Тёмный

DR SULLE AIBUA MAPYA YA PETE ANAYOVAA ALIKIBA HERUFI 'A' INAMAANA KUBWA 

Bongo Touch
Подписаться 743 тыс.
Просмотров 91 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 299   
@ahmedrmohamed7389
@ahmedrmohamed7389 5 месяцев назад
Mashaallah dr uko vizuri kujibu maswali haukurupuki tu kuyajibu,Allah akuzidishie HIKMA na REHMA
@abdulhakhashim764
@abdulhakhashim764 5 месяцев назад
True....doctor sule....upo...sahihi..., uwezi..kumjibia...mtu..bila kujua lengo lake ..Mimi .nnavaa Pete za silver Chen au dhahabu...kama urembo na sio shirk , napenda kuvaa xanaa. Ila sijafafa shiliki...yoyote. Namuogopa ALLAH, YAKINI, ATUEPUSHE na shirk....😭😭😭🙏
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 5 месяцев назад
Nyie naye mnamaswali ya ajabu Pete urembo tu haya muulize na Dr Sule hizo alizovaa vidole tofauti mkono kulia na kushoto atupe maana
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 5 месяцев назад
Urembo tu😮, utachelewa sana.
@NYAHURURU_ICON
@NYAHURURU_ICON 5 месяцев назад
Swali la kikubafuuu Alikiba atakujibu kamuulize yeye😂😂😂
@hassnasuleiman6923
@hassnasuleiman6923 5 месяцев назад
Ni kweli kabisa Dr Sule
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
Mapepo wana watii kwa kuambiwa toka kwa mtu wakamtoka, sio wanashirikiana na binadamu😅😅😅😅
@igurusitv6553
@igurusitv6553 5 месяцев назад
Anawapotosha sana waislamu, huyu ni mshirikina tu. Uislamu na majini ni ndugu
@Chrishenryson-beats
@Chrishenryson-beats 5 месяцев назад
@@igurusitv6553😂😂 Waislam wengi ni wachawi sana
@fatemafatema4780
@fatemafatema4780 5 месяцев назад
Dr. Sule nashallah hongera sana.tena very intellingets inabidi nikutafute kwa matatizo yangu.dr uko vizuri sana mashallah
@HassanNtakirutimana-m3y
@HassanNtakirutimana-m3y 5 месяцев назад
Hayo ndio nilikua naongelea instead of kumbilia Allah unataka kumkimbilia doctor shule akupe uwez wahela 🤣🤣🤣 naona tanzania mulisha aanza kusahau mola mnakimbilia kwamaisha haya yadunia Maataa'lu dunia qalila tutakufa
@nuruabraham3769
@nuruabraham3769 5 месяцев назад
matatizo yako mshirikishe Mungu yaani unaona kabisa yeye anaendeshwa na pepo wachafu na wewe unataka kumfuata loo!
@hassanmzungu
@hassanmzungu 4 месяца назад
MashaAllah Dr Sule InshaAllah Mungu akakuajalia umri mrefu ili utupe mafundisha yanayo ambatana na vitabu vyetu vya dini
@RajabuMalebo
@RajabuMalebo 5 месяцев назад
Ivi nyie mnao toa hizi comment huwa mnaelimu kweli yamambo hivi amjui sulle nikichwa hatari msizani sule huzungumza kwautashi bali maandiko
@FawziaFawzia44
@FawziaFawzia44 5 месяцев назад
Kama hamwelew kaen kimya mnabwabwaja tu Allah akulinde dockta sule akupe maisha marefu
@walterowino-x8p
@walterowino-x8p 5 месяцев назад
Waswahili na mambo ya majini wameipenda sana.
