Тёмный

DIDA ACHAFUKWA, AMJIBU MR. NANA "NATAKA AJE AONGEE MBELE YANGU, SINA MUDA WA KUONGELEA MAPENZI" 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 88 тыс.
50% 1

www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

5 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 308   
@gracewairimu800
@gracewairimu800 5 месяцев назад
Sina uzuri wa sura ila nina uzuri wangu mwenyewe ndo mana wana ni ng'ang'ania😂nipe hi kama unakubaliana na hii
@BarakaTheprince
@BarakaTheprince 4 месяца назад
😅O
@Official83640
@Official83640 5 месяцев назад
Dida kapanik kwann Mr Nana katoa siri ukweli ndy huo ushakua utulie uache kutembea na watoto rudi kwa Muheshimiwa hueshimike km wenzio kina Salma Dakota
@user-ji6cp1ng8g
@user-ji6cp1ng8g 5 месяцев назад
Atafute saizi yake co umshauri arudi kwa muheshimiwa unajua kilichowatenganisha mambo mengine cri tuwachie wenyewe
@Official83640
@Official83640 5 месяцев назад
@@user-ji6cp1ng8g Miaka 7 uhawara ndoa miezi 3 kavumilia kuzini imshinde ndoa kuvumilia huyu hamuwezi mtu kwenye ndoa we binadamu gani kila mwanaume mbaya tu yy mapungufu yake wanayavumilia vp yy ashindwe kuwavumilia wenzie mtoto wa ki8slam hasifiwi kuolewa na kuachwa ht wazazi wetu walivumilia mengi hd wanazikana miaka 50 40 30 ndani ya ndoa ina maana walikuwa wanaishi vizuri bila mikwaruzano ndani
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 5 месяцев назад
Hakika maana kuna watu wanajua maisha ya watu zaid ya namba za cm za watu 😂😂​@@user-ji6cp1ng8g
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 5 месяцев назад
Knyoko, Nanuuu, hakuna mchaga fala , Asante dadaangu Didaa.
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 5 месяцев назад
Mbona kama kapanic vile 😢😢 mapenz pia Yana nafasi yake, 🙏
@mankamushi1374
@mankamushi1374 5 месяцев назад
Dida nakupenda Sana dadangu usijali maneno ya watu wapo ili weseme
@user-sr2vi5hw6v
@user-sr2vi5hw6v 5 месяцев назад
Duuuh umezeheka sura m aya
@user-bz8de6sj9z
@user-bz8de6sj9z 5 месяцев назад
Love this woman ❤❤❤❤go girl 🥰
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 5 месяцев назад
Me too
@user-xn7oc4qu2m
@user-xn7oc4qu2m 5 месяцев назад
Dida unaushamba flani hivi chunguza maneno yako kuanzia ugomvi wako na Jack mpaka hapa kwa Mr Nana ndio utajua huo ushamba wako na ulimbukeni wako
@alsam4881
@alsam4881 5 месяцев назад
Dida analazimisha kuonekana kuwa msichana lakini ameshaanza kuzeeka hadi ngozi zimekunjika, kwahiyo sasa atubu kwa Mola wake na aache zinaa na avae nguo za stara zinazoendana na umri wake, Na kama anataka kuolewa tena basi atafute mzee mwenzake na aachane na vibenteni.
@rerisamba
@rerisamba 5 месяцев назад
Kumbukeni mafuta hufanyangozi kukunjika
@vickydan2869
@vickydan2869 5 месяцев назад
​@@rerisambamafuta yapi ya mgando au hizi crem zao
@vickydan2869
@vickydan2869 5 месяцев назад
​@@rerisambaau hizi roshen zakawaida
@Mrs_ABD
@Mrs_ABD 5 месяцев назад
Wewe tayari ushatubu😂😂😂😂😂 kutubu haitaki umri
@sawackoswald9322
@sawackoswald9322 5 месяцев назад
Uchi hauzeeki nakuna wengine sura za kitoto ila huko chini niwazeee ivyouzee sio kitu kitu madini kichwani
@karimjuma4019
@karimjuma4019 5 месяцев назад
Dada anaongea sana kuishi nae huyu ni ngum sana
@SaudaRashid-xt8jf
@SaudaRashid-xt8jf 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@karimjuma4019
@karimjuma4019 5 месяцев назад
@@SaudaRashid-xt8jf wanaume hatupend ngenga nyiiiiiiiingip
@user-bc1jg8md3h
@user-bc1jg8md3h 5 месяцев назад
Sura nzuri unayo sema tuy Umezeeka sister!
