TUBUNI NA KUIAMINI INJILI KWA MAANA UFALME WA MBINGUNI UMETIMIA. YESU KRISTO NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA. AMINI UOKOLEWE SAA YA WOKOVU NI SASA, YESU KRISTO ANAKUJA SASA HIVI.
Lulu ni mzuri, watu wengi wanamchukia kwa chuki binafi tu. Siamini kwamba ndo kamuua Kanumba, yachumbani anajau marehemu na Lulu mwenyewe wengine tupige kimya.
acha jeuri we ni star unapo ulizwa kitu yu must be answer ipasavyo co kwa nyod,2 kiivo OK lulu na ndoman mkaambiwa ni kioo kwa jamii,,we uliona wapi star hazungumziw!!!
Big up my people i love the interview when I watched through you tube I real feld at home thou im far fro home TZ miss you SIS SALAMA JABIL na wooote in studio,
She is a good gal bana mungu akiandika haufutiki en lulu nisababu tuu jamani she can't kill bana hatakama mwamchukia basi hivyo kumbukeni Leo yy Kesho itakuwa ww utaambiweje love you lulu en may god be with you
lerchol mndeme ukweli huyu dogo amezidi ata mimi nampenda kiubinadamu lakini anauzi kitabia, kiukweli acpobadilika atasababisha watanzania wengi kumchukia na pia kukosa mengi zaidi atulie anauzi
I didn't like her attitude at times..as in how she answered some questions..gurl,they are just asking,its their job..no need of being hyper!!!af pole uko uliko saivi...INSHAALLAH utatoka tuu..now yu too young 2 be there not to have a boyfrnd!!wagwan