Тёмный

Mkwele wa Mizengwe ajuta kuzaa na Safina. 

ITV Tanzania
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 165 тыс.
50% 1

#Mizengwe #ITV
Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our RU-vid Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg

Опубликовано:

 

3 мар 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 136   
@Sunnah1212
@Sunnah1212 2 года назад
All time Tanzania best Comenian💪 Bila ya kuvaa uchi Bila ya matusi Bila ya wanaume kuvaa nguo za kike ✌️✌️
@abdulazizsharif2984
@abdulazizsharif2984 2 года назад
Alaf sijui kwanini Mizengwe siwaonagi wakipewa tuzo kwa kazi zao nzuri sana tu au mie tu ndo sionagi ?
@jasmineshechambo3401
@jasmineshechambo3401 2 года назад
Kwel kabsa
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 11 месяцев назад
Kweli sijawai ona ata mim
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 года назад
Kweli Sanaa ni kazi ikitangaza maadili mema kwa jamii kupitia Wana Sanaa.Hongera sana ITV kwa hao Kashi Kashi!♥️
@agnesmwaitulo5886
@agnesmwaitulo5886 2 года назад
Kazi mzuri tunakaa na watoto tunaangalia yaani full maadili.hamkai uchi
@anthonygikuri
@anthonygikuri 4 дня назад
Kweli, haya mafundisho yanapaswa kuwa wanafamilia wanaangalia ni mazuri sana sana sana.. Nashangaa kwa miaka mingi hawabadiliki, wanatoa mafunzo mazuri sana kwenye jamii.
@injiliyamilele_joshuaomary6826
@injiliyamilele_joshuaomary6826 2 года назад
Sehemu tatu za igizo hili ni Super duper Sana,,sehemu ya mwisho ni nzuri ila kuna kasoro kidogo tu,, ,, Akika mizengwe mme piga atu kwa burudani,
@mcgb5725
@mcgb5725 2 года назад
Kazi nzuri Mizengwe Mungu awalinde.
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 2 года назад
😭😭😭😭😭 mbona kama mmenilenga mimi
@mutulilawrence727
@mutulilawrence727 Год назад
😂😂😂😂Safina umeweza, mizengwe ni watu wa nguvu, 👍👍👍
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 года назад
Safina umetoa mpya eti umeniona mimi mgonjwa eti?👍👍👍🙏🙏😁😁😁😁😁😁❤❤❤❤❤
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
naipenda sana mizengwe mnafanya kaz haswaaa mzur
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 года назад
Kuku mweusi hakimbizwi gizani🤣🤣🤣
@Algo.delaif
@Algo.delaif 2 года назад
Nawapenda sana toka utotoni mpo vizuri sana
@godfreybitakama9845
@godfreybitakama9845 2 года назад
Mkwele. Nimecheka sana
@omarymkungwa7657
@omarymkungwa7657 2 года назад
Hmmmm hawo watu ni hatari nawajua vizuri sana lakini nashukuru mimba ilitoka ndiyo ikawa nafuu yangu
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 года назад
😄🌹
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 2 года назад
Shukran itv
@zephaniamayeye4902
@zephaniamayeye4902 2 года назад
😆😆😆😅😅heti ushawai kulazwa kwa matatizo yoyote😆😆😅😅😅
@mosesmzakwe7774
@mosesmzakwe7774 2 года назад
Mwanamke amekuwa kama MCHWA akiona mbao tu anataka kukaa! Hatari sana Ila mumefundisha sana.
@OmanOman-ky2oo
@OmanOman-ky2oo 2 года назад
Utajuwa Kama kibudu hakiliwi🤣🤣🤣
@gressmussa4874
@gressmussa4874 2 года назад
😂😂😂😂nakuku mweusi akimbizwi gizan
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 года назад
Mimi ndiyo shabik namba Moja munajua sana
@dodimohammad
@dodimohammad 2 года назад
🤣🤣🤣muombee apate mume awache kukusumbua
@nassorsoko6633
@nassorsoko6633 2 года назад
Safi Sana mizengwe munatufuraisha sana
@ffsss3367
@ffsss3367 Год назад
Acha kulia mkwere ww safi san😅😅😅😅😅😅😅
@josephmunishi7810
@josephmunishi7810 2 года назад
Kazi nzuri sana
@mozaseifwanatubaniasurayak3974
@mozaseifwanatubaniasurayak3974 2 года назад
😀😀😀 na mbwembwe zote kumbe tatizo ni wivu
@emmanueltonani1581
