Тёмный

MR RIGHT KAMKATAA SARAH KAENDA KWA GLORY 

ST BONGO TV
Подписаться 174 тыс.
Просмотров 174 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 103   
@carlossalvadordomilos8382
@carlossalvadordomilos8382 Год назад
Ongera sana kwa bonge ❤️🇹🇿 Because now niwachache sana wanaelewa ila wale na boys wasio Kuwa naakili kazi kutafuta mkee anae juwa sex kitandani na sio mkee wa ndoa apo ni ndoa sio kama munavyo tafuta sex urizike na sio mkee wa ndoa tupo sisi kuwasadia ulipenda sex na sio education physique Moral intellectuelle mama ndo mwalimu wa home baba mtafutaji wa ziriki home 🏠
@LozanoMtekele-ob7mc
@LozanoMtekele-ob7mc 9 месяцев назад
chaguo sahihi Mr Right ila duuu kuna vyumaaa aiseeee
@GilbeltGodfrey-u4g
@GilbeltGodfrey-u4g 3 месяца назад
Show pambe kweli kwelii
@kamotechnicshamzahamsini6853
Hii kitu inadhalilisha sana wanawake.
@meshackisoma22
@meshackisoma22 Год назад
Kwa kiasi chake kuna ktu hakipo sawa.
@samtelah7578
@samtelah7578 Год назад
Umewaza kma mm na i wonder why wanawake wanaenda kujidhalilisha hivyo au wanalipwa huko?
@fatmayahaya3773
@fatmayahaya3773 Год назад
Kweli kabisa
@happyalicko8571
@happyalicko8571 Год назад
Wanajidhalilisha mno alf mtu ukiwa mnene akili sijui zinaendaga wap
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Год назад
Alafu najiuliza WHY MAN HAWAPO WENGI WANAWAKE NDO WAMEJAAAA?
@CHRISTINAYOHANA-oy7vo
@CHRISTINAYOHANA-oy7vo Год назад
Ivi kweli wanaoana,wawe wanarudisha mirejesho ya kipindi hiki
@sarahburetta8547
@sarahburetta8547 Год назад
Kabisa tuone ndoa
@CHRISTINAYOHANA-oy7vo
@CHRISTINAYOHANA-oy7vo Год назад
@@sarahburetta8547 umeona eeeh
@neemamushi7791
@neemamushi7791 Год назад
Ni kweli kabisa dear
@munezeromiburoambert472
@munezeromiburoambert472 Год назад
Naomba maelekezo ya kufika Mr huko
@agripinajoseph5968
@agripinajoseph5968 Год назад
Kaka zangu wanyaturu huwa hawapo romantic jmn uwiii
@nancyg8664
@nancyg8664 Год назад
🤣🖐
@shamsasaid1821
@shamsasaid1821 Год назад
Walah umenenaaaaaaaaaaaa Kaka zetu hawako romantic
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Mh acheni umbea
@mohammadoman8963
@mohammadoman8963 Год назад
Kakwambia nani aona aibu tu huyo
@azizaidd1998
@azizaidd1998 Год назад
😂😂😂😂unaharibu buana
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 Год назад
hongera sana umechagua Mali kari
@SaudathAtanath
@SaudathAtanath Год назад
Jaman
@reginamanyangu7258
@reginamanyangu7258 Год назад
Leten mwendelezo wao
@tatuaamuuinyi9633
@tatuaamuuinyi9633 Год назад
Hizi rangi za nembo ni usenge.zinahamasisha kujamiiyana jinsia moja
@MONICAKAMENYAPHILIPO-rm3sx
@MONICAKAMENYAPHILIPO-rm3sx Год назад
Nice couple 😘😘🙏 na nikawa ndoa
@saumunassoro9983
@saumunassoro9983 Год назад
