Тёмный

MAUAJI YA KUTISHA ARUSHA "WAMEMLAWITI, TOBOA MACHO NA KUMKATA MAPANGA KICHWANI" 

Millard Ayo
Подписаться 5 млн
Просмотров 221 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 849   
@AminaLibisa
@AminaLibisa 5 месяцев назад
Uyo mdada anajua kila kitu mpelekeni police akabanwe yani anajibu kama amekufu mbuzi uyo hatakiwi uhojiwa kama anatongozwa mpeni kibado kweli kunawanawake magaidi wallah mungu tunusuru yarab 🙏
@user-uj5wg9mm2t
@user-uj5wg9mm2t 5 месяцев назад
😢😢
@AminaLibisa
@AminaLibisa 5 месяцев назад
@@user-uj5wg9mm2t 😭😭😭
@Nyanandi
@Nyanandi 5 месяцев назад
Mwanamke mkavu hvo jmn kama vle hajafiwa ni mhusika kabsaaa😢
@AminaLibisa
@AminaLibisa 5 месяцев назад
@@user-uj5wg9mm2t 😭😭
@AminaLibisa
@AminaLibisa 5 месяцев назад
@@Nyanandi yaani ni sumu ni jangili kabisa wallah 😭
@rabiamenshoo1988
@rabiamenshoo1988 5 месяцев назад
Huyo mwanamke abanwe vizuri,atatoa ushirikiano wa kumjua muuaji.
@sharifaaliy1519
@sharifaaliy1519 5 месяцев назад
Ni kweli kabusaa
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 5 месяцев назад
Kwa sbu kahojiwa na mwandishi asiye na mipaka?
@sistymbombo1616
@sistymbombo1616 5 месяцев назад
Huyo mwanamke ndo anajua Kila kitu
@stephenrwaich1078
@stephenrwaich1078 5 месяцев назад
na huyo mwanajezhi achunguzwe sana pia
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 4 месяца назад
Huyu mwanamke akikutana na wataalamu wa uchunguzi atasema ukweli.
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 5 месяцев назад
Kulikuwa kuna issue gani mpaka upigiwe simu uulizwe kuwa amefika nawe ukajibu hajafika na kwa nn huyo Rafiki wa mumeo asimpigie muhusika??? Kuna utata hapo jeshi la police wafanye Kazi yao
@athumanfuko199
@athumanfuko199 5 месяцев назад
damu ya mtu haiendi bure watapatikana tu.
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 5 месяцев назад
​@athumanfuko1kabisa99
@user-xe2gw3bh9d
@user-xe2gw3bh9d 5 месяцев назад
Kabisa jamani huyu mama anajua yote
@user-nb5op7ss2s
@user-nb5op7ss2s 5 месяцев назад
Point san.
@zainabwage4658
@zainabwage4658 5 месяцев назад
Yaan ufiwe na mumeo alaf uwe na nguvu yakuongea km ivyo hapana kwa waliofikwa na misiba km hii wanajua maumivu yake maana uwez hojiwa unaweza ongea kwanza akil unais zimesepa polen ndugu wafamilia mungu awape subra inauma mno
@joharimanyanda3358
@joharimanyanda3358 5 месяцев назад
Huyu anajua kifo Cha huyo mtu
@mariamfritsi4943
@mariamfritsi4943 5 месяцев назад
Tena hana wasiwasi kabisa, tena anaongea kashika kiuno, hana hata tone la huzuni,
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 5 месяцев назад
Yani anajua uyo
@nusrathmanyawa4501
@nusrathmanyawa4501 5 месяцев назад
Yaani hadi namshangaa mumeo tena wa ndoa jamani
@pendomushi6351
@pendomushi6351 5 месяцев назад
Mfano mzuri tuliona Kwa yule dada alie liwa na mamba dada alilia Kwa uchungu yule 😢😢😢huyu hata simanzi hanaa
@faridahaji5948
@faridahaji5948 5 месяцев назад
Huy dada ni kiboko hivi anajuaaa maumivu ya kufiwa na mume kweli uso mkavu hivi unajuaaaaa
@Lllllllmmn
@Lllllllmmn 5 месяцев назад
😮😮😮😢mwamke kafiwa ila ata dalili ya uzuni hamna usoni khaaa mkavu
@africandarling6925
@africandarling6925 5 месяцев назад
Yani mwanamke anajua huyu kila kitu wallaah
@user-cn5ft9ss6x
@user-cn5ft9ss6x 5 месяцев назад
Jicho kavuu...mmmmm ,😢😢😢😢😢😢😢😢
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 5 месяцев назад
Tena mkavu mkavu tena
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 5 месяцев назад
du dunia watu wamekuwa na roho mbaya Sana usimuamin hata mke wako maisha ya Sasa syo kama ya zaman Ila Arusha matkio yamezd Sheria kdogo iwe Mt akiuwa nae anyongwe ad kufaa🪓💉✂️⚔️🗡️
@DavalsonMarlony
@DavalsonMarlony 5 месяцев назад
damu ya mt aiendagi buree
@roseafrael75
@roseafrael75 5 месяцев назад
Kwann unfanyie binadamu mwenzio kitendo cha kikatili namna hii,, kwann jamani 😢😢😢 ,,, kwann wamemuua kifo cha kikatili kiasi hiki,,,Mungu awaadhibu wahusika wote nimeumia mnoo,, serikali wafanye uchunguzi,, inaumaaaaa sana.
