Тёмный

MRISHO MPOTO ALIVYO MLIZA MTOTO WA LOWASSA, WIMBO WA MAJONZI ALIO UIMBA 

Mbengo Tv
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 307 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 фев 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 190   
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 5 месяцев назад
Mjomba unajua sana alafu unajua tena. Asante kwa kumuombolezea Lowassa wetu
@nurdinmvellah4032
@nurdinmvellah4032 5 месяцев назад
kipenz chamm lowasa, umeenda bila ndoto yako kutimia, mungu hakutaka na kazi yake Haina makosa . umetimiza ambacho mungu alikuleta duniania. roho yako I mikononi mwa Mungu Amen
@cecyliamosha370
@cecyliamosha370 5 месяцев назад
Mungu akupe pumnziko la milele Mzee wetu Lowasa,poleni sana Wana familia
@ElishaKasekwa-vo2eg
@ElishaKasekwa-vo2eg 5 месяцев назад
😭😭Tuko kwenye dunia ambayo walio kufa hupokea maua mengi kuliko walio hai,, hii ni kwa sababu majuto yana nguvu kuliko shukrani✍📌 inaumiza saana,, itoshe kusema nenda ulale salama kiongozi wetu, japo tumekupa maua mengi baada ya kufikwa umauti😭😭😭😭😭
@user-bx1eo2wc4h
@user-bx1eo2wc4h 5 месяцев назад
Kwakweli😢😢
@user-he5by2hk6p
@user-he5by2hk6p 5 месяцев назад
Ni kweli kabisa na matusi na kebei juu daaah
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 5 месяцев назад
Kwani anasikia?aliyekwisha kufa hana hijala tena.
@odilomwemeziernest646
@odilomwemeziernest646 5 месяцев назад
Mngeyasema haya kubla hajafa ,wakati walimwita fisadi wanadamu baanaa!
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 месяцев назад
Kwahiyo wasimpe maua? Wewe unawapa maua wangapi?
@ruthjapheth174
@ruthjapheth174 5 месяцев назад
Sisemi.uongo lowasa nilikua nampendaa ni baba asiyrkua na majivuno siku zoe ongea yake ilikua ya kistaarabu pumxika kwa aman acha upate heshima zako ulikua hujikweziii
@tuzonyava8306
@tuzonyava8306 5 месяцев назад
Jamani ivi ninani anaekubali kusifiwa kila siku?? Hizi nisifa za mwisho kwani akisha ingia tu kaburini nawatu wakaligeuzia kaburi kisogo basi kilakitu kinakua kimesahaulika😢😢😢 Pumzika kwa amani Lowasa
@sixberthcostantini9290
@sixberthcostantini9290 5 месяцев назад
Pumzika kwa amani mzee wetu lowasa,Mungu ailaze roh yako mahal pema pepon Mungu akusamehe yote uliyokosea hakika wewe ni mwanadam,unakosea pia Tutakukumbuka kwa mengi sana.😢
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w 5 месяцев назад
Mashahallah lkn Anaweza cn mpoto
@user-ik5kz6gh7n
@user-ik5kz6gh7n 5 месяцев назад
Mungu akulaze sehem takatifu ya pendo lake umusalimie magufuli mwambiye bado tunampenda na kumukumbuka nawe tutakukumbuka daima
@user-us4tk2tk3c
@user-us4tk2tk3c 5 месяцев назад
Hakika kazi ya Mungu Haina makosa. Nenda kipenzi cha Watanzania. Vita umevipiga , mwendo umeumaliza na Imani umeishinda.
@user-lu8xw8ho4e
@user-lu8xw8ho4e 5 месяцев назад
Yote anajua mungu watanzania tutakuombea kwamungu lala salama mamba
@nathanmalangalila9791
@nathanmalangalila9791 5 месяцев назад
Maneno yake/ujumbe wake unamtoa mchozi lila anayemkumbuka Lowasa kwa utendaji wake,ni kweli Lowasa alimrithi Sokoine kwa mema mengi.RIP Edward.
