Тёмный
No video :(

MIRAJI AWAUMBUA VIONGOZI SIMBA KWENYE USAJILI/ MO HAWEZI KUBAKI MILELE SIMBAA 

Maximum Tv Online
Подписаться 450 тыс.
Просмотров 65 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 70   
@user-ib2ew9ec3d
@user-ib2ew9ec3d 2 месяца назад
Jamaa anaongea point sana hatuna wachezaji Simba saiv
@peterDominick-h2n
@peterDominick-h2n 2 месяца назад
Yupo sahihi sana huyu mwamba.
@user-hy3en6vk5f
@user-hy3en6vk5f 2 месяца назад
Uyo Mo mwenyew ni snich sana wanasimba hamjui tu😀😀😀
@user-md7sd3hk6l
@user-md7sd3hk6l 2 месяца назад
usnichi wake nini sisi atujui twambie wewe tuna taka jibu fasta
@ibrahimabdullah1887
@ibrahimabdullah1887 2 месяца назад
​@@user-md7sd3hk6lmbabaifu
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 2 месяца назад
Miraji unaongea unanyooka kabisa nakukubar sana mwamba
@Is-hakameni
@Is-hakameni 2 месяца назад
Nakubali sana brother miraji mara Moja tunakusamia Zanzibar tunakukubali sana
@shabanimbenu2163
@shabanimbenu2163 2 месяца назад
MWAMBA UNAONGEA FACTS SANA 100%
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Miraji Mimi nakukubali sana
@FrankLeonard-wh5jm
@FrankLeonard-wh5jm 2 месяца назад
Sahihi kakaa ukoo sawa kabisa
@huseinbusaba5064
@huseinbusaba5064 2 месяца назад
Unajua sana kuongea kwa fact kaka miraji saluti kwako tunataka watu kama nyie ili kuiongoza Simba yetu
@IsihakaAlly-fj4qo
@IsihakaAlly-fj4qo 2 месяца назад
Mzee wa kazi 😂😂😂
@HassanMkwenda
@HassanMkwenda Месяц назад
Saana mwamba, nakubali maneno yako
@wimranpatrick
@wimranpatrick 2 месяца назад
Thamk you maramoja aggy na dokta mo mamuluki mangungu yangaa
@user-ib7kx9dc5m
@user-ib7kx9dc5m 2 месяца назад
Mangu kinacho msumbua ni chajuu kwenye usajili ana ona Zina pita hovi
@nestory8045
@nestory8045 2 месяца назад
Edwen barua 😂😂😂😂😂 anavaaa Mbona kaka miraji😅😂😂
@user-eg9jq5ny3n
@user-eg9jq5ny3n Месяц назад
Waambie hao madunduka mabwegeeeee
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l Месяц назад
Wakumbushie viongozi ipigwe kisomo wasali na watoa taarifa siri club ipigwe kisomo niko tayari kuchangia, maana magugu try agani wajue bado wapo, wasijisahaulishe
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 2 месяца назад
Mm najua muhindi akuna anaekula asara moo atawaumiza msipo jitafta
@happynjikho4515
@happynjikho4515 2 месяца назад
point sanaaaa
@HamzaRashid-iq1yf
@HamzaRashid-iq1yf 2 месяца назад
Wakwanza leo
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Fred na jobe wote waondoke Bora arundi bocco Bora kuliko hao
@alexkajerelo5571
@alexkajerelo5571 2 месяца назад
Simba kwa sasa wasipokuwa makini nafasi ya 3 waizoee tu
@hamzahnassor153
@hamzahnassor153 Месяц назад
Ukweli kabixa mangungu anazingua
@Retaj-jj7rp
@Retaj-jj7rp 2 месяца назад
Jomba miraji unajuwa sana
@danieligledson5697
@danieligledson5697 2 месяца назад
Miraji upo sawa sana😂
@abdullahmohamudmohamed4450
@abdullahmohamudmohamed4450 Месяц назад
😅😅😅😂 Tano Safi kabisa😅😅 Yani 5 zimenyooka😂😂
@user-ls9ig9lk3t
@user-ls9ig9lk3t Месяц назад
Miraji mwanangu umenyooka sana aisei..huna baya ankal
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l Месяц назад
Mwambie mzee magoli huyu mshambuliaji nikama jobe wasimuache kramo, na mzee mgunda anaujua mpira wetu, wachezaji tumepa lakini kocha sinaimani tusije kulia,
@ramadhaniharuna5441
@ramadhaniharuna5441 2 месяца назад
Zile 5 kuna mwanachama wetu kafa huku Kitunda.
@user-ot1vz6um2s
@user-ot1vz6um2s 2 месяца назад
Kweli kabisa kakaangu unasema ukweli wanatakiwa wajifuze viongozi wasimba
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 2 месяца назад
Ngunguzi anasomesha kupitia simba sasa akijiuzulu watoto nao wajiuzulu kusoma
@JoshuaZebedayo-nd1oj
@JoshuaZebedayo-nd1oj 2 месяца назад
Uko sahihi kaka
@WilfredSaidi-st3tn
@WilfredSaidi-st3tn 2 месяца назад
Mara moja hunaga baya
@JustineSanga-r9e
@JustineSanga-r9e Месяц назад
Na bado mpaka msemeeee.