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 месяцев назад
Tuombe Rehema kwa Mungu tunapo elekea siko
@anithiajohn9209
@anithiajohn9209 5 месяцев назад
Jaman amekufa kwa mateso sana inaumiza sana mungu tupe mwisho mwema😢😢
@laylayl5166
@laylayl5166 5 месяцев назад
Amiin yaarab kwakweli
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 5 месяцев назад
Amina
@QwaridaNadamassay
@QwaridaNadamassay 5 месяцев назад
Kweliiii jmniii
@stellamsokwa6785
@stellamsokwa6785 5 месяцев назад
Aisee dunia hii JAMANI dunia hii mweee😭😭😭😭😭
@chimamilion
@chimamilion 5 месяцев назад
Yn unamwinamisha mwanaume mwenzio mpk unafika kilelen😢nawaza sana maumivu aliyoyapitia poleni familia 😢nawewe dd mbona mkavu ivo ata uzimii jmn
@AsdDsa-fi5qk
@AsdDsa-fi5qk 5 месяцев назад
Malaya atazimia kweli wkat amefurah
@yama_virginhairthequeen1065
@yama_virginhairthequeen1065 5 месяцев назад
Inasikitisha sana jmn
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 5 месяцев назад
Itakua kahusika huyu dada
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 5 месяцев назад
Yaani mimi mpaka sasa sijui walimzalilisha alikuwa ameshakufa au hai daaaa dunia hii
@chimamilion
@chimamilion 5 месяцев назад
@@user-vy2bc6xg3i yn nikijikata nakisu nais kufa cjui yeye alipitia wakt gan jmn
@ramadhaniayubu6103
@ramadhaniayubu6103 5 месяцев назад
Ahaaa uyo mbona atasematu ngoja police wamuhoji vizurii kabisa
@FrancisMotivation002
@FrancisMotivation002 5 месяцев назад
Arusha pamejaa Majambazi Sana, Wahuni wote Wa Tz wapo Arusha, Huyo Mwanamke aulizwe vzr kuna Jambo anaficha lipo nyuma ya pazia
@husseinnuru7544
@husseinnuru7544 5 месяцев назад
Jaman hata kwetu Tanga kologwe yupo mkaka ameuliwa hvyo hvyo mungu tusamehe natulehem siisi eewe mola 2saidie
@FrancisMotivation002
@FrancisMotivation002 5 месяцев назад
@@husseinnuru7544 Ni hatari Sana, Watu wanafanya mambo Hayo wanadhani Dunia ni Yao
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 5 месяцев назад
Baba wa watoto wako huyo hao watoto watakuwa wakubwa na hiyo storry wataikuta uso wako utaficha wapi dada?kuachana haikutosha halafu unajichanganya mara useme alompigia cm cmjui,mara rafiki zake sasa umejuaje kama ni rafiki yake kama humjui? Nafsi yako inajua ukweli,yani umetoka monduli umekuja kusalimia watoto mara mtu anakuuliza huyo amefika inaonyesha wazi ulikuja kishari kwa mauaji kabisa halafu ni mume wa ndoa khaaa jamani wenye uhitaji wa ndoa hawapati wasio hitaji wanapata ,na mchepuko unakubaliana nao hadi kumwaga damu ya mumeo mmmmh kumbe kwenye ndoa unaweza ishi na shetani mwenye jina la ushetani kabisa
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 5 месяцев назад
Yaana uso wa huyu mama unaonyesha ujasili kama hajapoteza kitu jamani huyu mke wa malehemu sijamwelewa anajichanganya maneno Sana ila atambue mungu analipa hapa hapa Duniani na damu NI nzito mtalipwa wote wahusika hata msipokamatwa na vyombo vya Dola mungu atawalipa NI kiasi cha MDA tu
@hellenmwayole8715
@hellenmwayole8715 5 месяцев назад
Dada anapanga Cha kuongea yaani anajichanganya anapanga sentensi hazipangiki, harafu anahofu furani. Duu Bora kuachana Kwa amani
@onyaluoma848
@onyaluoma848 5 месяцев назад
Eti flani typo,badala ya mume yupo!!!!