@DenisPiter-pn2gj
@DenisPiter-pn2gj 4 месяца назад
Uzuri sana mzee
@wybzokizzy4416
@wybzokizzy4416 5 месяцев назад
Mrisho always touches hearts ❤
@barakamazigo4840
@barakamazigo4840 5 месяцев назад
Pumzika kwa aman mzee wetu lowasa hakk mwendo umeumaliza
@denismasao520
@denismasao520 5 месяцев назад
Mi naona mpoto anagomba siyo njia nzuri ya kufariji
@MathayonkindaManela-fq4uo
@MathayonkindaManela-fq4uo 5 месяцев назад
My country 🇹🇿🇹🇿
@Ghkingdom-qc6cg
@Ghkingdom-qc6cg 4 месяца назад
UNAPOISHI HUWA UNAKUWA UNA UNATENGENEZA HISTORIA UNAPO KUFA HUWA NDIPO HISTORIA YAKO INA ANDIKWA KWA ULICHO FANYA KWA WATU UMEFAULU KUISHI MZEE LOWASA RIP😭😭😭😭
@user-vx6fx8lv6i
@user-vx6fx8lv6i 5 месяцев назад
Poleni Sana jamii nzima
@athanaskipeto572
@athanaskipeto572 5 месяцев назад
Sasa badara ya kuimba nyimbo za kuwafariji muna waimbia nyimbo za kuwa liza wasanii mungu ana waona
@zenazulu370
@zenazulu370 4 месяца назад
Ndio yote sawa hata wakilia ni sawa wamefiwa
@user-bx3kl4hn6j
@user-bx3kl4hn6j 5 месяцев назад
Msiba huu au danc
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 5 месяцев назад
Dansi 😂😂 yan wabongo noma
@rumanyikajoe7038
@rumanyikajoe7038 5 месяцев назад
Mpoto on fire. Sanaa, kwake haijarishi ni wakati gani?
@user-pe3jq4ti8c
@user-pe3jq4ti8c 4 месяца назад
😭😭Poleni sana kwa msiba huo😭😭Mungu amlaze Mahalia. pema peponi😭😭😭 DOCTOR. EDWARD NGOYAI LOWASSA .mwendo ameumaliza😭😭😭😭😭😭😭😭 Mungu awa saidie
@ElliamaniLembirika
@ElliamaniLembirika 5 месяцев назад
Daaaah pumuzika Kwa amani baba yangu ila itoshe kusema tupo dunia ambayo walio kufa upewa maua 🎉 mengi kuliko walio hai😭😭😭😭
@JaneMagabilo
@JaneMagabilo 5 месяцев назад
Naomb, ❤ameci.yanga 0:00
@didah6553
@didah6553 5 месяцев назад
Mwezimungu akulaze mahali pema peponi .akusamee makosa yako uwe mtu wa peponi amina yaarab
@LifaNdege-jc8ny
@LifaNdege-jc8ny 5 месяцев назад
Rest in peace our dady lowasa
@lazarotarimo608
@lazarotarimo608 5 месяцев назад
RIP Mzee Lowasa,Mungu Akipumzishe Mahali Pema Peponi!Ameen.
@alfredbyangwamu9821
@alfredbyangwamu9821 5 месяцев назад
LAKINI HIVI VYA KUFUNGA NYWELE NYUMA KAMA WANAWAKE NA ZA USUSI KAMA WANAWAKE WAKATI NI WANAUME HAVITUBARIKI!!!
@joellenasiramolell-nq8jy
@joellenasiramolell-nq8jy 5 месяцев назад
😂😂😂 Tulikupenda lakini Mungu kakupenda zaidi yetu, Pumzika kwa Amani
@user-mg1rt6br1q
@user-mg1rt6br1q 5 месяцев назад
Kuna watu hapo kipindi anahamia chadema walimsema kwa maneno ya hivyo sana,sasa Mungu kampenda zaidi hutosikia kwenye hotuba ya marehemu Kama aliwahi kuhama chama dah Ulale mahari pema peponi shujaa wa Tanzania
@sophiakimaro5174
@sophiakimaro5174 5 месяцев назад
Mambo ya vyama ni ya hapa duniani tu ndugu.yasikusumbue saana.
