Тёмный
No video :(

MJUE WILLIAM BENJAMIN MKAPA - SAFARI YAKE - KUZALIWA HADI KIFO - NI HISTORIA TAMU na CHUNGU... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 90 тыс.
50% 1

MJUE WILLIAM BENJAMIN MKAPA - SAFARI YAKE - KUZALIWA HADI KIFO - NI HISTORIA TAMU na CHUNGU...
Mtoto mdogo aliyezaliwa kwenye jamii ya watu wa Ndanda️, Masasi Kusini mwa Tanzania ambaye baba yake mzazi alitamani kuona anakuja kuwa mmoja kati ya madaktari, walimu au Padri. Hata hivyo hakuwa chochote kile ambacho baba yake alitamani awe bali akawa Rais wa Jamhuri ya Tanzania na mtoto huyo ni Mhe. Benjamin William Mkapa.
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 739 750 910)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

22 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 54   
@violetnandwa2022
@violetnandwa2022 4 года назад
From 🇰🇪 Kenya poleni Sana Tanzania rest in peace Mzee mukapa
@jayzeem14
@jayzeem14 4 года назад
Pumzika kwa Amani ya Mungu Baba Yetu na Rais wetu wa Awamu ya Tatu! Kaziumeifanya na vita vizuri umeipiga! Bwana ametoa na vwana ametwaa jina lake lihimidiwe! Pole Mama Ana Mkapa watoto na wajukuu na familia nzima na waTanzania. Tutakukumbuka kwa utumishi wako uliotukuka! RIP President Mkapa.
@peteremanuel1016
@peteremanuel1016 4 года назад
Tulikupenda sana ila mungu kakupenda zaidi upumzike kwa amani baba yetu mkapa
@mohamedfaris3000
@mohamedfaris3000 4 года назад
Binadam anapofariki vitu vitatu humsindikiza safari yake Kwanza - Watu wake wa karibu Pili - Mali yake aliyoichuma Tatu - Amali yake aliyoitengeneza 1 Watu wako hawatobaki naww bali watarudi majumbani mwao na watakusahau kabisa na km ulikua na mke au mume atarithiwa na mwengine. 2 Mali yko pia itarudi haitobaki naww na wengine watazirithi bila ya kuzitumilia jasho lao ispokua ile uliyoiwacha au kuitoa kama Zakatul jaaria ambayo uliichuma kwa halali. 3 Amali zako ndo zitabaki naww ktk safari yko popote utakapopelekwa au utakapokwenda. Amali zikiwa ni njema bc mina lfaaidhiin (umefuzu) ila amali zikiwa mbaya minal khaasirin (umekula khasara) Amali njema ndio itakayomfaa kiumbe kaburini ila km amali zitakua mbovu bc umekula khasara
@cheiknamouna2058
@cheiknamouna2058 4 года назад
Roho ya marehemu ipumzike mahala pema peponi Amina
@thomasngede7190
@thomasngede7190 4 года назад
Pumzika kwa amani mzee wetu mpendwa BENJAMINI W. MATWANI.MKAPA
@mariamfritsi9761
@mariamfritsi9761 4 года назад
Mungu akupe kauli thabit.Amiin
@digidocs1284
@digidocs1284 4 года назад
Pole kwa WaTanzania. Amekwenda, na jambo la busara kufanya, baada ya kuomboleza...watu wanao ipenda Tanzania na Afrika kwa ujumla...ifikapo uchaguzi, mpeni Magufuli, na CCM kipindi kingine...Tanzania izidi kung'aa.
@melinajuma764
@melinajuma764 4 года назад
R.I.P our lovely President poleni watanzania kwa msiba huu mzito,
@saumjengi9786
@saumjengi9786 4 года назад
Rest in peace Rais wetu,,,Mungu akuepushe na adhabu ya kaburini.Amiin
@baranmohamedmbashir5299
@baranmohamedmbashir5299 4 года назад
Inalila inalila rajiun pole sana ndungu zote mungu amuake pema penye wema peponi inshallah
@kennedyjohn6788
@kennedyjohn6788 4 года назад
Pole sana mzee mungu akuandalie pumziko la milele
@baranmohamedmbashir5299
@baranmohamedmbashir5299 4 года назад
Kazi ya mungu haina makosa
@melinajuma764
@melinajuma764 4 года назад
Peter hongera kwa utangazaji mzuri Mungu azidi kukuza kipaji chako
@ramadhanmpuku8953
@ramadhanmpuku8953 4 года назад
