Тёмный

GOROFA ANALOISHI DJ ALLYB/ GHARAMA ZA FUNITURE NI NOMA/SEBULE YA WATOTO /MAGARI YA KIFAHARI 

ZamaradiTV
Подписаться 239 тыс.
Просмотров 45 тыс.
50% 1

Usisahau ku"SUBSCRIBE" RU-vid channel yetu kwa videos nyinginezo
#zamaraditv #mambonimengi

Развлечения

Опубликовано:

 

26 мар 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 110   
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 месяца назад
M/mungu azid kuwapa masikilizano katika safali yenu allah mluzuku mume wangu ridhik
@djhajiztz
@djhajiztz 3 месяца назад
Unatufundisha ma dj kwa bei poa sana Asante Kaka
@user-bq7rh3wm3f
@user-bq7rh3wm3f 3 месяца назад
Ally B. Big Up. Mungu akuzidishie
@afyabora3207
@afyabora3207 3 месяца назад
Vijana msikie kauli yake ninkubwa sana ’’SAVING MONEY ’ anapiga kazi kwa bidii na saving Hiko kipengele ndio wengi kinawashinda
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp Месяц назад
Saleh ebu mtembelee joti jamanii❤❤❤❤
@LeylaHamisi-qh3kb
@LeylaHamisi-qh3kb 3 месяца назад
Salehe na ww tunataka tupaone kwako💯
@ramakinjoi4063
@ramakinjoi4063 3 месяца назад
Mganga hajigangi😂😂kinyozi hajinyoi
@benardmsafiri4648
@benardmsafiri4648 3 месяца назад
😂
@ramakinjoi4063
@ramakinjoi4063 3 месяца назад
@@benardmsafiri4648 eeeenh habari ndio hio ndugu..na tutasubiri Sana 🤣🤣🤣
@salehcllassic2325
@salehcllassic2325 3 месяца назад
Mtapoona msibalii😊😊😊
@user-fx7ig1uy6t
@user-fx7ig1uy6t 3 месяца назад
😅😅😅😅ata anapo basi
@Juke995
@Juke995 3 месяца назад
Kwan camera man halipwi au ni mwanafunzi 😮athuman oyeeeee.
@Tariq_Tryagain
@Tariq_Tryagain 3 месяца назад
Athumani kumbe yuko serious kinoma hiv🙌🙌 yani ni real father house
@queenmilan2024
@queenmilan2024 3 месяца назад
Msiamini mambo ya mitandaoni. Shauri yenu.
@infiniteabundance2024
@infiniteabundance2024 3 месяца назад
we umekuja kufata nini..... queen mavi mavi na wivu
@dayana5513story
@dayana5513story 3 месяца назад
You're blessed DJ🔥🔥🔥🥰
@emmanuelmwasha2430
@emmanuelmwasha2430 3 месяца назад
nice interview🔥🔥
@AllyMawazo-ve9qc
@AllyMawazo-ve9qc 3 месяца назад
Kwenye swala la kuoa kaongea point sana bahat mby sana sound inazingua
@kingalyeko7576
@kingalyeko7576 3 месяца назад
Camera man wa kufukuzwa 😂
@jacklinechuga2569
@jacklinechuga2569 3 месяца назад
Camera man kazingua achukuhi mambo vizuri 😢
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 3 месяца назад
😅😅
@deega1234
@deega1234 3 месяца назад
kweli
@JohariLila
@JohariLila 12 дней назад
😂😂😂
@user-mw5xs2wx8n
@user-mw5xs2wx8n 3 месяца назад
Mashineee sijui kwanini wanawake tunafeli ktk hiki kipengele cha huduma za kiroho
@adinasii
@adinasii 3 месяца назад
Huyu jamaa mwqmba sana malundo anayo ming hyo nyumb ni ya thaman Sema kabl ya interview watu walikuwa wanamuona anafake matiktok
@sabrinasabrina8395
@sabrinasabrina8395 3 месяца назад
Ukichukua machungu ukayatransform Kwenye kupambana ni LAZIMA UFANIKIWE HII NI KWELI MTUPU
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 3 месяца назад
Big up bro, pia ukimwita decor daisy akufanyiw decor patapandisha thamani zaidì
@israeluronu9958
@israeluronu9958 3 месяца назад
At nikaona kuliko niishi na mtu mwingine bora niishi na hili jini langu😂😂😂
@user-ts9fe9xm9k
@user-ts9fe9xm9k 3 месяца назад
InshaAllah🤲🙏
@mfaumejames7344
@mfaumejames7344 3 месяца назад
Never given up for everything
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp Месяц назад
Nyie hapa tz kunawatu wanaishi na wana misha 😮😮😮😮😮😮 allyb salout brooo
@Officialjidaa-sn9cs
@Officialjidaa-sn9cs 3 месяца назад
Dj kama dj
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp Месяц назад