@Mjboylucas
@Mjboylucas 4 месяца назад
😂😂😂😂burian kiongozi lala salama tulikupenda mungu amekupenda zaid
@user-qe6xw1id7z
@user-qe6xw1id7z 4 месяца назад
Dah! Inauma sana ila hamna namna,pumzika Kwa aman Jemedal wetu
@user-qw1ce7xv8y
@user-qw1ce7xv8y 5 месяцев назад
Nimesomea hapo Monduli Mazoezi Primary na Irkisongo sec School nikiwa hapo niliabudu kanisa moja na Mh Lowassa alikua mnyenyekevu sijawahi ona.r.i.p my daddy .pia baba yangu aliitwa Edward kama ww .a.k.a Docta Osama ktk hosp ya Monduli nae pia wmetangulia mbele za haki 20,02,2020.
@officialshelomwangole256
@officialshelomwangole256 5 месяцев назад
Aisee
@user-me6hm3su2i
@user-me6hm3su2i 4 месяца назад
God's love more lowasa
@user-kv5du4go3s
@user-kv5du4go3s 5 месяцев назад
Mungu 🙏 muraze malehem lowasa mahali Pema peponi Amina
@bahatilaizer8706
@bahatilaizer8706 5 месяцев назад
😭😭😭 lala pema peponi Baba Wetu Huna pingamizi Kwa watanzania
@SophiRamadhani
@SophiRamadhani 5 месяцев назад
Poleni familia ya Lowasa poleni Watanzania
@user-pv5qz8fw5y
@user-pv5qz8fw5y 4 месяца назад
Turi kupenda sana msalimie mzee wetu Magufuli hakika dunia niwapitaj
@user-gr7bx2fy4m
@user-gr7bx2fy4m 4 месяца назад
😢😢😢😢ooh lowassa rudi rudii💔😭😭😭😭😭😭😭 hii nyimbo inatouch maini adi firigisi uwii r .I.p lowassa
@lukagulagekidehele4379
@lukagulagekidehele4379 5 месяцев назад
Hakika Lwasa mzalendo wa kweli umekwenda moja kwa moja tungali tunakuhitaji tusiyethamini vyeo wala madaraka, bali utu. Ole wao walio wa vyeo, tuone wadumu milele duniani.
@swafiya254
@swafiya254 5 месяцев назад
Angeenda tu Samia 😢😢
@marthamungure1777
@marthamungure1777 5 месяцев назад
Asante kwa kusema ukweli
@bigambopaul
@bigambopaul 5 месяцев назад
Still Rest in Peace 😢
@CareenLukumay-xn3zb
@CareenLukumay-xn3zb 5 месяцев назад
Mungu akulaze mahali pema peponi
@nathanmalangalila9791
@nathanmalangalila9791 5 месяцев назад
Ana kipaji cha amina yake.
@Baruu-vh3xu
@Baruu-vh3xu 4 месяца назад
Mpoto salute
@neemahaule8407
@neemahaule8407 5 месяцев назад
Mrisho mpoto😢
@user-wp3bt6lg7v
@user-wp3bt6lg7v 5 месяцев назад
Pumzika kwa amanii baba ukimwona magufuli mwambie tunalia kila tukikumbuka uwepo wake katka dunia hiii😭😭😭🙏
@user-pv7sk3se8n
@user-pv7sk3se8n 5 месяцев назад
Kila nafsi itaonja umauti safari njema baba yetu🤲tuakuombea dua
@hamzajoeli2431
@hamzajoeli2431 5 месяцев назад
Munguu amlazee mahali pema peponiii
@SalumMfaume-on2ks
@SalumMfaume-on2ks 5 месяцев назад
aende tu
@imransule6429
@imransule6429 5 месяцев назад
Inalilah wainailah rajiuun
@user-uv3wn4wc9m
@user-uv3wn4wc9m 5 месяцев назад
Poleni TU tuko pamoj
@user-mg9fg6vc9w
@user-mg9fg6vc9w 5 месяцев назад
Hapa tumesha sahulishwa kutambua nn! Maana ya kifo!! Maana sijui tunacho kitafakar hapa ni kifoo!! Ngomq?? hatujui tuendako wala hatuujui ugumu wake huko tuendako 50:6 yeremia inna lillah wa inna ilaih raajiun😭😭😭😭😭
@user-lu8xw8ho4e
@user-lu8xw8ho4e 5 месяцев назад
Upinzani kweri ni vita kweri mrimjua. Ila samia mama mungu anamakusudi nawewe ikomboe tanzania mungu anamakusudi na wew
@user-zi6rn1gr3h
@user-zi6rn1gr3h 4 месяца назад
Lala salam Jaman Lowassa 😭😭😭😭😭Arusha tutakkumbuka kwa ukarim wako
@user-hn1ey8wi8h
@user-hn1ey8wi8h 5 месяцев назад
Inalilah wainailah rajuun
@samniza1763
@samniza1763 5 месяцев назад
Ni haki yake kupata matibabu kwa mchango alioutoa na bad treatment mlizompa.
