Тёмный

CHADEMA Iringa Watoa Tamko na Msimamo Sakata la Msigwa Kuhamia CCM "Aache Kuitaja CHADEMA" 

Focus Digito TV
Подписаться 31 тыс.
Просмотров 28 тыс.
50% 1

Viongozi CHADEMA Iringa Mjini wakiongozwa na Mwenyekiti wao Frank Nyalusi Wametoa Tamkon lao huku wakielezea msimamo wao juu ya Sakata la Mchungaji Peter Msigwa kuachana na Chama hicho na kuamua kujiunga na CCM.
"yeye ameachana na CHADEMA, aache kuitaja" -Amesema Frank Nyalusi.
Subscribe (Focus Digito TV) ili usipitwe na Video mpya zinazotoka kila siku.
Focus Digito TV inakupa Maudhui Mazuri yanayohusu Habari, Elimu, Mitindo ya maisha, Michezo na Burudani.
Focus Digito TV is here to provide you with contents about News, Education, Lifestyles, Sports and Entertainments.
#FocusDigitoTV
..................
Tufuatilie Zaidi kupitia:
INSTAGRAM, TIKTOK, FACEBOOK, TWITTER (X), THREADS NA GOOGLE WEBSITE YETU YA FOCUS DIGITO TV
Focus Digito TV is one of the best info-edu-tainment Online Media conveying contents for the Public Interest.
Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing
We Love You | Tunakupenda
Regards
Team FocusDigitoTV
MCHUNGAJI MSIGWA AFUNGUKA BAADA YA KUJIUNGA NA CCM, ATAJA SABABU ZILIZOMFANYA AONDOKE CHADEMA
MSIGWA AMLIPUA VIBAYA MBOWE BAADA ya KUHAMIA CCM - AFICHUA MADUDU ya CHADEMA - ''HATUNA
MSIGWA AFUNGUKA SABABU YAKUITOSA CHADEMA KUHAMIA CCM "MIMI NI MTU MZIMA
DR.SLAA ANAONGEA SAKATA LA MSIGWA KUHAMIA CCM ZAKARIA OBAD WA CHADEMA KUFICHUA MAZITO
CHADEMA waionya CCM baada ya kumpokea Mchungaji Peter Msigwa.

Опубликовано:

 

4 июл 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 90   
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 8 дней назад
Chadema nichuo kikuu mungu ibariki Chadema naviongozi ote wachadema ote
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 7 дней назад
Toka lin?
@eliaskhamis1546
@eliaskhamis1546 8 дней назад
Umenena vyema sana Mwenyekiti NYALUSI
@hamisimuhunzi7916
@hamisimuhunzi7916 6 дней назад
hakuna mwanachama makini anayeweza kuama chama kumfuata mtu. Msigwa kamfuata mama kesho mama hayuko atarudi chadema!!??
@richardmakweta8875
@richardmakweta8875 7 дней назад
Mungu awabariki Sana Wana lringa mjini kupigania haki kunahitaji moyo imara Sana ,Nchi hii inahitaji ukombozi wakina ,Mungu awatetee watu wake
@kagombaEnok
@kagombaEnok 8 дней назад
Safi sana Nyalusi tena wewe ndo unafaa kuwa mbunge wa jimbo hilo la Iringa mjini baada ya huyo mroho wa madaraka kukisaliti chama
@edsonkahesi8603
@edsonkahesi8603 8 дней назад
Kamwene Iringa, nashukuru kuona bado mko imara sana, nawasilimu kutokea Bukoba.
@andrewassey5108
@andrewassey5108 9 дней назад
Msigwa ni msaliti aishie mbaliiiiii
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 8 дней назад
Safi Sana kamanda
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 8 дней назад
Ubarikiwe sana Mwenyekiti
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 9 дней назад
Mmeni furahisha sana hongereni
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 8 дней назад
Asante kiongoz
@efatauroki867
@efatauroki867 9 дней назад
Muhongeaji yuko vizuri inaonekana uyu jamaa akawa no1 tz kwa kutetea wanyonge ila hajapata chaneli tu
@ofreyking5975
@ofreyking5975 8 дней назад
Safi sana msigwa mroho wa madaraka aende zake alishindwa had uchungaji
@tumainikibona5252
@tumainikibona5252 8 дней назад
Nyalusi uko imara sana hongera
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 8 дней назад
Unaweza ukaanza vizuri ukamaliza vibaya Kwa haya mateso ccm wanayotutesa na musigwa anaenda kuwafunga mkono huu uchungajiwake umevamiwa na shetani asipofunga na kuomba majibu mutayaona
@salummohamed2689
@salummohamed2689 8 дней назад
Wana Iringa hakikisheni Msigwa ajione kuwa CHADEMA haikuwa yeye. Ni msaliti ameshikwa matiti tu kalegea, akavulie gauni lake huko alikoenda.
