Тёмный

Msigwa Aichakaza CHADEMA | Ayaanika Mapya ya Mbowe Hayajawahi Kusemwa 

Focus Digito TV
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 4,5 тыс.
50% 1

Mch. Peter Msigwa Atema Cheche kwa mara ya kwanza baada ya kupokelewa rasmi na Wananchi, wanachama na viongozi wa CCM Mkoa wa Iringa.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Msigwa azitaja sababu zote zilizomfanya aondoke CHADEMA, amuita Mbowe "Mr. Nkurunziza", asema CHADEMA sio Chama cha Siasa bali ni SACCOS ya mtu.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV
...
MCHUNGAJI MSIGWA AMVAA MBOWE kwa MARA ya KWANZA MKUTANONI kwa CCM - AFICHUA MADUDU YOTE
MSIGWA WA CHADEMA AIBUKIA CCM RAIS SAMIA AMPOKEA
Msigwa Aripoti CCM Iringa Mjini | Aahidi Kuitumikia CCM kwa Nguvu Zote kama Alivyokuwa CHADEMA
MSIGWA AMLIPUA VIBAYA MBOWE BAADA ya KUHAMIA CCM - AFICHUA MADUDU ya CHADEMA - ''HATUNA
CHADEMA Iringa Watoa Tamko na Msimamo Sakata la Msigwa Kuhamia CCM "Aache Kuitaja CHADEMA"
MSIGWA AFUNGUKA SABABU YAKUITOSA CHADEMA KUHAMIA CCM "MIMI NI MTU MZIMA"