@tumainichanya3268
@tumainichanya3268 5 месяцев назад
Yaani ikiwa ndo mchepuko kafanya hayo lakini pia akirudi kwako Nako hata ishi nawewe maana ushaumtia ukakasi usisahau kuwa huyo ni mwanaume kama huyo huyo hivyo atakuogopa atahisi utaweza kumfanyia anything like that happened hivyo kama umeweza Kwa aliye mume wa ndoa Tena kakupa na uzazi baba watt utashindwa nini Kwa mchepuko ? nyie ndo mnaoharibu maana ya ndoa na kuacha doa lisilotakata hata Kwa clorox ,
@susankitila2898
@susankitila2898 4 месяца назад
😭😭
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 5 месяцев назад
Mwanamke anajua kila kitu
@zalbak2738
@zalbak2738 5 месяцев назад
mwanzo alisema Aliyempigia hammjui baadae anamjua aiseee ikoo namnaa
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 5 месяцев назад
Huyu mwanamke muongo eti huyo alie mpigia cm anasema hamjui badae anasema anamjua huyu kunakitu anaficha na yy kahusika yy na huyu jeshi huyu anajuwa mbinu zakuu tobowa macho washenzi wakubwa Mungu awabainishe na awahukumu poleni wafiwa
@gabrielmurro7134
@gabrielmurro7134 5 месяцев назад
Alafu anasema baadae nilimpigia simu shemeji nikamuuliza Mbona ulisema Hivi Alafu tukio limetokea
@pcpoint1224
@pcpoint1224 4 месяца назад
Mwana jeshi jeshini, uku uraiani ni punda kama punda wengine, wakamatwe ili kupatkane ukweli hii nchi hatukufundishwa tabia hizo
@mwananganzi
@mwananganzi 5 месяцев назад
Pole sana kwa familia ya tumaini . Mungu awape subra na uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 5 месяцев назад
Subuhanallah. Binaadam. Unamuua mwenzio ujuiww utakufalini. 😢 inalillahi.wainailahi..rajuun. yani kuuwa binaadam wanaonakawaidatu. 😢😢😢yarabi tujaaliemwisho mwema
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 5 месяцев назад
Mungu nisamehe hy dada mckilizeni maelezo yake nizairi anajua
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 5 месяцев назад
Uso wake unaeleza Kuna kitu anajua
@vesitinarevocatus7333
@vesitinarevocatus7333 5 месяцев назад
Haswaaa kwanza iyosim ilopigwa kwake kulikuwa nampango
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 5 месяцев назад
@@vesitinarevocatus7333 baba mdogo anasema walitengana yeye anasema sijawahi kuachana na mme wangu Kwanzaa kwa kifo alicho kufa mumewe anaa nguvu zote Kwanza macho yake tu. Yanajieleza j. apo sio mpelelezi
@athumanfuko199
@athumanfuko199 5 месяцев назад
huyo atasema yeye mwenyewe
@IrenMushi
@IrenMushi 5 месяцев назад
anaonekana ana ukwel mzm huyo sister
@ansilamadicha8680
@ansilamadicha8680 5 месяцев назад
Dada mkavuuuu😢 hyu alkula mchongo
@paulmushi2428
@paulmushi2428 5 месяцев назад
Hilo neno la kwanza amefika? Kisha akabadili kauli, mala aliyepiga haijui namba mala aliyepiga ni rafiki ya aliyeuawa!! Hapo kuna walakini juu ya huyu mwanamke!