@rahamkibinda6137
@rahamkibinda6137 2 месяца назад
Kiukweli connection hzo zipo lakini ni ngumu sana mm babaangu aliwahi kunifundisha lakn mashart yake ni magumu sana ili upate utajr ila ukitaka za kuwatoa watu makafara hzo ni nyepesi na ndo haram
@OscarFrancis-mx7iy
@OscarFrancis-mx7iy 4 месяца назад
Hahahahahaha kweli shetani ni mjanja ili kuwateka watu anatumia maandiko...Aya bana mm yangu macho ila iko siku mtaumbuka azarani..Mkisikia watu wangu mnaangamia kwa kukosa maarifa ndio hayaaaa
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 5 месяцев назад
Sulle, mungu anakuona ujue 😢😢😢😢😢😢😢
@magicindustrytv6743
@magicindustrytv6743 5 месяцев назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-HuvWLBctbRY.html
@IsackSakweli
@IsackSakweli 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@yesunialamayakiama.9013
@yesunialamayakiama.9013 5 месяцев назад
😂😂😂😂 eti wanafunzi wa Yesu walikaa na mapepo wakawafundisha neno la Mungu. Kisha Yesu anamwambia Petro rudi nyuma yangu shetani. 😂 Kwahiyi jini ni shetani. Suratul Jinn 72:1-4 Waislamu wanashirikiana na majini(Mashetani) 😂 Na watu wanamshangilia kwamba huyu ni Dr. 😂
@josephkapinga652
@josephkapinga652 5 месяцев назад
Pyramids ni nyumba za kuzikia wafalme. Mafarao wote walikuwa wanajenga. Kuna sehemu ya kuzikia wafalme, sehemu ya kutunza vito vya thamani, na sehemu ya kuhifafhi vyakula kwani wamisiri waliamini kuna maisha baada ya kufa, hivyo waiwawekea akiba za maisha yajayo ya viongozi wao.
@KiangoKipingu-f2y
@KiangoKipingu-f2y 5 месяцев назад
Shindwa katika jina la Yesu
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 месяцев назад
Aaaweeeh😂
@asiyajuma3135
@asiyajuma3135 5 месяцев назад
MashaAlla shekhe sule una weza Allah akulinde wallah 🙏
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 месяцев назад
Aisee nimesikiliza hadi nimecheka 😂😂😂😂. Bible haitatafsiriwi hvo jamani hadi natokwa na machozi 😭😭😭😪😪😪😪. Aisee uku kwenye bible hangepaacha tubaki na mambo ya Pete walai 😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 месяцев назад
Kwa roho mtakatifu...unapigwa tumia akili.
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 5 месяцев назад
Majini yote wanaoshirikiana na binaadamu basi ni mbaya. Hakuna ushahidi huo binaadamu ashirikine n majini, ila nabii Suleiman pekee ndio aliopewa mamlaka hayo, aliomba dua kwa Allah apate uwezo huo.
@SaideCrobidoSaide-jb2px
@SaideCrobidoSaide-jb2px 3 месяца назад
Dr, mm niko Mozambique VP napata mawasiliano yako ili kwa maongezi zaidi, kwamaana kunamengi nahitaji kwako
@RajabuMalebo
@RajabuMalebo 5 месяцев назад
Sulle tupe elimu hawa wapingaji watoto wajuzi achana nao ss tulio anza kukujua toka enzi zamihazala ndio tunao jua fahida yako
@johnpetro378
@johnpetro378 5 месяцев назад
Bro kasome bibilia utafute watumishi wa mungu wakuelimishe
@Shufs-Da-Lion666
@Shufs-Da-Lion666 5 месяцев назад
HAKUNA USHIRIKINA HAPO KUVA PETE NI SUNNAH YA MTUME MOHAMMED (S.W)NA ALIKUWA AKIVA AQEEK YEMEN KATIKA MKONO WAKE WAKULIA KIDOLE CHA PETE NA KILA KITU AMBACHO ALICHO KIFANYA MTUME WETU NI DAWA NA KINA MAANA..
@Basagamp4
@Basagamp4 5 месяцев назад
Masheikh Ubwabwa
@josphinenduta2011
@josphinenduta2011 5 месяцев назад
Muulize kuhusu pete alizozivaa mwenyewe.
@AshiraKaniki
@AshiraKaniki 5 месяцев назад
Jamn shekhe uwe unaongelea mambo ya mungu tu usi ufany uislm kuonekan kam haielewk shekh watu wana kuangalia km shekh
@SaidWasaki-iq3qd
@SaidWasaki-iq3qd 5 месяцев назад
Njaa kweli mbaya zamani huyu Shekh alikua yupo vizuri sana ila sasa Kawa Shekh wa kutafuta kiki na umaarufu tu inasikitisha Shekh kama huyu kumzania mtu ubaya huko ni kumkosea Allah.
@yassinisalumu4894
@yassinisalumu4894 5 месяцев назад
Kibaya kipi hasa alichokiongea?
@mckobatz5861
@mckobatz5861 5 месяцев назад
Anatafuta kiki how?