@emmanueltonani1581 2 года назад
Hongeren sana kwa kaz nzur
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 года назад
😂😂😂😂😂😂umejikanyaga babaaaa hayatenaa ngoma hiyooo
@mwaserarashid5451
@mwaserarashid5451 2 года назад
Yani mm nayiangalia kila mara nilipenda sana safina anavyo ongea yani yuko ngangari ki noma
@philliposoza6289
@philliposoza6289 2 года назад
Mkweleeeeeeee!!!!!anajua eti anafta machozi harafu anapiga mrunzi narudia tena anajua
@craraaizack9072
@craraaizack9072 2 года назад
Yani safi sna
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 2 года назад
👍👍👍👍👍👍👍👍👍
@gamitosumail6844
@gamitosumail6844 2 года назад
Vocês são os melhores de sempre
@malyelyemalugu3373
@malyelyemalugu3373 2 года назад
Gerry deaths hearth taught defy I try
@malyelyemalugu3373
@malyelyemalugu3373 2 года назад
SG me
@fatumaandrea2197
@fatumaandrea2197 2 года назад
Anakwambia tatizo siyo kutunza mtoto tatizo ni kwanini umeoa mwanamke mwingine yeye anatatizo gani hapo ndokipengele ss
@salmahoperi9783
@salmahoperi9783 2 года назад
Nampenda safina
@jhfgbn87hshswj17
@jhfgbn87hshswj17 2 года назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@charlesmush8162
@charlesmush8162 2 года назад
Brazah kayakanyaga mwenyewe 😀, Apo lazama atulie
@edwardsimime7694
@edwardsimime7694 2 года назад
Nice
@jafarinahonyo7349
@jafarinahonyo7349 2 года назад
😂😂😂😂😂milioni moja kuhudumia mtoto tyu afu kila siku daah nowma
@farajamaduhu1981
@farajamaduhu1981 2 года назад
Nimecheka sana....
@kimcash3079
@kimcash3079 2 года назад
Nawapenda
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 года назад
Hahaha hatariiiii
@josephmasenga3517
@josephmasenga3517 2 года назад
Safi Sana.
@ashaali7154
@ashaali7154 2 года назад
Wivu ni ugonjwa usiokuwa na dawa pole Mkwere kilanga koma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 года назад
Hahahaha wewe dada nooooma
@wambekenyeraaa3965
@wambekenyeraaa3965 2 года назад
Mizengwe muishi milele
@lailalaila8206
@lailalaila8206 Год назад
Nimecheka sana eti hata mkiandamana siogop umenifuraisha we dda wanawake wote tungekuwa iv wanaume wangetueshim na wangetoa huduma
@gervaskasala7321
@gervaskasala7321 2 года назад
Mmeniuzi sana kuondoa uzalo saa moja na nusu jion irudishenii
@omanmwajabumbeguoman8642
@omanmwajabumbeguoman8642 2 года назад
Noma sana mdada 🤩🤩🤩💪
@craraaizack9072
@craraaizack9072 2 года назад
Hiyo ndiyo dawa yao kaz kuzalisha watoto za watu halafu mwaoa kwengne
@ffsss3367
@ffsss3367 Год назад
Safina waniacha hoii😅😅😅😅😅😅😅
@kanyamagaraabdallah8300
@kanyamagaraabdallah8300 2 года назад
hatari sasa
@sesliaclospar8943
@sesliaclospar8943 2 года назад
Dem noma dahaa
@kiparakipala2523
@kiparakipala2523 2 года назад
Duuuuu! Hwajamaa. Wanajua hyo yapo ilahyo mamaanachekesha sn
@saida4258
@saida4258 2 года назад
MWe wastarabu wakina mama ni baba wtoto wako mchukuliye tararibu atakuwelewa asipo kutimiziya na kukudanganya hapo ndipo utachukuwa ECT shen za kutumiya nguvu ya kimahakama Kuna Baraza la wazee kupatanisha maswala hayo
@laghtnesphilipo489
@laghtnesphilipo489 2 года назад
Sakina umeni fundisha jambo ngoja nami niwafate kwao
@veronysiwale7832
@veronysiwale7832 Год назад
Heheee umekuwa kama mbwa wa polisi😁😁😁
@HalimaHalima-id2cb
@HalimaHalima-id2cb 2 года назад
😀😀😀million moja umeniuzia kiwanja
@ednajeremiah928
@ednajeremiah928 2 года назад
Milioni moja🤣🤣🤣
@sebasmsigwa8978
@sebasmsigwa8978 2 года назад
Hii kali
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 2 года назад
Sekindooooooooo show show! Nimeenda ulivojirudi
@neemamjengi9913
@neemamjengi9913 2 года назад