Mashallah 😘😘
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow Год назад
Mnada uu sio mzuri
@skiniboy-wn4vw
@skiniboy-wn4vw Год назад
Branza umefanya kazi zuri
@carlossalvadordomilos8382
@carlossalvadordomilos8382 Год назад
Bora kikombe kimoja cha kunywa maji kuliko kujaribu mswaki moja watu 100 achaongea Pumba eti inazalisha wanawake not 🚫 ila wanawake awo majasiri pia awaitaji chezewa tena na watu kama nyie musie juwa umuhimu wa mwanamkee au kutafautisha mkee na akili na education Moral
@emmanuelsanareemmanuelsana9137
❤❤❤❤❤ I like that ooh my way
@AmeldaKavishe-ry9ow
@AmeldaKavishe-ry9ow Год назад
😢unauma Sana ata Mimi inauma
@RayyanRayyan-rt9cg
@RayyanRayyan-rt9cg Год назад
Wamependezana
@iranangole7007
@iranangole7007 Год назад
King'amuz gan inaonyesha hii
@mamakebravil4630
@mamakebravil4630 Год назад
Alipenda out fit
@Catty-wq5bc
@Catty-wq5bc 10 месяцев назад
Ivi kweli munapima ukimwi
@kelvinialex7601
@kelvinialex7601 Год назад
Ndioo anakuwaa mke wakoo kwelii auu
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 Год назад
Kwahiyo hapo ndio wanaenda kuishi mke na mume?
@emmanuelzelote8466
@emmanuelzelote8466 Год назад
Ila kwel kuna watot wazur ,iyo ni njia nzr kwa wenye uhitaj wa ndoa ki ukwel
@NeemaTango-pz4oo
@NeemaTango-pz4oo Год назад
Yaaan Viki jmn kila akijaribu hachaguliwi uuuwii
@GodloveEssau
@GodloveEssau 5 месяцев назад
homeboy
@joshualaizer1707
@joshualaizer1707 Год назад
Sauti ya mtot uyo🥰🥰🥰
@AbubakryOmary-zg8mx
@AbubakryOmary-zg8mx Год назад
Naitaj kufika kwenyu Na ninayang nayaitaji nikimpata sin chakumpa zaid yaupendo kwang
@PaulinaPaul-d7t
@PaulinaPaul-d7t 6 месяцев назад
❤❤❤❤❤
@faithkaganda-k3s
@faithkaganda-k3s Год назад
Nimefrah sana jmn❤❤
@habibhassan8733
@habibhassan8733 Год назад
Huyu jamaa kenda kuwaona
@raquelmuuz3877
@raquelmuuz3877 Год назад
🥰🥰 from Kenya
@emmanuelakimana2759
@emmanuelakimana2759 Год назад
wow so lovely❤
@edinalihedule7609
@edinalihedule7609 Год назад
Mungu saidia wanawake jamani 😭🤷
@aminarama711
@aminarama711 10 месяцев назад
Mimi nimepeda huyo mwenye hapo
@hanifahanifa1010
@hanifahanifa1010 Год назад
Mwijaku
@ndagijimanaaregizandere
@ndagijimanaaregizandere Год назад
💕 you
@2cash259
@2cash259 Год назад
Mr.Right ameokota dodo chini ya mpera
@nzeyimanaabdallah131
@nzeyimanaabdallah131 Год назад
Kwa nini jamani😂
@2cash259
@2cash259 Год назад
@@nzeyimanaabdallah131 kapata toto kali 😄
@khadijahmohammed9467
@khadijahmohammed9467 Год назад
Utajuaje yaliyomo yamo
@MariamMaine
@MariamMaine Год назад
Upwiruuu😂😂
@ruthnabuyaya3796
@ruthnabuyaya3796 Год назад
😂😂😂😂😂
@Mwaropa
@Mwaropa Год назад
Mnavaa uchiiiiii
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 Год назад
Etiii umekaba koo... nini uwo?
