Тёмный

MPOTO BADO KIDOGO AMLIZE TENA RAIS SAMIA AKIMKUMBUSHA ya NYUMA, MSTAAFU KIKWETE AMTAZAMA KWA HURUMA 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 13 тыс.
50% 1

MPOTO BADO KIDOGO AMLIZE TENA RAIS SAMIA AKIMKUMBUSHA ya NYUMA, MSTAAFU KIKWETE AMTAZAMA KWA HURUMA
CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia ZAWADI MBALIMBALI KILA SIKU, KILA WIKI kupitia Global TV, Global Radio na mitandao ya kijamii!
========================
Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL. Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 PEASA UTATUMIWA MOJA KWA MOJA KWENYE SIMU YAKO!🤝👍💰
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 29   
@globaltv_online
@globaltv_online 11 месяцев назад
​ Follow the Global Tv channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029Va7u...
@ntegrity277
@ntegrity277 11 месяцев назад
Mpoto is a Genius huyu ndo angekuwa MWENEZI WA CCM
@hashimchaoga9566
@hashimchaoga9566 11 месяцев назад
Kwa hiyo elimu yake ya msingi? Kwa huo ujanja ujanja wa kukariri mambo ya kawaida? Sasa wale wenye digrii zao za Political science na public administration wafanye nini? Yeye amekua Ummy Mwalimu sasa. Utopolo tu
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Sijui nani kawachagua hawa kuendesha umma wa kiislaam 😢😢😢😢 subhanallah mtaenda kuulizwa
@qasammamachinya4448
@qasammamachinya4448 11 месяцев назад
Anafaa mh rais ikikupendeza, mpoto mtizame Kwa jicho la badae na xaxa,
@ntegrity277
@ntegrity277 11 месяцев назад
Nitagombea ubunge nikusaidie Samia Mama yangu you are a serious president
@ntegrity277
@ntegrity277 11 месяцев назад
Haki ya Mungu kama ni kweli haya yote Rais Samia anafanya kweli watanzania tuogope rushwa! Nendeni katika hospitali zetu utalia machozi Mungu ibariki Tanzania
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 11 месяцев назад
zinaweza zikawa hazifiki
@fatimahirakoze7311
@fatimahirakoze7311 11 месяцев назад
Mungu akupe mwisho mwema mama samia
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Sheik mkuu awasikiliza hotuba ya wanamuziki inalilahiwainailahirajiuun
@KeraryoKesonko
@KeraryoKesonko 5 месяцев назад
Mjomba yuko poa sana
@borcherwilliamborchert3090
@borcherwilliamborchert3090 11 месяцев назад
Serikali isiyo fuata sheria.. imejaa kusifiana lakini ukiangalia haendani na maisha ya mtanzania. Shida sasa Kwa anaesifiwa ndo utasikia Hilo tumeliona... Huyo mzuka anaongea sana hajafika hospitari wanyonge kuona hio huduma mbovu.. Hovyooo kabisa
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 11 месяцев назад
JEE!! ZINAFIKA KWELI?
@RoseKipimo-e4g
@RoseKipimo-e4g 11 месяцев назад
pumbavu ni oumbavu tu mjinga ni mjinga tu mchawi ni mchawi tu muuwaji ni muuaji tu msingizia kesi watu ni shetani ipo siku is iyo na jina saa yaja
@meshackmayenga969
@meshackmayenga969 11 месяцев назад
Naona Mpoto anahama taratibu kwenye Sanaa,naye anatakakuwa msemaji wa serkali.Naona sasa kawa mhutubiaji na msemaji shughuli za serkali.Hatakama ni maokoto sasa anakoelekea siyo atagombana na wenye nafasi zao.Ajikite kwenye Sanaa yake .
@ameirdarueshi2593
@ameirdarueshi2593 11 месяцев назад
Shekhe walidi vip tena unataka kugombea ubunge au vip
@rashidisaidi8535
@rashidisaidi8535 11 месяцев назад
Huyu ni msanii au mwanasiasa
@fay9687
@fay9687 11 месяцев назад
Bakwata ni mtumwa wa CCM hatuna bakwata haye walid gombea Iraisi sasa
@BonifaceHassan-j5m
@BonifaceHassan-j5m 11 месяцев назад
Furahia leo, na unaofurahia nao,ni wakati wako, Bali,ipo siku, utakapo simama, wewe kama wewe, hakuna atakaye kuwa nawe, kila huyo,atawajibika na lake!
@ladislausngoyinde4384
@ladislausngoyinde4384 11 месяцев назад
Ni uchawa mwanzo mwisho
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 11 месяцев назад
Mpoto anakula kodi za watanganyika kwa uchawa duh! Kulio....
@shamisahmed4806
@shamisahmed4806 11 месяцев назад
Kodi za Watanganyika au za Watanzania??
@StevenGendo-vx9jo
@StevenGendo-vx9jo 11 месяцев назад
Kumbe mpoto nae ni mama! Kweli anafanania
@husseintwaha1737
@husseintwaha1737 11 месяцев назад
Unafiki wa kiwango cha hali ya juu
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 11 месяцев назад
Propaganda za kumualika mpoto.
@mayaally2512
@mayaally2512 11 месяцев назад
Sasa unataka kualikwa wewe ? Mpoto haakikwi ni kampuni yake inaomba tenda anapata na analipwa fedha nyingi mno na yupo vizuri hakosi kueleza mambo hizo takwimu uje na gongo zako uone kama utaweza 😢😢😢
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 11 месяцев назад
Mchawi mkubwa huyu!
@KeraryoKesonko
@KeraryoKesonko 5 месяцев назад
M
@KeraryoKesonko
@KeraryoKesonko 5 месяцев назад
Ni kwel man
Далее
Тренд Котик по очереди
00:10
Просмотров 302 тыс.
НЮША УСПОКОИЛА КОТЯТ#cat
00:43
Просмотров 642 тыс.
MRISHO MPOTO UNATISHA | RAIS SAMIA
7:49
Просмотров 24 тыс.
MWALIMU NYERERE ARTS FESTIVAL 2019 | MRISHO MPOTO
12:24