Тёмный
No video :(

Msigwa azungumza kwa mara ya kwanza baada ya kujiunga na CCM 

DW Kiswahili
Подписаться 177 тыс.
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA kinauguza jeraha baada ya kutemwa na mmoja kati ya waliokuwa viongozi wake waandamizi mchungaji Peter Msigwa. Msigwa anatajwa kuwa mwanasiasa mwenye uwezo mzuri wa kujenga hoja na mara zote kuwakosoa wale ambao walitangaza kukihama chama chake. Pamoja na masuala mengine Sudi Mnette amezungumza na Msigwa ambaye jana alipokewa na mwenyekiti wa kitaifa wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan.

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 8   
@bozeydayana4920
@bozeydayana4920 17 дней назад
Mchungaji kua mwanasiasa ni uongo kabisa tamaa. ,tu Chagua moja Utufundishe mambo ya mungu au utudanganye kwenye siasa.Tumeanza kuamka sasa.wanatuzingua.Mshika mawili moja humponyoka.
@amirisaid6341
@amirisaid6341 Месяц назад
Maswali magumi majibu mepesi 😢
@user-jc8vt7ct9t
@user-jc8vt7ct9t Месяц назад
Hao ndo wanasiasa na njaa zao
@Kiswahili
@Kiswahili Месяц назад
Ahsante kwa kuichagua DW na kwa kutoa maoni yako. Je unaamini kweli kwamba hatua yake imechochewa na njaa?
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
Same of call Swahili lntanationol language we regret to see our national so many things biden behind but we don't care we will fighting into social media help reality underground case of of msigwA has no value anymore angeenda upinzani msigwA tungemueliwa sababu angelikuwa anaendelea kuwa sauti ktk taifa lakini sasahivi msigwA lost darection Into ccm because his voice is on limit hana sauti tena ktk ccm sauti yake lnamilikiwa na viongozi wa ccm hawezi tetea wananchi tena msigwA atukua kusifia hata uwozo
@prospermiraji8473
@prospermiraji8473 Месяц назад
Sudi Mnete wewe ni mwandishi msomi. Mchumia tumbo kashindwa kujibu maswali yako. Tumtakie la heri huko aendAko
@Kiswahili
@Kiswahili Месяц назад
Ahsante kwa maoni yako. Mbona wadhani ni suala la kujali tumbo kuliko kitu tofauti mfano taifa?
Далее
Only I get to bully my sister 😤
00:27
Просмотров 21 млн
ПАВЕЛ ДУРОВ АРЕСТОВАН
1:45:21
Просмотров 114 тыс.
А ВЫ УМЕЕТЕ ПЛАВАТЬ?? #shorts
00:21
Просмотров 1,1 млн
Only I get to bully my sister 😤
00:27
Просмотров 21 млн