@zamdakimaro8040
@zamdakimaro8040 5 месяцев назад
Kabisa
@wilfredmoshi6507
@wilfredmoshi6507 5 месяцев назад
Sure anajichanganya maneno yake.
@kisinza6077
@kisinza6077 5 месяцев назад
Yaani anajichanganya na maneno yake makavu sana Hana hata Ile Hali yakiwa amefiwa!!!
@evertheobald1811
@evertheobald1811 5 месяцев назад
Mtu anaishi naye halafu hajui aliko mume wake kweli?
@ednahumazi777
@ednahumazi777 5 месяцев назад
Mumulizee vizuri.huyo.mdada
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 5 месяцев назад
Suspect everything but trust nothing... yote kwa yote yanawezekana inawezekana mwanamke akawa anajua na inawezekana asiwe anajua....ila kuwa na mahusiano na mwanajeshi anaonekana kuna kitu anaficha.
@vurilyrics3004
@vurilyrics3004 5 месяцев назад
Duuuu! Tuliosomea cuba tushajua tu huyo mama anahusika mana hata maelezo hayajitoshelezi
@maryamm7765
@maryamm7765 5 месяцев назад
Dah 😢😢😢damu ya mtu aipotei
@esterswai9454
@esterswai9454 5 месяцев назад
Mungu akutie nguvu baba,,siyo rahis lakn Mungu atakuvusha
@yudatadeimdoe9215
@yudatadeimdoe9215 5 месяцев назад
Kesi rahisi sana hii kwa upande wa upelelezi****
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 5 месяцев назад
Jamani huyu mwanamke anahusika,,damu itakulilia dada,mwongo sana dada hata machozi mukafu hivyo,huu niunyama sana huyu,hadi mumelala..
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 5 месяцев назад
Njo nashangaaa
@elinurukitomali6008
@elinurukitomali6008 5 месяцев назад
Hy dada oajiwe vzuri na aoneshe hy alompigia
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 5 месяцев назад
Mwisho wa dunia umekarbia kwakweli
@nelsonnikodem1100
@nelsonnikodem1100 5 месяцев назад
Poleni sana familia baba kasema haishii na mkewe mkewe kasema anaishi nae mbona kuna walakini
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 5 месяцев назад
Mungu wangu nakusihii kama alivyoandika Isaya:49:26 adui zake wale nyama zao wenyewe kwa wenyewe na walewe kwa damu zao wenyewe kwa wenyewe.
@brightonfilbert
@brightonfilbert 5 месяцев назад
Mungu anawaona hao wauaji😮😮 ukatili uliopitiliza
@rehemaabdy2830
@rehemaabdy2830 5 месяцев назад
Inauma sanaaa ukwel Allah anaujua Allah awahukumu wahusika wote
@neeskpop
@neeskpop 5 месяцев назад
Huyo mwanamke, aojiwe vizuri, kwa sbb, maelezo yake hayaeleweki. Pole kwa wafiwa.
