Jaman tuache wivu,wala sio muongo ,kipindi hiki ametembea sana kupiga show sasa kwa nini asipate M.l 3 ? Tena hizi kidogo,kwa siku laki tano hadi 8 haya mara wiki ujapata m.l.3?.Mtoto wa mwezangu ebu endelea na kutupa Rahaaa.Ongera kwa mama yako mzazi.By Mtwara Mikindan Mkanaledi.❤❤👍🙏
Acheni chuki ao madj wanapata pesa mfano ukichukua mziki kwa masaa ambao haukeshi laki 5 6 kawaida sembuse kukesha kutwa mbili lazima iwe milion mpeni mauwa yake kwakweli ❤❤❤❤
DJ kuingiza milioni 3 kwa mwezi ,(mwezi =wiki 4) na kila mwisho wa wiki ina siku 3 za kujiachia, yaani Ijumaa, J'mos na J'2 , Kwahiyo milioni 3 ukigawa kwa wiki 4 =750,000 , ukigawa kwa Ijumaa, J'mos na J'2 ni sawa na 250,000@day, Yaani Ijumaa =Laki mbili na hamsini, J'mosi hivyohivyo, J'2 hivyohivyo, kwa wiki 4 ndo unapata milioni 3
Ni mapema mno mnamwaribu huyu mtoto na mambo ya kuongeza masifuri na kutaja mali zisizoonekana, mambo yakienda kombo na kuingia kwenye uraibu wa mihadarati ili kupunguza stress wakati huo hamtokuwepo
Vido vidox”” Jina lake ni Macho ajili ya macho yake hayo,, Sasa Kwakwao Wanamuita Misso yani macho Baada kupiga migoma ya Asili “”aina ya Misondo wakamuita Macho misondo”” kwakwao ndiyo Misso Misondo”
Jamani kunawatu cjui niwivu au nini ushangae m3 kwamwzi kweli mziki wake dj yy mwenyewe mboni kapunguza cfuri njoni kucni kuanzia mwezi wa6 muone nyoka wa mandiwa nyie dogo piga kazi
Hivi kichwa cha Habari kimeandikwa kwa Lugha gani? Maana naona kuna watu wengi Hawajui wanachokoment , Million 3 kuipata kwa mwez Dj ni kawaida sana Huyu mziki ni wakwake na Dj ni yeye mwenyew kwann acpate m3
Jamani embu achani chuki wadau mbona swala la malipo limekuwa gumzo sana kunawa tangia amezaliwa hajawai kuishika hata one milion lazama abishe sana naone kama nikitu kikubwa sanaa ila tambueni kwamba mtu ukiwa unaingiza kipato kikubwa atamatumizi yanakuwaga makubwa hivyo hivyo
Ndugu Hakuna sehemu wa wanalipa Bei kubwa sound Kama vijijin ukiwa na sound kijijin ni Bonge la Ajila pia Biashara hiyo wanayoifanya wachache tofauti Na mjin kila Mtu anafanya