@vero57
@vero57 5 месяцев назад
Semaa didaaaa!!!!!
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 5 месяцев назад
Bora umejijua huna sura nzuri 🙏 hapo nakusifia
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@nuruosward8161
@nuruosward8161 5 месяцев назад
Wajaaaa😂😂😂😂😂
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 5 месяцев назад
Maana nilikuwa nataka kusema kanitangulia mwenyewe 😂😂😂😂😅
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
Wewe yako nzuri? Mashavu ka paka wa hoteli za Nungwi
@MsAggie5
@MsAggie5 5 месяцев назад
Huyu mwanamke mzima akue sasa
@chany9950
@chany9950 5 месяцев назад
Didaaaa Love you😘😘😘
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 5 месяцев назад
Hili ni gume gume wachaga weka pesa mezani tumalizane
@user-gr5du8mg9s
@user-gr5du8mg9s 5 месяцев назад
Kwel sura dada 😢
@Bless-b.DL-babyofficial8769
@Bless-b.DL-babyofficial8769 5 месяцев назад
Aisee dida amesha zeheka
@Sarah-tq2vc
@Sarah-tq2vc 5 месяцев назад
Mtangazaji bwana ety hoo mara dida ana kingast mwengine😅😅😅😅
@mohameddikaluka3162
@mohameddikaluka3162 5 месяцев назад
Na Angekua mzuri huyu! Domo Sasa,, Arafu Zee frani hivi
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂
@estertiffa-ew5id
@estertiffa-ew5id 5 месяцев назад
Eeeeeh 😂😂😂acha bhasi
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 5 месяцев назад
😂😂😂
@ubongosahihi
@ubongosahihi 5 месяцев назад
Kwa hiyo tusizeeke so tusipo zeeka bibi mtampata wapi mbona hamuelewi Dunia jamani loooo et poleni mnao comment ambazo hazina busara wala hekima come onnnnnnnnn😒😒
@khadjamhozya
@khadjamhozya 5 месяцев назад
Acha ishamba kwani yeye kasema mzuri
@Mundi-oz7os
@Mundi-oz7os 5 месяцев назад
Huzungumzii mapenzi mbona unawabana wenzio studio wazungumzie mambo yao ya ndani 😊
@eggysulle7988
@eggysulle7988 5 месяцев назад
Ndo utofaurltshe ,akifnya ivo anatafta ugal yaan pesa kama anavxema
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
So kama dokta anatibu nyeti za wagonjwa hospitali inamanisha nae aongelee nyeti zake???? Em jiulize then ujijibu mwenyewe
@mapachaproducts2475
@mapachaproducts2475 5 месяцев назад
Yaani huyo nana sijui nani aache basi ushamba hivi why umepewa airtime then unaexpose mambo ya ndani
@Mumewangu
@Mumewangu 5 месяцев назад
Sasa amefumania itakuaje DIDA amezeeka
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
Mbona hajaongea mabaya kaka wa watu jmn
@fatumamilimo7336
@fatumamilimo7336 5 месяцев назад
mbona wewe unaongeleaga mapenzi ya watu😂😂😂😂umepaniki dada
@user-qg8vc3bw3q
@user-qg8vc3bw3q 5 месяцев назад
Mwambireeee 😅😅😅
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 месяцев назад
Sura
@righitkileo
@righitkileo 5 месяцев назад
❤❤❤Nipe tano Dida ,mchaqa orq,❤❤anashindania maqar mazur,nyumba nzur,s wanaume❤❤❤❤chaqqa hilo❤❤❤❤❤❤❤
@khadija5761
@khadija5761 5 месяцев назад
Umezeekaaa dada😢
@hanifamziray277
@hanifamziray277 5 месяцев назад
Ww tena umesahau ulivyokuwa unamsifia mpk ndoa pole
@speroachpaulsen
@speroachpaulsen 5 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@KijukuuMtemi
@KijukuuMtemi 5 месяцев назад
Hili janajike Lina sura mbaya kwa mkorogo limekwisha margea juwa Lina zama Tena tubia Tena najua utanuna ila ujembe ushakufika
