Yaan Tz jifanye taila ili utoboe🎉❤yaan mwijaku kuna wa2 huwa wanampa maokoto kama chizi kumbe wengne anawazdi mafanikio duh😂❤❤hongera sana washakusema sana leo umetufunga mdomo 🤐🤐Allah awabariki katika ndoa yenu na kazi zenu🤲🤲🙏🙏
Kwa mfano mimi ndo Mama yake huyu binti,siku yamshinde afu aje kwangu kuniulizia mama mama nishauri😏yaani unajitapa kwenye mitandao hakuna anaweza documents kuhusu mume wangu NOT EVEN MY PARENTS 😳😳😳 siku akina na shida zake za ulimwengu wa ndoa unamkumbusha tu,I HAVE NOTHING TO SAY,or simply NO COMMENT😂😂😂
Mpaka mtu anafanya kitu na yuko kwenye ndoa hio sio Shida ya waja tena ata atoboe kisigino maadam mumewe amependa ww shida iko API..ndo maana mwana FA alisema usihuku sio Kazi yako we ni mwenzangu na mm na Una dhambi kama mm😂😂
@@HhhTt-vl9ct ndio Iko hivyo ukiwa msaliti utaweza kusamehe ule uchafu wa Mwijaku wa video za porno na hukute mume wa huyo menina alikuwa anamfira mke wa mwinjaku kwa hiyo wote watu wa kuchepuka
Ndoa subra tu mmi uchumba miaka 5 ndoa naingia miaka 12 na mtto Wa mwanzo jana kaingia miaka 11 tena nimeishiwa mbali na mume miaka 7 sahv Ndo tupo pamoja ni miaka 4
Ni bahati tu Maan Ata mim nilivumilia miaka 9 Mwaka Huu ingekuw wa 10 Lakin Mwaka 2023 Tena mwishoni kabisa Ameniacha bila Sababu ya Aina yoyote Tulianza mahusiano nikiwa na Miaka 18 Anakuja kuniacha na Miaka 26
Kweli ni bahati mana mi sijakaa kwenye mahusiano na mume wangu kaja kwetu kaniowa na tupo mwaka wa 28 na km tumeowana jana life is good ..alhamdulillah fresh tu@@khadijerabdallah8703
Hawezi sema kama ililetaga shida ju sanajuwa anatiya mazifu ya ndoa yake inje?? Hakuna mwanaume anaweza kutoka inje ya ndoa tena vitoke kwa mitandao eti visivuruge kichwa wala nyumba yako .