Тёмный

MKE WANGU AMEFARIKI KWA HIV |NAMI NAMFATA |AMENIAMBUKIZA |TB NA INI VINANIMALIZA KITANDANI 

Maximum Tv Online
Подписаться 454 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
0625466848 AU 0753393036

Спорт

Опубликовано:

 

12 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 43   
@user-cg3vf2bl6b
@user-cg3vf2bl6b 4 дня назад
Aiiii jameni ulimwengu wote hamna kama mama ,mama mzaxi atakushikila ady kaburini mungu alusaidie upone kaka na mama mungu akuoe maishia marefu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 4 дня назад
Pole kaja Allah Ashifk. Kwauwezo wake kuugua siyo ndiyo mwisho wakuishi. Allah akuoesubra kaka na mamayako
@yousifyousif-p7f
@yousifyousif-p7f 4 дня назад
Pole sana kaka kuugua sio kufa utapona kwa uwezo wa allah🙏
@mirnababy5012
@mirnababy5012 4 дня назад
Zahiri mwambie uyo mama avae grops homa yaini mbaya sana sana inaambukiz ata kwajasho
@maximumtvonline
@maximumtvonline 4 дня назад
Nimrwaambia tayari
@mirnababy5012
@mirnababy5012 4 дня назад
@@maximumtvonline oky
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 4 дня назад
Receive healing in Jesus name 🙌 🙏
@JullianaJuma
@JullianaJuma 4 дня назад
Kaka pole sana utapona kikubwa kinywa dawa vizuri na kula vizuri
@AmiriHumudi-hn6pt
@AmiriHumudi-hn6pt 4 дня назад
Pole sana baba utapowa na utapowa mzima. No Mtihani Tu as ALLA Lkn utapowa.
@jazirajazira8116
@jazirajazira8116 4 дня назад
Allah akupe wepes kaka
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 4 дня назад
Pokea uponyaji ukiamini mungu ndio kila kitu kakaangu
@nasramohamedi4095
@nasramohamedi4095 4 дня назад
Sio kwamba amekuambukiza yawezekana wewe ndie uliyemwambukiza! Ila pole ndugu yangu
@leokamil6284
@leokamil6284 3 часа назад
Pole sana nakuombea Mungu akuponye
@zakiaferuz4561
@zakiaferuz4561 4 дня назад
Pole Sana ndugu yetu mungu yu mponyaji wetu🙏🏿
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 3 дня назад
Pole saana kaka Allah akufanyie wepesi killa penye uzuto Alhamdoulillahi aala kullihali ya Allah
@teddyoscar6876
@teddyoscar6876 4 дня назад
Dawa za tb ni kali sana, kama alikua hanywi vidonge vya protection ya vitu vya ndani ni hatari na bongo wengi hawajui wanapewa dawa bila hivyo vidonge, ni shida tupu yaani mmh😢
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 3 дня назад
😢😢kwakweli inaumaa Mungu wew ndie Mfalme wa killa ki2 ya Allah wafanyie wepesi wagonjwa wote😢😢
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 3 дня назад
Aammiinn
@MiishHassan-qm1et
@MiishHassan-qm1et 4 дня назад
Pole san mungu akusimamie upone😢
@edinafaustinez8514
@edinafaustinez8514 4 дня назад
Mungu akupone kaka yangu
@maryammo-gd3me
@maryammo-gd3me 4 дня назад
Pole sana kaka Allah atakufanyia wepesi
@Sumaiyafisoo
@Sumaiyafisoo 4 дня назад
Allah akuponyeshe
@VionaMuthoni289
@VionaMuthoni289 4 дня назад
For Life transfer Factors sio dawa za kutibu nikuzuia magonjwa flani ni supplements hazitibu,nilikuwa nazo na sikuwa mgonjwa wa ini,maskini hajui ,wampeleke hosi apewe dawa hizo ako nazo sio zakutibu
@Atb300
@Atb300 4 дня назад
Mungu tupe mwisho mwema pole kaka
@leokamil6284
@leokamil6284 3 часа назад
Kuna mambo yanaumiza moyo sana, nikitizama Viongozi wanavyo timba nchi na raia walivyokuwa na shida nashindwa kuwaelewa hivi wanauchungu kweli na wananchi ?haswa pale wanapotumia fedha kwa vitu ambavyo sio muhimu kuliko huduma za matibabu kwa watanzania wasiojiweza ila wao wanawaza kujenga makumbusho kujengea maraisi wastaafu, kupeleka wacheza sinema nje ya nchi na matamasha kongamano kila kukicha 😭
@AshuraMhamad
@AshuraMhamad 3 дня назад
Pole san kaka Allah atakupa shifaa ishaallah
@HijaMulla-cl8yo
@HijaMulla-cl8yo 4 дня назад
Pole Sana kaka
@mirnababy5012
@mirnababy5012 4 дня назад
Mungu ampe nguvu uyo itakua dawa za hiv alimeza miakamingi jumlisha za tb inaletaga sana matatizo ya ini au moyo allah ampe nguvu
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 4 дня назад
Aaaminayaarabi
@mirnababy5012
@mirnababy5012 4 дня назад
@@SalmanMughal-lq5lt 🙏
@NeemaSungura-w1w
@NeemaSungura-w1w 3 дня назад
Mungu Akufanyie wepesi kaka
@AmaniManase-x1i
@AmaniManase-x1i 3 дня назад
Duuh Mungu tuepushie haya maradhi mabaya
@SalomeRenatusi
@SalomeRenatusi 3 дня назад
Yesu akuponye bro
@emmiemmi3861
@emmiemmi3861 3 дня назад
Damu ya yesu ikuponye
@OlipaMsemwa
@OlipaMsemwa 4 дня назад
Mungu mwema, hivi ndugu yetu TR msigwa hawezi kutupa ufumbuzi wa hili tatizo? Zahili ebu wasiliana na TR msigwa
@maximumtvonline
@maximumtvonline 3 дня назад
Sawa
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 4 дня назад
Pole kk yng utapona
@SadiAmisi-s8w
@SadiAmisi-s8w 4 дня назад
😢😢😢😢😢
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 4 дня назад
Pole sn
@ireneimbuhira7759
@ireneimbuhira7759 4 дня назад
🤲🤲🤲🤲
@SmilingApron-zw6ne
@SmilingApron-zw6ne 3 дня назад
NI MAOMBI TUU YATAWEZA KUPANGUA NA KUFUTA IYO UGONJWA
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 3 дня назад
Yani wewe upo gizani sana maombi yapi yatatoa ugonjwa haya ya mapasta wa uongo au
@ambroceharouna1612
@ambroceharouna1612 3 дня назад
Ni matibabu na kusimama na MUNGU sio maombi ya uongo
Далее
4 Year Sibling Difference! 😭 #shorts
00:11
Просмотров 10 млн
Dragon Blood Whitening Cream
00:35
Просмотров 6 млн
KUNGWI DUME: MATUMIZI YA UNGO KWENYE TENDO LA NDOA
35:35
Bro entered the wrong sport 💀⚡️
0:14
Просмотров 12 млн