya na mahubiri yako yamenijenga sana, hasa mateso ya kifamilia,niombee Bishop nataka kufungua biashara mashinani na Kuna changa moto za kupata nyumba ya biashara.
@ndolehamisi5567
@ndolehamisi5567 2 месяца назад
sijachelewa kwakweli, nabarikiwaa
@magrethmvwango2682
@magrethmvwango2682 Год назад
Ameni kwaimani mungu niponye magojwa yote mwilini mwangu 🙏 kwaimani mungu waponye familia yangu esta jackrini bitrice waponye wazazi wangu Ameni kwaimani Emanueli mnyogele arudi kwenye mikono yangu Ameni 🙏
@maryandason1815
@maryandason1815 2 года назад
Amen Asante Sana Bishop Sanbella 🙏🙏 nakuelewa BABA 🙌🙌.natendea kazi pia mafundisho haya mazur ya kunifungua ufaham wangu.barikiwa Sana Bishop Sanbella
@monicahmwalozi
@monicahmwalozi Год назад
🙏🙏huyu mtumishi wa Mungu namuelewa kabisa mimi ameniokoa sana na maisha ya ulimwengu wa kiroho .
@magrethmvwango2682
@magrethmvwango2682 Год назад
Kwaimani mungu nafunguliwa kiuchumi mungu kwaimani napokea uponyaji kwenye biashala yangu mungu naomba simama pamoja nami Amen 🙏
@elizajumanne8059
@elizajumanne8059 Год назад
Mungu akutunze baba
@christinechambuni9060
@christinechambuni9060 7 месяцев назад
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana amen
@priskasaleh9679
@priskasaleh9679 2 года назад
Amen nikumbe Kwa maombi pamoja na familia yangu 🙏🙏
@esaiehakizimana5783
@esaiehakizimana5783 2 года назад
Nashukuru kuwa waminifu na kuonyesha upendo kwa gusaidia wa Kristo usingefunga pamoja nae ungegunduwa sili ya gifungo ca huyu mutu .asanté Yesu Kristo kwa upendo wako . kwako upendo ni musingi wa gutumika nawe
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Hallelujah hallelujah Glory to God Ahsante YESU WANGU
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Sauti ipo chini sana
@raysjames1776
@raysjames1776 12 дней назад
Kupitia ushuhuda huu naimani kaka yangu atapona palalize
@lilianfaustine3703
@lilianfaustine3703 2 года назад
Kupitia ushuhuda huo nami najiunganisha na madhabahu hayo ya ROC napokea mrejesho🙏🙏Tiba ya wazazi Mungu akawaondolee maradhi yanayowasumbua na mdogo wangu apate kazi🙏
@christopherisrael8438
@christopherisrael8438 2 года назад
Amina baba.Najiungamanisha na mafundisho haya na yajayo.Nahisi nimeshatiwa katka mkatale na niko ktk hatua ya kusinyaa.Eee Mungu nisaidie kupitia madhabahu hii.Amina
@ilynnkawa4038
@ilynnkawa4038 10 месяцев назад
Jesus am here touch me with this annointing🙏
@victorishunga2893
@victorishunga2893 2 года назад
Barikiwa Mtumishi Neema ya Mungu ni kubwa napata kitu
@imanimbwiga9009
@imanimbwiga9009 3 месяца назад
My mentor
@hendricathomas2053
@hendricathomas2053 2 года назад
Barikiwa kwa Somo zuri mtumishi wa Mungu
@florencekwamboka9717
@florencekwamboka9717 Год назад
Amen
@peteryukunda9239
@peteryukunda9239 2 года назад
Eee Mungu naomba wote walomloga mama yangu na kizazi chake,Moto wa Mungu uwateketeze.
@user-nm2jz9ww4q
@user-nm2jz9ww4q 6 месяцев назад
Kwetu.congo.lumbu.mbashi.asate.mutusahidiyeko.mahombi.
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 года назад
Amen mtumishi barikiwa sana
@babaloisethan7010
@babaloisethan7010 2 года назад
Kitu Cha kiroho hakiondoki kwa bidii ya kimwili...Duuu YUKO NDANI YA SHABIBY...Mungu tuokoe.
