Тёмный

Mpaka Home MAISHA HALISI YA MWIGIZAJI ANKO BENI SELENGO 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 506 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

10 сен 2021

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 351   
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 2 года назад
Mashaallah Abduli mungu akulinde🙏🙏
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 2 года назад
Tulojua leo serengo Ben jina lake halis abdul tujuane😂😂🕺
@dullamuso6955
@dullamuso6955 2 года назад
Namkubali Sana Serengo, nikimuona naona Sura ya Kanumba. Mungu akutunze Serengo
@giftgodson5603
@giftgodson5603 2 года назад
Kasema anaitwa selengo hiyo serengo umeitoa wapi?
@fatumahassan1371
@fatumahassan1371 2 года назад
@@giftgodson5603 🤣🤣🤣🤣 namshangaa
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 2 года назад
Ww kaka mtundu sn hua nikiangaliaga muvizako nachekaga sn daaah!!! Mungu akulinde pena sn
@mimij7868
@mimij7868 2 года назад
Yani kiukweli huyu mshkaji yupo vzr kiukomedi ,,,
@lucyhusein4043
@lucyhusein4043 2 года назад
@@mimij7868 sanaaaa tena sn
@mariamjuma4136
@mariamjuma4136 2 года назад
Nampenda sana uyu kaka ana show show of kbs katulia sn
@alexkalonga3632
@alexkalonga3632 2 года назад
Ila Mbengo TV mnazingua sana mnakuwa kama Matapeli hivi, picha na mlotuwekea ni tofauti video tunayoiona!!! Nyie ni Matapeli tu wa MB za watu!!
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 года назад
Na pia nashangaa nasubir kuon kijumba kizur kumbe 😎
@abdallahissa8323
@abdallahissa8323 2 года назад
Mi kwa sababu hiyo naji unsubscribe
@fisjaykitamuliko1183
@fisjaykitamuliko1183 2 года назад
@@abdallahissa8323 🤣🤣 ila kiukweli wamezinguwa
@wambuakasimu2431
@wambuakasimu2431 2 года назад
Watching from 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪 wanazingua kweli
@fatumahassan1371
@fatumahassan1371 2 года назад
Umeonaeee 😂😂
@esthernyambura625
@esthernyambura625 2 года назад
🙋🙋🙋👍💖💕💖💕💖👌💖hongera sana kwa movie unazo igiza kaka mkizungumzia kanumba wakati wote naishiwa nguvu alikua msani wa kufurahisha sana ila basi tu
@saidkulwa8807
@saidkulwa8807 2 года назад
Daaah umeni kumbusha mbali sana aiseee.weee sister endelea na moyo huo huo wa kuwa kumbuka wakongwe wa Filamu pamoja na muziki
@allyjumaallyjuma692
@allyjumaallyjuma692 2 года назад
Mashallaah Namkubali sana huyu broo ameitendea haki Nafasi yake ya sanaa kiukweli kama alivosema kuwa wanambania2 ila angekuwa mbali zaid ktk hii nche yuko sawa sana mimi kwenye filamu yoyote nikimkuta atakama sio mzur nikimkuta yume2 siachi kuangalia .Big up Akhy
@estheronyoro1452
@estheronyoro1452 2 года назад
Mungu akulinde na family yako insha'Allah 🙏❤️
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 2 года назад
SERENGO, KADOKOA NYAMA🤣🤣🤣UPANDE WANGU NAKUKUBARI❤️.
