Тёмный

MPENZI WA DULLA MAKABILA: DULLA NI MCHAWI/MCHAFU,HAOGI/TUNAENDA WOTE KWA WAGANGA 

Wasafi Media
Подписаться 4,8 млн
Просмотров 160 тыс.
50% 1

#wasafi #refresh

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 171   
@joshuamathias8343
@joshuamathias8343 4 года назад
Anae amin huyo dad ni mkwel like twende sawa
@ibnahmad607
@ibnahmad607 4 года назад
@Joshua Mathias. Hata kama ni ukweli ila si kila kitu ni Cha kusema public . HANA SIRI.
@msusamsusa4514
@msusamsusa4514 4 года назад
Kaongea ukweli unatak adanganye ili mungu amuhukumu kwa uongo waliokubali ukweli wa dada gonga like apa twende saw
@carenalphonce5013
@carenalphonce5013 3 года назад
Nimempenda uyu dada yupo wazi sio wale wa no comments
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 4 года назад
Duuuuh wamdhalilisha ety hpendi kuoga😂😂😂😂😂😂😂 mstiri mwenzio jmn
@msambalamjukuu5758
@msambalamjukuu5758 4 года назад
Dada nimekuelewa Sana sio muongo nampenda utaenda pepon
@ramazubery8396
@ramazubery8396 4 года назад
Ushauri wangu kwa dulla mlango mzuri Unarangi nzuri, Mbao nzuri, Tena umekaa vizuri kasoro yake hauna kitasa(kikome)(kifungulio na kifungio)weka kitasa vya ndani vinaonekana.
@ladislausishengoma8363
@ladislausishengoma8363 4 года назад
Haha true
@mosamossile9113
@mosamossile9113 4 года назад
Nomaaaa na nusu
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 года назад
hakika dada mzuri sana kiukweli semeni lakini huyu dada mashaallah
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 4 года назад
usimvua mumeo nguo....yan usiseme madhaif yake kwa wengine kitchen party nakupa hahaa
@ommybig7984
@ommybig7984 3 года назад
Nakubr
@bintymwaliwanga565
@bintymwaliwanga565 4 года назад
Mke mzuri ma shaa Allah
@dotomzungu7855
@dotomzungu7855 4 года назад
Mwanamke bayaaa linalopoka saana
@lovemyselflovemyself954
@lovemyselflovemyself954 4 года назад
Daah. Uyu dada kiboko kweli 😆😆
@zabibunduwimana4612
@zabibunduwimana4612 4 года назад
Hapendi kuhoga😂😂😂😂siri zote inje tumepata umbea
@muniragambere2680
@muniragambere2680 4 года назад
mwanamke wa mwendo kasi hhhhhh hana siri kabisa ila nimempnda anavyoongea
@washawashaonlinetv2075
@washawashaonlinetv2075 4 года назад
Mwanaume kuoga oga sana unapunguz nguv za kiume ..kila saa unachmba xaxa ndo nn Kuog mar moj per day tena ikibidi
@shabaniabdallah3079
@shabaniabdallah3079 3 года назад
Hahahaha msenge kwel et ikibid
@RodeiguesAlfredo-lc1qk
@RodeiguesAlfredo-lc1qk Год назад
Grande dulla
@omarmohd5678
@omarmohd5678 4 года назад
Dem ako swa mcheshi izo ndo type napendaga
@omaryteddy7237
@omaryteddy7237 3 года назад
Huyo hana sili kabisa daaaa mademu noma
@janethjimmy3238
@janethjimmy3238 4 года назад
Jmn Mungu anawaon xo mchaf bhn
@kennedymwangala8385
@kennedymwangala8385 4 года назад
She's alike big up mom
@sephaniaayubu1877
@sephaniaayubu1877 4 года назад
Tunaleanaaa násio namleaa safi xanaa
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 года назад
kazi kweli
@magrethjohn8576
@magrethjohn8576 4 года назад
Huyu hafai kuwa mke anatoa siri za ndani Dulla huyu funua achilia mbali.
@angelholsey2484
@angelholsey2484 4 года назад
Magreth John yani hafai huyu hata kama ficha mambo ya ndani kwako jaman
@TamuzaKale
@TamuzaKale 4 года назад
@@angelholsey2484 Afilane naye tu kisha asepe!
@hamidhamadhamad5653
@hamidhamadhamad5653 4 года назад
Duh uyu leo kaachwa jaman hhhhhh
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 4 года назад
Jamani hii so haki walah kutoa sir za mpenz wako hadharan
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 4 года назад
Dada kaongea ukwelii tu
@omarimusa2090
@omarimusa2090 4 года назад
Huyu demu na kumbuka +254 alikua chokoraa Mombasa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@theblessedone7526
@theblessedone7526 4 года назад
Uongo
@emmyyahya8358
@emmyyahya8358 4 года назад
Mashallah mcute wifi yetu
@francisnyaji5000
@francisnyaji5000 4 года назад
Yuko real sana hana unafki good women.
