Тёмный

"MIMI SIFUNGUI" - MFANYABIASHARA KICHWA NGUMU AMFOKEA RC CHALAMILA - WENZAKE WAMZOMEA..... 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

"MIMI SIFUNGUI" - MFANYABIASHARA KICHWA NGUMU AMFOKEA RC CHALAMILA - WENZAKE WAMZOMEA.....
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

23 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 69   
@globaltv_online
@globaltv_online 3 дня назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@Zenny89
@Zenny89 3 дня назад
Mmachinga halipi Kodi… Kwahiyo wao watashangilia.. ngoja bidhaa iishe.. Ndo ataelewa
@user-uf7oh5eu4v
@user-uf7oh5eu4v 3 дня назад
Kweli bila kodi asingekuja hapo fact👍
@salimabdul4424
@salimabdul4424 3 дня назад
Pole mkuu wa mkoa..hilo zigo si lako umetupiwa zigo la moto Wizara ya fedha Ihusike kusuluhisha
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 4 дня назад
Waandishi mmekua wanafki sana
@richardmbugi2746
@richardmbugi2746 3 дня назад
Uwezo wake mdogo sana hawa ndio wanaoishi kwa vyeo ambavyo sio vyao ila kwasababu ya kusifu wanawekwa,Taifa linapoelekea ipo siku tutakuja kushindia viazi vitamu mwezi mzima mana bidhaa hazitapatikana madukani
@Movies_Digest
@Movies_Digest 3 дня назад
Safi sana huyo ndio mwamba sasa ..
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 2 дня назад
Safi saaana Nchi huru hii wanao fungua wafungue wasio fungua wasifungue Ila wakifungua Kodi iko pale pale haziwasubiri
@peterandrew4910
@peterandrew4910 2 дня назад
Mkuu alifeli sana kutumia hasira kumjibu mwananchi!
@user-sj1rf8ij7f
@user-sj1rf8ij7f 4 дня назад
Aliyeshiba hamkumbuki mwenye njaa
@josephmwavangila1633
@josephmwavangila1633 3 дня назад
Mwandishi.. hii imekaa kichochezi Peni yako ni dhamana kubwa..Kazi yenu inamanufaa sana kwa Ukuaji wa nchi yetu, hata kama lengo likiwa kutengeneza msisimko na shauku Lakini .. Maslahi ya Taifa 🇹🇿 yawe mbele ( umemkandamiza mchangiaji .. si vema) reg. Freedom of speech
@user-cd2np5by6g
@user-cd2np5by6g 4 дня назад
Uyu ajakuja kusuluisha uyu amekuja kupiga kelele
@uwesusaid5334
@uwesusaid5334 3 дня назад
Mkuu wa mkoa kazini kwake kuna kazi
@oyay2821
@oyay2821 3 дня назад
African winter is slowly creeping East Africa
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 2 дня назад
Safi sana one day hawa viongozi watakuja kuombuka
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 2 дня назад
Mama ondosha hii nyangarika hawezi kuongoza mji wa biashara nguvu zake aende kulimia mpunga mbea
@matikowambura7657
@matikowambura7657 3 дня назад
Kaza sana
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 3 дня назад
Serikali imekalia ufisadi tu,mapato wanagawana tu, mafisadi wa hii awamu ya sita, Rip JPM
@minaziparasu9074
@minaziparasu9074 4 часа назад
Unaenda navibes nawamachinga hapo ndio munapochemka wakubwa lengo nikuchukua maoni yawafanya biashara sio wamachinga.kwamfumo huo tutazid kua felier kilasiku
@user-os9ps3ry6x
@user-os9ps3ry6x 3 дня назад
Mbona husikilizi hoja hatuelew umeenda kusuluhisha au
@DennisFandi
@DennisFandi 3 дня назад
Km kuna sehemu mama kabugi, humu hamna kitu
@eddsonjeremiah6669
@eddsonjeremiah6669 3 дня назад
Siasa dhidi ya ukweli wa maisha ya watu
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 дня назад
Serikali inatupelekesha sana
@user13375
@user13375 3 дня назад
RC hao watakutumbuwa bure 😮😮,we machie Mwigulu na kodi zake atamalizana nao😮😮
@nuryati4966
@nuryati4966 3 дня назад
huyooo kijana aloongeee tukipata 5 t tutafika mbali
@muksinimbaruku1233
@muksinimbaruku1233 2 дня назад
Huyu chawa tu hamna kitu hapa
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 День назад
RC Chalamila hauna uwezo wa kupambana na wafanya biashara ilo ni kama jeshi la pesa Analiweza Majaliwa hacjana nao
@rajabmsinzia1715
@rajabmsinzia1715 3 дня назад
Hamuwezi kumpa kisipika hicho RC azungumze
@abdullasali4773
@abdullasali4773 3 дня назад
GLOBAL wananchi hawajzomea mwenzao wameshangilia hoja za mwananchi msijipendekeze kwa mamlaka
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 дня назад
Hawa watu hawana umoja
@carendoraany
@carendoraany 3 дня назад
Watanzania hawana umoja kabisa. Serekaki ya Tanzania inawapanga wafanya biashara na wao wanasikiliza huo utumbo.