@josephmonteiro5677
@josephmonteiro5677 Год назад
Yes nimependa kutoka🇲🇿🇲🇿
@chazwilliam8882
@chazwilliam8882 2 года назад
Salengo ktk Interview ametulia kweli unaweza sema si yeye dah bigap sana brother nazikubali kazi zako
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 2 года назад
hi serengo boy much love from congo zaire
@dianahasagi1022
@dianahasagi1022 2 года назад
I love his character he plays all the way from 🇰🇪
@khamissalum9285
@khamissalum9285 2 года назад
Duuu mimi nilizani mkiristo kumbe musilamu allah akuweke
@TeamKRX
@TeamKRX 2 года назад
Jamani kumbe muislamu minnilizani mkiristo mashalah
@dcgcnyanza8877
@dcgcnyanza8877 2 года назад
Namkubali sana Ben blanco a,ka serengo
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 2 года назад
Huyu muislam Babu yake mzee bwagu kigogo alikuwa anakaa zamani
@hassanmnimbo457
@hassanmnimbo457 2 года назад
😂😂😂😂
@rehemasalim4590
@rehemasalim4590 2 года назад
Mie pia nimejua leo🕺😂😀
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 года назад
Jamaniii kumbe ni mmakua mwenzangu Daaaahhh karibu kwetu Masasi 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@none9575
@none9575 2 года назад
Hata mm mmakua lakin cjui pia yaongewaje hyo lugha hhhh
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 года назад
@@none9575 ooohh hujakaa kwetu Masasi ee
@nyotawauniquem7462
@nyotawauniquem7462 2 года назад
Mwenyewe ndio nimejua leo, kumbe mmakua mwenzangu
@deewyzeeofficial3512
@deewyzeeofficial3512 2 года назад
NAMFAHAM KAMA SERENGO AU BLANCO 🔥🔥🔥🔥 NAKUKUBALI BROOO BIG UP SANA
@mariachuri7123
@mariachuri7123 2 года назад
😅 Serengo upo serious jmn kwenye interview,hata kucheka..hahaaa! Tofauti na ukiwa kwenye movie..big up then
@koletakilasa5988
@koletakilasa5988 2 года назад
Hongera sana aaaa
@ashuraissak8561
@ashuraissak8561 2 года назад
Yani serengo unanikumbusa enzi zako na kanumba mliendana sana kama ndugu wa damu allah azidi kukuongoza inshaallah
@emmy85sweetie99
@emmy85sweetie99 2 года назад
Maashalah Abdul jina zuriiii sana unatakiwa ulitendee Haki
@godfreyraymond4464
@godfreyraymond4464 2 года назад
Namkubali sana Ben sikujua kama mmakua mwenzangu Jamaa
@SengekaSilvester
@SengekaSilvester 16 часов назад
Mungu akulinde serengo
@hawwahawwa8533
@hawwahawwa8533 2 года назад
MashaAllah mi najua unaitwa Ben tu 😱
@neemachendwa6827
@neemachendwa6827 2 года назад
Hongera sana kaka beni unafanya vizuri sana kwenye huba
@aminaabdallah9117
@aminaabdallah9117 2 года назад
Nakupenda Sana Abdul ktk movie zako zote namkumbuka Ile wewe muhogomchungu ukiwamasterkey nayy alikua akchochoea waizi wachomwe ulipokutwaniwewe 😄😂weee
@manyerereboniphace7989
@manyerereboniphace7989 2 года назад
Kwahio umeonyesha gari ziri nyumba kali alafu mnaonyesha vitu vingine uboya tu
@alayoboyboy6846
@alayoboyboy6846 2 года назад
wee dem nakupendaga sana unasauti ya kibabe safi sana
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 2 года назад
Tom boy huyo
@aminasaid7657
@aminasaid7657 2 года назад
Mashaallah Jina zuri
@seifmohamedseif9467
@seifmohamedseif9467 2 года назад
Dah sikua na faham jamaa km ni muislam mashallah
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 года назад
Kumbe ww ni muislam miye nikajuwa mkristo masha allah😘😘😘😘😘🥰😘
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 года назад
Mnapendaga udini nyie
@salhamrisho8138
@salhamrisho8138 2 года назад
@@joycenicodemus.2232 hapana sijamaanisha ivo my miye nikajuwaga hilo ben ndiyo jina lake asaa napiya move zake nyingi yu nakakti ni mkrsto
@godblessjrtz.8652
@godblessjrtz.8652 2 года назад
@@salhamrisho8138 hiyo mashaalah imetoka wapi kama sio udini ina maana angekuwa mkristo ungemsifia hivyo? Acheni mambo ya Udini watanzania nyie. Sisi ni waafrika imani hizi zisitugawe.
@joycenicodemus.2232
@joycenicodemus.2232 2 года назад
@@salhamrisho8138 haya pouwa my.
