Тёмный

MJUE SAULOS CHILIMA: MAKAMU wa RAIS ALIYEFARIKI AJALI ya NDEGE - ALIKUWA BOSI wa AIRTEL.... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 10 тыс.
50% 1

MJUE SAULOS CHILIMA: MAKAMU wa RAIS ALIYEFARIKI AJALI ya NDEGE - ALIKUWA BOSI wa AIRTEL....
Juni 11, 2024 ilikuwa siku ya machungu kwa raia wa nchini Malawi baada ya Makamu wao wa Rais, Saulos Chilima kufariki dunia akiwa na umri wa miaka 51 baada ya ndege ya kijeshi aliyokuwa akisafiria kuanguka katika msitu Kaskazini mwa nchi hiyo.
Saulo Chilima alishika wadhifa wa Makamu wa Rais wa Malawi kwa muda wa miaka 10.
Ni mtu aliyewahi kutajwa kuandaliwa kuwa Rais baada ya kumalizika kipindi cha Rais Lazrus Chakwera wa sasa.
Hata hivyo, ndoto ya Makamu wa Rais huyo wa Malawi iliyeyuka kama mshumaa, baada kufariki dunia kwa ajali ya ndege.
Swali la wengi limekuwa ni kutaka kujua safari ya maisha ya kiongozi huyo hapa duniani hadi kufikia ngazi hiyo ya juu ya kiuongozi nchini Malawi.
Chilima alikuwa Makamu wa Rais kwa miaka 10, awali chini ya Rais wa zamani, Peter Mutharika, ambaye alimteua kutoka sekta ya binafsi kwa wadhifa wa pili wa juu zaidi serikalini.
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

8 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 5   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@dennisnelca8324
@dennisnelca8324 2 месяца назад
The only president in Africa who can speak a very fine English
@user-sj3wf5vz7l
@user-sj3wf5vz7l 2 месяца назад
Africa tuna vilaana laana ndio maana hatuendelei ingawa tuna rasilimali. Yawezekana ameuawa
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 2 месяца назад
Raisi wa Malawi ni raisi pekee afrika anayeza kuongea kiingereza kizuri kama Obama vile
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ?#cat
00:22
Просмотров 683 тыс.
Mark Rober vs Dude Perfect- Ultimate Robot Battle
19:00
FREDO MASINTHA
12:07
Просмотров 5 тыс.
EXCLUSIVE INTERVIEW WITH BON KALINDO
59:52
Просмотров 87 тыс.
Is This the Beginning of the End for Volkswagen?
11:03
Просмотров 165 тыс.