@LibanleylaMuhidin
@LibanleylaMuhidin 5 месяцев назад
Lakini kaolewa na ako na ndoa 😂😂😂😂,mbona wanaume wanamtafuta😂😂😂😂
@vicentmapunda3146
@vicentmapunda3146 5 месяцев назад
Kwa hyo kwenye kipindi chako kule unvoongelea mambo ya wenzio yako mbn miship inakutoka
@youthchanel8612
@youthchanel8612 5 месяцев назад
Umeona eeh
@WivinaFrance-xn3mk
@WivinaFrance-xn3mk 5 месяцев назад
Ukweli unauma
@ommylax7231
@ommylax7231 5 месяцев назад
Ana miaka 50_2😢
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 месяцев назад
Nakupenda Dida
@bettybetty8717
@bettybetty8717 5 месяцев назад
Dida ushakua bibi tulia achana na vijana wadogo
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 5 месяцев назад
Dida Dida uko sawa
@aminamzuri9933
@aminamzuri9933 5 месяцев назад
Mmmmh dida nana anakupenda
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
Hahaha Didah kamchamba uyu mwandishi sema mwandishi kapotezea maumivu na aibu😂😂😂
@user-ix9ed2ie9z
@user-ix9ed2ie9z 5 месяцев назад
Akii kumbe dida ni mrembo ivyo❤
@Marjeby
@Marjeby 5 месяцев назад
Huyo Didaa mwenyewe kazeeka hatari na uso ulivyomzito aiseee
@chemstry409
@chemstry409 5 месяцев назад
😀😀😀😀😀😀
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 5 месяцев назад
Vip ww una ck 1 tangu ulipozaliwa?
@hamzaqaacm1869
@hamzaqaacm1869 5 месяцев назад
Kazeeeka bwanaaa 😂😂😂​@@ruqaiamohammed345
@munamuna4621
@munamuna4621 5 месяцев назад
Dida kazeeka
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp
@SmilingFreshwaterLake-tg5qp 5 месяцев назад
Na wewe umeona ?
@emmajuma896
@emmajuma896 5 месяцев назад
Kazeeka na anajigamba kwamba anatongozwa na wengi. Achukue kioo atazame
@user-wr6uz1rx1o
@user-wr6uz1rx1o 5 месяцев назад
​@@emmajuma896wew uyo mzuri unaweza kumumba na wew weka sura lako jeusi tulione
@munamuna4621
@munamuna4621 5 месяцев назад
@@emmajuma896 😄 🤣 😂 watu washukuru mek up
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 5 месяцев назад
Kikubwa mwana ameshapiga😂wewe ndio umeloose hapo.
@saidissa4741
@saidissa4741 5 месяцев назад
Hahaha hahaha
@rose_Winchester86
@rose_Winchester86 5 месяцев назад
Ameloose nini? Kwani kaondoka na k yake
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 5 месяцев назад
@@rose_Winchester86 Umeshawai kusikia wapi mwanaume malaya dadangu?Ila mwanamke ndio anakua malaya hapo tayari wanaume wengine wanamdiscredit watapiga wanaondoka heshima lazima ishuke ila mwanaume heshima lazima iongezeke😄
@user-is7ot7bq9x
@user-is7ot7bq9x 5 месяцев назад
Aseee didah anaongea akupi ata muda wakumuuliza kitu amepanic
@FelistersMejumaa-fp6cc
@FelistersMejumaa-fp6cc 5 месяцев назад
Umezeeka kweli mamaa,, na hapo kwa sura ulivyo sema huna ni kweli umelitambua hilo
@StumaiIssa-nh8bo
@StumaiIssa-nh8bo 5 месяцев назад
Hahahahaha utaniuwa Kweli sura hana alafu ndo nina muona vizur
@saeedmassoud256
@saeedmassoud256 5 месяцев назад
Sura bozuu
@chemstry409
@chemstry409 5 месяцев назад
😀😀
@aishaarusha894
@aishaarusha894 5 месяцев назад
Kayako
@user-rw2mm1jk6o
@user-rw2mm1jk6o 5 месяцев назад
Mpaka unachapia kwa roho mbaya yako nzuri umejenga ghorofa
@tobosha3236
@tobosha3236 5 месяцев назад