@user-cq2lt6ho5w
@user-cq2lt6ho5w 2 дня назад
Hapa, je umoja anayo stoke kwake, na wewe hadi ufungue ndio watoto wapate rizki, je utakubali kufunga siku zote kwa kumfwata mtu usiejua anaishije? Mimi watoto wangu wafe na njaa kisha aliekua na chakula cha mwezi ndani kwake tuchkue maamzi sawa? Mi nadhani kila umoja hapo anaangalia faida anayoipata kwa mgomo, maana watu kila siku wanalalamika ila baduliko hamna, kumbe twende sawa na wanavyotak tu
@joyceambakisye877
@joyceambakisye877 3 дня назад
Mitanzaniaaa miogaaa saan
@emmanuelpeter9744
@emmanuelpeter9744 3 дня назад
Hawa ndiyo viongozi tunaowategemea kutafuta suluhu ya matatizo yetu eti...... We are going no where TZ.... CCM out for the true freedom of Tanganyika
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 3 дня назад
Mafisadi wanasamehewa kadi, wadogo, kadi 18 vat%
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 дня назад
Hao jeuri wanapata wapi
@user-jb7of2oq7k
@user-jb7of2oq7k 3 дня назад
et wenzake wamzomeaa😁😁😁 ila waandshi wa bongoo bnhaaa
@abuusufian6506
@abuusufian6506 3 дня назад
Waandishi kwa unafiki
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 3 дня назад
Jamaa namkubi hakuogopa cheo yy kajua uyu binadam km Mimi kamchan kabaki kubwabwaja
@kakabeka2515
@kakabeka2515 3 дня назад
..wale wanalipaga Kodi za mwaka wanaweza wakaondoka makwao wakakaa mwaka c hadaiwi Kodi kkoo itakua na hali gani
@peternguluchuma
@peternguluchuma 3 дня назад
Tusubili mkeka wa mama utoke
@IddiHasani-vq4rd
@IddiHasani-vq4rd 4 дня назад
Kaz ipo
@sportsnewjs4330
@sportsnewjs4330 3 дня назад
Viongozi wengine hawa wako madarakani kwa bahati mbaya tu' kama tunavyoona huyu, yeye analumbana na wananchi tu' na kuwashurutisha kwa zarau zarau tu'
@user-lg6je8xh4p
@user-lg6je8xh4p 3 дня назад
Huyu mkuu wa mkoa sijui anajua nini? Yaan anatoka ofc kwenda kubishana na wamachinga. nikidhani anaenda kutatua tatizo. Jamani hizi nafasi za ukuu wa mkoa na wilaya ziwe za kuomba au zifutwe kabisa, ukuu wa mkoa na wilaya sasa ni tatizo
@leshaTV99
@leshaTV99 3 дня назад
ASEHE 😂😊
@ColinMhema-ne3lz
@ColinMhema-ne3lz 3 дня назад
Kubababake watu washajizima data
@salumally-jz5lj
@salumally-jz5lj 3 дня назад
Ivi uyu mkuu wa mkoa ni tiba au mwiba???