@ramadhanimwijage7677
@ramadhanimwijage7677 4 года назад
Demu katuni bwana katuni yahani couple ipo powa Sana!
@princessshuu800
@princessshuu800 4 года назад
😀😀kuoga tena 😀😀😀
@dareenali6086
@dareenali6086 4 года назад
She is very young and beautiful skin
@Tiffany340
@Tiffany340 4 года назад
Sishangai ngozi za, wenzetu hazina siri sio mbongo uyoo nyeusi aseme nyeupe 😂😂😂 nimekupenda bule majibu konk
@ladislausishengoma8363
@ladislausishengoma8363 4 года назад
Haha
@dinnahnyoni6301
@dinnahnyoni6301 4 года назад
Huyu dada kiazi kweli ha haaaa
@zainabubakari8489
@zainabubakari8489 4 года назад
🤣🤣🤣🤣hayupo sawa huyu uwiiiii
@mathewshedrack4833
@mathewshedrack4833 4 года назад
nimependa shemeji yetu kaongea ukweli kbs
@frozen4rozen475
@frozen4rozen475 4 года назад
Uyo Dada anaonekana mtundu kitandani
@ezrasingano8553
@ezrasingano8553 4 года назад
Ndo Man nachukia madem wa tz Yn hawn siry km unskubalian n mimi dondosh Like yk
@fredymgina9732
@fredymgina9732 4 года назад
Katoa sili ya kambi ajiandae talaka33😁🤐
@barrysulty1756
@barrysulty1756 4 года назад
Yaani mnafanya ushirikina kisha munausifia mungu mumemsahau kama yuko na hamumuamini
@sponsalfaThedjalfani
@sponsalfaThedjalfani 4 года назад
Mwanamke huyu hajielewi dhuuu🙄🙄🙄
@allykombo4036
@allykombo4036 4 года назад
Mmmh hakyamungu
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 года назад
Huyu mwanamke sio mwandani wa dulla bali mwanje wake 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
@husnaswai2969
@husnaswai2969 4 года назад
💘lamarau
@monalisajuma5641
@monalisajuma5641 4 года назад
😱haogi duuh balaa hilo kivundo
@hucnapeter3744
@hucnapeter3744 4 года назад
Huyu dad hana akili kabisa hayo mambo niyakuongea kwenye sosho medie kweli mmmmh😂😂
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf 8 месяцев назад
Hayuko sawa kisaikolojia
@ibrahimmzito390
@ibrahimmzito390 4 года назад
Yani uyo kafanya maojiano yawe mafupi kwa kuwapa umbea mnaotaka bila ya kupepesa mdomo kanofuraisha sana
@levindalolalola7255
@levindalolalola7255 4 года назад
Munapenda wanavyo sema ukweli
@charlesnyabori7669
@charlesnyabori7669 4 года назад
Bado mgeni kwenye Mic 🎤 😂😂😂😂😂😂ndo maana hafichi kitu
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 4 года назад
na kweli
@amanimgaya823
@amanimgaya823 4 года назад
So sanaa kidogo😃😃😃😃
@varinajonh2410
@varinajonh2410 4 года назад
🤣🤣🤣🤣hapendi kuoga
@mwalaboy1686
@mwalaboy1686 3 года назад
😉☺️😊😉😋😚
@ommietrendz7175
@ommietrendz7175 4 года назад
Huyu mwanamke anawapa watanzania nini wanataka "UMBEA" wapate cha kuonge hakuna cha ukweli hapo Wachache ndio tunaelewa
@luqmanmohamedy3860
@luqmanmohamedy3860 4 года назад
Mnahojig mimbangs tu..hojin watu wa maana
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 4 года назад
Kwan kuoga lazma? Pambana na Hali yako 😄😄😄😄
@aminajuma2981
@aminajuma2981 4 года назад
Dulla uwe una hoga bwana uwenda una nuka 🤣🤣
@kulwamussa2582
@kulwamussa2582 3 года назад
