Тёмный
No video :(

Mkasi - S01E12 with Wema Sepetu 

MkasiTV
Подписаться 173 тыс.
Просмотров 719 тыс.
50% 1

mkasi.tv

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 256   
@nationalparkofafrica2184
@nationalparkofafrica2184 Год назад
2023 nani anaangalia?? gonga like tujuwane
@user-gw5lb9ju5m
@user-gw5lb9ju5m 10 месяцев назад
Niko apa
@stellashao7885
@stellashao7885 6 месяцев назад
2024
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 4 месяца назад
WA 2024 NJO HAPA
@mwajumafadhili9268
@mwajumafadhili9268 4 года назад
Wema hapa ulikuwa mzur Sana ,gonga like 2020
@wardamwarami4789
@wardamwarami4789 4 года назад
2019 gonga like apo twende sawa...
@Mariia279
@Mariia279 12 лет назад
Nimelia baada ya kuona habari hii, inasikitisha sana kama mwanamke mwenzangu, watu hawamjui Wema tu, she's so nice and open, we fikiria moyo wake ulivyo alienda kumtuza katolewa nje na akakaa mpaka mwisho. Nakuombea Wema Mungu akupe mpenzi wa kweli. Ingekuwa wadada tuna ushirikiano tungekataa show zote za Diamond, tungeweka mgomo kuhudhuria mpaka amuombe msamaha. Kadhalilisha wasichana wote.
@maryamkokani4683
@maryamkokani4683 8 лет назад
heheheeee kumbe haters muko Na time yaku comment pia...love you wema big up girl
@joanchellangat8584
@joanchellangat8584 8 лет назад
wema Tanzanian sweetheart love her soo much my role model
@okitopalou2466
@okitopalou2466 12 лет назад
Great actress, Wema Sepetu. Thanks Salama for bringing up this great show that enables us to know the real truth from our actors and actress'. This is a beautiful idea, Salama. Keep it up
@mezinadia7166
@mezinadia7166 6 лет назад
You are so beautiful Darling, stay strong and we love from Belgium
@5merl
@5merl 11 лет назад
cant all youuuu stop hating.... let this lady be>she knows herself and what she represents. it is not her fault that she is a go getter. she will keep rising as all you hate on her..i call you low lives/hatters!!..
@aisharymmie9870
@aisharymmie9870 12 лет назад
woow I never ever see a beautiful girl like wema she so pretty and swag on LOL
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 4 года назад
October 2019 am still watching tz sweerie
@rozalaizer5985
@rozalaizer5985 4 года назад
Love Wema sanaa jamani
@hadijasuleyman4101
@hadijasuleyman4101 6 лет назад
hahahahaha nyie mnuneee tu ,mtoe mapovu tuuuu lkn wema atabaki kuwa wema hahahahaha nawacheka kidharau
@Veronica-hv8xt
@Veronica-hv8xt Год назад
2023 nani anaangalia kama mimi??
@TiliaAmedeus
@TiliaAmedeus Месяц назад
Mambo
@didaamaterazzy2161
@didaamaterazzy2161 10 лет назад
I'll never get tired of this intervew...Op Salama utamleta tena Wema soon....Big Up Guys 4 da great Job
@rukiamussa9509
@rukiamussa9509 4 года назад
2020 nani anaangalia
@bintirashidantybaby8146
@bintirashidantybaby8146 8 лет назад
Hahaha guys u kill me da salama mpe muba hy penda nyinyi sana wish to meet u aki
@fatmarashid8086
@fatmarashid8086 4 года назад
Unaitwa nani mamy
@deborahdeogratius4447
@deborahdeogratius4447 4 года назад
2020 likes kama tunasikiliza hii....
@samiraally5672
@samiraally5672 8 лет назад
i think wema ametoka so far na ryt now shez a woman of substance. ametulia...amekuwa. she can now be my role model.
@mapenzimazoea9019
@mapenzimazoea9019 12 лет назад
Beautiful Wema!
@sarahmichael1449
@sarahmichael1449 4 года назад
I just love you voice and BBY faece
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 5 лет назад
U 'll always remain tanzanian sweetheart wasiokupenda wajambe uko-uko.