@AthumanDauda
@AthumanDauda 5 дней назад
Point kubwa
@VedastoKiungo
@VedastoKiungo 8 дней назад
Nimekuelewa mzee
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 8 дней назад
Wana Iringa Msigwa alikua chain ya viungo vingi,na mnyororo mmoja ukikatika chama kinaunga tena mwingine, kinaendelea...mbinu zozote za ccm za vitisho, hongo,utekaji,nk ili kuua vyama haitafanikiwa!
@leoncebenjamin8107
@leoncebenjamin8107 8 дней назад
Safi kabisaa
@isackphilipo9870
@isackphilipo9870 8 дней назад
Safi sana Mwenyekiti
@abbiecox1
@abbiecox1 6 дней назад
MBONA CDM WANAITAJA CCM! MUACHENI MSIGWA ASEME NINYI ENDELEENI NA YENU
@leodgardotmar7198
@leodgardotmar7198 9 дней назад
Iringa msituangushe, vanya lukolo
@onesmomasala-rg2wd
@onesmomasala-rg2wd 22 часа назад
Nimekuelewa kaka vizuri sana
@jmastertz161
@jmastertz161 8 дней назад
aende tu yule kwanza mubifsi sana yule
@AnordKirizestom
@AnordKirizestom 9 дней назад
Nataka kadi ya chama naipataje? Nipo mkoa wa kagera wilaya muleba namba yangu ni 0657952339
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 8 дней назад
Hongera Sana Anord Kwa UZALENDO wako, wewe una Kili kubwa ndiyo maana umetambua kuw CHADEMA ndiyo chama cha siasa pekee IMARA nhini kuing'oa ccm na CCM inajua hivyo ndiyo sababu inazuia Katiba mpya na tume huru ya uchaguzi paka SASA!!! Nina uhakika wahusika wakiona.namba ya simu yako watakuhudumia.
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 8 дней назад
Arnod nimesahau Jambo muhimu sana nalo ni usiache kujiandikisha Kwa ajili ya kupiga Kura kwa 2024 na 2025 Kura yako 1 Kwa CHADEMA no mtaji mkubwa Sana. Tuko pamoja. NAIPENDA NA KUIKUBALI SANA CHADEMA CHINI YA KAMANDA MH. MBOWE MWENYEKITI BORA WA SISA SAFI NCHINI!!!
@andersonnyahove2867
@andersonnyahove2867 4 дня назад
Anord unaishi wapi nikuelekeze namna ya kupata kadi mpya za chadema na CDME no mpya? Mm ni kati ya wanaosajili ila nlipenda ufanyie uliko ili iwe rahsi kupata kadi na kulipia hkohko
@George-jz3jg
@George-jz3jg 7 дней назад
Nyalusi pamoja na hayo maneno utashangaa kesho tunakusikia upo ccm
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 7 дней назад
njaaa hatrr sanaa
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 8 дней назад
Msigwa siyo mungu
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 8 дней назад
Mungu wenu ni Mbowe.Wataondoka wengi.
@cyprianboniphace-oz5lw
@cyprianboniphace-oz5lw 8 дней назад
Kiongozi aliyekuwa na mvuto kwa watu alikuwa Lowasa aliondoka CCM na watu Chadema ikapata wabunge 48 Msigwa kaondoka yeye na familia yake.
@salehmdemu5722
@salehmdemu5722 6 дней назад
Mchungaji msaliti ,,njaa kali
@kibemassao6478
@kibemassao6478 9 дней назад
Bro unajua kuongea...