Tunatafta wanawake kama hawa hatuwapati tunaopata nimazimwitu yani wewe mwanamke mungu angekudondo shea kwangu aise nahisi ninge muomba mungu asinichukue mapema maana madem wakibongo niwachafu watabia sjapata kuona hata wanaume pia wapwani naonimaji yaleyale wanapenda ngono kama chakula hawatulii nammoja ndowalivyo lisishwa naukoo wao mama baba utakuta ndotabia walizokuanazo toka ujana wao hatavizazi vyao hulidhi tabiahizo yani mungu tuone nasisi tumesha choka kutupa pesa zetu kwahawa makahaba wamjini hatauki funga naendoa nikazibule utakua kama umetupa pesazakotu ila mungu akikuelekeza kwangu apahautoki utaenjoi sana maana nikioa nimeoa nokahaba sjaumbwa natabia zafisi uyudula nisawa nafisitu maana fisi mizoga twende mifupa twende kilicho oza twende mavi twende hanaustalabu yeye hulachochote atakacho kiona tu anakula ujanja sioumalaya ukimuona mtu anakwambia mimi nimjanja nabadili madem uyonimjinga tu kama wajinga wengine
@yusufuhalfanseti7118
@yusufuhalfanseti7118 4 года назад
Yuko vizuli
@hijazhija316
@hijazhija316 4 года назад
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiiunc
@nobodysmwitadj_nobody
@nobodysmwitadj_nobody 4 года назад
𝐖𝐚 𝐊𝐰𝐚𝐧𝐳 𝐍𝐚𝐨𝐦𝐛𝐧 𝐋𝐢𝐤𝐞 𝐙𝐚𝐧𝐠
@championtv255
@championtv255 3 года назад
Dada nakuomba unipe moyo wako mama maana nikikuowa hutokua naoga takulamba unyayo mpaka kidogo.najilipua kuweka namba zangu azaraani dada mwenzio mgonjwa wa ngozi nyeupe plz ukipata namba hii nipigie.naishi kinondoni studio
@championtv255
@championtv255 3 года назад
0699510958
@alikhamisog3422
@alikhamisog3422 4 года назад
Dula huyu mwanmke hakufai anatoa siri zako alaf bado upp nae
@lomwardkupingwa3659
@lomwardkupingwa3659 4 года назад
Iyo nikikitu huyu mshenzi
@karoligeradi83
@karoligeradi83 3 года назад
Mwanaume waukweli Haongi kama mwanamke 😁👆
@crespomaeromajigo6923
@crespomaeromajigo6923 4 года назад
Tatizo LA mtanzania mtu ukiongea ukweli hufai sasa mini kosa lake hapo
@thestory2884
@thestory2884 4 года назад
Ukweli sio kutoa siri za ndani za mtu wako, pafikie mahari kitu privacy iheshimike, hapo kadondoka aisee msimtetee.
@farajajuddy3871
@farajajuddy3871 4 года назад
Heeeeeee!huyu mdada hana kaba ya moyo wala domo!vingine mbona kama vya ndani sana
@boblly
@boblly 4 года назад
Mi bihaloo nimekukubali kwa kuogeya ukweli....🤣
@saidamsangi5716
@saidamsangi5716 4 года назад
Nmecheka hatari nyinyi wanaume unaopenda wanawake hawabasiri kuna siku utamsema kaka yko amwambie duu mm ningekua mm dulla akija na siku hyo simtaki tungeachana
@RAUNATION
@RAUNATION 4 года назад
MIMI NIMEMPENDA BULE MKWELI
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 4 года назад
Duh!!!! Dada weee noma
@silemusilemu2598
@silemusilemu2598 4 года назад
Haaaahaaaahaaaahaaaaa..... Mwanga mwanga hakuna kidg mchafu haaaaahaaaahaaaahaaa
@evagerald8236
@evagerald8236 4 года назад
Uyu dada sio mzimaa kabisaaa 🤣🤣🤣🤣
@NasraSaid-qc5hf
@NasraSaid-qc5hf 8 месяцев назад
Kweliii
@manmacho6529
@manmacho6529 4 года назад
Danga
@aurapanorama1634
@aurapanorama1634 4 года назад
Musimlaumu kaongea ukweli dula ni bf wala sio mume wake wa halali. Matokeo ya zinaa ndio hayo sasa.
