Тёмный

MKWE WA ALHAJ MZEE YUSUPH ( Mama Leila ) Afunguka kuhusu Leila na Khadija 

Junior Syaary
Подписаться 136 тыс.
Просмотров 336 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 142   
@salhamm742
@salhamm742 7 лет назад
mashalah mungu mkubwa Leila ni mwarab wa Oman Chezea Wewe tena
@lucyhadwiger3164
@lucyhadwiger3164 7 лет назад
mashaallah..
@aminatuabdhulahi8405
@aminatuabdhulahi8405 7 лет назад
Salha Mm Mwaarabu na yuasakata Taarab bila waswasi
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
Salha Mm masha allah
@mamapekupekupilipilimuwash9016
azh zha yassin safi
@allyrashidmwahu8695
@allyrashidmwahu8695 7 лет назад
Salha Mm
@rashidseif6103
@rashidseif6103 7 лет назад
Mama ujue kila mmoja ni mchunga na kila mchunga ataulizwa juu ya alicho kichunga. Kwa hvyo uwe na jibu zuri mbele ya Allah.
@sheymahabdulwahidkhalid6355
@sheymahabdulwahidkhalid6355 7 лет назад
mashallah Nimekupenda bureee we mama unaonekana mcheshi sana pia yani kiufupi nimekupendaa
@abdallahlusinde9022
@abdallahlusinde9022 4 года назад
Duh huo mzazi wangu ni mtihani sana hill jambo mungu halipendi kwa hiyo mshauri means no mkweo wajikite Kia Allah sw Kia jurists maamrisho yake na kuacha makatazo take loutish mwenendo sahihi was mime wetu Muhammad saw
@SPrivy
@SPrivy 4 года назад
Mama. Msatarabu nimempenda hana maumbea kama wengine hajinadi mashallah 🥺💞💞
@fatimamwinyi1110
@fatimamwinyi1110 4 года назад
Maashallah mama Nakupenda ila ww dada mbea sana
@binesiharuni2609
@binesiharuni2609 7 лет назад
Ma sha Allah mungu awaeke wazazi wake in sha Allah
@stellapetro3301
@stellapetro3301 4 года назад
Binesi Haruni kafanananae sn yani
@biyamungu1021
@biyamungu1021 7 лет назад
asante mama kwa kuongea ukweli kuwa wanawake awapendi kuolewa uke wenza
@ollgfgv9872
@ollgfgv9872 4 года назад
mashallah mama bado mbichiiii
@mwanaidihussein1462
@mwanaidihussein1462 7 лет назад
😅😅😅 johari mmbea wewe duu ila fani unaiweza sana hongera
@mamuuomar2596
@mamuuomar2596 7 лет назад
mashaallah mama kafanana na mwanawe Leyla
@stellajohn5019
@stellajohn5019 7 лет назад
hadi rahaaa
@faridaiddi104
@faridaiddi104 4 года назад
Mama mashaallah mungu akuzidishie umri
@monicampokwa1984
@monicampokwa1984 4 года назад
Mimi namshauri arudi kwa Allah aache kuimba taarab aimbe kaswida
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 5 лет назад
mashaallah mama mzuri alhamdulilah
@halimamohamed1458
@halimamohamed1458 4 года назад
kaah mtangazaji hii fani kwa kweli unaitendea haki😂😂😂 huu umbea konk
@estermahenge5972
@estermahenge5972 2 года назад
😀😀
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 5 месяцев назад
Mashaaalah
@mwanaidiomar3678
@mwanaidiomar3678 5 лет назад
Mungu akulinde mama
@rehemadndomahelege9834
@rehemadndomahelege9834 5 лет назад
Mimi npo Oman sasa nyiie mpo sehem gani
@salwasuleiman8943
@salwasuleiman8943 4 года назад
Hasara mama anamuelekeza mwanae motoni Allah atuongoze
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 4 года назад
Huyu bibi yaan anafurahia
@cherotichlizah7776
@cherotichlizah7776 7 лет назад
waaaaah ....oman niko huku kuxuri ...woow
@bultuabasalam5997
@bultuabasalam5997 7 лет назад
Cherotich Lizah kuzr Lakin mmmh
@SalimSalim-cx1og
@SalimSalim-cx1og 4 года назад
nashindwa na ww mama badala umwoneshe njia nzuri wewe ndio una msaport binti yako.mama wakislamu yuwenda kinyume na ALLAH na wewe unona raha. ALLAH awaongoze
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 4 года назад
Mtangazaji na Mama wanafurahia madhambi
@lailauthman5454
@lailauthman5454 4 года назад
Kila mtu ni mchunga na utaulizwa kuhusu uchungaji wako....WAZAZII!!! ii dunia jamani Allahu Akbar!