Nawapa pole wafiwa wote pia na wamakua wote kwa kumpteza shujaa wetu r i p
@azizamaki7860
@azizamaki7860 4 года назад
Allaaah ampunzushe mahal pema pepon
@teresiamutua4487
@teresiamutua4487 4 года назад
So sad condolences to the entire family of Tanzania may God give you strength at this hard tym,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we are together,rest in peace legendary
@DMENDTVmusicMovie1
@DMENDTVmusicMovie1 4 года назад
R . I . P BABA , MH. DR. RAISI BENJAMIN MKAPA. BADO UNAISHI NASI NDANI YA NAFSI ZETU. AMIN , AMINA
@MAPETEE
@MAPETEE 4 года назад
Alhamdulilah
@nancykenya4007
@nancykenya4007 4 года назад
Poleni Sana safiri salama mkapa
@allylichimba1493
@allylichimba1493 4 года назад
Tushike sana maneno yake anayosema" *kiongozi hujengwa na matukio chana na matukio hadi yanayo mkuta katika maisha yake binafsi na maisha yake yakiuongozi"
@aloysiousnickmillan3132
@aloysiousnickmillan3132 4 года назад
R.I.P William mkapa
@Thairuwan
@Thairuwan 4 года назад
May his soul rest in eternal peace.
@challsmazagazaga566
@challsmazagazaga566 4 года назад
R.l.P mzee wetu mungu ailaze mahala pema peponi roho yake
@zenamshana6852
@zenamshana6852 4 года назад
R,I,p,,,,,
@zuberyvijeru3636
@zuberyvijeru3636 Год назад
Kweli kazi ya mungu haina makosa na kizuri yakidumu
@agnessjason9366
@agnessjason9366 4 года назад
Pumzika kwa amani baba nakumbuka mama yang alinambia nimezaliwa kwenye utawala wako
@martinhinda5233
@martinhinda5233 4 года назад
Polen family ya Mzee mkapa
@chachakitareti1778
@chachakitareti1778 4 года назад
Rip
@jansansandiego4613
@jansansandiego4613 4 года назад
RIP
@joshuamiseyeki4028
@joshuamiseyeki4028 4 года назад
R. I. P
@amosmahona433
@amosmahona433 4 года назад
R. I. P baba
@johneliuteri3796
@johneliuteri3796 4 года назад
R I p mkapa
@mkwizusele6455
@mkwizusele6455 4 года назад
R.i.p
@shijalameckmpemba4529
@shijalameckmpemba4529 4 года назад
R.l.P
@ericjonstz3120
@ericjonstz3120 4 года назад
R-I-P
@helenjoshua6168
@helenjoshua6168 4 года назад
R .I p
@kilasioliver7088
@kilasioliver7088 4 года назад
Pumzika kwa Amani
@halimamanture8098
@halimamanture8098 4 года назад
Rlp
@safiaothman1098
@safiaothman1098 4 года назад
Inna Lillahi Wainna Ilayhi Raji'uun.
@maida2710
@maida2710 4 года назад
Inalilah wainalilah rajighunni sisi kweke tutarejea mungu ailaze roho yake mahala pema peponi
@simonmakoye5754
@simonmakoye5754 4 года назад
R.I.p mkapa tutakumbka kwa meng
@massijustin229
@massijustin229 4 года назад
Pumzka kwa aman baba
@johntogoro6191
@johntogoro6191 4 года назад
R I P Babu
@gervasliundi4163
@gervasliundi4163 4 года назад
Mungu akulaze mahali pema peponi Mzee wetu.
@annamahenda4562
@annamahenda4562 4 года назад
R.I.p baba mwenyezi mungu ailaze roho yako mahali pema peponi amina
@sophiamsusa7519
@sophiamsusa7519 4 года назад
R I P BABAYETU
@loyceemacy9185
@loyceemacy9185 4 года назад
Pumzika Baba
@salimmohamed5232
@salimmohamed5232 4 года назад
Rip
@mimwaninelitha6666
@mimwaninelitha6666 4 года назад
R.I.P
@lutymtegasafisananimekupen5628
@lutymtegasafisananimekupen5628 4 года назад
Rip
@binzid9046
@binzid9046 4 года назад
R.I.P
@jacklinemazinge3653
@jacklinemazinge3653 4 года назад
R.I.P
Далее
SAKATA LA NGORONGORO KABUDI ATIMBA,  ATAJA MAMBO MANNE
4:29
KIPINDI MAALUM CHA SIMULIZI ZA IKULU
32:35
Просмотров 47 тыс.
Matukio makubwa kabla na baada ya Uhuru wa Tanganyika
18:44
HISTORIA YA JAKAYA MRISHO KIKWETE
5:51
Просмотров 13 тыс.
IJUE HISTORIA YA TANGANYIKA KABLA YAKUPATA UHURU
11:50