Тёмный

TAZAMA HAPA MJOMBA ANAVYOLIA NA VIJANA 

MrishoMpoto
Подписаться 71 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Jana kwa Udhamini wa kampuni ya mbegu Tanzania East West @east_west_seed_tanzania Seed tulifanya shamba Darasa kwaajili ya kuhamasisha kundi kubwa liingie kwenye Kilimo cha mboga na matunda
Pia kuondoa dhana ya watu kutegemea Ajira za Serikali peke yake..
Namshukuru Mungu sana vijana wengi walijitokeza kuja kujifunza kwa vitendo shambani kwangu.
Nalikumbusha kundi kubwa la vijana,
Kilimo ndiyo njia pekee itakayokuvusha.
VIJANA NJOONI SHAMBANI KUNA LIPA!!!

Видеоклипы

Опубликовано:

 

24 сен 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 4 месяца назад
Hongera asante sana Ubarikiwe sana
@erickavyei9655
@erickavyei9655 3 месяца назад
Sante sana mjombaa
@bonfacemark9048
@bonfacemark9048 Год назад
Mola akuzidishie Mjomba 🙏🙏
@danielmuthui8056
@danielmuthui8056 Год назад
Kazi shega mjomba....Mola akuzidishie
@ellymswahili1409
@ellymswahili1409 Год назад
aAhsante sana mjomba, funzo jema sana
@yahayaallytv2852
@yahayaallytv2852 Год назад
Unafanya kazi kubwa sana kuamsha vijana
@jkkamonya
@jkkamonya Год назад
This is a very heavy message.
@mpokimwasimba
@mpokimwasimba Год назад
Point big Point indeed
@kukumotocomedyofficial4064
@kukumotocomedyofficial4064 Год назад
Support bro
@MaxwellShamala-gz5hh
@MaxwellShamala-gz5hh Год назад
I am much interested to visit your farm and learn more
@zuhurarikosaidi
@zuhurarikosaidi Год назад
Mimi napenda kilimo lakini sijui kulima nafanyaje je kuwa na mtaji na kusimamia inawezekana au ni lazima na mimi nijue kulima
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 Год назад
Natamani nikutembelee Ila haujatupa eneo uliko,Kama ukiona ujumbe wangu naomba unijibu Mjomba
@MethodNdekele
@MethodNdekele 4 месяца назад
unapatikana wapi mjomba
@YassinYassir-ul5hv
@YassinYassir-ul5hv 8 месяцев назад
Nataka kuja kuja funza
@kukumotocomedyofficial4064
@kukumotocomedyofficial4064 Год назад
Tik
Далее
MTOTO WA MRISHO MPOTO AWALIZA VIONGOZI KWA UCHUNGU
17:36
3.5M❤️ #thankyou #shorts
00:16
Просмотров 630 тыс.
Еду за гитарой…
01:00
Просмотров 232 тыс.
HAKUNA NDOA
11:49
Просмотров 232 тыс.
Jakone, Kiliana - Асфальт (Mood Video)
2:51
Artur Arakelyan - Ser Ka
3:02
Просмотров 636 тыс.