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 4 месяца назад
Kumbe Mr Right kaanzish Wema kuiumb Kwenye kinywa chake, waoooh alafu sasa watu wanatafutia esa neno lake
@isdorimbise8733
@isdorimbise8733 11 лет назад
wema, choose one man for once and forever and this will make your carrier heaven more respected
@mawa1LibGirl
@mawa1LibGirl 12 лет назад
I love this host!!!
@clevergwimile729
@clevergwimile729 8 лет назад
I lov u so much salama
@halimalilungulu4550
@halimalilungulu4550 10 лет назад
Nakupenda sana dada wema naomba mamba zako japo tuchati tubadilishane mawazo ushauri nk!
@actionscene4753
@actionscene4753 3 года назад
Nemirudia tena kuingalia hii mwaka huu 2021
@mtumwamohd4212
@mtumwamohd4212 5 лет назад
Who is in 2019....m nikion Niko bored nakuja t hpa
@hamidumtega2196
@hamidumtega2196 10 лет назад
Nashangazwa sana na wasanii wa kitanzania wanapo zungumza sana ENGLISH. kwenye vipindi kama hivi rugha yetu ya taifa ni SWAHILI so, rugha za kigeni zanini wakati vipindi vyetu vinachezwa sana USWAILINI.
@mishellysefu7919
@mishellysefu7919 6 лет назад
huna lolote upo bongo lkn u ajifanya wa majuu ht kiswahili knakushnda kuongea ilitukueleweje nyoo
@leticiachunga9118
@leticiachunga9118 5 лет назад
Lugha ya taifa sio Swahili ni Kiswahili, halafu umetumia so ndio nini, cha upanzi wewe, unamkosoa huku mwenyewe unachanganya
@greklauryn6277
@greklauryn6277 4 года назад
Baada ya miezi miwili mbele Steven Kanumba died 😔😔😔😔
@faridabakari8511
@faridabakari8511 8 лет назад
totozuriiiiiiiiiii ...love uuuuuuu
@opq70
@opq70 12 лет назад
uko sawa kaka tuweni wazalendo na wapenzi wa lugha yetu ya asilina sio kuongea kiingereza ambacho sio lugha yetu
@jahhloveyou4462
@jahhloveyou4462 5 лет назад
Du wema mtanzania kiswahili hakipigi chenga lakini kingereza ndicho kipigacho sasa mbona kingereza chakulazimisha dada,(janani hivi hii kweli ni saloon na soa maana nataka nije kutengeneza nywele
@23568982
@23568982 9 лет назад
she is beautiful
@banaamaskio87
@banaamaskio87 12 лет назад
dats nice for sister wema bravoooooooooooooooooooooooooo...
@tucsokgiru5075
@tucsokgiru5075 10 лет назад
naomba mutu aweke ile movie inaitwa Dj Ben hapa kwa you tube.imechezwa na wema sepetu na waigizaji wengine.tafadhali naomba hiyo movie iwekwe hapa.
@cathycathy92
@cathycathy92 8 лет назад
i love her...she is honest
@paschalkayoka3945
@paschalkayoka3945 4 года назад
Wadada mnao commenting ebu jaribuni kuandika vizuri mnatuaibisha wadada wazuri ila kuandika shida duuu
@Lemi33
@Lemi33 12 лет назад
I love the shoes!
@mmn7480
@mmn7480 3 года назад
220 kama unaicheki hii mkasi npe like Ata kumi
@ummies4349
@ummies4349 4 года назад
2019
@eshalikalala3357
@eshalikalala3357 3 года назад
2021
@beatricemkinga3351
@beatricemkinga3351 3 года назад
2020 December like here!
@AbdalahKileo
@AbdalahKileo 12 лет назад
you have great tallent Salama !Sikuwahi kukusikiliza.
@salica1989
@salica1989 11 лет назад
Thats how she speak jaman. And its not bad speaking english ndo mana watz kwenye soko la ajira tunapata shida kingereza ziro kama hupend accent yake ongea na wewe.
@golderMIER
@golderMIER 12 лет назад
I like this interview. Only Salama can make a show like this happen.