@nyeusiiielbakkal1497
@nyeusiiielbakkal1497 4 года назад
Hamna mwanamkee hapaa bogus
@lomwardkupingwa3659
@lomwardkupingwa3659 4 года назад
Amekosea kumsema jamani sio poa
@jumarashidi4278
@jumarashidi4278 4 года назад
Huyo dem fala kwel
@tababdulla2877
@tababdulla2877 4 года назад
Jamani sasa maneno qani hyo
@yuusufnuur5752
@yuusufnuur5752 4 года назад
Mhumm huyu dada nae sabasi ngoje ugongwe ni dulla
@hamzakichuma867
@hamzakichuma867 4 года назад
Kuna mke na alama au kivuli cha mke huyu ni kivuli cha mke
@sophiampili4265
@sophiampili4265 3 года назад
🤣😂😂😂😂kabisaaa
@levananyami8433
@levananyami8433 3 года назад
Huyo dada Ana ukubwa wowote
@radhiyaoman2543
@radhiyaoman2543 4 года назад
Mmmh huyu mwanamke hawezi ficha siri hata,duuh nashukuru exclusive ilivyoisha maana nadhani angeongea mpk za chumbani 😏😏😏😏
@mishibabu8946
@mishibabu8946 4 года назад
Hahaaa
@hasnaabduly4945
@hasnaabduly4945 4 года назад
Hahahahaha
@edwardsichilengwe2330
@edwardsichilengwe2330 4 года назад
Kusema ukweli ni jambo jema sana, ila ukweli una mipaka yake. Mambo ambayo ni ya kumdhalilisha mke wako au mme wako sio ya kuongea hadharani. Kuna mambo ya public na mengine ya private au personal, mwanamke kama huyu hafai kabisa maana kama anaropoka ambayo si mazuri kwa mme wake publically anamdhalilisha. Hayo mapungufu ya mme wako kaa nayo moyoni mwako naww ndo mwandani wake wa kumfichia siri zake
@mimaakenirram1405
@mimaakenirram1405 4 года назад
hapo kwenye kuto kuoga 😂😂
@yassinm69
@yassinm69 4 года назад
Mtu kutokuoga kwa maisha ya Afrika subutu😂😂😂
@nikiflavour3884
@nikiflavour3884 4 года назад
una mkeapo mzeeh kasha anza kutoa siri zandani kuna nini tena apo?mwisho wasiku we ndo una mloga msaga sumu uta kataa?
@mauaiddy7033
@mauaiddy7033 4 года назад
Mmmh so kwa kufunguka hko jmn 😂😂😂
@fatmahmaulidy804
@fatmahmaulidy804 4 года назад
Nimecheka san katiririrka balaaa😁😁😁😁
@mauaiddy7033
@mauaiddy7033 4 года назад
Fatmah Maulidy stara mdomon n zero kabsaa media znatupoteza wanawake tunafkil sfa kuweka mambo ya ndan public
@fatmahmaulidy804
@fatmahmaulidy804 4 года назад
@@mauaiddy7033 kashindwaa kabisa kuficha yandaniii daaahh
@fatmahmaulidy804
@fatmahmaulidy804 4 года назад
@@mauaiddy7033 anamsasambua mwenzake😁kaz kwelikwelii
@jastmijastmi9063
@jastmijastmi9063 4 года назад
He mbona kaongea yote😨 ?ayibu
@lovenesssalum2169
@lovenesssalum2169 4 года назад
Pete
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 4 года назад
Hawa mashombe hawanaga siri ...kama mwehu
@dotomzungu7855
@dotomzungu7855 4 года назад
Hahaaaaa ndioo
@ibnahmad607
@ibnahmad607 4 года назад
Upungufu wa Akili kichwani, huyu mwanamke hasara.
@najmerry2977
@najmerry2977 4 года назад
😀😀😀 hana kifua cha siri
@ibnahmad607
@ibnahmad607 4 года назад
@@najmerry2977 Kabisaaa, yani anaropoka tu🙆🙆🙆
@preciousprecious8791
@preciousprecious8791 4 года назад
Mwanamke kakaa kipambe huyo mbona yotee anayabwaga mtandanioni
@abbysamtz515
@abbysamtz515 4 года назад
dulla mchafu Mkundu wake
@victorianganyagwa5223
@victorianganyagwa5223 4 года назад
abby samtz 🤣😂😂
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 года назад
Huyu demu kwarogwa ukweli anaujua lakin anampenda bdo tu hhahahq
@aggycute1440
@aggycute1440 4 года назад
Hi
@anithajoseph9753
@anithajoseph9753 4 года назад
Bora ufe bila mke lakin sio kuoa mwanamke type kama hii, mwanamke gan unatoa siri za mmeo mfyuuuuu
@omarjumbe9921
@omarjumbe9921 4 года назад
lutufia kitambo sana
@bethadickson5242
@bethadickson5242 4 года назад
MWANAMKE GAN UNAKOSA KULINDA SIRI ZA MUMEO LOOOH! HUPASWI KUITWA MKE 😦
@naamohamed9964
@naamohamed9964 4 года назад
Duhh kiboko
@konsolatatutu423
@konsolatatutu423 4 года назад
Zipo kweli au bangi???? 😂😂😂😂
@feisalbaruan7227
@feisalbaruan7227 4 года назад
Hahahahahaha
@naligirl2098
@naligirl2098 4 года назад
😂😂😂
@raheemamkambha6013
@raheemamkambha6013 4 года назад
Hadi nimejikuta naziba mdomo mimi na anaeongea ni mwingine😆😆😆😆😆
@naimahhussein8430
@naimahhussein8430 4 года назад
Khaa aaa🤣🤣🤣🤣🤝🤝🤝
Далее
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 488 тыс.
Это было очень близко...
00:10
Просмотров 1,1 млн