Тёмный

MMILIKI WA MABASI YA MTEI AZIKWA, MANYARA 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 100 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

27 авг 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 72   
@muyimohe960
@muyimohe960 2 года назад
Poleni sana wafiwa kazi ya mungu haina makosa mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina
@amaniulanga4724
@amaniulanga4724 2 года назад
Yaani haya maisha yana mambo mengi sana. Sasa unaweza fikiri mtu ana raha sana na hatua alizo nazo, kumbe anayo mengine mengi yanayomsonga hata kuuchukua uhai wake.
@salumumateusi3095
@salumumateusi3095 2 года назад
Hakika
@lovemunguatosha5385
@lovemunguatosha5385 2 года назад
Pimzika kwa Aman brother
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 года назад
Kweli
@magellasaid3693
@magellasaid3693 2 года назад
Bora uwe masikini tu muombe Allah akupe afya njema inatosha kbs
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 года назад
Hujui unacho-comment, Umaskini ni mbaya waweza kumkufuru MUNGU ajili ya Umaskini wako.
@malopemaliyamungu5243
@malopemaliyamungu5243 2 года назад
Hujui unacho-comment, Umaskini ni mbaya waweza kumkufuru MUNGU ajili ya Umaskini wako.
@rademm8924
@rademm8924 2 года назад
Maskini kumbe hawafi eeeh!
@peterremy8013
@peterremy8013 2 года назад
Mtei alikuwa ni mtu muhimu xna ktk maendeleo ya taifa hili pumzika kwa amani kaka😭😭😭😭
@user-eo7ug2tg9r
@user-eo7ug2tg9r 2 года назад
Basi La Mtei Sitalisahau Nilikutana Na Mpenzi Wa Rohoni.Inna lillah wainna lillah rajoon. POLENI SANA PALE SINGIDA OFISI ZA MTEI.
@JohnDoriye-iw3rf
@JohnDoriye-iw3rf 7 месяцев назад
Mwenyezi MUNGU ailaze roho za Marehamu mahala pema peponi amina
@marconyanda6429
@marconyanda6429 2 года назад
Mungu amweke panapostahiri, Amina
@omariselemani4038
@omariselemani4038 2 года назад
Daah sisisote niwamwenyezi mungu na kwake tutarejea dunian hapa hakuna kitu cha kudumu kwa vyovyote utakavyokua
@chedielimrutu6955
@chedielimrutu6955 2 года назад
Yaani maisha ni Maua. Ulikuwa mtu mwema sana. Mwenyekiti wetu wa Ujenzi wa Kanisa nenda kamsalimie Makamu wako ndugu Mushi. Kwakweli marafiki zangu ntawakumbuka sana.
@user-eo7ug2tg9r
@user-eo7ug2tg9r 2 года назад
Poleni Wasafiri Wa MTEI na Wafanyakazi kutoka Singida hadi Arusha.
@zuenajohn8325
@zuenajohn8325 2 года назад
He! Wedogo hongera umekuwa mzazi.
@Haleluya3819
@Haleluya3819 2 года назад
Poleni sana familia ya mtei
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 2 года назад
mtangazaji hakikisheni mnafanya intervieq sehem ambayo hakuta kuwa na kelele,mnatuchanganya
@JoelMuro-dr1sf
@JoelMuro-dr1sf Месяц назад
Polen sana kwa msiba uliopata
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 2 года назад
Pole sana kwa wafiwa wote
@user-ck5cl6tt2g
@user-ck5cl6tt2g 7 месяцев назад
Pole sana ndugu zetu wa walio
@saram3530
@saram3530 2 года назад
Big up kwa Fransisco Mtei
@maimunashaban9538
@maimunashaban9538 2 года назад
Poleni sana
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 2 года назад
R.I.P mmiliki ndg Mtei. basi la Mtei nimelipanda sn.
@zadockmbise7051
@zadockmbise7051 Год назад
Poleni xana wanafamilia Wa marehem
@stanleymhozi7590
@stanleymhozi7590 Год назад
Kateshi endasak dareda babati enzi hizo
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 года назад
Sili Ya Utajili Wa Mtu NI Mungu Ndie Mwenye Kujua Sisi Yetu Maombi2
@saram3530
@saram3530 2 года назад
Umenena vyema
@fettyfay2334
@fettyfay2334 2 года назад
Nakuunga mkono... Only God knows
@paulinacherement2534
@paulinacherement2534 2 года назад
Inna lillah wainna ilaih rajiun.
@alluabdallah6893
@alluabdallah6893 2 года назад
Innallillah wainnailh rajeun
@jacoblukumay472
@jacoblukumay472 2 года назад
R.I.P JAMES MTEI
@saidisalabi7693
@saidisalabi7693 2 года назад
Bora wewe upige boda boda yako ili uishi maisha marefu.
