Тёмный
No video :(

MREMBO MSOMI ALIYEAMUA KUKAA KIJIJI CHA KUTOKA SHAMBANI CHA MRISHO MPOTO BILA SIMU KISA KILIMO 

Bongo5
Подписаться 1,2 млн
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Je? unakumbuka kile Kijiji cha Kutoka Shambani Cha Mrisho Mpoto ambacho alikuwa anakitangaza kwamba anatafuta vijana ambao watakubali kuacha kila kitu, simu, mitandao na vitu vingine ili waingie kwenye kijiji cha Kutoka Shambani kwaajili ya kilimo.
Weekend hii Bongo5TV ilitembelea shambani kwa Mrisho Mpoto, Mkuranga na kukutana na binti Anna Fanuel, ambaye ndiye msimamizi wa mashamba ya Mrisho Mpoto amefunguka jinsi alivyoweza kuendesha kilimo huku akiendelea kuwa mrembo.
Anna ambaye alikuwa Miss Arusha na mwanataaluma wa mahabara, amesema anapenda sama kilimo ndio maana kwake ilikuwa rahisi kuacha kila kitu na kufuata ndoto zake.

Опубликовано:

 

23 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 7   
@rosemawia4239
@rosemawia4239 4 года назад
From Kenya🇰🇪 nimekupeda dadangu, pia Mimi napeda sana kulima, nimejifuza kutoka kwako, be blessed
@gabrielmdem4271
@gabrielmdem4271 Год назад
Aseee
@zainabthabit406
@zainabthabit406 4 года назад
I like it she is incredible ispiration
@innocentjoseph805
@innocentjoseph805 4 года назад
Maisha Aya bwahana bac tuyaache tu, dada alikuwa anafanya kazi salon njiro Arusha kwa ndeku, Leo hii 😁😁😁😁😁😁😁😁😁 nimekukumbuka xana but miaka ya nyuma kipindi hicho Niko Arusha ulikuwa mzuri xana, ali sahv najuwa uxhatumika xana dada angu!
@raheemaathumani8663
@raheemaathumani8663 2 года назад
Naomba namba za uyo dada naitaji kulima natamani anipe ushauri
@adolphmarimbo7731
@adolphmarimbo7731 Год назад
Uandishi wa habari huu hauna weledi ,urembo hapa unahusiana na Nini what is the content, wakulima siyo warembo ? Nia ni kuhamasisha kilimo au ?
@allymohamed8658
@allymohamed8658 4 года назад
Mwandishi vichanuo vimeisha nini???
Далее
SHAMBANI TIKITI MAJI NA MRISHO MPOTO
28:51
Просмотров 35 тыс.
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 302 тыс.
МЕГА МЕЛКОВЫЙ СЕКРЕТ
00:46
Просмотров 489 тыс.
MSANII ANAMILIKI SHAMBA LA EKARI 50
30:26
Просмотров 13 тыс.
TAZAMA HAPA MJOMBA ANAVYOLIA NA VIJANA
5:20
Просмотров 10 тыс.
TBC SHAMBANI NDANI YA SHAMBA LA MRISHO MPOTO
28:21
Просмотров 42 тыс.
#JasonStatham being iconic
00:38
Просмотров 302 тыс.