@ALLYMATIMBWA-cz3zg
@ALLYMATIMBWA-cz3zg 2 месяца назад
Sema miraji kichwa San yan unaongea vitu vyamaana san
@ZakariaChapa
@ZakariaChapa 2 месяца назад
Unacho kiongea uko sahihi.
@adilmohamed2117
@adilmohamed2117 2 месяца назад
Sasa hv mpira kwetu ni siasa tuta umiza vichwa sana tu 10:09
@FrankLeonard-wh5jm
@FrankLeonard-wh5jm 2 месяца назад
Sahihi wapishe
@minshehekollora5751
@minshehekollora5751 2 месяца назад
Huyu mamba anaongea point tu viongozi acheni unafk
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Chama aende tu tusajiri vizuri kuliko chama pumbavu
@huseinbusaba5064
@huseinbusaba5064 2 месяца назад
Kaka miraji uko sahihi na hiyo ndio maana ya kupngea kwa fact tena wachane kabisa wakina kisugu wakina aggy simba wanakuja kuongea maji yamesha mwagika?
@user-if2mj2sy8i
@user-if2mj2sy8i Месяц назад
Miraji na mchome mnaonge point ilawenzenu hawaoni.
@SimonAmon-dr8xw
@SimonAmon-dr8xw Месяц назад
mchome mnafiki
@AdijaJumsnne
@AdijaJumsnne 2 месяца назад
Oya unasema kwel mwamba
@msabahaissa6201
@msabahaissa6201 2 месяца назад
Huyu miraji anatakiwa awe mwenyekiti wa klabu ya Simba,kwa sababu anajua matatizo ya klabu
@KenedyMartin-it9hw
@KenedyMartin-it9hw 2 месяца назад
Miraji bonge la m2
@Anthon.h.Ngailo
@Anthon.h.Ngailo 2 месяца назад
Kobe hatakiwi kubaki Simba Sheri angebaki ntiba
@dahelahmad6331
@dahelahmad6331 2 месяца назад
Tatizo la Simba ni Injia Heris . Mbona Simba queen inashinda ?
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 2 месяца назад
Mangungu hanaswaga astuone SS kama hatuna uelewa kwanza asituchefue
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 2 месяца назад
Hakuna muhindi dunian anaekula hasara
@jackmabirangacharles9398
@jackmabirangacharles9398 2 месяца назад
Miraji Mwenyekiti Anasema kwamba Mbona hao Wachezaji wengine mbona hamuwasifiii mnawaangalia Hawa wachachee
@JumaSalimin
@JumaSalimin 2 месяца назад
Miraji ziangalie goli Tano ulio sema Zina makando kando tele kutoka kwa refa goli la 3,la mkono na 4la Arajige. Tizama hio halafu utasema kweli.
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Jobe na Fred waondoke Tena lazima
@abdulswamadfakih7327
@abdulswamadfakih7327 2 месяца назад
Miraji ww ni mtu na nusu
@Anthon.h.Ngailo
@Anthon.h.Ngailo 2 месяца назад
Kaka hapo viongozi wanatupaka mafuta mgongo wa chupa
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u 2 месяца назад
Walituletea watu walio fer safar hii hatutaki ijirudie
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Wote wachezaji maboya wote waondoke tunataka wapya
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
HUYO MANGUNGU ATUJIBU KWA NINI ALIWAACHA BALEKE NA MOSES PHIRI WAONDOKE KIRAHISI??? NA HUKU ANASEMA KUSAJILI NI KAMARI MPUMBAVU MWIZI HUYO HATA OKRA MAGIC KAMTOWA KINJAMA ILI AENDE UTOPOLO MACHOGO FC MKUNDU WA MAMAKE MBWA HUYO
@user-fx6xv9im5e
@user-fx6xv9im5e 2 месяца назад
😂
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Issa aonge na haombe ladhi na mangungu aonbe ladhi
@frankmwinuka6298
@frankmwinuka6298 2 месяца назад
Wa nne leo
@yassinchuwa8824
@yassinchuwa8824 2 месяца назад
Mo atakaa simba mpaka kizazi chake
@msabahaissa6201
@msabahaissa6201 2 месяца назад
Huyu miraji kama namuelewa vile?
@user-tg3st6li2q
@user-tg3st6li2q 2 месяца назад
Mangungu nichizi hajui mpira
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p 2 месяца назад
Moo kikwazo anco
@deonatusdaud4640
@deonatusdaud4640 2 месяца назад
🙏🤝
@GidionMarwa
@GidionMarwa 2 месяца назад
Joshua mtale
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Месяц назад
Timekusamehe
@user-yz6ds9hn9l
@user-yz6ds9hn9l Месяц назад
Miraji waambie viongozi wanahujumu wachezaji, ona tunambiwa mchezaji mbaya mbona wanamchukua wanawasajiri, hivi wachezaji ni wabaya kweli kama firi,baleke leo kaenda yanga,haya okra huyo, anayefanya mchezo try agani na mangungu,
Далее
LISSU AFUNGUKA SIMBA KUPEWA JINA LAKE  NA RAIS SAMIA
6:34