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 5 месяцев назад
Huyo mwanamke anajua Mbona anasema hawajaachana Na kumbe wameachana
@pendomushi6351
@pendomushi6351 5 месяцев назад
Kwanza anajikanyaga haeleweki huyu anafahamu mchongo mzima
@cbegram6161
@cbegram6161 5 месяцев назад
Si atasingizia labda hajamuachia talaka kwa hiyo kisheria ni Kama hawajaachana ila wamepeana likizo
@celinamosha9420
@celinamosha9420 5 месяцев назад
Mbwa wewe shetani mkubwa yaaani natamani nikupige
@kulngeleza6733
@kulngeleza6733 5 месяцев назад
Mkewe anahusika kwa asilimia zoooote eeh mungu wa😢hii dunia wapi uku jmn ya allah tunaomba usaidie umma 😢 wako
@jesuspower2390
@jesuspower2390 5 месяцев назад
itabidi usaidie police kumbe unajua kila kitu
@mugishamajeba9628
@mugishamajeba9628 5 месяцев назад
dah ivi uyu dada kafiwa kweri au nirafikitu maana ata anauzuni ata kidogo dah mungu atuongoze
@zainabwage4658
@zainabwage4658 5 месяцев назад
Mm nahis anaigiza tu izo nguvu zinatoka wap
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 5 месяцев назад
Nimeishiw
@officialfadhilomar5249
@officialfadhilomar5249 5 месяцев назад
Tujitahid kufanya mambo mazuri mambo mema.... Kuna matatizo yanaweza kuwajia hata vitukuu vyako ikiwa ni malipo ya yale ulio ya tenda... Wacha mitohani ije ila isiwe ni kwaajili ya yale mabaya tulio fanya.. Poleni sana wahusika mungu awape nguvu... Mungu atulinde sisi na vizaz vyetu
@AminaMwaba-rj3lo
@AminaMwaba-rj3lo 5 месяцев назад
Kwa kweli daaah
@dayana5513story
@dayana5513story 5 месяцев назад
😢😢😢 siku izi ukikutana na binadamu mwinzio Kimbia maaana duh
@vumi8371
@vumi8371 5 месяцев назад
😢😢😢yani jamani
@dayana5513story
@dayana5513story 4 месяца назад
@@vumi8371 😪
@johnmeshack4431
@johnmeshack4431 5 месяцев назад
Waaa mungu atusaidie
@user-gu4wc5tv8o
@user-gu4wc5tv8o 5 месяцев назад
Mungu pekee ndiye anajua
@madahaisack1268
@madahaisack1268 5 месяцев назад
Huyu mwanamke Kuna walakinii
@jumarajab5316
@jumarajab5316 5 месяцев назад
kesi ndogo sana hii kwa upande wa upelelezi ila nikubwa kijamii kwakuwa ni mauaji
@leviskiwanga9070
@leviskiwanga9070 4 месяца назад
Pole sana Mr Barick wana southern sun tunakupa pole sana -levis
@guyasidotto1198
@guyasidotto1198 5 месяцев назад
Saikokojia na muonekano huyu mwanamke anajua kila abanwe
@alisterlexter1115
@alisterlexter1115 5 месяцев назад
Mhhhhh mbona kuna utata “Aliyenipigia simu simjui”……….mara tena “alienipigia namfahamu ni rafiki yake” “Baba mdogo kasema walikuwa wameachana kwa muda” na huko monduli alikuwa amechukuliwa na mwanajeshi 😢 Huo ni unyama jmni inaskitisha sanaaa kwakwel na inaumaaaa kwann wamefanya hivyooo daaaah💔💔🤲🏻😭 eeeh Mungu waliofanya hivi roho zao zisitulie milele wakataabike mpaka waamue kutubu kwa walichokifanya😢
@neemareuben311
@neemareuben311 5 месяцев назад
Huyu dada mshenzi sn anajua kila kitu abanwe vzr mpk chuchu atasema ukwel au wafwatilie cm yake na huyu mumewe watajua chanzo nn😢😢😢😢
@user-qq6mv6vh3e
@user-qq6mv6vh3e 5 месяцев назад
Muuwaji kabis anajua kila kitu
@judithrichard5546
@judithrichard5546 5 месяцев назад
Jamani huyu mwanamke ni anahisika mana sio kwa ukavu huo huyu dada anajua kila kitu yani tunavyojua ukifiwa na mumeo jamani huwezi kuongelea chochote na kumbe walitengana na yeye anasema wapo wote hapana jamni akamatwe huyu dada. Tunataka majibu waandishi wa habari
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 5 месяцев назад
Daaah! Poleni ndug nahis maumivu makali sana daaah!
@mosessamson1811
@mosessamson1811 5 месяцев назад
Sio vyema kwenda kwa hisia ila huyu dada, ashikiliwe na ahojiwe vyema, Kuna jambo kwenye mabano.