@davidsika5292
@davidsika5292 2 года назад
@@joycenicodemus.2232 kweli kabisa udin umetawala kwa hawa watu
@felistermilanzi5167
@felistermilanzi5167 2 года назад
Kumbe mmakua mwenzangu
@idrissamuhamedi3289
@idrissamuhamedi3289 2 года назад
Ank ben unajua sana wadau w kaskazn wmekumis sn broka 2nataka kz deile hongera sn
@mayiahnoah2157
@mayiahnoah2157 2 года назад
Selenko God bless U wewe... Unanikumbusha kanumba walai....
@simondelefa880
@simondelefa880 2 года назад
Nakuelewa sana ktk kaz zako Mwamba .pamban kaka
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 года назад
Maashaallah very nice broo Allah SW akupe umri mfef
@geofreynjanga6794
@geofreynjanga6794 2 года назад
Sio mfef ni mrefu shekhe 🤣🤣🤣🤣😂😂
@rashidisereman6974
@rashidisereman6974 2 года назад
Mashallha Kaka Ben ongera Sana! Napenda Sana! Unavyo fanya kazizako!
@charlesndallo515
@charlesndallo515 2 года назад
What can I say is that, I appreciate you more
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 2 года назад
Hungera sana serengo Abudul hamdi. Allaha. Akuhifadhi
@munatwalib2808
@munatwalib2808 2 года назад
Mashaaallah mashaallah jina zuri
@habau_jr1755
@habau_jr1755 2 года назад
Mashaallah
@nicolaschan3785
@nicolaschan3785 2 года назад
Mwanangu Anko Selengoooo 🤣🤣🔥🔥
@farijimartin7031
@farijimartin7031 2 года назад
Nakusubili sana pamoja sana💗💗💗
@abdallaabedi2354
@abdallaabedi2354 Год назад
Kwamm binafsi namjua kama vumbi vumbindu ile ya matron asee mlitisha Sana baast apunzishwe pema peponi Mzee wetu majuto.
@chidisufiani3777
@chidisufiani3777 2 года назад
Nakukubari sana wangu
@hamissusinga4164
@hamissusinga4164 2 года назад
Ben branco nakubali mwamba
@amedeusnakarashio411
@amedeusnakarashio411 2 года назад
Big up Bro
@victorkivuyo6126
@victorkivuyo6126 2 года назад
AISE UMRI UMEAONGA SI JUZI TU ULIKUWA CHALII , MR BOB SOSY AKA KATIA WA ARUSHA MURIETI JIRANI KABISA NA MHESHIWA GAMBO
@NiderTV
@NiderTV 2 года назад
auncle selengo nmekupata na jamaa hhuyu hahahahahahaaha fire
@husseinjumaikunji622
@husseinjumaikunji622 2 года назад
Aise mi nakukubali Sana mheshiwa. Nakumbuka kuna move moja uliigiza na marehemu Kanumba anko jj . Aise noma I'll ulikuwa mganga mle . Niliipenda ile kwikwi
@bahlaoman6467
@bahlaoman6467 2 года назад
Una jina la Kaka angu Mashaallh
@GahSjj-sj6ok
@GahSjj-sj6ok Год назад
Da brather nilifikili unaubili kanisani kumbe nishee mashalaah
@atanasjisonge2538
@atanasjisonge2538 2 года назад
Nakukubali sanaa mzee
@anitanahimana2115
@anitanahimana2115 2 года назад
Hongera san. Karosi kumbe ina watoto wawili hkeri😘
@saudambinga3832
@saudambinga3832 2 года назад
Serengo Yuko vzr Sana🇴🇲
@OmanOman-ep7bw
@OmanOman-ep7bw 2 года назад
MaashaAllah kumbe wa kwetuu
@omarbosiomar8608
@omarbosiomar8608 2 года назад
Mziwanda njoo tufanye maisha
@elishasamson77
@elishasamson77 2 года назад
Hongera selengo kwa kukomba mboga na jenipha
@ayshaaysha2165
@ayshaaysha2165 2 года назад
Mashaallah uko vzr
@salumallynannume6724
@salumallynannume6724 2 года назад
Abdulhaliim, uko njema 😄😄. Naikumbuka movie yenu "jumba la maajabu".
@oredinondo7876
@oredinondo7876 2 года назад
Ben next time heshimu interview, simu weka silence.