@azzaalmaamry5817
@azzaalmaamry5817 4 года назад
Maashaa Allah
@husnamarandu8380
@husnamarandu8380 7 лет назад
mmmh! huyu mama yuko vizur
@catherinemsofe8020
@catherinemsofe8020 7 лет назад
nimempenda bi mkubwa
@moon3793
@moon3793 7 лет назад
mmmhhh mpambe wew dada, (mdaku)
@saidsoud5967
@saidsoud5967 5 лет назад
Kweli huyo ni mzanzibar..na wazanzibar wote asili zao ni huko Arabuni
@rasykizanjbari4996
@rasykizanjbari4996 4 года назад
Nimecheka sana jaman mbavu zangu😄😄😄sakina anakwambia mnasikia uko nyie kumbe na yeye udaku anautaka aujuwe vizur sana""" sakina nakupenda sana wallah
@mawjumarashidi8437
@mawjumarashidi8437 4 года назад
MashaAllah
@saumuhassan1365
@saumuhassan1365 7 лет назад
Hata mimi niko Oman na Enjoy tu, good mama Leyla
@ashakizenga4379
@ashakizenga4379 5 лет назад
Pamoja
@aishatanzania1194
@aishatanzania1194 4 года назад
Pamoja nami nko omani
@mamujabbir1540
@mamujabbir1540 7 лет назад
Mashallah motherteen
@muminashughuli6885
@muminashughuli6885 6 лет назад
kila mmoja Ni mchunga na atakwenda ulizwa Kwa kila alichokichunga mama
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
chezea leila muoman lazima mawifi kijasho cha Lys kiwatokeeee 😃😂😁😁inahusuuuuu
@lailauthman5454
@lailauthman5454 4 года назад
Mama Laila usifuraie kula haramu!!! MZIKI!!!
@mamapekupekupilipilimuwash9016
mamake leila mzuri kabisa kafanana na mwanae
@ZuhraZuhra-mv7jq
@ZuhraZuhra-mv7jq 7 лет назад
mashaallah mama uko poa sana.
@mamapekupekupilipilimuwash9016
Zuhra248 Zuhra248 nice
@ummyleylahadya5202
@ummyleylahadya5202 7 лет назад
Yemen mama!!
@shuwehaharunaomariikwena233
@shuwehaharunaomariikwena233 7 лет назад
mashaalah kumbe mwaarabu Leyla
@zuweinasalum8452
@zuweinasalum8452 7 лет назад
Shuweha Haruna Omari Ikwena ni mwarabu wa Yemen
@ruditaboti3157
@ruditaboti3157 7 лет назад
Shuweha Haruna Omari Ikwena mmmh waraabu hata kwamaandishi huwajui cjaona waarabu mm hapo wazanzibar bhn
@kimwanahhamza1166
@kimwanahhamza1166 7 лет назад
khadija A R M inawezekana ni kwel sabab mm oman nshakutana na familia za waarab lkn ukiwaon rang zao hyo mama leila ni mweupe yaan kma ypo tanzania akisema mwarab unawez kataa lkn ndio hvy sabab waarab wa oman asil yao tanzania
@khamiskhamis5075
@khamiskhamis5075 7 лет назад
Zuweina Salq
@alfanabdul161
@alfanabdul161 7 лет назад
huyu dada mmbea
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 лет назад
Msihadaike Na ukarabati wanyumba nahuduma anazokuhudumieni yule ni mtoto wakike namwanamke stara mpaka sauti yake niuchi kwaiyo kama Mama unafurahia ujuwe nimas uuli mbele ya Allah na majuto makubwa saana tena saana dini hairuhusu tafakari
@munaakassim8281
@munaakassim8281 7 лет назад
mmmmh..ebu tuacheni kuhukum ..muachien Allah aukum..atujui mwisho wetu utakuaje..nani alijua mzee yussufu ataacha taharabu...achane kuhukum..
