Тёмный

MIL 800 ZA RAIS MAGUFULI ZILIVYOKARABATI MABWENI YALIUNGUA ASHIRA SEC 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

Tarehe 08/07 Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI amefanya Ziara ya Mkoani Kilimanjaro ambapo alifanya ukaguzi wa mIRADI Mbalimbali inayotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli, Hapa ametembelea shule ya Sekondari Ashira Girls baada ya kuungua kwa mabweni yake, na huu ndio muonekano mpya baada ya Ukarabati

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@busekewinfrida1174
@busekewinfrida1174 4 года назад
Asante Rais shule yangu Ashira 1988 - 1991 Abroad inang'araaa . "Ashira idumu Mungu ibariki wabariki walimu pia na wanafunzi Ashira izidi dumu milele" Rais Magufuli hongera sana kuimarisha kibwagizo cha shule yangu niliyoipenda hakuna kinachoshindikana ukimtanguliza Mungu. Abarikiwe aliyeandaa wimbo wa shule wenye kuamini katika yeye mwenye nguvu MUNGU
@fatemaligalawa4151
@fatemaligalawa4151 4 года назад
Kumbe shule Kong we
@ibrahimkambi9288
@ibrahimkambi9288 4 года назад
Safi JPM
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 4 года назад
daa mzee jaffo anapenda kuku wa kienyeji hahaha
@ramadhanbm7356
@ramadhanbm7356 4 года назад
😁😁😁😁kuku wa kienyeji na mchele wa magugu
@adamkundi167
@adamkundi167 4 года назад
Iyo shule tume ichoka kuungua mara kwa mara
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 4 года назад
Sasa nini faida ya barakoa unatakiwa mkiongea
@StAr-yu3vz
@StAr-yu3vz 4 года назад
Mtu akiongea natoa barakoa nini faida kufaa
@sammotv6920
@sammotv6920 4 года назад
Jpm
Далее
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Просмотров 20 млн
А я с первого раза прошла (2024)
01:00
Hii Ndiyo Weruweru Sekondari Mpya
11:57
Просмотров 7 тыс.
Israeli Army Special Forces
1:00:36
Просмотров 441 тыс.
MTERA SECONDARY SCHOOL -  DOCUMENTARY
7:08
Просмотров 858