@jafarinauma6798
@jafarinauma6798 5 месяцев назад
Kichaa wewe alafu ni muislamu Dr anatoa elimu unataka watoe wakina nani makafiri tu
@rashidkatoti5781
@rashidkatoti5781 5 месяцев назад
Alaf kumuuliza Dr Sule juu ya Pete ya Ali kiba huo nao si ni kutaka kuwafitinisha ! uzuri kakujibu kihekima sana
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 5 месяцев назад
Sindioooo
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 5 месяцев назад
Kwani ye hajavaa Pete hapo, Pete avae kiba maswali umuulize mwingine😢
@rahmaabdalla7643
@rahmaabdalla7643 5 месяцев назад
😂😂😂😂
@zimbazimba1000
@zimbazimba1000 5 месяцев назад
Hayo maswali na muulizaji wote wanachekesha sana. Yaani so silly. Dr Sulle mstaarabu sana lakini Lazima hata yeye anamshangaa sana huyo interviewer. 🙈🙈🙈🙈
@athumanially906
@athumanially906 5 месяцев назад
Doctor shulee,ulianza vizuriii,lakni Kwa xx unazeeka vibayaaaa,, nilikua nakuelewa xana lakn xxhiv umeingia njaaaa,unaitumia dini vibayaaa,umeacha kufanya jukum la msing la kuhamasisha waislam tufanye ibadaa,unaitumia mitandaon kutafta kiki !!!! Kwa heshima Yako uloitengeneza kwenye din Kwa nch hii haya mambo ungeachana nayooo, yanakushushia heshimaa,Kuna watoto yatma wanateseka huko mtaani ,viongozi wa din pazen saut achaneni na kikii
@aryjunkitara1658
@aryjunkitara1658 5 месяцев назад
tatizo unasahau kwamba wewe hujawahi kumpa chakula wala humsaidii chochote Dr sule pengine usinge mjua ungemlaumu muache mtu afanye kazi yake nawewe jaribu kufanya yanayo kuhusu basi....
@hemedmbondejr
@hemedmbondejr 5 месяцев назад
Wwe umeshawahi kumlisha yatima?? Huna ellimu yeyote kuhusu dini na inavyo onesha hata msikitini hauwendi soma kwanza kisha uje kukosoa watu kwa hoja na ushahidi
@abdulkizeli9960
@abdulkizeli9960 5 месяцев назад
Kulisha mayatima kila mmoja anaweza tu ila kuwa na itikadi sahhi aliyofundisha mtume Muhammad ndo kipengere
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
😅😅😅biblia huijui ni bahari kubwa, kwanza umetafsiri vibaya
@ramadhanitaslima6394
@ramadhanitaslima6394 5 месяцев назад
Wew unaijuha mlete mkirstu alieifadh biblia mzimaa tuonee Acha shobo
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 5 месяцев назад
Acha uongo
@mim9607
@mim9607 5 месяцев назад
HUYU ANAPELEKEA WATU KWA USHIRIKINA.ALLAH AMUONGOZE YARABB
@esterkapufi7753
@esterkapufi7753 5 месяцев назад
Anatafuta Kiki Tu hii Dunia tuwe makini sana mungu achanganywi ivo
@LichimbaAlly
@LichimbaAlly 5 месяцев назад
Kuwamakini shekh Dunia hii
@adamkassim-ts2ds
@adamkassim-ts2ds 5 месяцев назад
0:27 yah na atoe ushahid katika Quran
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 5 месяцев назад
Majini aina hao ni mashetani ambao wanataka kuwaposha binaadam huwa wanawaingia ktk maisha y binaadamu. Lkn ruhisa ya ushirikiano hakuna usitudanganye, hiyo aya ulioitoa hijaifahamu, usitafsiri Qur'an kwa akili yako . Siku soye ukitumia akili yako ktk dini unakosea. Allah atuongoze. Tusiziendekeze nasfi zetu na tamaa y dunia, Dinia n masisha ya mpito tu.
@johnkisubi8974
@johnkisubi8974 5 месяцев назад
Kiekiekie kiekiekie kiekiekie kiekiekie nacheka sana ,waislam muko na shida kweli muokoke uyu bwana ni mwongo sana jini ni pepo chafu tu,akuna jini wa mzuri Pepo walitii kwaku kimbiya jina la yesu kristo Waka toka watu mwilini
@CheniShauri
@CheniShauri 5 месяцев назад
Huyu nime amini kua ni tapeli na mushriki ni mtu ambaye anae nifanyia mzaha dini ya Ahlwa hakika kila kitu ni qadar na sio jiní ukimuona mtu mwenye kuitakidi kitu kama hichi basi ujue nikatiya walio muasi Ahlwa hafai huyu mtu ata tupoteza sana tusipo jiangalia waislamu.
