Mimi Mars anaelezea kuhusu maisha yake ya utotoni, familia yao, alivyokuwa akigombana na dada yake, Vanessa Mdee utotoni na jinsi alivyotumia miaka mingi kukubali kifo cha baba yake #ChillnaSky #Part1
Huyu dada ana kisauti kitraaaam sasa kikikutana na hicho kisauti cha sky moto unawaka kabisaaaa guys nime enjoy maongezi yenu hamchoshi kuwasikiliza 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
We mdada ni mzuri please usichezewe na domo. Tafuta mwanaume msomi achana na hawa waku pata mali bila elimu halafu hawajui kuitumia isipokua kwenye uzinzi. Bora hata kina Laizer ni watu walio pambana kwa miaka
Mm pia nimefanyika hivo hivo nikiwa na baba yangu zaidi ya rafiki matatizo nayaficha sitaki kumchokesha mom pole sanaa mungu azilaze roho zao pahali pema peponi
@@SimuliziNaSauti Sawa wakuu, Bt mimi namfuatilia Millard AYO, naangaliaga kipindi cha Ellen (marekani huko), kuna proper timing ya kuangalia Camera sio kila wakati. Unatushirikisha pale tunapotakiwa kushirikishwa.. #ushauri
@@iamsadoc234 program imerushwa dewani kwa ajili ya watazamaji. Hata hugo Allen connects with the audience and millard does more of reporting than presenting in his interviews. Every program has a format for different target audiences especially if you are pitching it for different revenue streams. Hivi vipindi lazima viwe tofauti.