@giftkalenge418
@giftkalenge418 8 дней назад
msigwa maamuzi yake ni ya kibnafisi hats hakufikiria familia yake maana haitaaminiwa kwenye taasisi kubwa za nadani na nchi na nje ya nchi kwa mantiki ni damu ya kizazi kischo na msimamamo
@neemanziku5403
@neemanziku5403 7 дней назад
Kupitia msigwa imenifanya nisimwamini mtu Yan msigwa ww Ni kigeugeu umesha fungwa mdomo huko uliko kwenda
@OswadSanga-hb2vi
@OswadSanga-hb2vi 8 дней назад
Ukweli ni kwamba msigwa kufeli uchaguzi unahama chama tumpuuze msigwa watanzania
@JohnKuyumbe
@JohnKuyumbe 8 дней назад
Mnaojielewa bakieni kujenga demokrasia
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 8 дней назад
Amelamba Dora 300000 toka ccm msigwa huyo ili kusariti chadema
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 9 дней назад
Sana sana atakalolifanya siku anakuja kwa mkutano atakuwa amewanunua wanaCCM watakuja kujidai wanagama CDM kujiunga CCM kumbe niwalewale!!!
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 8 дней назад
Kwa hayo yaliyofanyika awamu. Ya tano wew uliyafurahia kama mwanadamu lakini mungu hakufurahia ndo maana alimuondoa magufuli haraka sana
@MonayLai
@MonayLai 8 дней назад
yaani kwa changamkeni mpate mtu makini jimbo liko wazi hili ushindi wa bureeeeeeeeeeeee 😆😆
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 7 дней назад
Safi kabisaaaa
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 День назад
Ila tusizarau watu vilevike chana ni watu makini nccr mageuzi ilikufa baada ya kuondoka mrema ni sawa na chadema ni lisu mbowe hao ni ndio wenye kushikilia chadema mojawapo akiyumba tuu nadi chadema lazima iyumbe
@giftkalenge418
@giftkalenge418 8 дней назад
kwanza sio mhehe ni mngoni mhehe ninavyo mjua mkwawa hakubali kuuza utu wake
@BlessMwangosi-mz8dw
@BlessMwangosi-mz8dw 8 дней назад
Msigwanimuwanji
@yahyahamisi2038
@yahyahamisi2038 6 дней назад
Ccmm wamemchoka jeska 🤣🤣 mchungaji changamkia fursa 🤣🤣 waweza teuliwa au kuwa nbunge 😢😢 CCCM oyeeed 🤣🤣🤣😆
@jacksonchatanda9683
@jacksonchatanda9683 8 дней назад
kiongozi naona mafua yamekubana sana, au homa ya kuondoka msigwa😷😷😷😷😷
@alphoncejmrema7912
@alphoncejmrema7912 8 дней назад
Niwaambie kitu msimtaje taje tena
@marthaswai1185
@marthaswai1185 8 дней назад
Chadema ni jiko la viongozi.CCM tuwe makini.Wanaweza kuhamia wote kwetu ili kutusukuma nje kindakindaki
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 7 дней назад
Hao ni watu ambao wanaweza kukiuza
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 8 дней назад
Huyo si mchungaji tena, kakosa uvumilivu, njaa nayo imechangia
@Kalunirashidi
@Kalunirashidi 6 дней назад
.mnazirizi sakosi yenu
@ndalahwakulwa4517
@ndalahwakulwa4517 7 дней назад
Petro ni ULANZI Ni mlevi😂
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz 8 дней назад
Sura yako mtu njaa kali sana ww wanunulika haraka ww wacha sifa
@George-jz3jg
@George-jz3jg 7 дней назад
Ukweli hata hicho kikao hakingekuwepo mmekaa kwasababu ya msigwa kuondoka Nijuavyo mimi chadema iringa mkoa ilikuwa ni msigwa hata kwenye taifa msigwa chadema imepata pigo
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 6 дней назад
Acha uongo wewe
@khatibabass3106
@khatibabass3106 8 дней назад
Mwenzako msigwa alisema nyumba itiwe moto akihama wewe unasema utakua wa mwisho
@petermogha7025
@petermogha7025 8 дней назад
Kutaja CCM nikuipenda
@MalamboSelijusi