@user-ic3kl9jg9k
@user-ic3kl9jg9k 5 месяцев назад
Mzee pole sana baba yangu
@user-wk2bg8zf3l
@user-wk2bg8zf3l 5 месяцев назад
Poleni sana wafiwa
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 месяцев назад
Ni ukatili wa kutisha sana. Binadamu binadamu ninyi damu hizi zitawalilia milele. Mwanaume unamuua mwenzako kwajili ya mwanamke ambaye ni sawa na siti ya daladala?. Poleni sana ndugu zetu. Amen.
@beathagabriel8438
@beathagabriel8438 3 месяца назад
Usifike huko kutukana mwanamke kuwa siti ya daladala. Kumbuka una dada, mama, shangazi, nk.Mtuhumiwa yeyote atuhumiwe kivyake. Usihusishe jinsia na kuidhalilisha kwa kosa la mtu binafsi.
@sundaydiga9296
@sundaydiga9296 5 месяцев назад
Mungu atuepushe
@laylayl5166
@laylayl5166 5 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭jamani huko Arusha muogopeni mungu hivoo yaani hamuogopi mungu hatakidogo poleni Sana wafiwa wotee wallahi inaumiza sana
@EdghaMoses-js8lj
@EdghaMoses-js8lj 5 месяцев назад
Maelezo ya huyu dada. Sijaelewa vizuri ila sitasema chcht sababu mwanasheria wangu kasafiri jaman
@hamisaally968
@hamisaally968 5 месяцев назад
Uyu baba jamanii yaani usiku upo na mwanao asubuhi yupo chini amedhalilika😢😢Mwenyezi Mungu akupe subraa wallah😢
@Allybinamour
@Allybinamour 5 месяцев назад
subhanallah! jeshi la police zianze kwa huyu mke, lakini arusha kwa sasa inaonekana ni mji namba moja kwa ukatili tanzania.matukio mazito kama haya yanatokea mara kwa mara kipindi hiki.
@user-jj3tq1rh4p
@user-jj3tq1rh4p 5 месяцев назад
astghafulah daah
@laylayl5166
@laylayl5166 5 месяцев назад
Mwenyezi mungu walaani wote waliohusika nahuo unyama hatakama alikuwa amefanya kosa labda lakini siyo kwa unyama huo 😭😭😭
@aickatesha4542
@aickatesha4542 5 месяцев назад
Mungu tusamehe turehem baba
@mamaabduly
@mamaabduly 5 месяцев назад
HUYU MWANAMKE MTUHUMIWA NO 1...ABANWE ATASEMA KILA KITU
@julyhaule6850
@julyhaule6850 5 месяцев назад
Daah inauma
@user-rl8ft3cu2q
@user-rl8ft3cu2q 5 месяцев назад
Mungu nijaalie kifo chema
@200Stella
@200Stella 5 месяцев назад
Dah
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 5 месяцев назад
Baba jamani una uchungu,poleni sana.
@azizamvungi1871
@azizamvungi1871 5 месяцев назад
Yaani roho inaniuma sana
@leahmollel6589
@leahmollel6589 5 месяцев назад
Mhhh! Damu ya mtu huwa haipotei! Kitajulikana tuu😭😭😭
@user-bj5uh1fx8l
@user-bj5uh1fx8l 5 месяцев назад
Huyo mwanamke anahusika abanwe atoe aelezo ila hiyo damu ya huyo kijana itamtafuna mtoto wa mwanamke mwenzake ameuwawa kwa mateso jaman
@user-ky4rb2lg3h
@user-ky4rb2lg3h 5 месяцев назад
Wanawake wenzangu,Mungu atupunguzie adhabu ya kaburi
@tzcruiseralteza2039
@tzcruiseralteza2039 5 месяцев назад
millard uyu mtangazaji wako ni mnoma sana anauliza good question kabisa
@user-sy2mp7mm8u
@user-sy2mp7mm8u 5 месяцев назад
Huyu mama ana taarifa muhimu
@Gabzyholic
@Gabzyholic 5 месяцев назад
That is not how you interview a hot case that is open to inestigations AYO .Avoid court by leaving questioning potential people of interests either implicating or just questioning.