@peterreward4313
@peterreward4313 2 года назад
R.i.p
@wilfredelimeleki4543
@wilfredelimeleki4543 2 года назад
Haikuwa na haja ya ww kujitambulisha kazi yako mahali hapo.Usiwe mnafiki
@mrpambatv3420
@mrpambatv3420 2 года назад
Wewe ulitaka asemeewap inabidi umpongeze mwana dada kujitoa nakufanya boda boda.
@allymbaruku6930
@allymbaruku6930 2 года назад
Pesa bwana
@hamiafasta
@hamiafasta 2 года назад
Msongo wa mawazo ni hatari sana
@willewairaqwillewairaq2353
@willewairaqwillewairaq2353 2 года назад
R.I.P
@kibasamohamedi8029
@kibasamohamedi8029 2 года назад
Rip
@muhasatv9245
@muhasatv9245 2 года назад
chakula tayar
@mathiaszakaria7052
@mathiaszakaria7052 2 года назад
chakula kabla ya kuzika hapana asee
@phinaswai4718
@phinaswai4718 2 года назад
walikula kabla ya kuzika na baada ya kuzika
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 2 года назад
Huyu James mtei alikuwa ana undugu na Edwin mtei?
@juliethmoshi2923
@juliethmoshi2923 2 года назад
Ndio
@phinaswai4718
@phinaswai4718 2 года назад
Yap
@user-pe9uo4ec6y
@user-pe9uo4ec6y 2 года назад
Ndio na kulikua na baba yao mdogo marehemu Moses mtei aliekua mmiliki wa ngiwaranecha na umoja engineering
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 2 года назад
Yes
@faustadiame2585
@faustadiame2585 2 года назад
Rip jamsi
@faustadiame2585
@faustadiame2585 2 года назад
R i p jemsi mtei
@abigaelmabuga1315
@abigaelmabuga1315 2 года назад
Kama chakula kipo tayari tuleni jamani maisha ni mafupi
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 2 года назад
Daah
@abigaelmabuga1315
@abigaelmabuga1315 2 года назад
@@letisiamakonda3873 🙄🙄🙄🙄🙄
@lodrickmwambene3722
@lodrickmwambene3722 2 года назад
Mbona watoto wake singida hamuwataji
@michaelgwimbugwa1535
@michaelgwimbugwa1535 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-85sJCDXVE-U.html Kaangalia diamond alivyojibu baada ya harmonize kutoa wimbo wa kumsifia Alikiba
@mauthamani
@mauthamani 2 года назад
Dreva bodaboda
@nilansaid2927
@nilansaid2927 2 года назад
Yaani kaka yako tajiri mkubwa hivyo, then wewe unaendesha bodaboda? Huyo kaka yako mali zake zina walakini
@japhertmushi8843
@japhertmushi8843 2 года назад
Usilaumu Mkuu siondugu wote wanabebeka wengine Majangatu.
@emmanueljuvieh4316
@emmanueljuvieh4316 2 года назад
Unajuaje hiyo bodaboda kanunuliwa na kaka yake? Bongo ukipata hela huwez inua kila mtu unainua wale wanaoinuka
@jacklinmacha4529
@jacklinmacha4529 2 года назад
@@japhertmushi8843 kanywe soda my huyo hajawai ish na hiz famiia za kiswahii
@florakabadoelkana6764
@florakabadoelkana6764 2 года назад
Watu tunapenda kukimbilia kuraumu wakati hata hatujui historia ya maisha yao vingine kubalini viwapite jamani
@hamenyalugano7238
@hamenyalugano7238 2 года назад
@@emmanueljuvieh4316 una akili Sana ndugu kwa comment yako hii.
@allyamiry8308
@allyamiry8308 2 года назад
Rip
@mauthamani
@mauthamani 2 года назад
Dreva bodaboda
@mauthamani
@mauthamani 2 года назад
Dreva bodaboda
@bobjulieoneheartband
@bobjulieoneheartband 2 года назад
Kwakweli nimestuka kiaina Dada wa Marehemu James dereva Bodaboda khaaa, its not fare.
@selemaninangi9958
@selemaninangi9958 Год назад
Pole yenu mtei
Далее
В GEOMETRY DASH СДЕЛАЛИ GTA
00:27
Просмотров 618 тыс.
Hamster Kombat 20 July Mini Game
00:13
Просмотров 10 млн
Shughuli nzima ya maziko ya hayati Magufuli
50:37
Просмотров 582 тыс.
CHURCHILL SHOW S1E2 2024
22:20
Просмотров 204 тыс.
kilimo cha bamia kisasa (okra) shamba darasa kibaha
7:39
HOUSE GIRL EP 52 || love story💞💕
24:13
Просмотров 10 тыс.
Must watch new special comedy wait for end 😆🤣
0:49