Mmetuelimisha vyema wapendwa wetu
@geraldmakalala6091
@geraldmakalala6091 2 года назад
Hawa jamaa ni noma
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 Kakuuzia Kiwanja
@athumanmbelako4317
@athumanmbelako4317 2 года назад
Mko vzr
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 года назад
Kazi nzuri
@zakariaandrew1314
@zakariaandrew1314 Год назад
Hi dada Sekindole
@hannajoseph645
@hannajoseph645 2 года назад
Oyee
@shadimwambula7748
@shadimwambula7748 2 года назад
Anaruka geti😂😂
@aureliadidas1531
@aureliadidas1531 2 года назад
😁😁😁😁😁
@khadijakisingo7920
@khadijakisingo7920 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🙌
@angelavayinga914
@angelavayinga914 2 года назад
Yidada yeazegalige hahahahaha
@attumwandiga2061
@attumwandiga2061 2 года назад
😀😀😀😀
@josephndimi6135
@josephndimi6135 2 года назад
😂😂🤣😁😅
@latiphzimbwe5029
@latiphzimbwe5029 2 года назад
😄😄
@jwakoofficial1560
@jwakoofficial1560 2 года назад
Nawakubari sana
@user-xv7vd2fq9w
@user-xv7vd2fq9w 3 месяца назад
Safina we kipaji unayo
@sagilododomamedelipeter1893
@sagilododomamedelipeter1893 2 года назад
😅😅😅😅💪💪🙏🙏
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 2 года назад
Mnasubiri nini mtwangeni mateke akalazwe
@venitarugemalila9290
@venitarugemalila9290 2 года назад
MUNGU awape afya muendelee kutupa burudani, hahaaaaa kuku mweusi akimbizwi gizani
@kimcash3079
@kimcash3079 2 года назад
🤣🤣🤣🤣sakina
@janembalinga7074
@janembalinga7074 2 года назад
Kihehe sasa
@aminamsimbe4034
@aminamsimbe4034 2 года назад
Safina wivu umemponza
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣👌👌👌
@goodluckyuisso606
@goodluckyuisso606 2 года назад
...
@juliussongoyo4579
@juliussongoyo4579 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@vero57
@vero57 2 года назад
😂😂😂😂
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 года назад
😂😂😂😂😂😂😂
@angle3600
@angle3600 2 года назад
Hahahaha
@jhfgbn87hshswj17
@jhfgbn87hshswj17 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@user-eb8dj4sl8n
@user-eb8dj4sl8n Год назад
😀😀😀😀😀😀😂😂
@ffsss3367
@ffsss3367 Год назад
Kula chuma hcho.mkwere 😅😅😅😅
@happinessandrea2118
@happinessandrea2118 Год назад
🤣🤣🤣 Safina
@mariamakungwa5391
@mariamakungwa5391 2 года назад
Hekaheka kumbe tatizo ana mchepuko mwingine chuna tu darasa la pili litakuwa km academy🤪🤪
@Lih471
@Lih471 9 месяцев назад
Umnandi
@swedibr3218
@swedibr3218 2 года назад
Anataka pesa za kutosha
@msafirikilongo7429
@msafirikilongo7429 2 года назад
😂😂😂😢
@fatemafatema8581
@fatemafatema8581 2 года назад
😂😂😂
@lambiihamisi978
@lambiihamisi978 2 года назад
Huyu dada kanifurahisha sana
@fatumampumbo6186
@fatumampumbo6186 2 года назад
lieniiii mkimaliza ela itoke
@mwanumwanu1513
@mwanumwanu1513 2 года назад
Nani atoe nanunua nn?
@edwardongori7734
@edwardongori7734 2 года назад
😂😂😂😂😂😂
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 года назад
Mmefufuka tena?😀
@ireennnonjela1508
@ireennnonjela1508 2 года назад
Walikuwa wanamuombolezea mzee mtata kwanza.
Далее
ITV MIZENGWE - JUU YANGU
21:55
Просмотров 639 тыс.
#MIZENGWE Baba mkwe
20:32
Просмотров 51 тыс.
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
#MIZENGWE  Tafuta kazi
16:27
Просмотров 23 тыс.
Uchambuzi kuhusu mabadiliko ya Baraza la Mawaziri
23:40
#MIZENGWE Mjini njoo wewe.
14:29
Просмотров 12 тыс.
KIKAO CHA HARUSI
10:54
Просмотров 934 тыс.
#MIZENGWE  Ujana una mwisho.
17:18
Просмотров 93 тыс.
ELIUD NA MAMA YAKE KWENYE SHOW YA WAISA
18:50
Просмотров 52 тыс.
#MIZENGWE.Njia ya muongo.
15:34
Просмотров 112 тыс.
#MIZENGWE Tapeli
18:00
Просмотров 32 тыс.
ITV- MIZENGWE MAMA SHUGHULI
18:39
Просмотров 143 тыс.