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 5 месяцев назад
So true, just for the sake of views you cant jeorpadise the witnesses or disrupt investigation altogether
@godlistenJohn
@godlistenJohn 5 месяцев назад
Ww ni mswahili unazungumza na watanzania sasa hiyo lugha yakazi gani
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 5 месяцев назад
Wanaelewa hawa ayo kwani They don't understand kabisa
@kilimanjaro77international26
@kilimanjaro77international26 5 месяцев назад
I don't think it will affect anything in this case, pressure bust
@vee-stromz3577
@vee-stromz3577 5 месяцев назад
​@@ubuntubantu2404❤❤❤❤❤0p❤❤❤
@shebbythespyro5393
@shebbythespyro5393 5 месяцев назад
Sio kazi ya mtu moja hiyo
@amanisaid9863
@amanisaid9863 5 месяцев назад
Poleni sana familia damu ya mtu haimwagiki bure,,ipo siku tutajua ukwer wote namini jeshi la porece lipo
@kjb_user0077
@kjb_user0077 5 месяцев назад
Jamanii matukio kama haya sasa yametapakaa duniani kote...hii ni mwanzo wa sign ya malaika wa Mungu walio shikilia pepo nne za dunia wameanza kuachia taratibu taratibu.... Na kadili wanavyo achia kidogo na ndivyo roho wa Mungu anavyo zidi kuwa acha watu wanao ng'ang'ania dhambi... Hivyo basi huko mbele tunako enda kama Mungu akitu hifafhi hai...dunia ikisha kuwa katika udhibiti wa shetani 💯 tutaona mengi.... Maandiko yanasema watu watauana wao kwa wao,damu za watu zita mwagika kama maji kisa kona za dunia itakuwa ni mauaji ya kutisha... Ndugu zangu amani hii unayo iona leo,jilani yako anaku heshimu,mnasikilizana na wanao wanaku tambua kama mzazi si mda mrefu tuta ishi kama wanyama wanao windama.... Na hapa ndio mwanzo wa utungu...lkn ile dhiki kuu ya ulimwengu kabla ya YESU KRISTO au ISSA BIN mariamu kurudi kuchukua walio wake hiyo itakuwa bado..... MAANDIKO YANASEMA Dunia ita ingia katika dhiki kuu ambayo haijawahi kutokea na haitakuwepo nyingine kama hiyo tena.... 1.Matetemeko yatakuwa mengi sana 2.Vita zitaongezeka 3.Njaa na uchumi kupolomoka wa dunia 4.Utu kuisha mioyoni mwa watu 5.Mafuliko yatakuwa yakutisha 6.Mioto kulipuka sehemu sehemu pasipo kujua vyanzo 7.n.k YOTE HAYA NIKWA SABABU DUNIA IMEAMUA KUWA KINYUME NA MUNGU WA KWELI NA KUFATA UONGO NA KUIACHA SHERIA YA MUNGU... 2 Petro 2:21
@Sisopotashiumz
@Sisopotashiumz 5 месяцев назад
Very Points
@Xyz-dc3yq
@Xyz-dc3yq 5 месяцев назад
Malaika mavi
@neemabaltazary2008
@neemabaltazary2008 5 месяцев назад
We mungu wa Israeli tusaidie
@zuhuzuli.5150
@zuhuzuli.5150 5 месяцев назад
Hakika Mungu atunusuru waje wake😢
@broumaiyyah8018
@broumaiyyah8018 5 месяцев назад
​@@neemabaltazary2008ndo Mungu gan huyo
@evertheobald1811
@evertheobald1811 5 месяцев назад
Mungu akutie nguvu baba yangu 😭😭😭😭😭
@kalebiestomihi
@kalebiestomihi 5 месяцев назад
arusha kwa kweli matukio yamezidi e mungu.tutetee bila wewe sisi hatuwezi inauna sana kama watumiwa wakimamatwa nao wauwawe tuu hakuna njia nyingine huyo.mwnamke anausika asilimia 99
@user-qx4ev2jv5w
@user-qx4ev2jv5w 4 месяца назад
😂😂senge ili linajua kila kitu libanwe vizuri uyu dada anajua inshu nzima pumbavu