@makulaikuku6909
@makulaikuku6909 2 года назад
Heeee abduli ahmad masha Allah me najua naitwa benjamini
@fesalchambuso8023
@fesalchambuso8023 2 года назад
Umeonaee eeeh 🤣
@naimaislam552
@naimaislam552 2 года назад
Mi pia Ben ndio nimezoea yaaani
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
😁😁😁😁
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 2 года назад
@Fatherjaytz ndio ttz kuwa sio muslam mtihan
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 2 года назад
@Fatherjaytz nimecheka,sema swali zuri hilo
@sautinassor2102
@sautinassor2102 2 года назад
Masha allah kumbe muislam
@davidoscooper237
@davidoscooper237 2 года назад
Kanumba kaondka na bongo movie hat mkikataa
@nancymark698
@nancymark698 2 года назад
Daaah nampenda Sana huyu jamaa 😅😅😅
@shabanially4794
@shabanially4794 2 года назад
Kwani msipoweka picha ya gorofa hatuangalii?
@asiaas6617
@asiaas6617 2 года назад
🤣🤣🤣labda walidhani hatutaangalia
@mekeyamusa3523
@mekeyamusa3523 2 года назад
🤣🤣🤣🤣
@mamalaozphilemon.8800
@mamalaozphilemon.8800 2 года назад
🤣🤣🤣 hawa wanapenda sana kuzigua .
@aidankakulu398
@aidankakulu398 2 года назад
Ni upuuzi wao tu huo jamaa yangu
@ibnnjoka7649
@ibnnjoka7649 2 года назад
🤣
@manyizimusic4366
@manyizimusic4366 2 года назад
Namkubaliiii saaana
@mamumariam7582
@mamumariam7582 2 года назад
Nakubali kazi yako
@sarahmwaluko2480
@sarahmwaluko2480 2 года назад
Manshallah napendaga uigizaji wako mkorofimkorofi
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 2 года назад
Manshallah
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 2 года назад
@Kamikazi Salma unakosea kuandika hapo hakuna N yaani sio manshallah bali ni Masha Allah au Mashallah!
@ladymuna4945
@ladymuna4945 2 года назад
Mm namjua kama Carlos 😂😂😂
@matovuasuman9148
@matovuasuman9148 2 года назад
#Huba
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 2 года назад
Masha"Allah Masha"Allah zamwizi ni 40 kingwendu hahaha kali sana
@suleimansalim8744
@suleimansalim8744 2 года назад
beni nakukubalii mchapaa kazii , lkn siku hizii ckuonii ktk movie, tupe vitu, napenda huna tafrani ya mitandao
@godfreyally7787
@godfreyally7787 2 года назад
Nakukubari Sana selengo..
@niokoemahenge4312
@niokoemahenge4312 2 года назад
Majibu mazuri sana serengo kanumba ludi duniani muone serengo wako huku anatia huruma anakukumbuka kanumba
@dickaugustino2214
@dickaugustino2214 2 года назад
Hongera sn, serengo! Ila mling'ara Sana kpnd Cha kanumba.ukweli ndo huo, ingawa nyie wote mnapendwa na cc mashabiki mbaka leo
@mgmgtheraper6679
@mgmgtheraper6679 2 года назад
Jama namupendasa mista serengo🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 года назад
Namuelewa sana bwana ben
@faithwemamusic5266
@faithwemamusic5266 2 года назад
Jamani naomba usaindizi.. Kuna filamu huyu kaka ameicheza Na sikumbuki inaitwaje, huyu kaka alizaliwa wakiwa mapacha mmoja akafariki Na Bandae huyu kaka alipelekwa Kwa nganga akaingizwa kwenye ulimwengu Wa ndoto kupambana... Basi naomba nisaindiwe hiyo filamu inaitwaje wenzangu
@rechealmbodza8615
@rechealmbodza8615 2 года назад
A good entertainer
@sumisumi8181
@sumisumi8181 2 года назад
Mnano mwaka 2000 kaigiza kwenye " MAISHA" pamoja na Dr cheni , shwebe,muongo Mchugu,lina ,max,doki etc ..kitambo mno from North Dakota USA
@rukiasadiki9992
@rukiasadiki9992 2 года назад
Typing bhana😜
@zalhathasaid2060
@zalhathasaid2060 2 года назад
Mwaka uo mm nko tumboni hhhh
@petermaro9852
@petermaro9852 2 года назад
Una kumbukumbu kinouma Sumi,ila dokii hakuwa kaole alikuwa Mambo hayo.Igizo la Hujafa hujaumbika au maisha 2000 walikuwepo akina jerry, bambo,kelvin,mashaka,kahabi,rachel,Nina,Nora,kemmy,Bahati,Zawadi, Bupe,kisa na akina bi mwenda na mama haambiliki.