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 5 месяцев назад
Quran 72-1 inakataa aviendani na alicho kisema suley mambo mawili tofauti kabisa
@zidiherimfinanga1344
@zidiherimfinanga1344 5 месяцев назад
Sahihi
@zidiherimfinanga1344
@zidiherimfinanga1344 5 месяцев назад
72:1 - Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu! Hiyo ndo 72:1 iyo anasema ni ipi tusomeni jamni 😢😢
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 5 месяцев назад
Mtihani kweli 😢😢😢
@zuberkasim7150
@zuberkasim7150 5 месяцев назад
Inamaana Ustadh suley hajui Kwamba kutegemea kiumbe tofaut na mwenyeziMungu nishirki?
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 5 месяцев назад
Hamna sheikh hapa huyu ni mpiga ramli
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 5 месяцев назад
😂
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 месяцев назад
Astaghfirullah
@salumuledisalum8038
@salumuledisalum8038 5 месяцев назад
Ni kweli huyu ni mganga wa kienyeji
@EmmyLyimo-y7b
@EmmyLyimo-y7b 5 месяцев назад
We mzee unajifanya unajua sana
@JimmyKazungu-oj5bs
@JimmyKazungu-oj5bs 5 месяцев назад
Dk sule naomba nipate namba niongee niongee nipate nsada kwako
@SalumManondo
@SalumManondo 5 месяцев назад
Umemsahau.bakresa.mtoaji.sana.kwa.masikini
@yassinisalumu4894
@yassinisalumu4894 5 месяцев назад
Jitahdi sana kumuelewa mtu kabla hujatamka maneno kwenye kinywa chako
@RajabuMbago-sw1jo
@RajabuMbago-sw1jo 4 месяца назад
Sheikh Sasa anatuboa na cjui amekwama wapi baada ya kumtangaza Allah anatangaza pete
@revodeo8592
@revodeo8592 5 месяцев назад
Unajiita Dr. lakini bado hukubali kuwa biblia ni mkusanyiko wa vitabu ,siwezi kukuamini kwa maneno ya mdomo ila aya ,hata uliyoyaongea kuhusu biblia ni uongo ,Yeloboamu alipigwa akafa kwa sababu alishirikiana na majini ,Mungu ametukataza kushirikiana na majini,.
@philoteuslwena3082
@philoteuslwena3082 5 месяцев назад
Bongo naomba namba yako
@HamidaOmar-ub4kb
@HamidaOmar-ub4kb 5 месяцев назад
Kwakiba bado sijaona chajabu ❤❤❤
@yesunialamayakiama.9013
@yesunialamayakiama.9013 5 месяцев назад
😂😂😂😂 Wanafunzi wa Yesu walikaa na mapepo wakawafundisha neno la Mungu😂
@CheniShauri
@CheniShauri 5 месяцев назад
Jamani tu siamini anacho kisema huyu mtu hakika iyo ni shirki tupu tuacheni kumfuata kabisa maneno yake ni tapeli alie jificha kwenye dini
@oyay2821
@oyay2821 5 месяцев назад
Yeye mwenyewe huyu Sule ana pete, muulize ni za kuwasiliana na nani?😊
@salimuismaily693
@salimuismaily693 4 месяца назад
SHEIKH SULE YUPO SAHIHI MBONA HATA VITABU VIMEANDIKA WATU SIJUI KWANINI HAWASOMI.......REJEA HUU MSTARI KISHA TAFAKARI ........Isaya 45:3 nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.
@usrahismail3196
@usrahismail3196 5 месяцев назад
Pete aina hii ni shirk
@upendomtui6544
@upendomtui6544 5 месяцев назад
Yani we ulivyosikia mapepo wanatutii ukadhani ni wanatii mafundisho? Hapana ni wakiambiwa mtoke mtu huyu wanatii na kuwatoka
@johnkisubi8974
@johnkisubi8974 5 месяцев назад
Ubarikiwe sana
@Delux698
@Delux698 5 месяцев назад
Biblia ni msitu mnene, ukiimgia vibaya unapotea.......
