Wallah nimecheka sana yaaan Ile kauli. Kila kituo mke leo nimeamin watoto 6 kila mkoa shikamoo madereva Ila wanawake some time yote haya tunayataka wenyewe Kuna mzee wangu dereva kama huyu Ila mke wake kichefuchefu
Ongera sana mkongwe kuwa mustaafu salama kwenye Dereva. Ongereni pia Nassib na Baba Love kumchukua Dereva huyu yaan huyu tulikuwa tumuombea kutok a Dereva awe commrd❤❤❤🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍
Dereva mkongwe maelezo kweli tuna matatizo ya kusahau mimi kama wewe na umri la maana ulosema matatizo ya macho yanapunguza na akili na kumbukumbu nakusaport sana