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 лет назад
hakuna awezae kuhukumu Ila kila mchunga ataulizwa alichokichunga tusijihalalishie allah alichokharamisha akhera kuzito tusidanganyane nywele wazi kifuwa wazi wanawake tumeambiwa stara Na nyimbo kharamu tuache kuhalalisha alivyotuharamishia adhabu za allah hatuziwezi sisi nidhaifu
@robertkizito8656
@robertkizito8656 7 лет назад
Ummu Samira ni kwel Kabisa lakini kuna ubaya gani kuwasaidia wazazi wako pale wanapohitaji? Je wakifa njaa utajibu nn kwa allah ingali una uwezo? Je kipaji hatujajaaliwa na Allah? tusidanganyane tuombe hekima ya Allah ituongoze tuijue kweli, Tusiamini akili zetu tukafkia kuwaongelea wenzi wetu Maneno ya kumchukiza mwenyezi Mungu na mtumewe (S.A.W) Tutakuwa nacho cha kujibu siku ya Kyamah
@ummusamira3518
@ummusamira3518 7 лет назад
Robert Kizito swadkta maneno yako tuseme yahaki tusimuudhi allah namtume wetu nakuwasaidia wazazi ni haki allah katuhimiza baada ya Haki yake kasema tuwafanyie wazazi wema Ila kwapesa zahalali mtoaji riski ni allah kufanya kazi nijitihada nasababu yakupata riski kuna biashara teeeele zahalali nasisi ndio tunaofanya alhamdulilah rabil alamin tukasaidia wazee wetu tusiingie kharamu ili tusimuudhi allah
@brigittevitarine5841
@brigittevitarine5841 7 лет назад
Achakujiweka kama unamjuwa mungu sanaaaa atawewe zambi unazijaza chungu zima
@stukiaally4690
@stukiaally4690 7 лет назад
mmmh sakina we hatareeee swaga hizooo
@tatuta6529
@tatuta6529 4 года назад
Mama mzur mashaallah
@ashurakambangwa2087
@ashurakambangwa2087 7 лет назад
duuu we mtangazaji nouma
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 7 лет назад
mwana habari nawe mchokonozi kweli, alafu wewe mmama usifurahiye mwanayo kujishauwa mbele ya wanaume na kupaza sauti ni haramu katika Dini yetu ya kiislamu
@rayaraya116
@rayaraya116 7 лет назад
Fatuma Mwalimu wamama mtomto atakutia motoni
@rayaraya116
@rayaraya116 7 лет назад
unashadidia uhuni wamwanao hufai
@leylahidi8819
@leylahidi8819 7 лет назад
Fatuma Mwalimu nikweli Allah awaongoze
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 7 лет назад
+Leylah Idi,Nakweli mwenzangu
@ayushayuu6708
@ayushayuu6708 7 лет назад
Mashallah mama leyla mqty
@shakilamasoud8979
@shakilamasoud8979 7 лет назад
mtangazaji unamuongelea mke mwenziye yupi jaman
@maintemushangani8925
@maintemushangani8925 5 лет назад
kumbe leila mmakonde wa mikindani
@jumamzonge1750