@mercylongo7165
@mercylongo7165 2 года назад
Namshukuru sana mungu kwaajili yako mtumishi
@salomemueni100
@salomemueni100 2 года назад
Kwetu kenya.. Hallelujah, hallelujah, hallelujah.. AMEN AMEN AMEN..🙏🙏🙏
@magrethmvwango2682
@magrethmvwango2682 Год назад
Eee mungu kwaimani nami nafunguliwa leo 🙏
@user-hr7yp6yf1d
@user-hr7yp6yf1d Месяц назад
Naomba uniombee nipo Kagera Mleba
@loycegodson7754
@loycegodson7754 Год назад
Amen....
@maureenprosperity6335
@maureenprosperity6335 2 года назад
Asante mchungaji na Mungu akubariki
@user-hr7yp6yf1d
@user-hr7yp6yf1d Месяц назад
Nisaidie mtumishi kama vile ni mimi
@janettheis3749
@janettheis3749 2 года назад
Amen nakuelewa mtumishi wa mungu
@sarahburetta8547
@sarahburetta8547 2 года назад
Mtumishi wa Mungu lini unakuja morogoro
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 2 года назад
Hakika wewe ni mwalim nabarikiwa mnoooh
@leah1187
@leah1187 2 года назад
Familia yangu inamatatizo San natamani siku nikutane nawe mtumishi mungu akubariki
@happynesskapela1153
@happynesskapela1153 Год назад
Amen🙏🙏🙏
@freddynkya7094
@freddynkya7094 2 года назад
Barikiwa sana baba
@suziemichael4338
@suziemichael4338 2 года назад
Very powerful
@collinscharles4859
@collinscharles4859 2 года назад
Ameeen 🙏
@lilianpatrick4367
@lilianpatrick4367 2 года назад
Amina
@godlivermushi6930
@godlivermushi6930 2 года назад
Aminaa mtumishi Mungu akubariki
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 2 года назад
Ninawashukuru kwa walimu na wachungaji kwa kutupa chakula kizuri
@levismjasiliamali4267
@levismjasiliamali4267 2 года назад
Lini mnakuja Dodoma pastor
@pastorsunbellakyando
@pastorsunbellakyando 2 года назад
Tuko kila jumatano pale dear mama hoteli kuanzia kumi na koja jioni
@estermatee4834
@estermatee4834 2 года назад
@@pastorsunbellakyando Arusha sehemu gani na siku gan pastor!
@janetmusyoka4704
@janetmusyoka4704 2 года назад
Tuko pamoja mtumishi wa mugu
@Miriam84Akizimana
@Miriam84Akizimana 2 года назад
🙏
@maureenprosperity6335
@maureenprosperity6335 2 года назад
Nimebarikiwa na kujifuza mengi
@enserosengolly7619
@enserosengolly7619 2 года назад
Amen
@collinscharles4859
@collinscharles4859 2 года назад
Ameeen 🙏
@anethrwamshenyi5953
@anethrwamshenyi5953 2 года назад
Amen
@meshackmathayo6876
@meshackmathayo6876 2 года назад
Amen
@elizabethmwachiti7987
@elizabethmwachiti7987 2 года назад
Amen
Далее
MIGUU ILIYOHAMISHWA (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:11:18
ROHO ZINAZOZUIA MATOKEO (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:22:23
КАК Я ЭТО СДЕЛАЛА?
00:13
Просмотров 257 тыс.
Штаны легионера
00:44
Просмотров 193 тыс.
I Built a EXTREME School Bus!
21:37
Просмотров 7 млн
IMANI NA UFAHAMU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:10:24
Просмотров 7 тыс.
ROHO YA UMASIKINI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
30:52
Просмотров 76 тыс.
KUNA SAUTI NYINGI KWENYE ULIMWENGU WA ROHO
25:49
Просмотров 14 тыс.
SADAKA YA AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
24:16
Просмотров 20 тыс.
IMANI NA UFAHAMU (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:06:16
JIFUNZE KUACHILIA WATU - PASTOR SUNBELLA KYANDO
34:04
КАК Я ЭТО СДЕЛАЛА?
00:13
Просмотров 257 тыс.