Тёмный
No video :(

Msigwa Aripoti CCM Iringa Mjini | Aahidi Kuitumikia CCM kwa Nguvu Zote kama Alivyokuwa CHADEMA 

Focus Digito TV
Подписаться 32 тыс.
Просмотров 9 тыс.
50% 1

Mchungaji Peter Msigwa ameripoti rasmi katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Iringa Mjini ikiwa ni siku chache zimepita tangu aachane na CHADEMA na kujiunga na CCM ambapo amepokelewa kwa shangwe na kufanya mazungumzo maalum na viongozi wa Kamati ya Siasa ya CCM katika ofisi hizo.
Wakati akizungumza mara baada ya kupokelewa katika ofisi za CCM Iringa Mjini Julai 09, 2024, Mchungaji Msigwa amesema kuwa yupo tayari kutoa ushirikiano wa kutosha ili kuwaonesha wananchi ni kwanini wanatakiwa kumuunga Mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa juhudi kubwa anazofanya kuiletea maendeleo Tanzania.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV
MSIGWA AFUNGUKA SABABU YAKUITOSA CHADEMA KUHAMIA CCM "MIMI NI MTU MZIMA
MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA BAADA YA KUJIUNGA NA CCM, ATAJA SABABU ZILIZOMFANYA AONDOKE CHADEMA.
MBOWE na LEMA WAMLIPUA VIBAYA PETER MSIGWA - WAMWITA MSALITI - WAFICHUA ALICHOKIFUATA
DR.SLAA ANAONGEA SAKATA LA MSIGWA KUHAMIA CCM ZAKARIA OBAD WA CHADEMA KUFICHUA MAZITO
MSIGWA WA CHADEMA AIBUKIA CCM RAIS SAMIA AMPOKEA

Опубликовано:

 