Ilavijana kunasiri kubwa sna kwenye upande wa kuoa nimiongoni mwariski kuongezeka hay ni barka kubwa san hvo mjiongeze
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg 3 месяца назад
😁😁nimekosa maneno yakuandik ila mungu nipe mume kam Ally B😂😂😂
@omanhh2875
@omanhh2875 3 месяца назад
Kwel
@rosemaryrwabibi5908
@rosemaryrwabibi5908 2 месяца назад
Kila kitu ni subila🙏🙏
@asnathcharles9842
@asnathcharles9842 3 месяца назад
Asumaniiiiiii💝
@rewardnjau7220
@rewardnjau7220 3 месяца назад
camera man haijui kazi yake
@zenasalum2231
@zenasalum2231 3 месяца назад
Aiseee
@RuthHelenesango
@RuthHelenesango Месяц назад
Nilicho gunduwa kwa matajiri Awa gawe chakula sio vizuri
@jenifermakundi8230
@jenifermakundi8230 3 месяца назад
Toka kipindi kianze hii ndio interview bora kwangu,ally b kafunguka,kapoa kanihamasisha.
@onekisstv8412
@onekisstv8412 3 месяца назад
Ally b kapoa sana leo
@erickmbilinyi2056
@erickmbilinyi2056 3 месяца назад
Mwishon haisikiki vzr
@namdigumagwenge193
@namdigumagwenge193 3 месяца назад
Mama Simba kwanini ulituchanulia miguuu mwanzoni 😂
@aminammbaga7736
@aminammbaga7736 2 месяца назад
Mie nilijua ni m nigeria jmn before nimfaham
@AnnoyedAlbatross-mx9le
@AnnoyedAlbatross-mx9le 3 месяца назад
Shomi me najuwa kutengeneza wa ya vidonda vyatumbo nitampata atabule
@missp1814
@missp1814 3 месяца назад
Bora umehide namba za magari maana kila nikiangalia ikifika hapo najisemeaga ila hawa hawaoni wanawakosea hao mastar😂😂
@user-mp4lf4ji8k
@user-mp4lf4ji8k 2 месяца назад
Uyo jamaa anajua maisha vijana jifunzeni leo
@mohamedmkape698
@mohamedmkape698 2 месяца назад
Why violating privacy policy utachkuaje picha mtu amelala Bila idhini yake. Sio saw
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 3 месяца назад
Nyumba yake na hajui taa ya ballcone inawashiwa wapi jamani
@HoneyBeel5
@HoneyBeel5 3 месяца назад
Ashakuambia kanunua hajajenga, na kasema huko wanatumia watoto
@missp1814
@missp1814 3 месяца назад
kwa wanaume hata sishangai angekuwa mama simba ningeshangaa wanaume huwa wavivu kujuaga vitu vidogo dogo kwenye nyumba,na pia hiyo nyumba hajakaa muda mrefu na watoto ndo wanatumia.
@salmamsakuzi3070
@salmamsakuzi3070 2 месяца назад
Mume wangu nyumba nmemkuta nayo ila mpaka Leo anauliza hii taa inazimiwa wapi hajui mataa utamuona anahangaika na maswitch
@djhajiztz
@djhajiztz 3 месяца назад
Mke wa djallyb Sauti yako nzuri❤
@leaherasto929
@leaherasto929 3 месяца назад
Anaishi pazuri
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 3 месяца назад
Mwanamkee mzuri naturel kbsa Aguirre ana mashauziiii
@naah884
@naah884 3 месяца назад
Kama cameraman anaona comments we hujui kazi panya ww
@NaomiMsafiri
@NaomiMsafiri 3 месяца назад
Kabisaaaa
@gracepatric4371
@gracepatric4371 2 месяца назад
😅😅😅
@FatmaHamady
@FatmaHamady 3 месяца назад
Cameraman kazoom traaaakoo😅 nilitaka nishangaee asimgeukiee
@user-gw8wv2zf2g
@user-gw8wv2zf2g 2 месяца назад
Camera man mzito
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 3 месяца назад
Jmn hata kumpa mgeni soda😂
@veronicamlelwa-zh9vy
@veronicamlelwa-zh9vy 3 месяца назад
Saleh anaogop mbwa jmn😅
@khalfannyanje8970
@khalfannyanje8970 3 месяца назад
Nikinya😂😂😂😂
@gracepatric4371
@gracepatric4371 2 месяца назад
cameraman hovyo kabisaaaaa cjui video shooter madudu kabisaa shenzii anaambiwa kabisa onyesha linabazubaa seee
@dianamashala426
@dianamashala426 2 месяца назад
😂😂😂😂
@ReginaErnest-cf6ji
@ReginaErnest-cf6ji 3 месяца назад
Mwamba unaishi bhana duuu
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 3 месяца назад
U DJ tu nyumba hiyo i can't understand
@user-ts9fe9xm9k
@user-ts9fe9xm9k 3 месяца назад
