Тёмный

MR SHUWA, ATU WEZI KUMLAUMU HARMONIZE FREMASOON NI WAPENDA AMANI 

GRAND MASTER SURE
Подписаться 4,4 тыс.
Просмотров 20 тыс.
50% 1

#mrshuwa #harmonize #kondegang #kondeboy #freemasoon

Опубликовано:

 

16 апр 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 26   
@user-lm4bu9ys1r
@user-lm4bu9ys1r 3 месяца назад
Njaa Kali tu Wala Amna unachokieleza
@abubackar1antony
@abubackar1antony 2 месяца назад
Maelekezo yakujiunga yapoke mr sure wengne tuna nia thabiti
@TpPt-do5vg
@TpPt-do5vg 3 месяца назад
Duh Dunia imeisha Jamani madhambi yamekua waziwazi
@ChalitoAssumaneAssumane
@ChalitoAssumaneAssumane 2 месяца назад
Good morning master I please ayuta mid-day and Freemason? Please ayuta mid-day my vida!
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 3 месяца назад
Tunaishi kwenye mifumo nikama tumewekewa program hivi kwenye ubongo, ukijaribu kutumia uelewa wako kufikiri nini ni nini, hata jamii itakutenga,ndo mana nataka kiongozi unipe kofia na tisheti za freemasonry nianze kuvaa hadharani nione nini nitatokea, Kwa atae niuliza naanza kumuhubiria na kumwambia kuhusu freemasonry, HAIL THE PYRAMID 🔺
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 3 месяца назад
Jiwe juu ya jiwe mpaka watanzania waelewe kama Mimi nilivoelewa 🤘🏿
@SadikeyBikyeombe-sw7ec
@SadikeyBikyeombe-sw7ec 2 месяца назад
Naomba kujihonga nachama
@user-iu2cm5um6e
@user-iu2cm5um6e 2 месяца назад
Hawaliwezi jeshi la muntu moja, hata wafanye nini.
@user-wo2sb9dv3e
@user-wo2sb9dv3e 3 месяца назад
Lusifa meletwa duniani ili kutuangamiza na ndicho kinachotokea
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 3 месяца назад
Msanii 😂😂😂😂😂😂😂😂
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 3 месяца назад
Kuna watu wamekaa wanaamini kua kujiunga freemasonry ndo dhambi,wamesahau kua wizi ni dhambi nani wezi, umalaya ni dhambi nanimalaya, uongo ni dhambi naniwaongo,chuki ni dhambi naniwanachuki,ety kua freemasonry ni dhambi na izo ni nini, kanisani wanaenda wamevaa vimini, wamevaa kihuni bila hata staa na heshima hafu iyo sio dhambi ila kua freemasonry ndo dhambi duuuh 👁️🔺🤘🏿
@tatuchafu
@tatuchafu 3 месяца назад
hizo zote umesema uwezi ringanisha na freemason
@user-tg2fw7wz3d
@user-tg2fw7wz3d 3 месяца назад
Konde boy jeshiii wengi hawajamwelewa… bali wanatafuta umaarufu kupitia kond boy…!
@SurprisedBirdNest-zk5by
@SurprisedBirdNest-zk5by 2 месяца назад
Hata kiduchu usijaribu kufikiria kusema Neno lolote Kwa mwenyezi Mungu lisilo hakikiwa Kwa vile alivyo! Kwa maana yeye hawi sawa/ kufananishwa na mwanadamu! Ingawaje maandiko matakatifu yanasema sisi wanadamu tumeumbwa Kwa mfano na sura yake,,,hiyo Ina maana mbali na sura zetu tunavyo onekana. Kikubwa patana na mola 👨🏾‍⚖️wako, ACHA maneno mengi Kwa raia🤐🤐
@DuoJoseph-rz6qx
@DuoJoseph-rz6qx 3 месяца назад
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Malashidjuma
@Malashidjuma 3 месяца назад
😂😂😂
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 3 месяца назад
Hail the pyramid 🔺
@mubaonemubaone3249
@mubaonemubaone3249 3 месяца назад
Nipewe Namba ya Mr shuwa Sitaki kujichosha Fermathon ni kama Mapenzi ya Simba na Yanga tu Nipewe Namba nasisitiza Sitaki kutia huruma kabisa
@SaidBaraka-ti2sv
@SaidBaraka-ti2sv 3 месяца назад
Nataka unipe njia nijiunge freemason
@RAMANETWORKS.
@RAMANETWORKS. Месяц назад
Suleiman knowledge was from God yours are total lies
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 3 месяца назад
Mtu umeanza kufanya kazi tangu mwaka 1961 Tanganyika inapopata Uhuru uwa unaomba nakufanya kazi lakini hufanikiwi unaamini IPO siku utafanikiwa na Una miaka 65 watoto wako nao wameanza kuzeeka wanaomba kila siku na wanafanya kazi bado hawafanikiwi, na wajukuu wako nao wanapita mule mule, hafu kuna tajiri chui juzi tu Leo anashika pesa ambazo hata hujawahi kushika wewe tangu mwaka 1961 nabado umeng'ang'ania tu apo apo kila siku maombi mpaka koo limebadirisha sauti inatoka sauti kama pikipiki iliyotolewa eksosi au mtolea Moshi, wacha nisiseme Sana hayanihusu nipo pale 😂😂😂
@DuoJoseph-rz6qx
@DuoJoseph-rz6qx 3 месяца назад
😂😂😂😂😂😂👌👌👍💪🤟🤟🤟
@ombenimmary1805
@ombenimmary1805 3 месяца назад
Huyu mtu ni Msanii au yupo serious?yupo aliye wahi kumsaidia atushuhudie ya kweli au yupo aliye tapeliwa ?Tunaomba ushuhuda kuokoa wengine au kusaidia wengine tafadhali...
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 3 месяца назад
@@ombenimmary1805 kila ki2 ni ukweli nani sahihi kikubwa ufate Sheria za chama nasio utakavyo wewe, kumbuka kila secta na kundi lolote huwanasheria na taratibu zake,unachotakiwa nikumsikiliza yeye nakufata masharti nasiokuja na masharti yako wewe au nataratibu zako wewe,note that freemasonry haijalibiwi kama utakua na nia yakuijaribu freemasonry Acha mara moja, karibu Sana AFRO FREEMASONRY, HAIL THE PYRAMID 🔺
@benjaminchakwe9815
@benjaminchakwe9815 3 месяца назад
😅😅😅😅😂😂😂😂 utajiri upo mbinguni na ukifa unazikwa kwenye shimo chini,yaduniani tu ambayo unayaona yamekushinda hafu unawaza yambinguni ambako hata hujui kama utafika au kweli kupo, waliokuletea dini ndo wanaongoza Kwa dhambi na matendo machafu,
Далее
Разбудили Любимой Песней 😂
00:14
Я ПОКУПАЮ НОВУЮ ТАЧКУ - МЕЧТУ!
39:05