8 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 92   
@omarysheha-lc3cu
@omarysheha-lc3cu Месяц назад
Pesa za Mama Abdul zinfanya kazi
@adenmwakalobo760
@adenmwakalobo760 Месяц назад
Duuuh kweli nchi imeharibika, watu wanajiuza mchana kweupe bila chembe ya soni eti "badala ya ku-compete, kwa nini nisi-collaborate" kumbe kanunuliwa! Yeyote aliyedhani tunauongozi, aanze kujua kwamba kila kitu kimeparaganyoka walioko madarakani kazi yao ni kuhonga watu ili wakae madarakani, basi!! Hatari kubwa...
@OswadSanga-hb2vi
@OswadSanga-hb2vi Месяц назад
Unaona aibu wewe kwa mungu huendi
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Месяц назад
Huna sela ww kwendaaa
@HulumaKisakali
@HulumaKisakali Месяц назад
Mungu anakuona
@piusjuma7384
@piusjuma7384 Месяц назад
Jimbo tayr Lina mtu ucje ukafikr utachukua jimbo
@jumakisailo8496
@jumakisailo8496 Месяц назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@cosmaswilliam3805
@cosmaswilliam3805 Месяц назад
😮
@erickmsigala138
@erickmsigala138 Месяц назад
Unanuka mavi Mungu utakupiga kipigo hutaamini maisha yako pesa na vyoote ni vya muda tu cheo cha dhuluma ni laana imeikaribisha nyumbani kwako.
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 Месяц назад
We nan? Mavi ya popo ww? Achana na Msigwa kabisa endeleeni kukalia mawe ya kikabila hayo ni upuuzi kubaki chama cha wanywa mbege
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 Месяц назад
Mie na familia yangu tulikuwa wafuasi wako ila kwa sasa bye see you sina urafiki na msaliti yaani wewe umeenda kufuata cheo na vipande 30 ukaacha kuwa sauti ya wasio na sauti. Na umekubali kufa kisiasa. RIP
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 Месяц назад
MSALITI MBOWE HAYO MANENO PELEKA KWA MBOWE MWENYEKITI GANI WA KUKAA MADARAKAN MIAKA 30??? ACHA POROJO ACHA POROPAGANDA
@adammbuba7230
@adammbuba7230 Месяц назад
Safi sana msigwa
@user-wz3ne2kc3o
@user-wz3ne2kc3o Месяц назад
Mzee ameanza kumtukuza mama,😮
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Месяц назад
yaani shavu limenona muda mfupi kweli pesa za Samia zimefanya kazi
@user-zg4yz7je8d
@user-zg4yz7je8d Месяц назад
Limekaa kama msukure pumbavu zako msariti usiyekuwa na haya na unatumia jina la kudharilisha uchungaji
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Месяц назад
Msigwa umejidhalilisha, unatembea bila suti. Rushwa na njaa imekudhalilisha.
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 Месяц назад
Katoka Mwenyewe kwa Pesa za Mama tu
@gloriamichael7935
@gloriamichael7935 29 дней назад
Mkimbizi mpooo❤
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
Safi sana Msigwa, umeachana na chama cha kikabila, kidini na kikanda
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq Месяц назад
Yaani wewe huna lolote kuiamini ccm ni sawa na kumwamini shetani tutakukubari huyo mama yako akitupatia katiba mpya
@user-rl6vf9tg8m
@user-rl6vf9tg8m Месяц назад
Mmmmmmmmmmmh huyo ni msingwa au sion
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Месяц назад
Huyu jamaa akachunguzwe akili sio mzima. Hafai hata kuonekana mbele ya Watanzania
@Peterchipemba
@Peterchipemba Месяц назад
Unakwepa mavazi ya ccm
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Месяц назад
Unadhani hatavaa?
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Месяц назад
Hofu imtawale huyu msaliti kwajina la yesu
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Месяц назад
Hiyo ndio ccm utatumika baada ya hapo-------
@saidmushehe
@saidmushehe Месяц назад
Hizi ni Sasa za Tanzania ...Mm Wala sisashangai
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Месяц назад
Jamaa linasema ccm oye huku limekunja ngumi hili niliana Chadema kabisa wana ccm tustukeni
@geofreykasinda1895
@geofreykasinda1895 Месяц назад
Yani watanzania bado atuja amuwa, kama tungeamka hawa ccm wasinge kuwepo madarakani
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Месяц назад
Msukuma alisema kweli kabisa huyu ni zaidi ya shetani kabisa, huyu kakubali kununuliwa kwa vpande 30 vya fedha.
@piusmdoe3200
@piusmdoe3200 Месяц назад
Umeshindwa kusoma nyakati na majira. Ungesubiri tusingesema ni baada ya kukosa.
@willykomba8376
@willykomba8376 29 дней назад
NJAA Mweee 😢
@dennisungonella205
@dennisungonella205 Месяц назад
Haahaa msigwa kafilisika, kafuata mlo ccm😂😂
@MathewsSikazwe-up4qd
@MathewsSikazwe-up4qd Месяц назад
watz kweri kabisa nikichwa Cha wendawazim, watu wanawaza Leo tu kesho ni Giza Totoro hatari Sana.
@samsonogunde4508
@samsonogunde4508 Месяц назад
Mchungaji hata Aibu huna
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Месяц назад
Mhhh hata haibu hana,ni ufisadi tu
@giftkalenge418
@giftkalenge418 Месяц назад
kama yuda vile nahisi atajinyonga Kwa usaliti
@ramawilson3709
@ramawilson3709 Месяц назад
Umekuwa lipumbavu kwelikweli
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
ms igwA lost darection why no confidence on ccm as the powerforce msigwA was before even voice that moray msigwA was in chadema is the different msigwA we know him that anounciment all political party attend his first meeting in lringia home place msigwA lost popularity l don't think so if chadema will attend that call for msigwA to leasening him on thouse opposition leader l don't think so number 2 ccm has got no problem of politician problems of ccm reality underground speak reality underground wich msigwA cant be free wil be Force and control by ccm what to say with limit hapo ndipo patakapo mkwaza msigwA kupangiwa cha kusema na kuwa monitor maneno ya kusema ndani ya ccm tofouti km angekuwa 4:33 upinzani chama kingine angelikuwa na nguvu