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 месяцев назад
Kwa roho mtakatifu...unapigwa tumia akili
@ZATIUNISaidi
@ZATIUNISaidi 5 месяцев назад
Yeye kama shehe angefuatilia maswala ya dini tu،si Leo msanii huyu kesho huyu kabaa nini mara huyu ni mtu wa motoni mara huyu ni pesa zake ,ni haramu mara huyu amevaa ,pete ,sio vizuri kuwasema watu ,mwenyewe anavaa pete na staili anayo nyoa ,si ya heshima na Hakuna mwenye kujuwa mtu wa motoni,na mbiguni ,au peponi Hakuna ajuaye hayo ,tumwachie yeye mungu ,
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 5 месяцев назад
Watoa Komenti Wanachekesha Sana Yani Habari Iko Mtandaoni Eti Wanasema Muulize Izo Pete Zake Alizonazo Sule Vipi Sasa Amuulize Nini Na Mahojiano Yameisha Tayari Na Kuwekwa Kwa Mtandao
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 5 месяцев назад
ushauri wangu kwa ndugu anayemuhoji sule basi amwambie akitoa ushahidi wa qur'an basi azisome aya kama zilivyoshuka(kwa kiarabu)kisha atafsiri akinukuu kwa kiswahili anapotosha,akitaja maandiko ya qur'an anapotosha
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 месяцев назад
Hawezi kusoma kiarabu huyu nae niwalewale wapigaji
@abdallahkaskas6168
@abdallahkaskas6168 5 месяцев назад
Mie Binafsi sijaona anachopotosha wapi, we sema tu Elimu yako ndogo Sule anakuvuruga bc ..
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 5 месяцев назад
@@abdallahkaskas6168 wenae mtu wa budaa
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 5 месяцев назад
@@abdallahkaskas6168 ungekua unajua qur'an usingesema hivi
@SuleKiba
@SuleKiba 5 месяцев назад
😂apo umemwambia
@ginazngo4317
@ginazngo4317 5 месяцев назад
Mashaalla
@Binfaraday
@Binfaraday 5 месяцев назад
Kwa mbali kama Dr sule kakata panki au macho yangu tu
@mohamedothman5792
@mohamedothman5792 5 месяцев назад
Ni kweli mze halaf sio kwa mbali ni Panky
@ludeelectronics
@ludeelectronics 5 месяцев назад
Huyu jamaa anapenda kiki sana huyu
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 5 месяцев назад
Leo nimepata elimu juu ya bibadam na jini
@RehemaMwalami-d7t
@RehemaMwalami-d7t 5 месяцев назад
Hakuna dini yamungu mungu wakweli walimjuwa wazee wetu zamani,ndiomana Dili zilikuja afrika nawalilazimiswa kuzipokea.
@saida5091
@saida5091 5 месяцев назад
Dr Sule kwa nini unadanganya sana.
@SharonAron-t1j
@SharonAron-t1j 5 месяцев назад
Mmh! Huyu ndio mana analaani watu hovyo Suleman alijenga hekalu miaka mia ngapi baada ya Kristo?!!!?!!