@jumamzonge1750 5 лет назад
mainte mushangani sio mmakonde, mwarabu
@mohamedsalim1010
@mohamedsalim1010 7 лет назад
huyu mama anaongopa..asema yeye ni muarabu wa oman,yemen. hahaa
@uwimanauwimana7303
@uwimanauwimana7303 4 года назад
sasa wewe unmjuwa zaidi kuliko ww ndo tuhadisiye na halisiyake zaidi ,mbona mpashukuna ww kutaka kujuwa uhalisiya wa watu. na wa kwako. hadisiya. 😒😒
@khadijamillanzi5273
@khadijamillanzi5273 4 года назад
Ndio asili yake unamuona kama anaongea kimakonde yupo mtwara nilazime azoee lafuz ya pale
@OmanOman-lr4of
@OmanOman-lr4of 4 года назад
Heshima ni kitu cha bure
@ashahaji4936
@ashahaji4936 7 лет назад
Yemen kuna nn tuacheni bana
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 7 лет назад
😁😁😁😁sakina nimecheka, et "mmeskia huko nyie" ila sakina unavoongea unaonekana mpashkuna sn, mdaku
@mikekhalifaali7510
@mikekhalifaali7510 4 года назад
Miziki msifurahie nyie
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 7 лет назад
mh,! sakina una hekaheka😀😊 yaan ht hutulii
@zainabswaleh4907
@zainabswaleh4907 7 лет назад
Mmh dada mdaku kweli
@ramadhanimamakwanzakitata7519
@ramadhanimamakwanzakitata7519 7 лет назад
Mimi niko Oman mnatoka Oman ipi nyinyi
@ndzimwengarizik2335
@ndzimwengarizik2335 7 лет назад
Ramadhani mama kwanza kitata 😂😂😂😂😂😂wataka uwatembelee
@fetyykisabo4747
@fetyykisabo4747 6 лет назад
Ramadhani mama kwanza kitata wewe uko oman seem ganina acha kumzingua mama wakialabu
@consolathaconsolatha4095
@consolathaconsolatha4095 7 лет назад
nice
@issaramadhan3941
@issaramadhan3941 7 лет назад
Mama Mzuri Mmmwaaaaaaaaaa Yaaan Mmmhh Mwambie Anitumie Namba Yake Niwe Mchepuko wake Jamani Maana Mmmm Au
@hasiyakeniyausiachiebabu7634
@hasiyakeniyausiachiebabu7634 5 лет назад
nani aeza paka mwanae matope
@mariamkimwaga4596
@mariamkimwaga4596 7 лет назад
mama mwarabu mmakonde mana rafudhi ya kimakonde Kwa mbali
@fetyykisabo4747
@fetyykisabo4747 6 лет назад
Mariam Kimwaga mbona tuko omon na waarab wanaongea kigogo kilidi kisukuma acheni ushamba
@ashahaji4936
@ashahaji4936 7 лет назад
waandishi wachochezi
@rahmatumam357
@rahmatumam357 5 лет назад
Mtanfazaji mbea
@neemajilo4012
@neemajilo4012 7 лет назад
Huyu mwanahabari mbea kweli
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 4 года назад
Daaaa! Matangazaji wewe shida. Unavyo chimba🙌 saluti.
@shemuulenje7588
@shemuulenje7588 6 лет назад
kumbe mashilawadu walikuwepo kwenye ng'aring'ari huku.