@user-fq6xx4ww4c
@user-fq6xx4ww4c 2 месяца назад
Mm nkajua jina lake Ben
@HafidhOmar-rs4ty
@HafidhOmar-rs4ty 2 месяца назад
Hyu jmaa mm namfaham kma beni masanduku yaani kma unatka ucheke ,unatka kujifunza zarau, jeuri ,utemi hpa umefka
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 2 года назад
Uncle Ben 😘😘😘
@ramosfally2318
@ramosfally2318 2 года назад
mmakua.zai salama uwani.from mozambique
@mgorakatembo2642
@mgorakatembo2642 2 года назад
Nakupenda msaniiwetu ukovizuli ❤️❤️❤️🙏🙏🙋👏👏❤️🔥
@sottithomas9443
@sottithomas9443 2 года назад
Sema hapo kwa kanumba angekubali tu kuwa jamaa alimpa jina na kumfanya ajulikane.
@hilalyhashim2194
@hilalyhashim2194 2 года назад
Wameanza pamoja hao tokea wapo kaole walikua wanaigiza wote itv
@sottithomas9443
@sottithomas9443 2 года назад
@@hilalyhashim2194 ni kweli ila kuanza pamoja siyo sababu maana hata shuleni kuna wanafunzi waliweza kuwaelekeza wenzao waliopo darasa moja. Licha ya kuanza pamoja lakn kanumba alimtambulisha Ben kwenye game
@iranangole7007
@iranangole7007 2 года назад
Ben kumbe mmakuwa mwenzangu
@AbuuYaseen
@AbuuYaseen 2 года назад
Weee dem jirekebishe maisha hayendi hivyo
@elizabethverael1709
@elizabethverael1709 Месяц назад
😂😂😂😂😂 huo mjengo mzr ndo umewapiga picha au
@janjalamjini6481
@janjalamjini6481 2 года назад
Sema kaka
@janjalamjini6481
@janjalamjini6481 2 года назад
Umeiona
@mwantimazdombo6049
@mwantimazdombo6049 2 года назад
Namkubali sana salengo 🇰🇪
@bukheribukheri798
@bukheribukheri798 2 года назад
Ben Ben huyu jamaa anaweza sana
@halimabianga2466
@halimabianga2466 2 года назад
Ukovizur san
@davidelias6730
@davidelias6730 2 года назад
Siwafichi nilikuja kuangalia mjumba kilichonikuta naanza kukumbuka tu uncle selengo bongo jaman mnajua kula mb zetu🤣🤣🤣🤣
@zenadaudzena2849
@zenadaudzena2849 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmabhai2812
@fatmabhai2812 2 года назад
Wee selengo kitanda kimvulugika.😀😀😀😀😀
@hindisaid2413
@hindisaid2413 2 года назад
Kumbe mjukuu wa Rajab hatia ambae alikua msanii pia redio Tanzania enzi hizo... Nilitegemea na lile jumba na mgari kwenye kava ni halisia
@ramsybreezy9861
@ramsybreezy9861 2 года назад
Kali sanaa hii
@peteveprosper7186
@peteveprosper7186 2 года назад
Jamaa hana shidaa na hicho ki interview mna mdharirisha maisha magum sana
@hamadimwechiwa9835
@hamadimwechiwa9835 2 года назад
Kumwambia mama wawatu rasta kama pweza ilieparalaizi ache
@neemazee1864
@neemazee1864 2 года назад
Mbego TV mimi naji Ansubscribe mana mmezidi uongo, iyo nyumba sasa iko wapi apo
@reginapeter5546
@reginapeter5546 2 года назад
Hongera brother
Далее
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MUIGIZAJI MTANGA UTAPENDA
16:30
OMBA USIPATE MKE WA JINSI HII-MCH;DANIEL MGOGO
15:02
Просмотров 581 тыс.