@Satier47
@Satier47 5 месяцев назад
HUYO DADA ANAJUWA KILA KITU AMBACHO KIMEFANYIKA HAPO. NA HUYO MWANAJESHI WAKE, 😢 KAZI NI KWENU KUMUBANA HASA.... DADA HUYO KISHETANI KABISA 😢
@janifajani8875
@janifajani8875 5 месяцев назад
Mwanamke kuna kituuu maneno yake yana ulakiniiii ata ana tetemekaaa
@user-sk6xl8ds3q
@user-sk6xl8ds3q 4 месяца назад
Mungu awatie nguvu family, Kwa ujumla
@HannanSomaiyah-wp7ny
@HannanSomaiyah-wp7ny 5 месяцев назад
Inna Lilah wainna illlah rajiun Baki Allah TU,hao walokifanya Wallah hawata lala salama,Mungu wangu nae mjua hatowaacha wauwaji,
@ednagodson7540
@ednagodson7540 5 месяцев назад
Dada mkavuu😮😮
@user-pr9mx6pd8p
@user-pr9mx6pd8p 4 месяца назад
No one is safe nowadays sio wanaume sio wanawake😢
@user-gb1hn5ml8y
@user-gb1hn5ml8y 5 месяцев назад
Naunga mkono huyu mwanamke maelezo yake yana mgongano kwa mwandishi wa habari akipata police officer ataongea vizuri.tunao ungana na hili gonga like
@pendomushi6351
@pendomushi6351 5 месяцев назад
Mungu yupo kabla huyo kaka kuzikwa majibu yatatoka damu ya mtu haiendi bure 😢😢😢inauma mmno
@rosehaule6765
@rosehaule6765 5 месяцев назад
Ee yesu tuhurumie 😢😢 nimelia moyoni
@nassysakia9511
@nassysakia9511 5 месяцев назад
Huyu mwanamke achunguzwe vizuri😢
@ashurajuma4837
@ashurajuma4837 5 месяцев назад
Huyu mwanamke huyu mmmh yani utasema anahojiwa jirani jamani😢
@verohmchihiyo5029
@verohmchihiyo5029 4 месяца назад
Hii inaumiza sana sana sana... Mungu wewe ndio unajua kila kitu naomba utoe haki kwa kila mmoja
@Ezekiel-rh2ni
@Ezekiel-rh2ni 5 месяцев назад
Duh it's like huyu Dada apelekwe kwenye mahojiano vizuri
@rasvegas8991
@rasvegas8991 5 месяцев назад
Dada anajuaaaabanajuaaaaa
@janemsamati6700
@janemsamati6700 5 месяцев назад
nimesikitishwa sana na tukio hili jamani, damu ya marehemu itanena , poleni wote , RIP HENRY 😢😢
@user-oh5iu6jx2j
@user-oh5iu6jx2j 5 месяцев назад
Mwanamke mkavuu daah
@uwezawamungumkuu.amaniafrika
@uwezawamungumkuu.amaniafrika 5 месяцев назад
Aisee kosa gani hili la ukumu mbaya ya aina hii?. Shinda nini?. Wanategemea nini mbele za Mungu mkuu?. Wanadamu tumwogope Mungu maana yupo. Poleni sana ndugu zetu. Amen.
@joharikitundu
@joharikitundu 5 месяцев назад
Mdogo wangu.Hiyo kama umeahiriki naomba kuwa mkweli Ili watoto (kizazi chako) Kisipitiye Hy Damu ya maumivu ya marehemu yasije wasipitiye
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 5 месяцев назад
Innaalillaahi wainnailaihi Raajiuun 😭😭😭😭 jamani watu mbona mnakua na roho za namna hivyo dah😭😭😭 inauma sana. Poleni sana ndugu janaa na marafiki
@georgeroshy4432
@georgeroshy4432 5 месяцев назад
Dada kwishaa
@salehehassan2553
@salehehassan2553 5 месяцев назад
MUNGU Mungu Mungu naomnba utulinde
@Ambwene
@Ambwene 5 месяцев назад
Huyo Mwanamke inaonekana kabisa kwamba ni mtu wa matukio na ni muhusika mkubwa katika sakata hilo la kifo cha huyo kijana 😢😢😢😢
@MchagaUk
@MchagaUk 5 месяцев назад
Cijui kwann nimelike
Далее
Which national team are you rooting for at Euro 2024?
00:17
Mtoto aliyefariki na kuzikwa apatikana akiwa hai
52:00