@zuhbabychuse47
@zuhbabychuse47 5 лет назад
Waooooh nakupenda xana wema sepetu
@eliabamayi4344
@eliabamayi4344 4 года назад
Ooo wema u used to be soooo swt at this moments but now sijui shida ni nini yaani umekonda hadi kuzeeka ilhali ww bado mchanga 😢😢😢😢😢😢
@smartmussadozen3535
@smartmussadozen3535 6 лет назад
tanzanian sweetheart love u
@lisahadolph5282
@lisahadolph5282 8 лет назад
I just love her voice...
@rosemery3017
@rosemery3017 Год назад
Hapo kwenye kujichubua😂😂😂😂🙌
@marthamwake5889
@marthamwake5889 10 лет назад
I like this salama girl she's so charming.
@zealmao8055
@zealmao8055 4 года назад
This girl ''wema sepeto'' drives me crazy
@cherubet1014
@cherubet1014 11 лет назад
wema sepetu...yu r so beautiful.
@abuomary8715
@abuomary8715 Год назад
Nimerudi 2023
@zealmao8055
@zealmao8055 4 года назад
Well, I thought that I was the only one that Rihanna drives crazy but I feel like wema is one of them too
@rehemakamara2638
@rehemakamara2638 3 года назад
Waoo ilikuwa ya mwaka gan hyo
@jumaally6774
@jumaally6774 10 лет назад
Ni mzur san dad wema sem punguz kujichubua
@abdulqareemabdala2772
@abdulqareemabdala2772 5 лет назад
Yan wema upo vizur saut bod raha sanaa
@singlemom6915
@singlemom6915 7 лет назад
Wema atabaki Wema huyo Zari Wakuja tu na yeye ataachwa na atapote mwizi tu huyo
@bantuempress1744
@bantuempress1744 6 лет назад
comment yako nmeikubali, Mondy kashaamuacha.
@ashamlosi1899
@ashamlosi1899 6 лет назад
Duuh.gold comment Domo kisha muacha ZARİ
@ruwaydahsaid6148
@ruwaydahsaid6148 6 лет назад
Hata mm nimekubali comment hii hahahah watu wanapredict kweli
@nuruabdullah7814
@nuruabdullah7814 5 лет назад
Salama she speaking fluently english than wema ,wema she can't speak english well to say the truth is to ashamed the devil salama 100% I like it
@chibudonscott5807
@chibudonscott5807 4 года назад
Duh!!! Noma sana. Good.comment of all time since 2012🔥🔥🔥🔥
@MaseretiMoraa
@MaseretiMoraa 10 лет назад
I love u Wema
@saumujuma9051
@saumujuma9051 8 лет назад
wema ongea kiswahili
@stanleychanga8929
@stanleychanga8929 6 лет назад
kiukweli mwenzenu nampenda wepa kiukweli nampenda Siku anikinipa nafasi..sitaichezea.
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 5 лет назад
love ur voice
@ishengomaf22
@ishengomaf22 12 лет назад
Ongea kiswahili, ngeli yenyewe ya kuunga unga
@leaherasto929
@leaherasto929 Год назад
2022 bado nakukubali wema
@user-gw5lb9ju5m
@user-gw5lb9ju5m 10 месяцев назад
❤❤❤❤
@fradenfrank8508
@fradenfrank8508 10 лет назад
Dont pretend I like to here ur real voice
@EgliselaGraceofficiel-zw2cn
@EgliselaGraceofficiel-zw2cn 4 месяца назад
❤❤ DRC
@journeywithjesus
@journeywithjesus 11 лет назад
Her English is not bad...
@ZuberiusChaila
@ZuberiusChaila 10 лет назад
Wema u are so confident mama i do appreciate to u!
@runak2
@runak2 12 лет назад
How come Ma Tanzanian neighbours there ladiesbleach so much?? WoW
@lisahadolph5282
@lisahadolph5282 8 лет назад
she is so honest....