Mungu naomba usimjalie binti yngu ukiniruzuku awe n sura yngu baba mtu
@blaqyrn3655
@blaqyrn3655 5 месяцев назад
😅😅😅
@user-yv7xg4em4s
@user-yv7xg4em4s 5 месяцев назад
😂😂😂😂dida unajiamini😂😂
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 5 месяцев назад
Waandishi wachonganishi jamani mbwa hawa,
@godymastermind9534
@godymastermind9534 5 месяцев назад
Mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu. Dida kuongelea wengine kwenye mashamsham anaonaga raha sana, leo kuhojiwa anapanic kama vita vile. Atulie kuimba kupokezana😅😅😅
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 5 месяцев назад
Namshangaa anavyolalama
@EmmanuelZenda-ji5gc
@EmmanuelZenda-ji5gc 5 месяцев назад
Uyu mzee anazeeka vibaya sasa mana kila siku kuachika tu mpaka waheshimiwa wamemshindwa,mpaka vibenteni navyo vimemkimbia akitulize sasa
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 kwakwel
@khadija5761
@khadija5761 5 месяцев назад
😂😂😂 wanaume nao wanazeesha voo kila mwanaume amchokore tuu
@jaquilinekivunge331
@jaquilinekivunge331 5 месяцев назад
Hahaaa
@rukiyyarukiyya6317
@rukiyyarukiyya6317 5 месяцев назад
Mmmh
@buildinghope3817
@buildinghope3817 Месяц назад
Dida nakupenda sana unaniosha loho
@annamwakibinga527
@annamwakibinga527 5 месяцев назад
Huyo ndiyo Dida
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 5 месяцев назад
Kaongea hata mimi nimesikia ongea bw ana dida mbona ya wenzio unasema
@laurentraphael5470
@laurentraphael5470 5 месяцев назад
Eti yuko kutafuta hela, kadada kaswahili swahili.
@augustinenjagi6255
@augustinenjagi6255 5 месяцев назад
Huyu Dida is very wise
@Barakatabudul
@Barakatabudul 5 месяцев назад
Shangazii Ajikuta Under 12 na Umbrii" ushasonga mpaka Sura' yavuka😂😂😂😂😂 Wasafii akutongozee nanii na Ushachoka, hivi watu wamuache Ammy girl" wakutongoze wewee😂😂😂😂
@Zuu673
@Zuu673 5 месяцев назад
Uyu age goo ni Bibi mashangazi kina ant kajal na wengine
@singidaone5628
@singidaone5628 5 месяцев назад
Dida ni mhuni kama wahuni wengine
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 месяцев назад
weeutumbo tu kama utumbo mwingine tuu😂😂sura lake sasa😂😂dida ukue jaman
@SelinaMdoe-jv1pu
@SelinaMdoe-jv1pu 5 месяцев назад
Mbona mambo ya w nzio dida unayashad adia sana mpaka un apiga simu kwa um bea yakutaka kufuk unyua mambo ya wa tu mbona yako una panic jieleze yakwa ko na wewe
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 месяцев назад
Cha fundi ndio kibovu
@nanaritho6850
@nanaritho6850 5 месяцев назад
Ushachunwaaaaaa na nyimbo kakutolea
@SharifaOman-bf1bn
@SharifaOman-bf1bn 5 месяцев назад
Mtu mzima. Kisheti
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
Kama bibi yako
@SululuZungu-kx8ws
@SululuZungu-kx8ws 5 месяцев назад
Mmh kumbe yupo iv lisura lake 😂😂😂daaa mbovu kinoma mamaeee
@SuleimanKhdija
@SuleimanKhdija 5 месяцев назад
DIDA TULIYA SASA NDOA NGAPI UNAZO??HELA HUA ZINAKWISHA ILA HESHIMA INABAKI
@vero57
@vero57 5 месяцев назад
Waambie haoooo!!!
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 5 месяцев назад
Mr Nana Aliomba msamaha akachoka akaamua amfanyie interview dida ndio amsikie......nana kumbe weee wa hovyo tuu!! Dida tafuta mwengine mtu mzima mwenzako,yupo tuu atakae kuwa na akili!!!