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@rajabuadriano6620
@rajabuadriano6620 Месяц назад
Msigwa Karibu sana CCM
@goodlucktarimo6170
@goodlucktarimo6170 10 дней назад
Njaaa mbayaa sana
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 Месяц назад
Angeshinda uchaguzi Kanda ya nyasa asingehama
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Месяц назад
Safi sana mh Msigwa
@user-bl3go5yr8u
@user-bl3go5yr8u Месяц назад
Utakuwa namajigambo na amani hapo ulipo tu,ila ukitoka hapo huna amani nje na ndani ya nafsi yako
@SamsonMyamba-hy9eo
@SamsonMyamba-hy9eo 26 дней назад
Ccm oyeeeee
@RajabuKibwana-ol4ud
@RajabuKibwana-ol4ud Месяц назад
Msigwa oyeeeeeh
@evelynmwaimu-vd9jo
@evelynmwaimu-vd9jo 25 дней назад
Hovyoo
@rajabukitego1662
@rajabukitego1662 Месяц назад
Achana,na,chadema,ongea,Sera,za,ccn😊
@user-vp1zu3fb5w
@user-vp1zu3fb5w 28 дней назад
TAPELI LA KISIASA
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi Месяц назад
Mbona huko uliko kwenda ni saccos ya watu Fulani tu wapwani,,wenye kufikiri hawababaishwi ,ngoja inyeshe tuone panapovuja
@isackmtawa15
@isackmtawa15 Месяц назад
We mwongo tu
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 Месяц назад
MwenyeziMungu amlaze mahali pema Nelson Mandela, alitokea kwenye familia Bora naalikuwa naelim nakazi nzuri lakini aliacha Raha zote akaamua kuwapigania masikini naakakubali kukaa Gerezani ili taifa likombolewe
@ahadimahenge3845
@ahadimahenge3845 Месяц назад
Kwa maana ya ulaji wako msigwa umewini Ila kisiasa umeferi sio kidogo sana tuu haaàaa mnyalukolo😂😂😂😂😂
@heavenkimambo1318
@heavenkimambo1318 11 дней назад
Sema matatizo ya chama ugomvi wako na m/kiti hayatuhusu kaa kimya
@user-ef2ln1mx3s
@user-ef2ln1mx3s Месяц назад
Msukuma ni msomi kuliko msigwa
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d Месяц назад
Mbona chadema wanaisema ccm hawatangazi sera zao Kazi Yao kutukana tu
@Ommyblacktz13
@Ommyblacktz13 28 дней назад
Mchumia tumbo huyooo😂😂😂
@frankcharles3980
@frankcharles3980 Месяц назад
HUO NDO MWISHO WAKO WADANGANYE HAO MATAHIRA WASIO JIEREWA
@musamgeni5814
@musamgeni5814 Месяц назад
bwege tu
@Kanyawela
@Kanyawela Месяц назад
Hapa ndo Rowasa atakumbukwa sana kwa heshima aliyoiacha Ccm na chadema
@OlekitamwasMokotio
@OlekitamwasMokotio 26 дней назад
Ww nimalaya musehe Haina loloke ccm nini
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 Месяц назад
inaskitsha msgwa amekuwa mbeba mabango ya laisi duu
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Месяц назад
Ha haaaaaaaaa Umepasua jipuuuuu
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Месяц назад
Wewe ongea ushauri utakao mpa rais kuhusu tozo,,kupanda kwa mafuta na ugum wa maisha yetu hayo ya chadema uachane nayo ukiachana na mke ukaanza kumpakazia kuwa alikuwa na madhaifu huo ni ujinga na kujiabisha mwenyewe
@user-zg1lx6du6p
@user-zg1lx6du6p Месяц назад
Wee ndio una uozo kukosa madaraka tu ndio ulete yote hayo omba cheo acha kuponda wenzio
@Peterchipemba
@Peterchipemba Месяц назад
Ivi kati ya msigwa na josephu msukuma nani mwenya akili,,
@GodfredAlfredNgarama
@GodfredAlfredNgarama Месяц назад
Msigwa wewe unafanana na mwanamke anayeachika na kuanza kutoa siri za ndani hata ccm asikuhusishe siri za chama ipo siku tena utatoka nje tena na kuanza kusema siri za ccm, wewe huaminiki hata kidogo ni mda wa ccm kuchukua tahadhari
@MutalemwaBiashara
@MutalemwaBiashara Месяц назад
Musigwa mbona utwambii alingumu turionayo na kingine unasema utarii utwambii faida yabafari kigine wesilituganya kumbe na wewe undanganywa lakini ujue nijaa tu iyo inakusubua
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Месяц назад
Tena wewe ikitokea ukawa rais utakuwa kama akina kagame maana hutaki kukaa bila cheo ulipokuwa na vyeo hukuhama baada ya kukosa kura hayo madhaifu ya chadema ndio umeyaona huna jipya na huko ulikoenda hutatoboa
@user-ue2nz3vc4j
@user-ue2nz3vc4j Месяц назад
Mbowe siri zako zasemwa hadhariani huku nenda mahakamani mhehe atakumaliza kisiasa huyu...😂😂
@obinasimbeye1750
@obinasimbeye1750 Месяц назад
Hamna kitu kwa mhehe huyo anasubiri uteuzi tu hapo. Hajajua watu wanataka habari za maendeleo anadhani kusema watu ndio mtaji amekwisha Bora aanze kumfagiria mama amkumbuke kwenye ufalume. Wake kuliko anachokifanya leo, wakati alipokuwa anakula alikaa kimya
@AllanLyombile
@AllanLyombile Месяц назад
Msigwa,Msigwa,Msigwa ni wewe au ni mwingine? ama kweli tamaa ya pesa ni chanzo cha mabaya yote, vipi uliacha uchungaji?
@halimamasai2234
@halimamasai2234 Месяц назад
Hakuna cha tama wala och nini kawachoka masacos huku kuna maendeleo kwenu kuna matusi hakuna sera 🤣🤣🤣🤣
@AllanLyombile
@AllanLyombile Месяц назад
@@halimamasai2234 Ukichukuwa umri wa nchi tangu ipate uhuru mpaka sasa ukalinganisha na hali ya maendeleo ya nchi ilivyo havilingani hata kidogo,labda mtoto wa dalasa la chekechea unaweza ukamdanganya kuwa kuna maendeleo yamefanyika.
@stevenjackson4985
@stevenjackson4985 Месяц назад
​@@AllanLyombilembona Chadema hawajaonyesha uwezo wa kuweka sawa ikishinda wakati wao kwa wao Kuna ufisadi?
@AllanLyombile
@AllanLyombile Месяц назад
@@stevenjackson4985 Mtoto aitwae Tanzania tangu azaliwe 1961 hadi sasa ana umri wa miaka karibu 63 lakini ukimuangalia ndio kwaaanza anajifunza kusimama au kutembea swali ni nani aliyemubemenda huyu mtoto? kwahiyo Msigwa anaenda kuwaunga mkono waliolibemenda Taifa hili? AACHE KUJIITA MCHUNGANI.
Далее
ФОКУС -СВЕТОФОР
00:32
Просмотров 84 тыс.
Sowunmi Queries NNPCL Over $6bn Debt To Oil Marketers
21:39