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 дня назад
YAN KUONGOZA HUU MKOA LAZIMA UJITOE UFAHAM LA SIVYO HUWEZ KUTOBOA MAKE KUNA VICHWA VIGUMU
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c 3 дня назад
Sasa mm hapo mkuu wa mkoa hata sijakuelew
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 3 дня назад
Kuna baadhi wanataka kufungua ila wanaogopa wengine. Hivyo anatoa ulinzi.
@patisondidas6720
@patisondidas6720 3 дня назад
Mh, wew ujui maswala ya uchumi ujui watu wanatseka vp kweny iz Kodi Bora ukatulia2
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 3 дня назад
Haya madaraka ya kulevya hayo
@user-qe8xp6ii1u
@user-qe8xp6ii1u 3 дня назад
Migomo ni haramu.
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 3 дня назад
Hili limeshakushinda wewe. Hujaenda kuwasikiliza machinga, hao wanaopiga kelele ni machinga na hawalipi kodi.
@dulasele-ud8cw
@dulasele-ud8cw 3 дня назад
Mwenye akili ni wewe pekeyako mkuu
@user-sy5lx7el4z
@user-sy5lx7el4z 3 дня назад
Hao wanaopiga makofi ni wafanya biashara ama, wabogo wanafki
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 3 дня назад
Wamachinga hao
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester 3 дня назад
Watu wa dar chomeni hio karikoo uote iwake Moto, sema tu mtaingua hasara kubwa lakini basi Tu.
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 3 дня назад
Mkuu wa mkoa umeona leo kariakoo wametufunikia maduka zetu nahawa jamaa wamachingaa ,wewe RC umechemkaa hunakitu ka chonjo,naomba mhe,raisi ufanye mabadiliko ya haraka umtoeee huyu mkuu wa mkoa harakaa,aneshindwa kazi anawatisha wafanyabiashara wenye maduka mbona qamachinga anashidwa kutoaa
@zuberiismail2972
@zuberiismail2972 3 дня назад
Toa unafki wako apo, wamachinga wamefunikaje biashara wakati sample za Mali wanaweka mezani maduka yapo wazi, me mwenyew mfanyabiashara lkn hoja mnazotoa kuhusu machinga hazina mashiko mmekalia unafki tu, toa hoja zamsingi msijifanye machinga machinga watu wanafanya biashara miaka nenda rudi na wanauza fresh mwenye duka na machinga nao wanauza leo unaleta Domo lako toa hoja zamsingi zijibiwe Kaz ziendelee acha shobo
@ChristerKoku
@ChristerKoku 3 дня назад
Shida matusi,kwanini mnatoa comment za matusi?
@hanifamziray277
@hanifamziray277 3 дня назад
Endelee kufunga na shule zinafunguluwa
@femidayahaya9293
@femidayahaya9293 3 дня назад
Uctuchanganye akili zetu kama unagoma mafunga huo mduka wako funga..na ucfungue milele nyie ndio mnaotaka kuleta magomvi kwenye taifa
@shaban6644
@shaban6644 3 дня назад
Wewe Ukifunga Duka Lako Usimtishie Mwenzio Anaefungua. Kila Mtu anashida Zake, Sasa ukilazimisha Mwenzio afunge Je utamsaidia Marejesho ya Mkopo wake..?, Utamsaidia Kulisha Familia yake..??,,,
@allonjoseph5467
@allonjoseph5467 3 дня назад
hii nchi ngumu saana ujuaji kibao hakuna umoja wala nn
@bigboys016
@bigboys016 3 дня назад
Caption 😢😅 ya ndugu mwandishi
@Peterchipemba
@Peterchipemba 3 дня назад
Msifungue mpaka wawasikilize kero zenu,,,mana zinatuumiza hata sisi,,kwanza huyo amefeli maongezi yake
@hallin9561
@hallin9561 3 дня назад
Misimamo ipo kwa majiran zetu wakenya wale ndio miamba, afe mtu afe nyani haki ipatikane
@kingnass6410
@kingnass6410 3 дня назад
Mnataka tuwe kama kenya
Далее
Самоприкорм с сестрой 😂
00:19
Просмотров 208 тыс.