@ZainabuMatewa
@ZainabuMatewa 5 месяцев назад
Coz rudianeni to
@user-gw6cj3wb7y
@user-gw6cj3wb7y 5 месяцев назад
Mama Zima chefuuuu
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 5 месяцев назад
Dida atashingo inainyesha umezeeka vaa nguo za stara umejichubua mpaka kucha kwa mungu hajui Bata anajua swala na u some Quran upo Dunia duara ata upendez unafanyayo
@user-ys8dv8lk7k
@user-ys8dv8lk7k 5 месяцев назад
Msameh bwanaa
@user-gr9kx8hz6t
@user-gr9kx8hz6t 4 месяца назад
Dida kizeee duh hafanani na uyo kaka
@salomewandya7257
@salomewandya7257 5 месяцев назад
Mmmmmh
@user-mi7cd8ch1b
@user-mi7cd8ch1b 5 месяцев назад
Dida rahana ya mweshimiwa iyo inakutafuna we ushazeka watto wadgo hauwawezi
@Naju645
@Naju645 5 месяцев назад
Kumbe dida mtu mzima
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 5 месяцев назад
Miaka 40 si mkubwa sana. Cream hizo
@Zuu673
@Zuu673 5 месяцев назад
40 kajala uyu 48
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂 mama angu mdogo 😂😂😂😂😂 wazee hawatak kuzeeka
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 5 месяцев назад
@@user-mr7gl5ox6u kumbuka wee hapo unaelekea huko
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 5 месяцев назад
@@Zuu673 ila tu niwakumbushe watu waxima watamu kuliko vijana mashauzi mengi vindandani ziro.
@JennyJma
@JennyJma 5 месяцев назад
Jamani coment nyingi mnasema dida kazeeka sasa kwani siku zinarudi nyuma??? Ikiwa Anty ezekel kafanya birthday mwaka jana katimiza miaka 40 tena dida kaanza kuoneka kwenye maigizo na kina kanumba nakumbuka kaole group mwaka 2000 sasa kama mnabisha hebu kamwangalie johari kwenye tamthilia yake ya siri kwenye sinema zetu akiwa sura imeshakomaa sasa kwanini dida? Mimi nimeanza kuwaona dida docta chen johar nora rey nikiwa na miaka 12 ITV saivi nina miaka 34 sasa kwanini wasizeeke mtizameni docta cheni alivozeeka na ndio mwanaume kwanini hawa wanawake wasizeeke? Kamwangalieni monalisa vizuri sura imeshaanza kuzeeka na ndio hajawahi kujichubua na mikorogo
@antonyjuliz9348
@antonyjuliz9348 5 месяцев назад
Kazeeka ety
@chemstry409
@chemstry409 5 месяцев назад
😁😁
@fathiyahmuzney7367
@fathiyahmuzney7367 5 месяцев назад
😂😂😂ila watu jmn
@chemstry409
@chemstry409 5 месяцев назад
Sura duuuuuuhhhh mtihani....😂😂😂
@FatimaVorogwe
@FatimaVorogwe 5 месяцев назад
😅😅😅😅
@teedullah5708
@teedullah5708 5 месяцев назад
😂😂😂😂 Aki dida nakupendeya hapo tufunze didaa
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 5 месяцев назад
Dada yangu dida ushaliwa sana nahako kahuni hadi tigo kamjamaa kamekula
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 5 месяцев назад
Una nuksi tu bi dada ,eti huna muda wa kuongelea mapenzi!!? Ila una muda wa kuongelea mapenzi ya wenzako maana hadi mishipa huwa inakutoka 😂😂😂
@user-ts5bu7os5d
@user-ts5bu7os5d 5 месяцев назад
Watu wanajiaibisha jamani tulia mama yetu utapata saiz yako hivi visharo viachage tuu vinipitishe,ila kama alikua anakamia shoo unazeeka😂😂😂😂😂
@highvoltages4169
@highvoltages4169 5 месяцев назад
Dida anajifanyaga kutetea wanawake wanaolialia radioni na kuwasema vibaya wanaume, DIDA LEO LIMEMSHUKA SHUU
@chemstry409
@chemstry409 5 месяцев назад
Ahhhhhhhhh....kumbe ndio maana huwa anavaa kofia leo ndio nimegundua....😂😂😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@mesukanku6016
@mesukanku6016 5 месяцев назад
DIDA EST UNE FEMME INDÉPENDANTE LIBRE ELLE FAIT CE QU'ELLE VEUT DE SA VIE