@scholasticabufune1013
@scholasticabufune1013 Год назад
Upwiiiruuu😅😅😂
@imaiskaka8305
@imaiskaka8305 Год назад
uyu kachagua sasa
@anosiata8242
@anosiata8242 Год назад
Wanaendana wamependezana
@swadifamashaha8070
@swadifamashaha8070 Год назад
Hii inamanisha au ndoo sitair za kutafuta pesa
@KenedyAlex
@KenedyAlex Год назад
Xo inadhalilixha wanawake inawapa fursa
@NasmulNasmul-r8e
@NasmulNasmul-r8e Год назад
Mi nauliza ni harisia? Kwamba unachangua mke wa kuoa? Au ni michezo tuu ya kila wiki?
@leylarajabu5
@leylarajabu5 Год назад
Hata mm cyelew
@shebyshow6264
@shebyshow6264 Год назад
Broo unaoa Moja Kwa moja
@bahatishadrack5117
@bahatishadrack5117 Год назад
Naisi mke wakuowa kabisa
@QUEENJoseph-kh6cb
@QUEENJoseph-kh6cb 9 месяцев назад
Swali langu ni kwamba wamepima😂😂
@mathacaristo4293
@mathacaristo4293 Год назад
Hivi kweli niache kufanya Kaz zangu ndo niende kufanya ujinga huu wa kujianika
@happynesszablon3014
@happynesszablon3014 Год назад
Hahaha mnyaturu
@edsonhaygaru1616
@edsonhaygaru1616 Год назад
Nimemwona kijana Angu anatafuta mchumba hapa nakati me najua Yuko chuo
@mariamsaidy8616
@mariamsaidy8616 Год назад
Hahahhh
@LawrensiaMkolwe
@LawrensiaMkolwe Год назад
Ahahaha
@VeroPeter-ps8lt
@VeroPeter-ps8lt Год назад
Haha
@ashajumapili7148
@ashajumapili7148 Год назад
Haaaaaaaa
@raphaelsonjumawanganga3228
@raphaelsonjumawanganga3228 Год назад
Sasa hapa unachagua mwenye hataujuwi hali yake natayari mshaowana... Alaah 😅😅 sasa mkeenda HIV TEST mmoja apatekana nayokimfano Mnaachana tena ama😂😂
@lydi791
@lydi791 Год назад
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@musampanda3643
@musampanda3643 Год назад
Na mimi ntakuj kuopoa huko
@matronmkenda3510
@matronmkenda3510 Год назад
Binti yangu usifanye huu ujinga nikiwa hai ntakuvunja pua
@kelvinlusana5580
@kelvinlusana5580 Год назад
😁😁😁
@KulwaMhoja-bq4hp
@KulwaMhoja-bq4hp Год назад
Kweri wanawake tubadilike
@kamotechnicshamzahamsini6853
Huu ni udhalilishaji wakuu
@samwelikikoti7331
@samwelikikoti7331 Год назад
mtoto mkali
@Jackylmariam-qy6qe
@Jackylmariam-qy6qe Год назад
Ila uyu bonge 🤣🤣🤣
@profs.a5412
@profs.a5412 Год назад
Kwaiyo hawa wanaoana kweli au maigizo??😂
@eliasboytz
@eliasboytz Год назад
Huyo bonge sas duuh akajipange2
@happynesbaemuhappynes8813
@happynesbaemuhappynes8813 Год назад
😂😂😂mm nitaanza kubeba magunia ya mkaa nipungue sasa
@kamotechnicshamzahamsini6853
Ni upuuzi mtupu kabisa. Acheni kudhalilisha wadada . Acheni kudhalilisha wadada.
@madamhappymwalongo3653
@madamhappymwalongo3653 Год назад
Wanajidhslilisha wenyewe
@nappekiliakiliasalimu346
@nappekiliakiliasalimu346 Год назад
huyo dada mweupe mbn achaguliwag kwann
@hanifahanifa1010
@hanifahanifa1010 Год назад
Weupe sip tatizo nyota
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Kashachaguliwa tyr
@glorymukiri2109
@glorymukiri2109 Год назад
❤❤
@savelaaizack6322
@savelaaizack6322 Год назад
Wamependezana
@habibamura5255
@habibamura5255 Год назад
❤❤❤
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00
Gandaki chadke
2:24
Просмотров 4,9 тыс.