@MalamboSelijusi 8 дней назад
Tafuta sera
@user-rx8uf5ov5q
@user-rx8uf5ov5q 8 дней назад
Nawaunga mkono kaondoka na njaa zake
@yohanamsongole6489
@yohanamsongole6489 8 дней назад
Lakini naona wengine wamekunja sula
@emmanuelngabuji7583
@emmanuelngabuji7583 2 дня назад
😂😂
@ndogoroedson199
@ndogoroedson199 7 дней назад
Chadema ni meli mbovu wala rushwa ninyi kwa mujibu wa mwenyekiti wenu! Chadema cyo chama chako msigwa atakitaja tu kwa unafiki mlionao
@user-bx3ko9ft5t
@user-bx3ko9ft5t 7 дней назад
Nyinyi mlio uza nchiii je
@eliasmakoye3939
@eliasmakoye3939 7 дней назад
CDM mazambi ni mengi
@HabibuSalumu-iv5wl
@HabibuSalumu-iv5wl 8 дней назад
Hi I
@augustinemainde
@augustinemainde 2 дня назад
😂😂😂😂😂
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv 8 дней назад
MSIGWA ULISHINDWA KUYATAMBUA HAYA USIFANYE MAAMZ YEYOTE YALE UKIWA NA HASILA AU FULAHA ILIYO PITILIZA MAZALA YAKE UTAKUJA JUTIA
@dennisungonella205
@dennisungonella205 8 дней назад
Jengeni chama kama taasisi, acheni kuabudu watu
@user-qp7ym1lb8y
@user-qp7ym1lb8y 5 дней назад
Pointi
@josephatmhamiji4886
@josephatmhamiji4886 8 дней назад
Kiongozi mwenye hofu na mungu ataheshim maandiko matakatifu
@Aman-kp4wl
@Aman-kp4wl 9 дней назад
Wewe.ninyalisi?mbona tulikua tunakusikia alikubania msaliti
@samwelkavwanga4491
@samwelkavwanga4491 8 дней назад
Video mbovu inakata
@user-vl4rz6lf6d
@user-vl4rz6lf6d 8 дней назад
Inaonyesha mmeumia sana Kuhama kwa msigwa nyie bakini na sakosi yenu Mwenzanu kaona mbali
@barakalameck7342
@barakalameck7342 8 дней назад
Kwanini hakuona mbali mda wote mpaka aje aondoke wakati wakushindwa uchaguzi..huyo nimroho wamadaraka.
@NDEWARA
@NDEWARA 9 дней назад
CHADOMOOOO😂😂
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz 8 дней назад
Ww unaushahidi kuwa ccm inateka watu ww una jua mengi ulezee viombo vya usalama zaidi ingikuwa wakati awamu ya 5 saa hii umesahaulika hauko tena raia uko polisi waeleza vizuri
@pancrasluoga4584
@pancrasluoga4584 9 дней назад
Mbona maneno yanajirudia
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 8 дней назад
Acha nongwa. Hulazimishwi kusikiliza umejileta mwenyewe.
@vascomwalongo451
@vascomwalongo451 7 дней назад
Nop. Hakuna Upinzani Tz.
@AiserAli-mq6sz
@AiserAli-mq6sz 8 дней назад
Chadema sio chama demokrasia ni cha mbowe ww humtaki msigwa kiti cha iringa mjini cha msigwa wacha tisha toto hiyo ww ata mavi ya msigwa huyawezi paka ww
@MonayLai
@MonayLai 8 дней назад
nawaunga mkono yaani kama ndio wamewaza kumsimamisha heri wamwache tu yule mama wa watu sijui mtambakavangu Iringa tunawajua hamyumbishwagi atapigwa asubuhi kura za chap chap
@SundaySteven-bz4yq
@SundaySteven-bz4yq 8 дней назад
Unaweza ukaanza vizuri ukamaliza vibaya Kwa haya mateso ccm wanayotutesa na musigwa anaenda kuwafunga mkono huu uchungajiwake umevamiwa na shetani asipofunga na kuomba majibu mutayaona
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 8 дней назад
Tumempa pole Mchg Msigwa. Angeondoka mapema au angesubiri hata ipite miezi 6 ndipo aondoke, ila kwa Sasa inamaanisha alitaka kujimilikisha uenyekiti wa kanda ndo kakosa, ameamua kutimiza ndoto zake za kutangatanga.
Далее
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
POP CHALLENGE 🎈
00:36
Просмотров 296 тыс.
How Many Balloons Does It Take To Fly?
00:18
Просмотров 77 млн
NAPO Visits Wassa Amenfi Chief
12:12
Просмотров 14 тыс.