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 Месяц назад
Msigwa umesikitisha watanzania ..umekuwa msaliti wa ajabu ajabu .. hatuamini machoni mwetu ..ila pigo likukute kama farao katika biblia ..leo unaonekana na kujidhalilisha kisa cheo..kumbe kupigania kwako haki za wanachi ilikuwa geresha bali wataka cheo ..Hakika hustahili hata huko CCM muwe nae makini msimwamini kirahisi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Месяц назад
Chama mbogamboga cha kusomba watu kuwapikia wali haragwe cha machawa umeacha kupigania haki utalaaniwa
@bazilmateru915
@bazilmateru915 Месяц назад
Gen z ya Tanzanian
@user-xx1je7sy4h
@user-xx1je7sy4h Месяц назад
Tayari kishakuwa chawa pumbavu zako mbwa wew
@saidybhoky-lb7hg
@saidybhoky-lb7hg Месяц назад
😂acha njaa kaka
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn Месяц назад
Chadema imekupendezesha wewe na imekutoa mbali
@aloycemisigalo3983
@aloycemisigalo3983 Месяц назад
Ukaribisho wa watoto, wewe ni hovyo kabisa, njaa mbaya sana.
@user-zu8ou2oe4c
@user-zu8ou2oe4c Месяц назад
Huna lolote unawaalika chama chako cha zamn nani aje kukusikilxa ww mpuuz
@majidimussa8678
@majidimussa8678 Месяц назад
mbona nyuma yke kuna kamanda kavalia nguo ndan
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp Месяц назад
Mbona kama wapambe ni wanafunzi wa sekondari?
@user-jo9gp5tb9w
@user-jo9gp5tb9w Месяц назад
Wewe nimsaliti mkubwa unakua kma vile unakua wakike
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Pyeerrerrrrrr
@adeltuszakumuha9618
@adeltuszakumuha9618 Месяц назад
Shenzi
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 Месяц назад
Jamaa kangara sura 😂😂😂😂
@AizackKalenge-ro5rc
@AizackKalenge-ro5rc Месяц назад
Msigwa unadhani utaibomoa Chadema?
@salumbujjo2320
@salumbujjo2320 Месяц назад
Anaongea ila moyoni anaumia sana huwa uovu ni ugongwa ukubwa kuliko magonwa ya kuumiza
@MichaelMwasese
@MichaelMwasese Месяц назад
Kumbe njaa mchungaji wa ,mchongo kama ww na yuda esc mtakuwa kun za kuchomea wengineo
@OdiloMagungu-uf5is
@OdiloMagungu-uf5is Месяц назад
Mzee umekwisha
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
🐍
@apostlejacksonkalinga5191
@apostlejacksonkalinga5191 Месяц назад
Hii ndio siasa
@knight6757
@knight6757 Месяц назад
@@apostlejacksonkalinga5191 njaaa
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Месяц назад
Mtaogea kila siku ccm haifai mpka mnakufa mnaiacha ccm inaogoz tu naimani na hilo
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 29 дней назад
Umekwisha kisiasa ww? Lushwa imekuponza
@giftkalenge418
@giftkalenge418 Месяц назад
kuuza badar
@kingmichael1234
@kingmichael1234 Месяц назад
Msigwa ni cartoon comedian hafai
@mgungulem3187
@mgungulem3187 Месяц назад
Ms#nge
@makobamasawemangu4122
@makobamasawemangu4122 Месяц назад
Mbona kama naona kunalijamaa limevaa tisheti ya Chadema hapo nyuma
@samwelmatemu8873
@samwelmatemu8873 Месяц назад
Huyu hana muda mrefu wa kisiasa eti huyu ni mchungaji
@Aida-qh3jq
@Aida-qh3jq Месяц назад
Fanya kazi msingwa acha waseme usiku na mchana
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Месяц назад
Wale wanataka kumuunga mkono Msigwa, wamejinyea.
@GaradiGaradi-zq1wf
@GaradiGaradi-zq1wf Месяц назад
Umepata ajali ya kisiasa uchawa wako ukiupeka ccm umeisha hao wanajuana.
@lucksonsikaona505
@lucksonsikaona505 Месяц назад
Mukundu kabisa msgwa wewe ni motoni ya jehenamu
@user-ig5yn4zp2u
@user-ig5yn4zp2u Месяц назад
Wewe unasiasa za kinafiki shida njaa kali
@philipongenzatv
@philipongenzatv Месяц назад
Nimecheka halina Aibu
@user-qy9fj3yo2t
@user-qy9fj3yo2t Месяц назад
Mbona kama hayuko serious Nina mashaka naye
@timothchidebwe
@timothchidebwe Месяц назад
Siwezi .Kuna .kumsikiliza .mwehu
@user-bz3kk5te4m
@user-bz3kk5te4m Месяц назад
Kazi ipo hapo na Wana ccm wenyewe
@stevenibrahimu326
@stevenibrahimu326 Месяц назад
hata sura inaonyesha mnafiki sana
@user-fx4pr4vp8p
@user-fx4pr4vp8p Месяц назад
Hana aman
@christophersimoni1434
@christophersimoni1434 Месяц назад
pimbi wewe😅😅
@user-md4ui2qw5n
@user-md4ui2qw5n Месяц назад
Yuda msigwa mkundu wako
@joachimkalungwana8654
@joachimkalungwana8654 Месяц назад
Na za ziara za Mwanza ikoje mbona husemi
@ZuhuraMarande-fl2zw
@ZuhuraMarande-fl2zw Месяц назад
Kinyambe😅😅😅😅😅
@KamwandaNzowa-eo4ur
@KamwandaNzowa-eo4ur Месяц назад
Duuuuu!!!
@user-nf1tg3kt3y
@user-nf1tg3kt3y Месяц назад
Mkundu wako uliojaa mavi mpumbavu sana wewe yaani huna tofauti na Malaya anaotembea na kila mwanaume
@huyu1993
@huyu1993 Месяц назад
Malaya unamjua ?
@sadamshantiwa9749
@sadamshantiwa9749 Месяц назад
Zakayo
@rahmazahor4333
@rahmazahor4333 Месяц назад
Msigwa oyeeeer
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 Месяц назад
Mpumbavu mkubwa
@ngurukitv4584
@ngurukitv4584 Месяц назад
Looking good follow back done 🇱🇷 ✔ 👍 ❤❤❤❤❤❤
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 Месяц назад
Safi sana msugwa
@brunomirambi8792
@brunomirambi8792 Месяц назад
MSIGWA UNAJUA SANA AKILI KUBWA
Далее
Get 10 Mega Boxes OR 60 Starr Drops!!
01:39
Просмотров 11 млн
아이스크림으로 진짜 친구 구별하는법
00:17
Nani Atagombea Urais CHADEMA 2025?
3:59
Просмотров 4 тыс.
Biden's Decision: Adela Raz (interview) | FRONTLINE
1:05:53