@FannySubira
@FannySubira 5 месяцев назад
Towa ufafanuwo kuhusu majini , acha upotofu , kweli majini yapo, ila mwenyezimungu kaweka paziya, yani uko unawafunza watu wakatafute majini ,Allah yupo wapi? Mshirikina kweli ilimu unayo unaitumiya vibaya
@AbdullyJonh
@AbdullyJonh 5 месяцев назад
Utajuaje kama unajini na je utaipataje Pete kama hiyo aliyo vaa alikiba
@PaulLameck-o3s
@PaulLameck-o3s 5 месяцев назад
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
@mwingiramotorcycle5938
@mwingiramotorcycle5938 5 месяцев назад
shee leo kasahau miramid ni makaburi ya mafarao
@joshuayengu3624
@joshuayengu3624 5 месяцев назад
Kwahiyo shekhe unakubali kua jina la YESU linanguvu, lakini hukubali kua YESU ni MUNGU. kivipi mapepo yamuogope nawakati mtume kabla ya kifo aliingiwa na pepo
@MohamedYassini-rf5yo
@MohamedYassini-rf5yo 5 месяцев назад
Aya gan hiyo inasema hivyo ndugu yetu mbona umekurupuka 😅
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 5 месяцев назад
Yesu atakuwaje mungu ndugu wapi yesu alisema yeye ni Mungu embu tupe ushahidi wa kimandiko kasome john 14 28 yesu anasema Mungu ni mkuu kuliko yeye pia kasome john 1 48 yesu anajiita nani embu hivi vitabu vya kuletewa na watu kutoka mbali ni lazma tuvisome tuvichunguze sio kuvibeba kwa nguvu na kuamini tu pasipo kuvifanyia utafiti ndo haya mabishano yasiyoisha umekuta wazazi wanamini basi nasi tunabeba na kuwa wafuasi na hatutaki kusoma na kujua ukweli
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 5 месяцев назад
Pia hata hivyo vitabu sawa yesu kufanya miujiza na jina kuwa na nguvu sio kwa uwezo wake mwenyewe ni kwauwezo wa Mungu ndomana kuna mahali yesu anasema siyafanyi haya ila kama ninavyo amriwa kutoka juu ndivyo nifanyavyo wala siyasemi haya ila kama ninvyoambiwa ndivyo nenanavyo sijui kama haya maandiko unayaelewa ni lazma kuelewa the context ya kinachoelezwa
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 5 месяцев назад
Yesu alilia heloi heloi lamathabatani Mungu wangu Mungu wangu mbona umeniacha sasa haya yesu kama ni mungu alimlilia Mungu gani bro embu tusome maandiko ya kuyafanyia kazi tuyaelewe sio maandiko ya kuletewa tunatavalia pembe kubwa kali na hatujaandika sisi bro ndo utaona watu wanamza kumdharau dr sule kumbe ni watu tumeweke chuki mbele kuliko kusoma na kupenda kufanya tafiti
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 5 месяцев назад
Huyu sule unayemsema vibaya amefanya mengi kuliko wewe na mimi ametumia vitabu kutoa elimu na mihadhara na debates mbali mbali nchi nyingi walao ameeacha nembo wewe n mimi sasa hatuwezi kuka na watu 20 tukaweka mdahalo tunajiona wajanja kujibu kwa kameseji kamoja kwenye comment shida sana
@samuellubunga
@samuellubunga 5 месяцев назад
Wanafunzi wa Yesu awakuwahubiria majini mbali wakati wanawafukuza walikua wanatii hacha kupotosha
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 5 месяцев назад
Sikiliza, pumba acha, mchele chukua.
@OG_The_King
@OG_The_King 5 месяцев назад
Me sina hilo jini tena ushindwe kwa Jina Yesu
@SuleimanDastan-ro2zy
@SuleimanDastan-ro2zy 5 месяцев назад
Bado hujasema we jini unae Kama hautaki minyama 😅😅😅😅
@HoseaNguge
@HoseaNguge 5 месяцев назад
Anazungumzia malaika, Yaani kuna malaika wema na wale malaika walioasi yaan malaika wabaya ambao wanatumika na shetani wanaoitwa majini, ila hakunaga malaika wa mungu anaeitwa jini mwema ila wanaitwa malaika wema
@Famao-dg3ul
@Famao-dg3ul 5 месяцев назад
​​@@HoseaNgugemalaika ni malaika na jini jini na malaika awamuasi Mungu ila majini wanamuasi Mungu na malaika wameumbwa kutokana na nuru na majini wameumbwa kutokana na moto usichanganye
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 месяцев назад
Aisee nimesikiliza hadi nimecheka 😂😂😂😂. Bible haitatafsiriwi hvo jamani hadi natokwa na machozi 😭😭😭😪😪😪😪. Aisee uku kwenye bible hangepaacha tubaki na mambo ya Pete walai 😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪
@spartachize122
@spartachize122 5 месяцев назад
Kuna mahali nilimuona na bodyguards tena kwa mhadhara sikuelewa kabisa
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 месяцев назад
😂😂😂
@tinaminja5500
@tinaminja5500 5 месяцев назад
Shindwa kwa jina la yesu
@sidikassim6759
@sidikassim6759 5 месяцев назад
tangu mlipo SEMA shindwa ktka jina la yesu mwaka wa ngapi huu au miaka mingpi saiv mbna mtu ashindwi
@sidikassim6759
@sidikassim6759 5 месяцев назад
Nyie wandshi wa sasaivi bwana ssa maswali gn unauliza hyo tatzo Lenu nyie wandshi wa ssa wakuchkuana sna mtani yni kuhoji hmjui
@IssaMwamba-kk4ls
@IssaMwamba-kk4ls 5 месяцев назад
Hapo tulekuelew sn.ila kwa Alikiba ukaongea ukweli hukutaka kumzushia uwongo
@princekarani7836
@princekarani7836 5 месяцев назад
Ni kweli ila hajataka kwenda deep,sasa muhandishi naye angelimuuliza kuhusu uyo shekhe Sulle izo pete alizovaa pia zinamaana gani,ingelikuwa vizuri pia
@WilliamJohn-c4y
@WilliamJohn-c4y 5 месяцев назад
Nayeye izo pete vipi atwambie kapewa na jini gani🤣🤣🤣
@kassimussimachanoh6971
@kassimussimachanoh6971 4 месяца назад
firau kwenye ubishi alisema kwa kufuru kuamrisha jengeni mnara ili amuone mungu wa musa wewe tapeli usidanganye watu toka mjinga wewe....