​@@SafiyaJ-yw2vt mi mwenyewe nashindwa kuelewa kwakwel
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt 3 месяца назад
@@user-ts9fe9xm9k Umeona eeeee
@mariachifupa4654
@mariachifupa4654 3 месяца назад
Ukimsikiliza vizuri utajua siyo udj tu uliomlipa, amefanya uchinga ameweza kusave money na anajua kujichanganya na Wana na ndiyo maana amefika hapo halipo
@halimamweri4020
@halimamweri4020 3 месяца назад
Hyo nyumba si kapanga kwan yake?
@swaumuabdallah6886
@swaumuabdallah6886 3 месяца назад
Hata km mm ndio mama simba siondok 😂
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp Месяц назад
Jamaniii umeona eee aan sichmoki mpak kifo
@abhaijar4078
@abhaijar4078 3 месяца назад
Kila hatua
@hildahmushi7524
@hildahmushi7524 3 месяца назад
Vijana acheni umama Wa kutegemea MTU chezeni michezo ya kina mama utajifunza kuwa na disprine ya hela kama alivosema DJ Aliy b Kweli Michezo inasadia Sana Mimi mwenyewe Niko kwenye iyo Michezo nayaona mafanikio
@joharifarahani2739
@joharifarahani2739 3 месяца назад
Kweli kabisa mm natengeza nyumba kwakutumia michezo
@aminanamoyo83
@aminanamoyo83 3 месяца назад
Sauti haiko clear
@NjuuJera-gg9ec
@NjuuJera-gg9ec 2 месяца назад
Tokomea hukohuko 😂
@MaryGurtt
@MaryGurtt 2 месяца назад
Uyu kamera man kila kitu kaambiwa, ila kwa tako la mama simba kawa makini
@KhalidNa-bn4gp
@KhalidNa-bn4gp Месяц назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wabongoooooo
@Gamba81
@Gamba81 3 месяца назад
Kumbe ela ya bongo aina samani sofa set milioni 40 daaaa
@kitomondo
@kitomondo 3 месяца назад
It's easy to get 40m kuliko kupata 20,000$.
@KautharRamadhan-xv3gf
@KautharRamadhan-xv3gf 3 месяца назад
Mwenzetu unasofa za kias gani au ndo useme tu ujiridhishe na chuki zako
@Gamba81
@Gamba81 3 месяца назад
@@KautharRamadhan-xv3gf sina chuki na wara siishi tanzania nime toka toka mtoto ndiyo mana nime uliza milioni 40 ni pesa nyingi sana kwa tanzania kumbe milioni 40 ni pesa ndogo sana ndiyo mana nime shanga milioni 40 kununua sofa
@Gamba81
@Gamba81 3 месяца назад
@@kitomondo sasa wewe ume nijibu vizuli sana god bless you
@user-cw7xw9cu6m
@user-cw7xw9cu6m 3 месяца назад
mwamba kavu anameza2 mwenyewe😂
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 3 месяца назад
Mwezi mtukufu atakuwa amefunga😊
@user-cw7xw9cu6m
@user-cw7xw9cu6m 3 месяца назад
@@nantaembanusurupia5674 ok labda
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 3 месяца назад
Hamna nyumba humo nenda kwa mbunge wa Zanzibar TAUFIQ hi yan hajafikia ata ile gharama ya gari ya TAUFIQ
@JimmyMgalama
@JimmyMgalama 3 месяца назад
Uwage na Akili ww bana!!!!! Utamlinganishaje bilionea TAUFIQ n zaidi kw Dj Ally b, Lakini Dj Ally b pesa anayo kw nafasi yke tena katuzidi sana tena kundi kubw la watu kimafanikio kw hiyo yatubidi Tumuombe sana Mwenyz Mungu atusaidie tupambane kiutafutj tuwe kama yy na cyo kumlinganisha n mtu mwngine 😮
@marymanoni5536
@marymanoni5536 3 месяца назад
Mimi Namuomba Mungu ata nusu anipe au zaidi❤❤
@leaherasto929
@leaherasto929 3 месяца назад
Kwani umeambiwa anafanya mashindano? Huwezi kumlinganisha dj na mbunge never
@JimmyMgalama
@JimmyMgalama 3 месяца назад
Uko Sahihi n kwel kabisa Reah! Uwez kumlinganisha Dj na Mbunge TAUFIQ n tapir mkubw sana Ana makampun mengi na mabasi mengi y mikoani
@ForodhaniZanzibar
@ForodhaniZanzibar 3 месяца назад
@@JimmyMgalama kwanjia ipi shekhe na ss tufikie ubilionea
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 3 месяца назад
Mama Simba alikua anaamhbusti baaria 😅
Далее
Осторожно селеба идет 😂
00:16
Просмотров 452 тыс.
Какую одежду я не ношу? 😱
00:13
Просмотров 444 тыс.
Это жизнь😂инст:sarkison7
0:10
Просмотров 1,7 млн