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 5 месяцев назад
True
@TheoMukenga
@TheoMukenga 5 месяцев назад
Aza ndumba ba femme tanzanien bazalaka na respect epa mobali te.ata soki oza tati wata bako cheet yo kaka
@user-yj5pu2lj1i
@user-yj5pu2lj1i 5 месяцев назад
Bdo haujathemaa mpka utheme😜🤣🤣🤣🤭ifike time mjijue kuwa tiyari ninyi n watu wazima utabadilisha wanaume km nguo mpka lini
@RamadanLubuva
@RamadanLubuva 5 месяцев назад
haji manala chukuwa mwengine huyo
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 5 месяцев назад
😂😂😂ila kweli
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
Mbona umezeeka dida
@gracewairimu800
@gracewairimu800 5 месяцев назад
Kwanini asizeeke na miaka inapita?au wewe bado upon na miaka miwili hadi leo😅
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 5 месяцев назад
@@gracewairimu800 mimi nimezeeka na nimejikubali hawa wenzetu hawajikubali hapo bado anajiona ni msichana wa miaka 20
@mwanjaaseif5229
@mwanjaaseif5229 5 месяцев назад
Tuzo atachukua nani kati ya dida na manara?😅
@user-mr7gl5ox6u
@user-mr7gl5ox6u 5 месяцев назад
Wazee wasiozeeka 😂😂😂😂
@user-qg8vc3bw3q
@user-qg8vc3bw3q 5 месяцев назад
Inatafuta pesa ukapate mwanamme mwingine umhongeee 😅😅😅
@faidhacute
@faidhacute 5 месяцев назад
Dida bhana tatz unajikubali sana ndio maana huchelew kweny mahusiano😮
@agnesvintan1538
@agnesvintan1538 5 месяцев назад
Eti niache kutafuta hela😂😂😂😂😂wakat Anatupostia puuuuh🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwan Nani alimtongoza mwenzie 🤣🤣🤣kama anataka mwanaume wa kumpa hela atafute vibabu sasa huyo sharobaro 🤣🤣🤣🤣
@wardawarda6535
@wardawarda6535 5 месяцев назад
Dida mitano tena shoga yangu ❤😂😂
@Shuu.A
@Shuu.A 5 месяцев назад
Pamoja na weye😅😅
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 5 месяцев назад
Warda 🙋🏽‍♀️🌹❤️😂😂😂
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 5 месяцев назад
😂😂haongelei mapenz ila anafny mapenz
@elizabethnguma3379
@elizabethnguma3379 5 месяцев назад
Aliongea vizuri sanaa,niliona interview 😂
@winniemulongo9756
@winniemulongo9756 5 месяцев назад
Sura mbovu kama talo la nyani
@kristinmpoli3586
@kristinmpoli3586 5 месяцев назад
Dida kahama kabila kutoka mdigo mpaka mchaga😅😅😅😅
@deboramartin8111
@deboramartin8111 5 месяцев назад
Yaani dida akiolewa akikaa na mwanaume miez 3 nipo paleee tatizo dida anajiona vijiela anavyo shika ndiooo mme
@frankghati-zq1bi
@frankghati-zq1bi 5 месяцев назад
Wee mwanamke kwenye mambo ya wengine unajikuta mshauri , lakini ya kwako domo linafunguka sana..
@ChristinaOnditi-el3xo
@ChristinaOnditi-el3xo 5 месяцев назад
Ila dida Kwa hicho kibwana ulijichanganya.pole japo ni kawaida katika maisha kukosea.yani huyo wala sio aina Yako. Pale Kwa mea.ndio mie nilipenda usimame imara
@loulumony8519
@loulumony8519 5 месяцев назад
Mwambie dida nakubali kbx🤛🤛😍😍
@Charlesray-sv2lm
@Charlesray-sv2lm 5 месяцев назад
Mm naona nikuwa dida na huyo mr nana hiyi ni kk ili jamaa afahamike nasio kitu kingine this life now days too much kiki
@umutonijowelia8794
@umutonijowelia8794 5 месяцев назад
Sina uzuri wa sura kwani unajijua kama hauko mzuri😢😅😅
Далее
Недооцененный котел в Симс 4
00:37
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 622 тыс.
Jua kali leo usiku jumapili 21-7-2024         4k
19:14
Просмотров 59 тыс.
Кот Оказался В ЗАПАДНЕ🙀☠️
0:38
Заячий Стон - Рот пятничный
0:55