@lulurubby2235
@lulurubby2235 5 месяцев назад
Muulizeni yeye anavaa Pete kwenye kidole cha shahsda
@ananiadamian4597
@ananiadamian4597 5 месяцев назад
Hakuna Maisha mazur nje ya Yesu,Viongoz wa dini ndio wanao Jua Mungu wanae mtumikia waumini wengi ni wajinga, Viongoz vipofu wanaongoza vipofu na wote wata ishia shimon.Msitishwe na mtu anaye sema Mungu shetani naye ni mungu
@Wamoyothenumberone
@Wamoyothenumberone 5 месяцев назад
Madini mdo madini iyoo elimibnaijua baba uko sahihi
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 5 месяцев назад
Pia kuna aya nyingine ALLAH atawauliza majini mbona mmewapoteza wanaadamu ?majini yatajibu tulikuwa tukijunufaisha sisi kwa sisi. Hii aya inatuonyesha hasara ya kushirikiana na majini kikubwa cha kujua juu ya majini ni kwamba hao ni viumbe wa Mungu km ss na wameumbwa kwa ajili ya kuabudu basi wafanye ibada zao na ss tufanye ibada zetu hakuna kushirikiana kwa lolote
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 5 месяцев назад
Ndio Mana Yesu Aliomba Chakula Kutoka Mbinguni Lakini Samaki Wako Duniani
@amyassyassin7909
@amyassyassin7909 5 месяцев назад
Sule rudi ulinganie da'wa ya sawa. Uganga utakupoteza
@KelvinAlex-x2i
@KelvinAlex-x2i 5 месяцев назад
Duh uyu mzee muongo😊😅
@EricManirakiza-g6d
@EricManirakiza-g6d 5 месяцев назад
Dr sule namukubali
@TeresiaNestori-xh9ch
@TeresiaNestori-xh9ch 5 месяцев назад
Aah uyu nimuongo Bibilia gan anayoiongelea ushetani tu umemjaa
@JELSONMAUKI
@JELSONMAUKI 5 месяцев назад
Aisee nimesikiliza hadi nimecheka 😂😂😂😂. Bible haitatafsiriwi hvo jamani hadi natokwa na machozi 😭😭😭😪😪😪😪. Aisee uku kwenye bible hangepaacha tubaki na mambo ya Pete walai 😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪😪
@henrymlenga8991
@henrymlenga8991 5 месяцев назад
WEWE NI MWONGO. YOHANA 6.70 INASEMA KITU TOFAUTI SANA NA UNACHOKIZUNGUMZIA. WADANGANYE WAJINGA
@FocusNyari
@FocusNyari 5 месяцев назад
Ww na ww itakuwa biblia yako ni ZILE za aquarium covvv
@ananiadamian4597
@ananiadamian4597 5 месяцев назад
Hakunaga jini mzur shetani haja wahi kuwa mzur ,Ita kusaidia nn hata ungepewa Dunia nzima iwe Mali Yako alafu nafs Yako ika ishia kuzimu
@iddydawood2020
@iddydawood2020 5 месяцев назад
Jini ni nini na shetani ni nini. Jibu kwa dalili ya vitabu biblia na quran
@hamzaswaibu9470
@hamzaswaibu9470 5 месяцев назад
Tafuta Elimu husiwe mjinga
@Daudisalim71
@Daudisalim71 5 месяцев назад
Soma Bibilia yako vizuri
@HajratHajrat0501
@HajratHajrat0501 5 месяцев назад
​@@hamzaswaibu9470watu wengi wanashindwa kubaini tofauti kati ya Jini na shetani😂😂😂😂😂basi full mvurugano
@yolamally8338
@yolamally8338 5 месяцев назад
Hauko na elimu ya majini
@ginazngo4317
@ginazngo4317 5 месяцев назад
Sisi mwaka wangapi tuko oman wanaume wengi wanataka mtelezo
@Al.habeebAl.habaaib
@Al.habeebAl.habaaib 5 месяцев назад