@thureasalim4391
@thureasalim4391 6 лет назад
wema nzuri sn na ndomana zari anadats
@munnahhadges7714
@munnahhadges7714 12 лет назад
uislam umeutolea wapi wewe,unaujua au unauskia tuu,wacha kukejeli dini,utapata laana buree,
@thureasalim4391
@thureasalim4391 6 лет назад
jamani wema ajazaliwa hapa kazaliwa marekani na ndomana ajui vizuri kiswahili au amjui baba ake alikua balozi
@aminaabdallah5341
@aminaabdallah5341 5 лет назад
Thurea Salim hhhh eeeti ee
@mmn7480
@mmn7480 Год назад
2022 wema mzuri jmniiiiiiihiiii
@gilbizzy
@gilbizzy 11 лет назад
kizungu si mambo yako dear
@fahadfahmy
@fahadfahmy 10 лет назад
Hii ndio Video clip pekee iliyoangaliwa na Viwers wengi kuliko nyengine yoyote katika Mkasi
@tinivanny7562
@tinivanny7562 7 лет назад
Fahad10 Mhn
@mtuboi1150
@mtuboi1150 6 лет назад
Masta wakibongo
@hadijaibrahim6621
@hadijaibrahim6621 3 года назад
2021🌚🌚
@nassanmsafi4884
@nassanmsafi4884 Год назад
Twnde 2022
@junkaomar6304
@junkaomar6304 3 года назад
really talk sister nice wema
@emotionalfulfillment
@emotionalfulfillment Год назад
Kawa mweupe tena
@jamissa4497
@jamissa4497 11 лет назад
dada wema wewe umzuri lkn inaonekana hutambui thamani yakuumbwa mwanamke chagua m/me mmoja utulie nae uitunze thamani yako mwanamke ni stara
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 4 месяца назад
❤❤❤2024
@SimmiTanzania
@SimmiTanzania 11 лет назад
i rlly like her style n ways of life...eff wah ppl think
@husnaalhusna6360
@husnaalhusna6360 7 лет назад
I love you so much
@jackson1assenga13
@jackson1assenga13 5 лет назад
on love
@jenniphermunguakutangulie7432
@jenniphermunguakutangulie7432 7 лет назад
adija tayari umshatenda dhambi acha kumdhiaki MTU mwache Na matendo Yake
@emannueljohn3502
@emannueljohn3502 3 года назад
2021apaaa like
@allyamir7162
@allyamir7162 4 года назад
Ivi wema na mo dewj nani amesoma nje ya nchi maana iki kimalaya kanatusumbua sana na kingeleza chache Cha kuunga unga wabongo bwana mbona ye moon akifanyiwa intav anaongea kishwaili vizur tu
@medissavero
@medissavero 12 лет назад
nic 1
@njawatony9144
@njawatony9144 8 лет назад
The show was interested
@aminaglaud421
@aminaglaud421 7 лет назад
love you wema
@mariamk1488
@mariamk1488 7 лет назад
Nakupenda sana wema
@josephcharles9790
@josephcharles9790 6 лет назад
Vidole vyeusiiii
@flowinjeremia7686
@flowinjeremia7686 11 лет назад
i like
@neymaminajhipolity6639
@neymaminajhipolity6639 11 лет назад
lov u wema
@stn4873
@stn4873 Год назад
Enzi za BBM🔥🔥🔥
@rehemabakari4150
@rehemabakari4150 3 месяца назад
2024
@zealmao8055
@zealmao8055 4 года назад
Guys, I am an ACTRESS too. Wema please come and take me there
Далее
Mkasi - SO2E08 With Lulu
28:49
Просмотров 698 тыс.
Mkasi - SO4E11 with Monalisa
27:59
Просмотров 136 тыс.
The Fan’s Fang Skin🔥 | Brawl Stars Sneak Peek
00:16
I Built a WATERPARK In My House!
26:28
Просмотров 20 млн
Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
25:27
NDARO NA STEVE KUMBE MAFUNDI UTACHEKA
14:02
Просмотров 455 тыс.
Mkasi - S01E01 with iRene Uwoya
25:42
Просмотров 683 тыс.
Mkasi - SO4E01 with Diamond Platnumz
27:57
Просмотров 1 млн
The Fan’s Fang Skin🔥 | Brawl Stars Sneak Peek
00:16