@rahimaaaaa5682
@rahimaaaaa5682 4 года назад
Uyo nae mmbea😏😏😏😏
@hasiyakeniyausiachiebabu7634
@hasiyakeniyausiachiebabu7634 5 лет назад
pia tanzania kuna mikindani kama kenya mombasa
@buhohaji1234
@buhohaji1234 5 лет назад
Hujui dada iko dear mikindani
@antybabybintrashid2333
@antybabybintrashid2333 4 года назад
Tunasubr voi sasa
@maryamkhatib770
@maryamkhatib770 2 года назад
Mi nilijuwa mikindan ya shakan zanzibar
@latiphahassan9431
@latiphahassan9431 5 лет назад
msiba wa mama abdul
@husseinkazungu5101
@husseinkazungu5101 7 лет назад
Aa mikindani Tanzania
@salehmuhammed976
@salehmuhammed976 4 года назад
anakukuna mwenyewe
@rehematawalani217
@rehematawalani217 5 лет назад
Baa mwali wewe unanikumbusha mbili manda Ya mtama hiyo somo
@hawawezidianakukushusha756
@hawawezidianakukushusha756 7 лет назад
mash Allah
@softena1007
@softena1007 7 лет назад
sakina sikuwezi😂😂
@salumthomas7-rs8ip
@salumthomas7-rs8ip 5 месяцев назад
Haaaaa
@mwaijaramadhani6662
@mwaijaramadhani6662 7 лет назад
mh sakina unayaweza jamni haaa ukuda tu
@ummimohammed1856
@ummimohammed1856 7 лет назад
mngeonesha tu
@kibibiseif7930
@kibibiseif7930 7 лет назад
kwani umerikodi lini iki kipindi chako '''' ata umuongelee mke mwenzie Lela ''''' weee huumwi
@rizikibakar3186
@rizikibakar3186 5 лет назад
Kibibi Seif cha mda kweli
@halimambwego8287
@halimambwego8287 7 лет назад
Ila clouds clue ni kiboko kwa ubuyu tu aaaa
@mohamedsalim1010
@mohamedsalim1010 7 лет назад
huyu mama muongo tu
@fetyykisabo4747
@fetyykisabo4747 6 лет назад
Muongo mwenyewe
@chala95
@chala95 7 лет назад
umbea tu chumba anacholala nyie cha nn
@omarychediel1307
@omarychediel1307 7 лет назад
sakina mh hongera sn
@mwanakherkione597
@mwanakherkione597 3 года назад
Anatukuna wap
@p.kasongot979
@p.kasongot979 7 лет назад
Biblia gani imesema mwanaume awe na wake 2 mhhhhh
@simaihaji7676
@simaihaji7676 6 лет назад
Nathalie IPUPA we vp kwani umeambiwa wakristo wale hata useme biblia gani wale ni waislam wanaifuata qur-an
@madinalast4595
@madinalast4595 7 лет назад
huu ni upuuzi
@azizayassin3623
@azizayassin3623 7 лет назад
MADINA LAST kwa nn uko humu
@ashaomary1169
@ashaomary1169 7 лет назад
watoto wafunzwe dini sio kuimba
@hafsanoman3952
@hafsanoman3952 4 года назад
Ndio kipaji chake sasa
@feroozabubakari3665
@feroozabubakari3665 4 года назад
Subhaana llaah, yaani mama anafurahiya maasi ayoyafanya mwanae? Inna-lillah
@mariamsuleiman3795
@mariamsuleiman3795 7 лет назад
kwani io ghorofa unaitaja Ni mbinguni mmmh ujinga tu
@halimasaif7712
@halimasaif7712 5 лет назад
Mh
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 7 лет назад
Upuuzi
@yakoubmzee1492
@yakoubmzee1492 7 лет назад
Ovyo
@hasiyakeniyausiachiebabu7634
@hasiyakeniyausiachiebabu7634 5 лет назад
eti mumeskia uko nyie
@muminashughuli6885
@muminashughuli6885 6 лет назад
kila mmoja Ni mchunga na atakwenda ulizwa Kwa kila alichokichunga mama
@lailauthman5454
@lailauthman5454 4 года назад
Wallah ni kweli ndugu...MashaAllah
@stukiaally4690
@stukiaally4690 7 лет назад
mmmh sakina we hatareeee swaga hizooo
@muminashughuli6885
@muminashughuli6885 6 лет назад
kila mmoja Ni mchunga na atakwenda ulizwa Kwa kila alichokichunga mama
Далее
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,1 млн
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
Просмотров 755 тыс.
BILA AIBU KABISA
2:18
Просмотров 19 тыс.
MC Jessy UNCUT - Mama,I Made It!
18:46
Просмотров 704 тыс.
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51