WEWE MSHIRIKINA MUONGO HAKUNA SIKU HATA MOJA WATU KUPANDISHA MAJINI MISIKITINI PUMBAVUUU
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 5 месяцев назад
Sasa Dr. Sulle mbona kila mara wewe na mashekhe wenzako mmekuwa mkiukashfu sana Ukristo wakati kwa pembeni mna uamini na maandiko yake mna ya amini na kuyafuata?😂
@HabibuUrasa
@HabibuUrasa 5 месяцев назад
Huu ni msiba utajiri anatoa Mungu pekee ALLAH anasema yy anamruzuku amtakaye bila hisabu ukitafuta utajiri wa masharti ukifa motoni. pia haifai kutumia majini kwa lolote ,siku ya kiama ALLAH atawauliza malaika eti nyiye mliwambia wanaadamu wakuabuduni?jibu la malaika ,watasema ww ndiye Mungu wetu na mpedwa wetu sio hawa wanaadamu ,hawa wanaadamu walikuwa wakiabudu majini na kuyaamini hiyo aya hajaiona kwenye Qur'an. hili ni onyo kwa wanaowafuga majini na kuamini wanayokuamuru ukifa kwa hali hiyo ni motoni
@salimuismaily693
@salimuismaily693 4 месяца назад
HATA MTOTO ANATOA MUNGU ILA LAZIMA BINADAMU AHUSIKE KUBEBA MIMBA TAFAKARINI WAISLAM TATIZO ELIMU KIDOGO
@AyoubKhatib-p4k
@AyoubKhatib-p4k 5 месяцев назад
Ukisoma sanaaa kama hujawa makini utakuwa mchawi au mshirikina bila kujijuwa muwe makini wasomi
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 5 месяцев назад
huyu sule si msomi,hili unaweza lifahamu kidogo tuu ukimsikiliza hata kama hukusoma sana
@DismasGeraldi-i2s
@DismasGeraldi-i2s 5 месяцев назад
Nayeye hizo pete Alizo vaa mbona amumuhoji😳🙆
@zuwenasalim2794
@zuwenasalim2794 5 месяцев назад
Umeona eeeee na mm nimehoji waandish cjui wakoje
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku 5 месяцев назад
Mi swali hilo ninalo ajibu kwa mujibu wa vitu viwili Quran na Sunnah,,,,,,n si hoja z kichwa apana ,,,,,,then akifikiwa n hili nmuulize rasulullahi salallahu alayhi wasalam alivaa na kama alivaa makusudio yake ilikua Nini akitupa majibu naweza kaa chini nimskize akiongea la sivyo stori za Jana awache
@kalfanabasi4703
@kalfanabasi4703 5 месяцев назад
Shekhe sule usiingzwe kwenye mitego ya waandshi wasikufanye uzungunzie watu Baki kwenye taaluma yako
@TheBestPhone7918
@TheBestPhone7918 5 месяцев назад
Matangazo ya App za mikopo zinakela jaman kama kuna mdau anajua namba ya fungu matangazo RU-vid anijuze 😊
@musiccaentertainment100k8
@musiccaentertainment100k8 5 месяцев назад
Sasa huyu ndio daktari huko Tanzania 😂😂😂
@hajihaji123-lp5lx
@hajihaji123-lp5lx 5 месяцев назад
ndio,huyo ni daktari wa nguvu za kiume na mambo yake mengine sasa ukimfanya ni sheikh utapotea,si mjuzi katika dini yetu zaidi anafuata akili zake na experience zake na si elimu
@Onlyforfun1992tube
@Onlyforfun1992tube 5 месяцев назад
Njoo Tanzania wewe tuna vipaji una kosa Raha kwakweli sisi tuna watu bana
Далее
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37
Тренеруем память physics drop 103 - 104
00:51
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37