@user-rj3db5jy7h
@user-rj3db5jy7h 5 месяцев назад
R.I.P baba yetu mpendwa tulikupenda ❤ lakini mungu kakupenda zaid pole san mam mjane na wanafamilia wote😂😂😂😂
@sosomokobiasharamgaya3020
@sosomokobiasharamgaya3020 5 месяцев назад
Ishi ulaumiwe 😢kufa usifiweee,RIP LOWASA
@user-vr1ne9ix8j
@user-vr1ne9ix8j 4 месяца назад
Hapa duniani kila kiumbe kilicho umbwa na Allah kitaonja umauti
@jackegidi1583
@jackegidi1583 5 месяцев назад
Pumzika Kwa Amani
@user-ov7ve1gc7h
@user-ov7ve1gc7h 5 месяцев назад
Pumzika kwa Amani baba Mungu mlaze panapostahili
@yohanaibrahim4128
@yohanaibrahim4128 4 месяца назад
Sisi sote ni marehemu watarajiwa tukumbuke hilo
@siriyangu4724
@siriyangu4724 5 месяцев назад
Innalilai wainna illah rajiun poleni 😢
@hoithamacha1503
@hoithamacha1503 5 месяцев назад
Anakipaji hiyo ndia ofisi yake
@eliudmwaipopo2295
@eliudmwaipopo2295 4 месяца назад
Golden Leader Rest in Peace Honor Lowasa
@godfreysadu7209
@godfreysadu7209 5 месяцев назад
Alafile alafile tu hata ukimba na kulia kzi ya mungu haina makosa
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje 5 месяцев назад
Tanesco mpaka kwenye msiba mna kata umeme Tena kwa waziriiii😭😭😭😭😭
@user-nf6qw1kk4d
@user-nf6qw1kk4d 4 месяца назад
Pumzika kwa amani shujaaa polen sana wanafamilia ila msihuzunike sana kaz ya Mungu haina makosa ametangulia tu tutaonana baadae kuweni namatumain
@user-ie3ht7bi8k
@user-ie3ht7bi8k 5 месяцев назад
🎉
@danielmlambo6961
@danielmlambo6961 4 месяца назад
Kiongozi pekee aliyeniliza baada ya kunyang'anywa ushindi nikawa tayari kwa loloye ambalo angeamua kutuelekeza kufanya
@yohanamangela7836
@yohanamangela7836 5 месяцев назад
Pole
@VickyMkwawa
@VickyMkwawa 5 месяцев назад
Pumzika kwa Aman LOWASA
@NaphySky-oq5sy
@NaphySky-oq5sy 5 месяцев назад
Very sad pumzika kwa amani my Dady lowasa
@ManassehJoseph-rz7nj
@ManassehJoseph-rz7nj 5 месяцев назад
Yaani hii nchi dah mpaka ufe ndio usifiwe dah na kutungiwa nyimbo mh
@subiramtoro603
@subiramtoro603 5 месяцев назад
Daaaaah pumzika kwa amani rowassa Ahsante mrisho kwa nyimbo nzuri 😭😭😭
@lydiahbhoke2284
@lydiahbhoke2284 4 месяца назад
Ulikua na hekima rest papa I personally loved you
@chagaboy6858
@chagaboy6858 5 месяцев назад
Imeisha iyo
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 месяцев назад
inna lilahi wainnaa ilaihi rajiuun maiti anaburudishwa wakati hapo anahangaika na ya akhera hana habari ya dunia anaona kama kazaliwa akafariki hajui haamini kama kaishi miaka mia moja
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w 5 месяцев назад
Mashahallah kumbe Alikaa miaka miamoja duuh Mashahallah mungu Ampumzishe kwa Amani
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 5 месяцев назад
@@user-kp6lz7zs1w siwaleo warioba mwenzwe
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 5 месяцев назад
Yani angekua ktk imani yetu tulishaa anza na kusahau msiba.
@ameenaameena422
@ameenaameena422 5 месяцев назад
Miaka 70 bhana
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 5 месяцев назад
Yaani acha tu
@jasminejocta1734
@jasminejocta1734 5 месяцев назад
R,I,p ngoyayi
@judejudithjudie8940
@judejudithjudie8940 4 месяца назад
Duh,lowasa alifariki lini
@joss.nkilio.3537
@joss.nkilio.3537 5 месяцев назад
Pumzika Kwa Amani Mzee wetu😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@makrinakomba7767
@makrinakomba7767 5 месяцев назад
Rest easy mzee wetu,,,ulipambana sana
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 5 месяцев назад
Tusikufuru Mungu kavuna Mavuno yake mwenyewe sisi ni mbegu tyuu
@aqbizyaugust8919
@aqbizyaugust8919 4 месяца назад
Mpoto ni mnafki
@happynkya9770
@happynkya9770 5 месяцев назад
daaah pumzika kwa amani lowasa
@paulmisalaba3364
@paulmisalaba3364 5 месяцев назад
Wanaume tunakufa mapema kuliko wake zetu
@dagashenko8951
@dagashenko8951 5 месяцев назад
Iko wazi iyo anko sisi ndio wakwanza kutangulia 🥺😢
@Namtumbo
@Namtumbo 5 месяцев назад
​mpango wa Mumgu
@user-cp7fv4iu5o
@user-cp7fv4iu5o 4 месяца назад
Pumzika kwa amani kipenzi cha watanzania
@lamackjoh2976
@lamackjoh2976 5 месяцев назад
Kuna Wana wapo hapo wanaselfika tu🥲
@mrambadiana9678
@mrambadiana9678 5 месяцев назад
Alafu midume wanaume wa Dar kazi sana
@GetrudeRashid-be8bs
@GetrudeRashid-be8bs 5 месяцев назад
Jmn muwe mnaimba nyimbo za Mungu,,illi iwe faraja Kwa familia😅
@farajamoses9085
@farajamoses9085 5 месяцев назад
R.i.p my super hero 😢
@user-db3pi5qg1g
@user-db3pi5qg1g 5 месяцев назад
Wasanii imbeni nyimbo za faraja sio za kuwaliza wafiwa
@user-rx6zz6sx8c
@user-rx6zz6sx8c 5 месяцев назад
Dunia mapito pumzika kwa amani Lowasa😢
@user-wp1gw3wx5l
@user-wp1gw3wx5l 5 месяцев назад
Shujaaa
@EmmanuelMlonganile-wl1dz
@EmmanuelMlonganile-wl1dz 5 месяцев назад
Ibaki tu kusema rest in peace our leader 😢😢😢😢
@user-gl8zm4mx6k
@user-gl8zm4mx6k 5 месяцев назад
each spirit will taste death,,, innalillah wainnalillah Raajun , tulitoka mavumbin na huko tutarud tena tangulia baba tupo nyuma yako tutaonana baadaye, still rest in paradise
@yohanampenda443
@yohanampenda443 5 месяцев назад
Upuuzi mtupu ya Dunia ubatili mtupu
@user-vr1ne9ix8j
@user-vr1ne9ix8j 4 месяца назад
Kikubwa kuombeana dua ili kua na mwisho mwema
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 5 месяцев назад
Duniya ukiiwacha ndo unapata sifa sio Tanzania pekee acheni kejeli. Ukiona sawa sifu ukiona vyenginevo sepa
@official_neemamlay180tz
@official_neemamlay180tz 4 месяца назад
😢😢
Далее
▼ЕГО БОЯЛИСЬ МОНГОЛЫ 🍣
32:51
Просмотров 328 тыс.
My Puzzle Robot is 200x Faster Than a Human
21:21
Просмотров 8 млн
MRISHO MPOTO AMLIZA WAZIRI NAPE
9:02
Просмотров 165 тыс.
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27